SHEIKH PONDA ASHAMBULIWA NA MUISLAMU

  Рет қаралды 3,283

SHEIKH MWAIPOPO TV

SHEIKH MWAIPOPO TV

Күн бұрын

#muhubirimwaipopo #sheikhmwaipopo #sheikhmwaipopotv

Пікірлер: 95
@ibrahimalharthi4599
@ibrahimalharthi4599 Күн бұрын
Sheikh Ponda ni philosophical ya juu nae shujaa asie moga fasaha ya maneno yake yanaingia katika nyoyo za Waislamu na wala hawezi kulinganishwa na yeyote. Mungu ampe maisha marefu na amuepushe na kila la ovu na kumnusuru kama alivomnusuru hapo nyuma. Aaaaaaamiiin
@FeisalDoctor-wr8ws
@FeisalDoctor-wr8ws Күн бұрын
🎉🎉Kabisa kaka
@suleimanmosooud9405
@suleimanmosooud9405 Күн бұрын
Tume kwabia wachana na siasa zitakuodoshe mpezi juyawatu wanao penda kusikiliza. Odosha mazugimzo ulio yasema kuhsu Chadema. Wachie wenye Wana siasa utapedeza kwawote
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo Күн бұрын
Allahu-akbar
@KalicKaguz
@KalicKaguz Күн бұрын
Takbir
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 Күн бұрын
We ndo mamluki Sheikh Ponda anajulikana dunia nzima kua ni mpigania haki popote pale anapoiona. Halafu c Sheikh njaa ni Sheikh alieipa nyongo dunia na wala huwezi kumkuta kwenye milango ya wakubwa akijipendekeza Na we mwaipopo huna mamlaka ya kumkosoa Ponda we uza mafuta yako ya upako muwache ponda
@user-uf6qf9lx4y
@user-uf6qf9lx4y Күн бұрын
Sheykh ponda ni habari nyingine.siyo size ya huyo kijana mpumbavu
@anordiobadia.nycsong8123
@anordiobadia.nycsong8123 Күн бұрын
Sheikh ponda ni nuru ya watanzania
@FadhiliMakasi-vb9dl
@FadhiliMakasi-vb9dl 2 күн бұрын
Ponda utampinga wewe punguani. Tuachie shekhe wetu. Lakini pia Ponda kumsema Mama Nikosa. Nakili hivyo Wapinzani wanataka kuku anika kwenye Midia uonekane Mchochozi upate misukosuko
@mussabuhe8881
@mussabuhe8881 2 күн бұрын
vijembe kwanini jamani ponda ni mzee wetu Amna adabu jamani
@FrankNzombo-k3j
@FrankNzombo-k3j Күн бұрын
Ponda ni sheikh mwenye kujitambua nitofauti na mashekh wengine
@hamdincatalonia3272
@hamdincatalonia3272 Күн бұрын
Wewe kaa kmya ujui kitu katika uislamu
@AGM19697
@AGM19697 2 күн бұрын
Shehe ponda ni mkweli na muwazi na ndio inavyotakiwa kuwa kiongozi wa dini kusimamia mema ktk jamii. Palipo na matatizo ni kusimama na kusema ukweli. Sasa watu wanazidi kutekwa na kuuwawa, hakuna kinachobadirika na nyie viongozi wa dini mpo mkae kimya mnafiki mwisho wake itakuwa nini?
@KalicKaguz
@KalicKaguz Күн бұрын
We naye unamsema sheikh nyuma ya pazia una lolote. Sheikh Ponda mwansharakati
@ambonisyekasanga6017
@ambonisyekasanga6017 Күн бұрын
Wewe Mwaipopo Kwaiyo ulitaka, Shehee Ponda anyamaze kimya watu angali wanakufa, dini ya kislam haipoivyo, Shehee Ponda kasimama katika kweli.
