SHEIKH WALID AMALIZA MGOGORO WA MUDA MREFU MSIKITI WA KIGOGO ISLAH, "HAKUNA KUPIGANA MAPANGA TENA"

  Рет қаралды 20,773

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

Күн бұрын

Follow Us On:
INSTAGRAM: / miladu_tv
FACEBOOK: / babdeo miladu/
TIKTOK: www.tiktok.com...
KZbin: / @babdeomiladu

Пікірлер: 64
@bentybenty2343
@bentybenty2343 Жыл бұрын
Masha ALLAH sheikh Walid,ALLAH akuhifadh 🤲🤲🤲
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 Жыл бұрын
allah ametuamrisha ... 'shikamaneni katika kamba moja ya uislam na wala tusifarakane'
@maarufumustwapha3055
@maarufumustwapha3055 Жыл бұрын
shekh warid Allah akupe uumri mrefu
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 Жыл бұрын
Mashaalah sheikh wetu una bodyguard 👍👍
@bentybenty2343
@bentybenty2343 Жыл бұрын
Tabarakallah
@mokitaa8750
@mokitaa8750 Жыл бұрын
ALLAH AJALIE HUO MSIKITI WETU UTULIZANE UWE NA AMANI UPENDO KWA VIONGOZI NA WAUMINI MILELE DAIMA INSHAALLAH
@bentybenty2343
@bentybenty2343 Жыл бұрын
Allahumah Amiin 🤲
@princesaha3262
@princesaha3262 Жыл бұрын
Aaamin
@zahorrashid3916
@zahorrashid3916 Жыл бұрын
مَا كَانَ لِلْمُشْرِكِينَ أَنْ يَعْمُرُوا مَسَاجِدَ اللَّهِ شَاهِدِينَ عَلَىٰ أَنْفُسِهِمْ بِالْكُفْرِ ۚ أُولَٰئِكَ حَبِطَتْ أَعْمَالُهُمْ وَفِي النَّارِ هُمْ خَالِدُونَ Haiwi kuwa makafiri ndio waamirishe misikiti ya Mwenyezi Mungu, hali wanajishuhudishia wenyewe ukafiri. Hao ndio ambao vitendo vyao vimeharibika, na katika Moto watadumu. Mtu wa ccm democrasia leo hii ndo kiongozi zaidi ya msiba
@RajabAdam-p4s
@RajabAdam-p4s 8 күн бұрын
Huna hoja hyo aya umeiweka tofaut na makxdio
@AhmedMohamed-ew5qx
@AhmedMohamed-ew5qx Жыл бұрын
Jambo jema ulolifanya kaimu sheikh Wa mkoa Allah akuongoze.
@husna34562
@husna34562 Жыл бұрын
Mashallah tabarakallah
@AndulHida-hs5py
@AndulHida-hs5py Жыл бұрын
Barak Allah feeq, Jazzak Allah kheri.
@princesaha3262
@princesaha3262 Жыл бұрын
Allah alete kheri!! Ila msikiti huu njaa zimewajaa watu na si sababu ya kuwa sadaka zinaliwa!! Ila tuu kuna watu Wanataka kuutumia msikiti kwa maslahi yao!! Na ili biashara zao ziende!!
@husseinkazungu5101
@husseinkazungu5101 Жыл бұрын
Masha ALLAH shukran sheikh
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Жыл бұрын
MASHA ALLAH 🇰🇪💚💚💚
@bentybenty2343
@bentybenty2343 Жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪❤
@user-ko4dx7ce8p
@user-ko4dx7ce8p Жыл бұрын
inshaallah kher tuone khatma ya msikiti itapofikia amani ndo muhimu ndani ya msikiti watu wapate kuabudu kwa utulivu inshaallah
@yahya_myemen
@yahya_myemen Жыл бұрын
Mashaallah
@salminabuhudhaifa4273
@salminabuhudhaifa4273 Жыл бұрын
Allahu baarik🤝
@MohamedMjenga-vq8vc
@MohamedMjenga-vq8vc Жыл бұрын
Kua na mlinzi ni jambo la kawaida ikumbukwe uyo ni kiongozi ngaz ya mkoa pia alikua yupo kutatua mgogolo
@user-ig3br7jv8t
@user-ig3br7jv8t Жыл бұрын
Masha Allah
@omarisadallah5695
@omarisadallah5695 Жыл бұрын
Mashallah
@yahya_myemen
@yahya_myemen Жыл бұрын
@fadhiliali4463
@fadhiliali4463 Жыл бұрын
Allah ajalie kher tangu 2009 hata Hadi leo haujatulia
@azamajid9530
@azamajid9530 Жыл бұрын
MASHALLAH
@MbarakaMakamba-bx3nn
@MbarakaMakamba-bx3nn Жыл бұрын
Ok vizur sn sheet wetu
@chaleboymusician528
@chaleboymusician528 Жыл бұрын
Sadaka zngekuwa znatumika vizur kungekuwa na vyuo vikuu vingi hospitali vyuo vya ufundi lakini zinatumika vibaya wengine wanaokosa mgao ndo unaibuka ugomvi
@mwalimuathumani4759
@mwalimuathumani4759 Жыл бұрын
Kwahizi pesa zakofia?
@salma0000
@salma0000 Жыл бұрын
Waumini wa dini nyengine wanaojenga hospitali na vyuo hawategemei sadaka za waumini wao, hua wanagaiwa mabilioni ya shilingi na serikali ya ccm
@MohamedMjenga-vq8vc
@MohamedMjenga-vq8vc Жыл бұрын
Akuna msikiti mdogo duniani sbb mahali popote pa kumcha mola ni pakuu
@jumamarley7964
@jumamarley7964 Жыл бұрын
Aslam aleykum?sielewi huyo kijana Sharif ndio amekuwa mlinzi wa sheikh wetu
