Hamza kachizika haeleweka hawajaelewek wap nyie ndo hamuelewek
@mohamedAli-vf8hp6 жыл бұрын
Waallahy shekh yusuf nimekuelewa vizuri sanaaa mashaallah mungu akuzidishie hikima zaidi uwailimishe hao murtad
@ernestthomas96896 жыл бұрын
Hamza yuko vizuri kwa kweli. Yesu ndo mwokozi wa ulimwengu na lazima kila ulimi ukiri kuwa ndiye mwokozi na saa ndiyo hii. Barikiwa sana Hamza/Eliya
@mussahamisi11916 жыл бұрын
Yesu ni muokozi WA wale waliomkataa mwenyezi MUNGU Kwa maana wakristo wamemkataa mwenyezi MUNGU na kumuabudu Yesu
@ifruitx20965 жыл бұрын
Ernest Thomas kwaiyo munakubali yesu hajasulubiwa sindio??? Ama munakubali kizembekizembe
@magambokasheke19145 жыл бұрын
Hamza mm nimekuelewa kusema
@pettermasika91206 жыл бұрын
Mungumuweza wa kila kitu Hamza akuwezeshe kutamgaza injili Duniani kote, Mungu yuko na Wewe daima
@betinalupembe43665 жыл бұрын
Safiii mungu atakusaidia hamza
@lilianmvungi97374 жыл бұрын
Hamza uko vizuriiii
@komboabdallah53174 жыл бұрын
Hamza sio mkristo wala muislam yeye nimpinga old dini
@hassanhaji52474 жыл бұрын
Kafirj tu uyo
@shifaazawadi44384 жыл бұрын
Hivi naakilizako huyu hamza ukimiangalia yuko upandegani kafiri huyu hajulikani u slim wala ukristo laana tupu alizo nazo
@abdularuffin93083 жыл бұрын
Allah akupe jazza ya moyo wako uko vizuri sana shekhe diwan mashaallah
@mangishop66432 жыл бұрын
Mashallah
@africa74795 жыл бұрын
wakrsto mtachomwa hiv hamuoni mnavyodangnywa kitabu chenu kila siku kinafanyiwa edition sijui mpo ,mungu wenu hajui hajayo au hana msimamo
@tiamo7265 жыл бұрын
Kuran iko kwa kiharabu pekeyake ama kiswahili na kizungu pia
@africa74795 жыл бұрын
tia mo ,ipo kwa kiswahili,kizungu, hata ukiingia online imetafriwa kwa lungha nyingi wew tu na lugha yako
@seifrajabu95114 жыл бұрын
Biidhin llah watachomwa maana kila siku wanadanganywa kuwa yesu ameshuka wakat hajaonekana kushuka na wao wanakubar nakushangilia
@africa74794 жыл бұрын
Seif Rajabu yan ukiwa muislam ni neema kubwa kuliko aliyepewa utajiri kama rwakatare halafu akawa kafiri.
@seifrajabu95114 жыл бұрын
Mashaallah Allah akuhifadh shekh maan kaum ya mtume Muhammad watu wanaleta habar za nabii alie pita nabii ambae ni binaadam kama Mimi na wewe wao wakamuita mungu hadi Leo kama sio udhwalim huo nnn?
@veronicanestory16622 жыл бұрын
Nakupenda saaana hamza yesu akutunze kwa ajili yetu tunaomuamini yesu kipenzi cha roho yangu
@MosesLewa9 ай бұрын
Ila usitambue miungu mitatu.Hakuna mungu baba mungu mwana na mungu Roho mtakatifu...Hakuna kitu kama iyo, huo ni upagani....
@veronicanestory16629 ай бұрын
@@MosesLewa sikupingi inawezekana
@thembaphiri45235 жыл бұрын
Yesu angekuwa kilakitu angemuomba mungu mungu wangu mungu wangu mbona umeniasha meme tumia akiri luka 4:7 welcome to muslim truth religion in the world mark 13:21 quran 3:19
@abdullahbizzo33426 жыл бұрын
hamza wakristo wanakupenda sana kwa sababu unaudhalilisha uislamu wako kwa maslahi ya kidunia
@rahmashaban86936 жыл бұрын
Maasha Allah sheikh yusuph ma shafii mko vizuri sana
@arbaymuya26365 жыл бұрын
Four h rfffgtutpt
@zuwenasalum62345 жыл бұрын
Ibrahim bakozi upo vzr mjukuu wangu hongera mungu akuzidishie ilmu
@rabiministry23896 жыл бұрын
Nakupenda sana SHEIK Hamza. Nakuelewa sana sana sana hiyo Sheikh diwani achana naye.
@veronicanestory16622 жыл бұрын
Unishindi mm
@flowjowi87216 жыл бұрын
Hamza is telling the truth.. the truth is bitter to swallow... Hamza ameonyesha reality in the quran.. but muslims haa! ! Hamko wakweli! Sheikh waambie kweli.. bila yesu! Hamna lolote! Too much pride :D
@jimmuabdul67306 жыл бұрын
wewe huyo anayejiita HAMZA ni mkristo kumbe hujamsoma
@flowjowi87216 жыл бұрын
JIMMU Abdul we we utabaki kufungwa macho.. uki cram quran badala uisome kwa hekima na kumuomba mungu akufungue macho ueze kuielewa sio kuketi na kufanywa kufundishwa. Keti upige sujudi kwa Allah afungue macho na roho kisha uketi usome quran. Sio kusikiza kipofu utabaki kipofu anafuata kipofu!mwenzako amefunguka macho hivi unaniambia at mkristo? Kwani akiwa mkristo ndio? Hata ndani ya quran ni jumamosi karim wewe wafuata ijumaa. .. niendelee? Wacha tu! Sisi tuombeane sipendi kuteta sababu dini!tumungoje yesu wetu yuaja kwa nguvu na hekima hiyo siku ndio kila mtu ataijua! Utaita mtume mohammed na hatafika!