@engineerjuma9876
@engineerjuma9876 22 сағат бұрын
Kwa nini unamsema mwaipopo? we kijina kwani huna uelewa
@georgempogomi7329
@georgempogomi7329 Күн бұрын
Chawa la mama
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Күн бұрын
Masheikh kama mwaipopo ni masheikh njaa hawa
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa Күн бұрын
Iv mnadhani ili ni shehe ili ni litafuta kula lichumia tumbo
@maulidimanzi9964
@maulidimanzi9964 16 сағат бұрын
Kama ungekuwa unampenda shekhe ponda ungempigia simu ukamuelekeza na cyo kumdhalilisha mitandaon
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 2 күн бұрын
Watanzania tunajua kama shekhe ponda ni shekhe tena mcha nungu wewe ndie hujitambui mpuuzi wewe kwanza lishenzi hili jamaa lina tabia chafu kwenye TikTok ulikuwa unaposti vimada vyako viko uchi kaeni kimya achaneni na shekhe ponda yeye ni msomi sio kama nyinyi wehu
@AGM19697
@AGM19697 2 күн бұрын
@@fatmafatu1128 😊😊😊
@willsoniissaya
@willsoniissaya Күн бұрын
Kama nikosa siashitakiwe
@willsoniissaya
@willsoniissaya Күн бұрын
Nyie wote nimachawa wamama sheeh ponda anajierewa
@FeisalDoctor-wr8ws
@FeisalDoctor-wr8ws Күн бұрын
Ukimuon mtu anamshambulia shehe ponda ni mwanaharam uyo mpumbavu anaetoa maneno y kipumbavu anatakiw kukatwa kichwa
@SarafinaJoseph-f3h
@SarafinaJoseph-f3h 18 сағат бұрын
Kwan rais yeyeninani asisemwe mbona ww kila kukicha unawasema wakristo huyo jamaa yupo sahihi acha ujinga ww
@babazungu3180
@babazungu3180 2 күн бұрын
Hata ww ni chawa wa ccm,shekh ponda ni shekh wetu
@AGM19697
@AGM19697 2 күн бұрын
@@babazungu3180 Wewe unamacho ya kuuona ukweli
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa Күн бұрын
Kwa komenti za kila matukio niwazi watu wameichoka ccm ni wachache wanao unga mkono upuuz wa selikalu na chama chao
@willsoniissaya
@willsoniissaya Күн бұрын
Anayo yasema niyakwer kama nimabaya siachukuriwe atuwa sheeh ponda nyinyi nimachawa
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 Күн бұрын
Kwani huyu ndiye msemaji wa Dini ya Kiislam hapa Tanzania?😂😂😂 Kwani uislam unakataza mtu kuwa chama flani? Pia wewe mwaipopo unatafuta namna ya kumsema mzee Ponda umeshafahamika huwezi kujifucha kwenye hicho kichaka unacho jificha tumesha kuelewa.😂😂😂
@user-ep1pi5pw3k
@user-ep1pi5pw3k Күн бұрын
Wewe mnafiki mkubwa.hueleweki YAANI wewe unatafuta pesa kwa kujipendekeza Kila Kona Ili upate
@SarafinaJoseph-f3h
@SarafinaJoseph-f3h 18 сағат бұрын
Acha kujipendekeza kwaselikali huo niuoga wamaisha
@hamisidd8124
@hamisidd8124 2 күн бұрын
Shekhe ponda amekosea Kama anataka avue kanzu avae gwanda
@AGM19697
@AGM19697 2 күн бұрын
Kumbe kuwa mkweli na muwazi ni kosa kwa waislamu?
@Tupena-ov7xq
@Tupena-ov7xq Күн бұрын
Umetoa video nyingine kumtukana ponda, daa mwaipopo ni tabu sana njaaaaaa
@salifhatif1921
@salifhatif1921 Күн бұрын
Bangi za chooni bwana zinachanganya.