@AndulHida-hs5py
@AndulHida-hs5py Жыл бұрын
1:24 1:26
@user-gw5tq8hr6f
@user-gw5tq8hr6f Жыл бұрын
mwenyezi akuzidishie shekh alhadi umejaliwa hekma
@bentybenty2343
@bentybenty2343 Жыл бұрын
Amiin Thumah Amiin
@salhidsalhida4151
@salhidsalhida4151 Жыл бұрын
Huyo mlinzi mbn mfupi anyone khatar ikitokea
@user-dz1gd9bv3j
@user-dz1gd9bv3j Жыл бұрын
Nauliza to kutaka kujua cna maana tofauti je MTUME S.A.W nayye alikua na bodyguard?
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 Жыл бұрын
Kiupande mwengne alikua nao wakiwemo maswahaba zke sbbu alikua akiviziwa pia yy
@mohamedsultan4658
@mohamedsultan4658 Жыл бұрын
Hata suddes lmam wa makka ana mabodyguard mamb madogo hayo kun mamb mengn yap ya kuuliz unachouliz we ni nongwa tu
@mbaroukkhalifa8035
@mbaroukkhalifa8035 Жыл бұрын
Ndy alikua nao kina abu bakar Omar bin khatwab na wengine kwasababu alikua na maadui wengi
@silimakhamis7088
@silimakhamis7088 5 ай бұрын
Sayyidna Othman alikua nae
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
Mmmmm 🤔🤔Kumbe misikitini nako kunakuaga na masilahi? Hadi watu wanapigana. Jamani kwa الله siku ya mwisho kuna kivumbi kwakweli.
@Kalaharidesertstorm
@Kalaharidesertstorm Жыл бұрын
mshafanya misikiti kuwa chama 😅😅😅
@salma0000
@salma0000 Жыл бұрын
Ccm hiyo
@TheAmadoni
@TheAmadoni Жыл бұрын
Sheikh Bodyguard wanini ndani ya Msikiti !
@binlubawa8387
@binlubawa8387 Жыл бұрын
Kwani hairuhusiwi msikitini kuwa na bodyguard?
@user-kd2cl4fw8b
@user-kd2cl4fw8b Жыл бұрын
Bodyguard lazima maana kunawengin vichaaa
@dr.abdallahngenya9780
@dr.abdallahngenya9780 Жыл бұрын
Alienda kuamua ugomvi hapo upande mmoja unaweza usikubali ukaleta shida
@imamurawdhwah1035
@imamurawdhwah1035 Жыл бұрын
Tatizo nini kwani
@mayaally2512
@mayaally2512 Жыл бұрын
Yaan mtu mmoja aharibu kikao cha kheri na kamuasa subiri ?? Kuna wakubwa kuliko huyo aliyotolewa mbona wametulia ?
@PilyAly-ll8fz
@PilyAly-ll8fz Жыл бұрын
Msikiti wenyewe mdogo lakini unawatoa roho
@mwalimuathumani4759
@mwalimuathumani4759 Жыл бұрын
Ww muislam punguza ukali wamaneno utakwenda kuyakuta kwa allah
@PilyAly-ll8fz
@PilyAly-ll8fz Жыл бұрын
@@mwalimuathumani4759 sasa kwani nimemtukana mtu hapo kweli wangekuwa na msikiti km wakichangani je? SI ingekuwa balaha
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Жыл бұрын
WAISLAM MUKO NA MATATIZO NCHI HII MNAGOMBANIA MISIKITI WAGALATIA WAKO PAMOJA KUTENGANISHA UMMA VERY SAD
@medimisi6930
@medimisi6930 Жыл бұрын
allah kasema mtawaona makafiri kama wako pamoja kumbe nyoyo zao tofauti hivyo hawawezi kuwa wamoja broo. kikubwa tushikamane waislamu tuacheni mabidaa. kua makni broo na coment za dini.
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Жыл бұрын
@@medimisi6930 AFWAN
@rahmaabubakarisaanatu1961
@rahmaabubakarisaanatu1961 Жыл бұрын
MUONGO mkubwa ww wagalatia kila kukicha mnafungiana makanisa kwa hz hz sadaka unafikiri bando unalo ww tu . Acha unafiki.
@medimisi6930
@medimisi6930 Жыл бұрын
@@rahmaabubakarisaanatu1961 sasA c nimekuambia kua allah amesema hawako kitu kimoja mioyo yao tofauti ni hii ni kauli ya allah sasa mtu anakataa nn na hii ni kauli ya allah
@annassuleiman4508
@annassuleiman4508 Жыл бұрын
​@@medimisi6930hiyo aya umeitafsiri vibaya ndugu. Inahusu vita. Wanapokuwa vitani utadhani kama wako pamoja lakini mioyo yao iko Mbali mbali. Ila Waumini wanapokuwa vitani wanapigana safu safu kama Ukuta mmoja huku na mioyo yao imeshikamana barabara
Exclusive:Huyu ndio Sheikh Walid Alhad Kipenzi cha wengi
26:00
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 8 МЛН
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 16 МЛН
she mselem mbona inakua ivo sasa
24:21
KASFAT TV ONLINE
Рет қаралды 45
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 99 М.
SHEKH WALID AP0KELWA KWA DHIKRI NZITO NA MASHEH KUTOKA ZANZIBAR
10:45