@moodykitete94766 жыл бұрын
Hujielewi ww upo gizan
@husseinbenson79655 жыл бұрын
Km unasoma coment na unaona hao wote ni wasanii😂😂 gonga like.
@leonardgwimo48512 жыл бұрын
Mwenyezi MUNGU , Mfalem wa majeshi atasimamia kila mwenye kuamini shekh. Hamza wasatahiri heshima katika mafundisho
@Spritualproffessor6 жыл бұрын
hallelujah hakika mawazo ya Mungu sio ya wanadamu hazuiliw na yeyote hatimaye Yesu anahubiriwa na mashehe tena wanavutana wenyew kwa wenyew ..hakika kila ulim utakir na kila goti litapigwa kuwa Yesu kristo ndio njia kwel na uzima
@nehmaabasi42146 жыл бұрын
MATUNDA YA UKOMBOZI WA DAMU YA YESU KRISTO mpuuzi wewe hujui utendalo
@mohamedAli-vf8hp6 жыл бұрын
Huyu hamza sio shekhe ni askofu ucmuone kavaa kanzu ukadhani nimuislam
@financialloan98186 жыл бұрын
@@mohamedAli-vf8hp mbona Alienda bakwata unasema sio shehe wkt anasoma Qran yenu Kwan yy anadanganya wkt anasoma kitabu iko iko bado mnakataa😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌👌👌👌kila goti litapigwa
@princeabbyjunior96406 жыл бұрын
@@financialloan9818 kusoma Quran sio kwamba ndo muislam na kwenda bakwata sio ndo kua muislam....wapo mayahudi,wakristo na watu wa dini nyengine wanasoma quran na kuifatilia wengne wana lengo la kupotosha na wengine wanaweza wakawa wanapinga na kubisha kwa lengo la kutaka kujua zaid wa kile wanachokijua ....sasa itategemea ni njia gani anaitumia mtu....pengine ameamua kujifanya muislam ili iwe rahisi kwake kupotosha au iwe rahisi zaidi pia kutaka kujua zaidi maana kutokana na alivojifunza Quran kuisoma na kuilewa kwake kwa mtu ambaye hajui vzuri uislam ataamin kabsa kama huyo amza au askof amza ni muislam hvyo yeye na mungu wake ndo wanajua kama anapotosha au anataka kujfunza zaidi ...kwa haraka na kwa umakini ukiangalia ni kwamba anapotoshaa nionavo mimi
@princeabbyjunior96406 жыл бұрын
@@financialloan9818 Na kusema anasoma kitabu iko iko ni kweli kwasababu Yesu amezungumziwa kwenye Quran na ndio mada zote zinatakiwa zitumie Quran ndomana lazma atumie hiko kitabu ila tatizo linakuja katika kutafsiri hiyo Quran kwa ufasaha....na nikujulishe vizuri tu Quran imetafsiriwa na mtume tu sio mtu mwengne yeyote hivyo ukitafsir Quran bila kufata mtume alivyotafsiri basi utakosea kwahyo hao mashekhe wote dunian wanatakiwa wasome tafsir ya mtume ya Quran ili kuelewa na kuwaelewesha waumin wanaowangoza sio kutafsiri jinsi wao wanavyoona wao....Sasa kuna maeneo huyo Hamza au sijui Askofu amza sijajua jina sahihi ni lipi apo ...ni kwamba anajaribu kutafsiri Quran kwa maono yake ukishatafsiri hvyo unakosea na hautokua sahihi....KWAHIYO UISLAM INA TARATIBU NA MISINGI YAKE SIO TU MTU UNAKURUPUKA NA KUWAZA UNACHOWAZA NA KUKIFANYIA MAAMUZI UNAYOTAKA WEWE....UHURU HUO KWA MUISLAM WA KWELI HAUPO ...Ndio tofauti ya uislam na dini nyengine anajifanya muislam ila hayupo katika misingi ya uislam...