@omarsultan4502
@omarsultan4502 Күн бұрын
Yaan ww umeileteta kusudi hio video ili kuonesha namna shekhe ponda alivyotukanwa unajifanya kumtetea ponda ! Kum*
@willsoniissaya
@willsoniissaya Күн бұрын
Wewe nimuoga unamaanisha
@matukutajuma156
@matukutajuma156 Күн бұрын
HUYO KIJANA NI SHOGA!
@Mussaphanuel-p1q
@Mussaphanuel-p1q Күн бұрын
Acha kutafuta uchawa kwa Rais wako.wakimaliza watekwaji wata kumaliza na ww.hicho unacho taka kisifiwe.hakina sifa.kime shindwa kuwalinda watu wake.Hivyo acha kutuchanyanya.kajifunze kuongea na ukasome vizur.muache ponda afanye kazi yake
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 Күн бұрын
Kwa hiyo wewe Mwaipopo,hapo utazungumzia dini au Siasa?Shehe kawaii kupigwa risasi,Je Mwaipopo umewahi kupigwa risasi na utawala huu uliopo?
@ambonisyekasanga6017
@ambonisyekasanga6017 Күн бұрын
Mwaipopo mbona wewe, unaongea siasa, wewe shehe uchwara huna maana yoyote.
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 2 күн бұрын
Asalam alaikum sheikh mwaipopo ukweli mtupu hongera sana
@simbamtoto7530
@simbamtoto7530 Күн бұрын
Kifupi wewe ni muoga ndio mana upitwi
@AkidaDaudi
@AkidaDaudi 2 күн бұрын
Ponda jilekebishe na mm nakili kuwa ponda anamatatizo,
@AGM19697
@AGM19697 2 күн бұрын
@@AkidaDaudi Kwasababu kaisema Serikali inayoongozwa na muislamu hata kama watu wanaendelea kutekwa na kuuwawa na hakuna hatua yoyote inayochukuliwa?
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza 2 күн бұрын
Umeiyendea din ya wt vby
@songombingo108
@songombingo108 Күн бұрын
Dogo uwe na adabu. Huyo Shekh Ponda kwanza ni mkubwa kwako kiumri. Wewe ndo kwanza unaanza kufuga hizo ndevu. Kuongea kwenyewe hujui. Fala wewe😂😂
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 2 күн бұрын
Mwaipopo bado huna hoja uwe unajipange wakati wa kutoa hoja
@AGM19697
@AGM19697 2 күн бұрын
@@baghabaghaingwengwe1750 Mara nyingi sana anakuwaga kama kituko anavyoshindwa kupanga hoja zake
@PiusKimaro
@PiusKimaro Күн бұрын
Shekh fek mtafuta kula
@anzurunindume
@anzurunindume 2 күн бұрын
Suleh hajawai kua na mizozano na wewe mbali wewe ndie...
@DenisMpihigwa
@DenisMpihigwa 2 күн бұрын
Mungu hafanyiwi komedi kak so be serious and back to Jesus
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 2 күн бұрын
Yani mtu kashaoga katakata tena unataka arudi kwenye uchafu?
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 2 күн бұрын
Ktk vitu shekhe mwaipopo leo nimekudharau rasmi ni leo...et kwamba kwakua ni serikali basi hata ikifanya machafu kwa raia wake watuwote wakaekimya je nani ataondoa huo uchafu wakat Mungu mwenyewe kasema ukiuona uchafu uondoe kwa mkono wako na ukishindwa basi kemea.... Sasa kosa la ponda kukemea utekaji na mauaji wanayofanywa na watu wanao sadikika ni vyombo vya usalama ambavyo viko chini ya Samia kosa hapo nini? Au nawe mwaipopo ni chawa wa Samia? Hakika shekh leo umetukosea sana wengiwetu binafsi Kwangu Honda ni zaidi ya shekhe
@AGM19697
@AGM19697 2 күн бұрын
Upo sahihi, Yesu ndie njia kweli na uzima, hakuna kwenda kwa Mungu bila kupitia kwa Yesu
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza 2 күн бұрын
Yaan kw naamn yk hkn mtu anaye wez kuvutiw na din yk ya majini mm namin yesu anakpenda na namin upo uko ktaft pesa ukizpata ynarud kw yesu
@binseif2216
@binseif2216 Күн бұрын
Karibu sana katika uislamu Dini ya Hakki Quran ishaeleza hata bible pia
@binseif2216
@binseif2216 Күн бұрын
Sitakiwi kukuijia juu bali Mtume ametusihi tuzungumze na nyie kwa upole na huruma ili muifate haki😢
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza 2 күн бұрын
Yaan km uislamu n din ya kwr bas mungu huy atakuw feki ten kichaa
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 2 күн бұрын
Acha ufara wewe na miemuko ukifa ndio utajuwa kama mungu ni kichaa ama laa toka kwenye ukafiri huko
@AGM19697
@AGM19697 2 күн бұрын
​@@fatmafatu1128Haujamuelewa, soma Vyema ukiwa umetulia
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 2 күн бұрын
Wewe ni mjinga uliyepitiliza, kwanini usiiongelee hiyo inayoongozwa na wanaosapoti ushoga.
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 Күн бұрын
Wewe acha chuki na mungu utakuda kifo kibaya Sana
@user-uf6qf9lx4y
@user-uf6qf9lx4y Күн бұрын
Na wewe una Ropoka nini? Mbona Huna adabu mshenzi wewe kafiri mkubwa
@fundijumakimbaru7622
@fundijumakimbaru7622 2 күн бұрын
Mimi sijaerewa kwani sheepona ariongea kuusu chama au utekaji Mimi nakumbuka kasema utekaji au siyo madaiyo?
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 2 күн бұрын
Hapo tatizo kwa sasa ni kusahau kazi ya dini na kujiingiza kwenye siasa. Mtufundishe imani siyo siasa mnatutoa kwenye dini.
@msarama5406
@msarama5406 Күн бұрын
​@@jumamustapha8254siasa gani kaongea ponda yani kusema maovu mnamkataza mnaita siasa mjiandae kwa kujibu kwa Mungu
@KalicKaguz
@KalicKaguz Күн бұрын
​@@jumamustapha8254Siasa yenyewe ndo maisha yko kaka
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 2 күн бұрын
na mimi namtilia shaka huyo shehe wa siasa na sio shehe wa dini
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 2 күн бұрын
Kama unamtilia shaka mpeleke mahakamani mwehu wewe
@AGM19697
@AGM19697 2 күн бұрын
@@hassanmpemba5747 Kwahiyo kiongozi wa dini akisemea jamii kwa mauaji na utekaji unaoendelea nchini anakuwa mwanasiasa? Kama wahusika wanakaa kimya na utekaji unaendelea mlitaka nani awasemee wananchi ili wapone? Hamuoni kwamba mambo hayo yakiendelea yanaifanya Serikali kama imeshimdwa kuongoza?
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 2 күн бұрын
Shekhe ponda yuko sawa kuikosoa serikali kama inaenda visivyo nyinyi machawa wa ccm kila kukicha kuwasema watu wanao kosoa serikali sio malaika lazima waabiwe nyinyi kaeni mkisifia ujinga watu watekwe wauliwe eti mtu akae kimya
@AGM19697
@AGM19697 2 күн бұрын
Sawa kabisaa
@haidarimfinanga9755
@haidarimfinanga9755 2 күн бұрын
Hivi Mwaipopo unaelewa hayo unayoyasema athari yake kwa dini yako? Hivi busara yetu iko wapi tunapozungumzia kadamnasi masuala ya dini yetu na ndugu zetu? Natamani ningekutana na kuzungumza nawe uso kwq uso. This is a shame. Phuuu!!
@haidarimfinanga9755
@haidarimfinanga9755 2 күн бұрын
Hii clip yako ni kwa ajili ya nini? Kumkosoa Kadogoo kwa kumdhalilisha Sheikh Ponda au Kumshambulia Sheikh Ponda kwamba ameikosoa Serikali ya Mh. Rais Samia? Yaani wewe umeona hapa ndipo jukwaa sahihi kufanya haya kwa maslahi ya dini ya Kiislamu??