@marianachriss24443 жыл бұрын
YESU KRISTO ni BWANA na mwokozi na zaidi ya yeye hapana Mungu mwingine Yeyote asiyemkiri YESU KRISTO ameshahukumiwa
@unknownafrica55682 жыл бұрын
Isa ni na bee na ni muislam atakuja kama mmungu alivyosema mmungu ni mmungu wa mitume wotee wote ni mmungu ila binadam wanawatenganisha waislam wanamkubali kama mmungu alivyo sema isa bin mariam ni na bee
@unknownafrica55682 жыл бұрын
Yesu ni na bee na alie mleta duniani mmungu ni mitume wake wote hata ukiangalia wote ni wamoja na ndugu mana bee ibrahim ndio baba yao kizazi cha ishac na esmael na wote ni mashariki ya kati sio kwa wazungu inamanisha mmungu dini ni moja na alikamilisha kwa muhamad saw
@manbawazir53926 жыл бұрын
ASALAM ALEYKUM SHIEKH DIWANI WEWE NAKUPONGEZA NABADO KIJANA MUNGU AKUZIDISHIE ELIMU UFIKEMBALI
@AAl-xx8rh Жыл бұрын
Allah akubarik Shaffy kwa kumueka Sawa huyo Hamza njaa tu inamsumbua
@rutahalima14006 жыл бұрын
Asalam Aalaykum wa rahmatullahi wa barakatuhu shukran ma sheikh wetu kwa juhudi yenu ya kum elimisha huyo Askof hamza issa yeye ni mnafiki amechanganyikiwa tu huyo ni wakutibiwa. Hakuna Haja ya kuhojiana nae kuhusu ukweli wa dini maana ana maskio haelewe. Sheikh Diwani ma sha Allah , Allah awalipe jema kwa hilo mlifanyalo.
@mahmoudabdallah45336 жыл бұрын
Huyu jama noma bora asije akapewa msikiti atowefatwa zake
@mahmoudabdallah45336 жыл бұрын
Anapotosha umma
@mahmoudabdallah45336 жыл бұрын
Huyu akionekana msikitini anatowa hutba apigwe nakora na ramadhani hii
@mahmoudabdallah45336 жыл бұрын
Mashekh muko wapi wakini kishki na kipozeo na mzinge munamsikiya huyo
@mahmoudabdallah45336 жыл бұрын
Na mazinge
@wgsaempiretv8646 жыл бұрын
Haaa!haaa!.Kweli hakika kwa Yesu kila goti litapigwa,Shehe Hamza Mungu atakubariki mpaka ushangae,Kwanza waisalam mna makosa makubwa mno,kwa kumtukuza Muhammad badala ya nabii Issa,,,Qur an yenyewe imethibitisha ukuu wa nabii Issa(yaani Yesu Kristo)Unaambiwa kwenye 3:45 Qur an Yesu kristo ana mamlaka mbinguni na Duniani,Waislam nini tena mnataka badala ya kuja kwa Yesu,Shehe Hamza Eliasa God bless u for explain afficil report of Jésus,.😀😊😀😊😄😁😊😂😇😄😁😀.
@abakuramaadan37886 жыл бұрын
Sheikh hamza ni mgonjwa ya rabb mpe shiffa
@mamymdogo41615 жыл бұрын
Aamin yarrab
@shirikaniyonkuru65605 жыл бұрын
Labda mgonjwa ni wewe kwani yeye anasoma maandi matakatifu!
@hudhud20225 жыл бұрын
Tena mgonjwa hasa wala MMungu amuoneshe njia ya haki
@hudhud20225 жыл бұрын
Wewe hamza mbona unakufuru
@hudhud20225 жыл бұрын
Inna Lilahi Waina Ilayhi Rajoun
@bensonlangat6403 жыл бұрын
Kweli Yesu ni msindi.Bwana Hamsa Akili yako iko juu Sana.
@unknownafrica55682 жыл бұрын
Mnashimdana na mmungu mwenye mana bee wake isa ni muislam na Muhammad ni ndugu kwa ibrahim je wazungu hapo ni biashara na music kupiga hamna kitu Muhammad ndio alie kamilisha dini kwa Amir ya mmungu kumshishia gibriel na isa alimtabiri atakuja bada yangu Mfateni Kitabu cha isa wamekibadilisha cha ukweli na isa hajajenga kanisa you Brahmin ndio alie jenga alcaba kibla aliamrishwa na mmungu
@unknownafrica55682 жыл бұрын
Hata na bee sulaiman alijenga alagsa msikiti wa kwanza wa kislam
@superchadema24175 жыл бұрын
😂😂😂😂nicheke na yesu wangu mm
@sammarley14135 жыл бұрын
Yuko wapi? Sialikimbia kicapo
@lucasgasper52355 жыл бұрын
Huwezi kumuelewa yesu kama unaabudu mapepo
@thamiyuucute70985 жыл бұрын
@@lucasgasper5235 nawew huwezi kuwa naakili km unaabudu kiumbe mwenzio
@ironefacemsovela45045 жыл бұрын
Mnapoteza muda kwa ujinga kama huo mungu wetu sote, yesu ni nabii tu
@AANFOOTBALL4 жыл бұрын
Mnamtukuza na kumuabudu Yesu/ Issa na kumsahau aliyeumba mbingu na ardhi, aliyeumba viumbe vyote duniani. Unafikiri ni kwanini kulikuwa na Mitume tofauti, kazi Yao ilikuwa ni ipi? Ujumbe mkubwa ni kuacha kuabudu mnavo abudia ili Tumuabudu Mwenyezi Mungu pekee.
@bebisheni43804 жыл бұрын
Hamza ushindwe na uregee nguvu za mwenyezi mungu zikushukie Shekhe diwani mwenyezi akubariki akuzidishie kila la kheri na baraka hamza umenikera
@zaharanihassan90136 жыл бұрын
msimamiz na mwongozaji Wa hicho kikao Upo making sana, nimependa sana Allah akuongoze kwanu una ( leadership skills))
@ramkoddybenyamin36593 жыл бұрын
Uhm
@ramkoddybenyamin36593 жыл бұрын
Luo and woman in uganda is
@hassanmirambo56716 жыл бұрын
Hapo tuSheikh SHAFII huwa nakukubali akijitokeza tu mpumbavu yeyote kutaka kupotosha humuachi,ALLAH akujaalie INSHALLAH
@fatwimamakungu54566 жыл бұрын
😂😂😂 hamisi lee wanichekesha wallah yani sijui uyo amza anatafuta kiki au akilizake aziko sawa wallah mtihan
@khamislee96146 жыл бұрын
Fatwima Makungu huyu mtu anaikili tena sana. Mi nadhani anatumiwa kukoroga waislamu kwasababu wamemuona yuko very INTELLIGENT. Kwasababu maneno anayoyaongea kama mtu hana ilmu ya QUR'AN vizuri Wallah anaeza kumkubali huyu jamaa. Lakini Alhamdulillah kuna masheikh wasomi ambao wako makini kabisa katika kukabiliana na watu kama HAWA.Insha Allah Mungu awaongoze na awape umri mrefu masheikh.
@burhanimahmoud89856 жыл бұрын
Fatwima Makungu
@abdurashid20226 жыл бұрын
jazaka lahu kheir shekhe kwa kutuzindua Allah atakulipa badala
@rajabumrope87326 жыл бұрын
HUYU MSHENZI HAMZA KAMA HUJASOMA UNAHISI KAMA ANAONGEA POINT
@ahmedbaga266 жыл бұрын
Mwenyekiti unatumia muda mwingi sana unarudia sana maneno punguza ufafanuzi
@GloriousRestorationTV6 жыл бұрын
Hamza okoka umfuate Yesu, anakupenda sana.. Achana na usanii wa dini maana unaishi hapa tu. wala Mohammad si Mtume, ni mtu tu na mwenye dhambi anayesubiri hukumu. Yesu ndo atahukumu kila mmoja, wanaopinga watasaga meno
@happyarooun60376 жыл бұрын
atamfata vip nabii wa wana Israel makabila 12 hakuna kabila hta moja African miongon mwao
@mandianuhumuinatv96546 жыл бұрын
Ww kafiri achana Na Muhammad .alaf angalia sana kwaza yesu nidudu gani
@almendhiryable5 жыл бұрын
Issa au yesu ni mtume wa Israel sasa ukristo sio dini maana wakatoliki wao Roma sijui wainglikana sijui marekani wasabato sijui uiengereza sasa hiyo dini gani na badala ya kukufuata Israel na sio Roma itali au marekani
@allishoni45423 жыл бұрын
Maasha Allah shekh Yusuf Allah akupe afya na umri mrefu ili tusome mengi kutoka kwako Alhamdulillah
@OmanOman-gc1zu6 жыл бұрын
M, mungu amsamehe hamza kwan ajui alisemalo... Bora akasome dini ya kiislam asije kupoteza waislam.. Si vizur kuongea vit ambavy una hirimu navyo... Allah atupe mwisho mwema
@dennismataula2936 жыл бұрын
Hamza anauliza very critical ,maswali ,Hamza hawa watu hawatakuelewa elimu yao ndogo sana ,ndiyomaana hawana majibu ,
@ameknews23156 жыл бұрын
Njoo ww basi
@ismailowino28666 жыл бұрын
issue moja nakubaliana na huyu bwana ni kwamba dhiki tulonayo waislam nikuondokewa na utukufu wetu ambayo ni Al-khilafah.Hii lazima tujikakamue kuirudisha ismamie maisha yetu!
@amoschacha18736 жыл бұрын
Tatizo la baadhi ya waisilamu wanapenda mashindano hawataki ukweli anaowaambia Hamza
@yusuphsimon81516 жыл бұрын
Mungu ni mwema n mnavokua mnajadili neno lake vaeni vtu vya rohoni so kubishana ki mwili....Mungu ni kherii
Yesu ni JIBU na atarud duniani............ Tuwe tayari.........
@unknownafrica55682 жыл бұрын
Atarudi kwa ajili ya wale walie muacha mmungu na kufata wasio kua mmungu na atakuja kuipinga ukristo kwankuwambia yy sio mmungu mmungu hajazaliwa yy ni nibaee na atakua na mana bee wenzake wa ukweli sio picha za mcheza cenema
@rabiministry23896 жыл бұрын
Bahati nzuri hapo hakuna mkristo hata mmoja ni ninyi kwa ninyi. Mtakuja kwa Yesu mmoja mmoja.
@uncledavitv64816 жыл бұрын
YIRE TV Mwl Boniface Mwamafupa hahahahahahahahahaha kabisa
@minaminaa16696 жыл бұрын
hiyo ni mada tu
@Mpakauseme5 жыл бұрын
Nabado wanapata kumjua sawa sawa yesu kristo
@mohammedrajabumwamba13223 жыл бұрын
Utasubiri saana Uisilam ndo dini ya kweli kabisa
@ccmmbweawajangwani35055 жыл бұрын
Amzaha yuko vzr hao wanachobishana nikukupinga kuwa ww sio nabii je mungu siku akija utamjuwa
@nooor11204 жыл бұрын
Hmn nabii kwa sasa musidanganyane kanisani na nguvu zenu za giza hizo
@kitotaabdillahi46096 жыл бұрын
We pumbavu Mtume siyo mwislam wa kwanza. Qur’an inasema Uislam ulianza tangu Adam. Qur’an, 22:78.
@habibamsabi25796 жыл бұрын
Abdillahi Kitota X
@benueniinnov78556 жыл бұрын
acha kujidanganya
@mwajumafadhily77126 жыл бұрын
Kitota Abdillahi acha kupanik kwan ungesema umeanza tangu Adam!
@moseshaule78256 жыл бұрын
tupe aya
@flowjowi87216 жыл бұрын
Mwajuma Fadhily haha ati Adam hahaha uwiii! Nacheka. .. blind follow the blind.! Pharasee!
@ramadhankiponza67306 жыл бұрын
Mwenye Elimu Utamjuwa Ata Kwa Muonekano Tu. Sheikh Diwani Weye Ni Mwenye Elimu Kubwa Kuliko Huyo Mganga Njaa Hamza. Ufafanuzi Wako Tu Na Unavyoyapokea Maswali Ya Hamza Unaonyesha Kabisa Yakuwa Weye Ni Mwenye Elimu. Allah Akulipe Kheri.
@philiposimon8606 жыл бұрын
daaaah kweli shekhee Hamza unaongea points tupu,
@hamidaawadhi8355 жыл бұрын
Huyo sio Sheikh
@jadilaraphael36686 жыл бұрын
asante sheikh, bora umtoe ujinga sheikh mwenzak
@nancymvunyi49966 жыл бұрын
hamza songa mbele.. amin unachoamini wasioamini bdo Muda wao haujafika na wao IPO Siku mungu atawafungua watambue ukweli ni upi...
@akeem12215 жыл бұрын
Yesu alipokuwa matumboni mwa mamake , nani aliongoza dunia? Kama Yesu (mungu) alizaliwa je alikuwa akinya na kujikojolea ovyo ovyo.
@steventitus21745 жыл бұрын
Je mtumewenu mzinf
@steventitus21745 жыл бұрын
kila atakalo lifanya alikua anaongozwa namajini je atakua nimtume uyo au jin
@hamishasan77375 жыл бұрын
Hata daso alifungiwa alijinyea na kujikojolea kama mm hapa
@hansiselemani80255 жыл бұрын
Steven Titus mtume hakuwa mshrikina nyiny mnafundishwa kuuchukia uislam ,,ndoman ulay wameujua ukweli kla kkicha wanaslim
@Mpakauseme5 жыл бұрын
@@hansiselemani8025 ulaya unapajua wewe ulaya ktk nchi gani ulaya ni bara .. nimeishi Austria ,Salzburg makanisa nimengi zaidi misikiti unaesabu kwa tochi labda Uturuki kwa ndugu zenu najua hiyo ulaya yako Amerika na Asia na maisha yangu nafanya japan auniambi kitu ... Baadhi ya nchi za ulaya wakimbizi ndio wanakuja na mambo ya kislamu unayumba wewe ... Mnayumba na majini kila kukicha
@partnersah88022 жыл бұрын
Nawasiwasi na tafsiri zetu sisi wanadamu. Mimi naimani ninachokiamini ambacho Mwenyezi Mungu ananifunulia nikifuate. Basi ninapokosa Yeye ndiye mwenye kunisamehe na ndio mwenye kunihukimu.
@kijuuborongo64056 жыл бұрын
Kati ya wote HAMZA ndio msomi kuliko wote
@seifzongo3205 жыл бұрын
Kwer
@fathiasaed47385 жыл бұрын
Kijuu Borongo exactly
@apostlesammymutachicfc.37445 жыл бұрын
Huyo Yesu Kristo ndie nyinyi mumkubali kuwa mwokozi wenu, inatosha.
@fredrickfrancis70046 жыл бұрын
Ukweli utabaki kuwa ukweli mm ndiyo nuru ya ulimwengu aniaminiye na kunifuata atapata uzima wa milele Yesu ndiye nuru na uzima
@mgeniali17685 жыл бұрын
😐pole sana mbona nyinyi mloo na uzima wa milele mbona mwafaa?
@janetsemahimbo80835 жыл бұрын
Uzima uelezwayo sio uzima wa hapa duniani. Wote tutakufa ila kule tutakakokwenda baada ya kufa ndiko kwenye uzima wa milele endapo utakuwa umempokea Yesu kama ni bwana na mwokozi wako.
@mgeniali17685 жыл бұрын
Inna hillah wa innallilah hamna yesu atakae wapoke katika kabuki ndungu tulikuja kwa jalia na tutarudi kwa jalia utakayo yachuma ndio utakayo kwenda nayo hamna atakae kutetea wala ukifa hauonani na mtu yoyote isipokuwa malaika peke siku ya kukutana ni siku ya malipo na pia mola wetu mlezi hazidishii mtu dhambi yote utakayo yapata kwenye hesabu yako kumbuka umeachuma mwenyewe wala yesu haja watuma na atawakana madai munayo zusha kwa sasa
@salmaothman1535 жыл бұрын
@@janetsemahimbo8083 mungu pekee ndo atakupa uzima wa milele yesu hana uwezo huo hakuna musilaam utakaemdanganya upo yesu ni mtu kazaliwa kama ww waongo wakubwa nyie
@sammarley14135 жыл бұрын
Frederick ilikuaje sasa yesu akapigwa misumadi nanyundo ? Yesu alikua fala tu hata watu wake wakaamua kummaliza AMA issa yy aliku nabi wamungu
@jawadimwalim36346 жыл бұрын
😀😀😀😀 duuuhhh kwa majibu ya hamza nimeamini kabisa hana faham kwa kile anacho fundisha wala kukisema
@munaseif97696 жыл бұрын
amza amka usiku uswali sunti tasbihi umuombe msamaha mungu 😂😂😂 duuuuh hyu pesa zinampotosha
@hajiabdalla39926 жыл бұрын
Huyu hamza nja inamsumbua kwaza ape we chakula
@samgchannel45476 жыл бұрын
muna seif Yesu ndiye njia na mwokozi wa ulimwengu
@hasnaa88686 жыл бұрын
Xubuhanaallah
@ramadhanmussa63186 жыл бұрын
Hamza ni kafiri Tena dajaal miongoni mwa madajal 30
@hawagondwe20566 жыл бұрын
Hamza amenunuliwa subhanallah tusomeshe watoto wetu wamjue Allah
@mussajerico69424 жыл бұрын
Hamza upo sahihi100%
@gabrielisack77866 жыл бұрын
mwenye kuelewa ameelewa ila Yesu atadumu Milele na Milele
@florrakaneza43886 жыл бұрын
gabriella isack Amen
@jumaramadhan78056 жыл бұрын
Yesu yup unamjua ww
@jaggaludegula68266 жыл бұрын
Amina baba
@salamahemed75956 жыл бұрын
Allha s.w awapanye hamjui mliongealo
@dadisky48766 жыл бұрын
Amin akuna alie kawa yesu kristo
@MosesLewa9 ай бұрын
Shekhar Hamza is a truly man of God: 1. Shekhar Hayek upended wowote anatafsiri ukweli wa dini,haswa mahali waislam wanapotea! Msisahau city vya dini viliandikwa kulingana na Marsha na Swallah za karne izo more than 600 years back. Kiukweli Maisha imebadilika unafaa utafsiri vitaly Vyadini kulingana na karne ama nyakati tulizo...
@vuaimuhidin63216 жыл бұрын
nampongeza sana askof hamza kwa kutaka tambua ukweli
@shaibushaaban15385 жыл бұрын
Wallahi dini yakiislamu ingekuwa yakukopi ingeshapotea zamani naona watuhawalali mpaka Quran, feki wanatoa lakini wapi kweli kafili nikafili tu
@ammonyalistides66386 жыл бұрын
Jesus is over all things
@abdularuffin93083 жыл бұрын
Qur'an imejitosheleza mungu ameeleza haina shaka hamza umepotea rudi kwa allah subhanna
@سليمانعمر-ع9ذ6 жыл бұрын
Mi kwa Rai yangu naona ndugu diwan unapoteza mda wako
@yassinm695 жыл бұрын
Haujamuelewa that's y
@JacksonMusyoka-s2y10 ай бұрын
Finaly it is happening. Masihi anakuja na hukumu ya kweli na haki wapendwa. Hamza nakubaliana na wewe sio kwa Ukristo jina au Uislam jina tu masihi is coming back. "Abba Father"
@nevillesitta96546 жыл бұрын
yesu ni bwana ndiyo atakuja kukomboa ulimwengu
@mgeniali17685 жыл бұрын
Kesho au
@mosesoumaowiti37595 жыл бұрын
Rafiki Hamza unaufunuo nzuri sana lakini haitakufaidi kwasabu unahubiri Kristo lakini umekataa kutoka gizani (uislamu).Uislamu ni ushetani kwasabu tazama jinsi ibada hiyo ilivyo ya kidhambi, wanaua kwasabu ya imani hiyo ,wanapenda waislamu pekee nakuchukia wakristo,wanatukanana bila kuogopa mungu pamoja na mambo yaushirikina (majini). my friend believe in Christ and be saved .AMEN.
@abdallasaidalihome77015 жыл бұрын
Subiri ufe ndiyo utaelewa Uislamu ni ushetani
@heliudjulias77482 жыл бұрын
Amza yupo sahihi sana lazima utafakari neno ra Mungu kwamaarifa ario tujalia
@dennismataula2936 жыл бұрын
Yesu ni njia kweli na uzima ,alafu diwani anasema Yesu atarudi kama mtu ,hv kweli unaakili ,una tope ,alafu mwenyekiti simama kama mwenye kiti ,
@mawazoit80706 жыл бұрын
Dennis Mataula elewa msingi wa maandiko
@perrykemmy90456 жыл бұрын
Yesu ndie njia!
@abeidabbas93986 жыл бұрын
Ww si muislam hayakuhusu haya ww baki na yesu wako kumuona ni mengi
@florrakaneza43886 жыл бұрын
Dennis Mataula Kweli uko
@salimhahahaha.kilanga20276 жыл бұрын
Dennis Mataula.Kwani Yesu atarudi kama nani kimawazo yako? Duhh hatari!!!!!.
@buluush97416 жыл бұрын
mwenyekiti umefanya nicheke kwa sauti eti "shee yusuf diwan dadavua"😂😂😂😂
@aboudjuma5234 жыл бұрын
Allah alisema Qur'an atailinda yeye mwenyewe.
@japhetikongo4534 жыл бұрын
Hapa Bahati Mbaya Mwenyekiti upeo wake Mdogo Sana.
@hamisikulola84816 жыл бұрын
lengo la kuitwa Hamza ni kupigwa msasa unadhani atauchafua uislam atazamwe? sisi sio wakristo kila mmoja kaisoma dini
@jaliakamote54855 жыл бұрын
Sana
@ramadhanihossenitv6675 жыл бұрын
alah atupe njia ya kweli dini na viongoz wetu watatupoza kwakuupinga ukweli
@bernadethambilinyi82184 жыл бұрын
Haitaji kuchafua uislamu bali anahitaji kuitoa kweli iliyopo ili kila mtu awe huru nayo.
@saidsalim23865 жыл бұрын
Huyu Kikofia hajui hata Nahau, la nafiya na la nahiya hajui, huyu hakuja kwa hoja, amekuja madrasa, Sh. Diwani mfunze huyu kijana ilmu yake ni pumba saana, yuwabobokwa tu Hana ilmu yoyote. Hamza rudi ukasome bro uache ubishi, utaenda motoni ww, Sh. Diwani Allah akujazi kheri!
@emmanuelmajele58124 жыл бұрын
Amnza Yupo Safi namkubali Sana
@mramsayo10253 жыл бұрын
Hujielew inaonekana
@steventitus21745 жыл бұрын
Mwenyekiti nimbea avutia upande mmoja mkubalin Isa bn mariam
@kennedykiaka28586 жыл бұрын
Dah Mimi nasoma tu comment huku na ninazidi kujifunza kitu
@jumamnyage53956 жыл бұрын
mwenye kuifasir Qur ani kwa rai yake ajiandalie makazi yake motoni
@mrholela79065 жыл бұрын
Kama mm
@esaumahundi56472 жыл бұрын
Kweli askofu hamza.wape matendo 4:12.hakuna wokovu kwa mwingine yoyote ni yesu tu yeye ni njia ya mbinguniyohana14:6.uislamu umekuja juzi to miaka miasita ad yesu amekuja mwaka moja hadi.ni.miaka.elfu.mbili.na22.mungu hachangamani na uganga wala falak.as wao ndo waganga na.majini.wameshika.ugaga na uchawi hapo mungu hayupo.yako majini yaliyomwasi mungu
@benjaminkundy1284 жыл бұрын
Hamza ana IQ Kubwa sanaaa, ni mtu kati ya watu.
@jacksonke24254 жыл бұрын
Kweli
@nooor11204 жыл бұрын
Kwa asiejua anaina hivo lkn hana lolote anabadili tafsiri
@madetetv65762 жыл бұрын
@@nooor1120 toa tafsiri yako ww
@eunicemganyizi49806 жыл бұрын
kiu yangu natamani nyote mliokaa hapo mmkabidhi Yesu awe mwokozi wa maisha yenu maana hapana aliye muona Mungu pasipo ueye
@tommariam43936 жыл бұрын
Mpaka hapo huyi Hamza hayuko sawa kwa sababu Elimu inayotolewa hapo hata mtt mdogo angeelewa yy hajijui masikini yuko dini gani lkn kwa mujibu wa imani yake sio muislamu tena. Itabidi akae tena upya atafakari.
@abeidabbas93986 жыл бұрын
Tom Mariam huyu katumwa itakua si muislam kabisa
@tommariam43936 жыл бұрын
Yaani sijui haoni huu utukufu wa ALLAH! Maana M'mungu anatisha ktk qudra zake yaani ni msiba Mkubwa sana.
@tommariam43936 жыл бұрын
Abeid Abbas si ana vielementi vya kikafiri ktk wazazi wake mmoja si muislam lzm awe na wepesi wa kufanya machafu lkn kuna siku atajuta itakua ameshachelewa masikini!
@stevintitusmkoreaasijaribu69186 жыл бұрын
Tom Mariam mwenye kt apendelea mskilizen amnza sipia atoa kwenye msaafu nyie vp
@josephfrancis20756 жыл бұрын
stevin titus mkorea asijaribu ataumia hayana kazi za kufanya haya kazi kuzaana tu ndio mana mungu kayanyima ufahamu badala yasome yanakazi yakutaficri lugha za wa2 zakiarabu manyumbu wakubwa hawa
@priscahbosire43406 жыл бұрын
Yesu no mshindi
@nsjjsjdjjdjd8416 жыл бұрын
Mm naona huyu anakuja kusoma lkn hataki kusema kama nataka kusomeshwa
@khamislee96146 жыл бұрын
Nsjjs Jdjjdjd wallah wewe umefikiria vizuri sana yaani kitu kama hicho🤣🤣🤣🤣
@ashaomary11696 жыл бұрын
Nsjjs Jdjjdjd ha ha ha
@salmajuma40155 жыл бұрын
Kabisaa siasemetu
@vanlago75805 жыл бұрын
Akisema ataonekana mjinga hataki kujishusha kuna mjinga anayetaka kujua,kuna mbumbavu anayetakakujifanya anajua kumbe hajui,hamza tumueke kundi gani,mjinga au mpumbavu?
@kibeginiblue71883 жыл бұрын
Sheikh Diwani upo sahihi kabisa na auwez kuwa na Iman thabiti bila mitihani
@mfaumeshabani79006 жыл бұрын
mashekh uyu hamza katumwa sio bure
@salimmasongo26255 жыл бұрын
Sioni majibu hapo
@tygvaljii22435 жыл бұрын
Yesu Ndoy Kila kitu Kwa sisis binadamu
@hudhud20225 жыл бұрын
Msiseme muongo nyie kumfanya Yesu ndio kila kitu
@hudhud20225 жыл бұрын
Santa Sheikh wetu uko sawa kabisa
@hudhud20225 жыл бұрын
Taabu hawafahamu ikisha ni kujidai kama wanajuwa kamkawaida yao ba hawakubali kama hawajui ubabe tu
@عليجبار-ن3ي5 жыл бұрын
Washapigwa muhuri wa motoni hao
@emmanuelmsigwa7146 жыл бұрын
waisram aminn Yesu atakuja kuuhukum ulimwengu ,nakama ndio,bac aminn kuwa Yesu ni Mungu ,kwakuwa mtoto wa binadam ni binada wanyoka ni nyoka.Na Yesu ni mwana wa Mungu bac aminn kuwa mwana wa Mungu ni Mungu.
@ameknews23156 жыл бұрын
Pia yy ni mtoto wa mariyam na maryam ni binaadamu basi naye ni binaadamu
@fathiasaed47385 жыл бұрын
Yani huyu Mwenye kiti ana vyo mtaja yesu kwamazarau mungu amsamehe bule ajui jina la yesu nikubwa kwakiasigani ajui nguvu iliyo ndani yajana hili
@shadrackhaahmad36735 жыл бұрын
Nawe akusamehe kwa kujichubua
@Mpakauseme5 жыл бұрын
Masikini jeuri huyo
@hassanhaji52474 жыл бұрын
Jana kweli
@seifzongo3205 жыл бұрын
Shekh Hamza ww hatar yaan umepiga mashekh wote mpaka mwenyekit kaingilia Kat ,mm naona anachokosea Hamza n kujita mtume lakin hayo mengne n kwel tupu
@rashadkipingu51094 жыл бұрын
Yaani waitwa seif afu unamambo ya kikafiri dah on aibu muda bado upo badilika ujchlwa
@hamisikulola84816 жыл бұрын
John 5:30 sifanyi kitu chochote bali nahukumu Kama nisikiavyo na Hukumu yangu ni ya haki kwa kuwa sifanyi haya kujinufaisha bali kwa yule aliyenituma. Tatizo la Hamza anakurupuka na maswali ya chekechea
@isackbaton97596 жыл бұрын
Yesu kristo ndio mkombozi full stop
@nazonahdi99935 жыл бұрын
Isack Baton ndungu yangu chambuwa qurani na bibilie usimzikile mtu wala askofu alafu utajuwa ukweli
@gabrielsaelie80917 ай бұрын
Kaburini mtu ikifa hajui lolote yupo amelala anamgoja hukumu siku ya kiama.
@godwinchengula36216 жыл бұрын
Hakuna mwenyekiti hapo ansimamia upande moja
@ramadhanihossenitv6675 жыл бұрын
Godwin Chengula kweli
@Mpakauseme5 жыл бұрын
Kabisa 😂😂😂😂 mwenyekiti kafungisha
@chuchubena70224 жыл бұрын
Huyo hamza ni mkiristo aliesoma uislam sasa hapo anasumbua tu watu vichwa chizi hyo mchukuen ndugu yenu
@allynicco460710 ай бұрын
Nenda wewe
@hamisikulola84816 жыл бұрын
Ibrahim bakozi uko juu
@lennygeorge91656 жыл бұрын
Nimependa nguvu ya Yesu inavyowapa taabu ad mnabishana niny kwa ninyi
@mnhamy7495 жыл бұрын
Kwanza huyo sio katika sisi, pili huyo ni tapeli tu. Search video hii: cWDMDx62DRI Copy hizo herufi halafu search kwenye KZbin au Google.
@stanslausmteme84554 жыл бұрын
Hamza yupo vzr na ni msomi kuliko sheikh diwani
@nooor11204 жыл бұрын
Aaa wapi
@josephharri90156 жыл бұрын
TUMKIMBILIE YESU MAANA NDIO NJIA SAHIHI, TUIFUATE BIBILIA MAANA NDIO NENO LA MUNGU
@rashidabdallah36586 жыл бұрын
Njoo
@kaizanalysis92846 жыл бұрын
wewe mwenyewe huijui bibi lia unafata mkumbo tu naushabiki
@tomjuma76795 жыл бұрын
Yesu ndio njia ya uzima
@salmaothman1535 жыл бұрын
@@tomjuma7679 😂😂😂😂😂😂😂tumulize yesu eti ww njia ya kwenda wapi
@mgeniali17685 жыл бұрын
@@salmaothman153 Yemeni 😅😅
@masigirinooma70176 жыл бұрын
Uko sawa amza
@abdulazizmaiga90022 жыл бұрын
Mashaallah i love my religion
@saidmughery3572 жыл бұрын
Alhamdulillah. But to be honest the chairman was not at all fair. The rest is ok. That false prophet can only fool Christians and some very weak Muslims.