@AGM19697
@AGM19697 2 күн бұрын
@@haidarimfinanga9755 Kwakweli uchawa ukizidi sana mtu anakuwa anaharibu bila kujijua
@tanzanite9944
@tanzanite9944 2 күн бұрын
Ponda ni Kinyonga kila wakati anabadilika kama Kinyonga kutokana na Upepo wa Siasa. Sasa hivi anatetea Magaidi Au wale wenye mlengo wa Kigaidi na yuko kinyume na Serkali kwasababu Serkali inaadhibu wale wanaojihisisha na vitendo vya Kigaidi Ndio sababu hapatani na Serkali.
@Anonymous23216
@Anonymous23216 2 күн бұрын
Yaani waislamu ni wazuri wa kuteteana. Kwa hio sheikh akikosea asikosolewe? Dini ya hovyo kabisa hii. Hao ma sheikh wenyewe wajinga tuu amna lolote
@AGM19697
@AGM19697 2 күн бұрын
Umeona eeeeh, wapo tayari kudaganya hata kama kila kitu kipo wazi kabisa ili mradi anayetetewa ni muislamu
@AGM19697
@AGM19697 2 күн бұрын
Kwa Mungu sio kama mnavyofikiria
@Anonymous23216
@Anonymous23216 2 күн бұрын
@@AGM19697 ndo walivyo hao ma poyoyo.
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 2 күн бұрын
Wewe ndiyo kafiri halisi, kwahiyo unahamasisha tutukanane kisa imani zetu.
@AGM19697
@AGM19697 2 күн бұрын
@@jumamustapha8254 Kukemea uuwaji na utekaji sio kutukana, ni kuwakumbusha wahusika wachukue hatua na ni jambo jema kwa raia
@joezeno8
@joezeno8 2 күн бұрын
Ule sheikh Mziwanda katukosea sisi Wakristo, maneno ya kihuni na ujinga ya Mchungaji moja, Sheikh badala ya kumjibu mchungaji, yeye anaanza kuwasema vibaya Wakristo wote pamoja na Wakatoliki! Eti inawezekana dini yao haina miko na inaruhusu kutukana viongozi! Maneno ya Chuki na udini!
@anzurunindume
@anzurunindume 2 күн бұрын
Mwaipopo unamjua ao unamsikia
@AGM19697
@AGM19697 2 күн бұрын
@@joezeno8 Mtu mmoja binafsi na sio Kiongozi wa dini hawakilishi dini nzima. Katika hali hiyo kuishambulia dini ni kuikosea adabu, watu wa hivyo ni vyema wakatubu na kama wana hoja ni kumkosoa msemaji na sio dini
MCHUNGAJI AKANA WAISLAMU KUITWA MAGAIDI NA AKILI UISLAMU NI DINI
27:45
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 434
отомстил?
00:56
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 61 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 913 М.
WAISLAMU WAITIKISA DAR KWA DUA
37:26
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 567
ASKOF HAMZA SASA AOMBA MSAADA KWA SHEKH DIWANI ..
41:11
Saimu gwao Online tv
Рет қаралды 523 М.
UTACHEKA NDACHA /  YESU WA KENYA /  WAISLAMU
1:11:18
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 71 М.
TANZANIA YAINGIA BALAA SHEIKH KUBATIZWA NA KUMTUKANA MTUME MUHAMMAD
43:48
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 20 М.
RADD UPOTEVU WA KISHKI, DR. SULLE, ABDUL ROGO |SHEIKH ABUL FADHL KASSIM MAFUTA
1:10:34
WATEKAJI WATU TANZANIA SASA HAWA HAPA
29:46
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 7 М.
WACHUNGAJI WAZIDI KUUMALIZA UKRISTO TANZANIA WAIKANA BIBLIA
22:00
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 1,6 М.
отомстил?
00:56
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН