UCHAWI WAZIWAZI MASOUD AFANYIWA WAKATI ANASOMA QURAN, AMUONA NA KUMTAJA, MAULID MASJID MANYEMA

  Рет қаралды 15,612

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

Күн бұрын

Пікірлер: 113
@OmaryJuma-mb1lu
@OmaryJuma-mb1lu 2 күн бұрын
MASHAALLAH mwalim wangu allahumma baarik
@HadijaOman
@HadijaOman 2 күн бұрын
Mashaallah shekhe wetu
@abdulchibubu8250
@abdulchibubu8250 2 күн бұрын
Kw kweli tang bingwa masoud arud wasomaj weng hawapat nafas za kusom katik hafla ila cwez kusem kwel au uwong allah nd mweny kujua
@victorterry227
@victorterry227 Күн бұрын
Masha-allah
@الزغويالزغوي-ض3ن
@الزغويالزغوي-ض3ن 2 күн бұрын
SIKATAI KUA INAWEZEKANA LAKINI KAMA UME NUSURIKA BASI MSHUKURU ALLAAH KISHA KAA KIMYA, KUSEMA HIVYO UTA WATIA WATU DHAMBINI KWA KUTUHUMIANA
@shabanimsafiri8267
@shabanimsafiri8267 2 күн бұрын
kwa maslahi mapana ya dini yetu hii clip msingeipeleka mjini
@hamzaomary9983
@hamzaomary9983 2 күн бұрын
Kabisa, haikua ya kupost
@Nuru_Maftah
@Nuru_Maftah 2 күн бұрын
Exactly, sio kila kitu cha kupost jamani vitu kama ivi vinaleta shida sana.
@HussainMaula-f9b
@HussainMaula-f9b 2 күн бұрын
Allha atakuhifazi mwalimu wetu masood umetufundisha hata tusiokufahamu
@abdallahsalum9350
@abdallahsalum9350 2 күн бұрын
Amina
@SalamaAdam-jn7rn
@SalamaAdam-jn7rn Күн бұрын
Ndugu zangu hizi simu kama hatuweza kuzitumia vizuri tutakwenda kujijutia kwa Allah. Watu wanasema kitu wasichokijua na kutukana kashma . Pata ukweli wa jambo Kisha Sema sio kila nilotoka kichani mwako ni sahihi chafu tumuogope Allah .tuendele ku comments kwa nafsi zetu tutakuta kwenye vitabu vyetu
@fahadfahmy
@fahadfahmy Күн бұрын
Sheikh Jongo namkubali sana
@jumamohamed4808
@jumamohamed4808 2 күн бұрын
Allah atakulinda kwa rehma zake
@HatibuRajabu-p5q
@HatibuRajabu-p5q Күн бұрын
Mashallah
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 күн бұрын
Mirungi nayo siyo nzuri.vijana wengi wa temeke mnajania sana
@hadibjumbe
@hadibjumbe 2 күн бұрын
Haya ndio mambo ya kisufi.
@mokitaa8750
@mokitaa8750 2 күн бұрын
SUBHAANALLAH
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 күн бұрын
Acha kujishuku bwana mdogo.Sauti imekauka kwa sababu ya kunywa maji baridi.
@hamidmussa838
@hamidmussa838 Күн бұрын
Mmmm!
@hassanndaro1766
@hassanndaro1766 2 күн бұрын
Nimesoma commenti za walio wengi nimegundua Kuna watu wanahasadi na ust masoud adam Kisa watu wao hawapati nafasi ya kusoma Hizo hasadi Acheni Huyo bingwa na mwalimu wa hao mnaowataja mpeni heshma yake ....
@TwalibuPango
@TwalibuPango 2 күн бұрын
Walwahu warasuli aaalam
@nassorokoba9161
@nassorokoba9161 2 күн бұрын
KAZI na umri
@Walkmwalkm
@Walkmwalkm Күн бұрын
Sauti km hio yataka pumzi hamna uchawi wala kurogwa
@JumaBinAbdallah
@JumaBinAbdallah 2 күн бұрын
Wacha chuki ndugu yangu, Masood ana soma vizuri Sana,
@SuleimanAbdallah-jb6sx
@SuleimanAbdallah-jb6sx 2 күн бұрын
Hamna lolote ni ugonjwa ambao utaona vitu ambao havipo. Hutokamana na kuchoka kwa akili au mzongo wa mawazo. Yenyewe Quran ni Kinga halafu vipi akujie ulomuona ? Allah hasemi urongo. Mwisho hilo jipete vidoleni ndio maruhani wako wenye kukusumbua.
@hamzaomary9983
@hamzaomary9983 2 күн бұрын
Hao mliowataja hapo juu hakuna wakum challenge Masoud Adam ktk Fani hii. Wote hao huomba maarifa toka kwake...mpeni pole kwa lililomkuta acheni hasadi
@hamadrashid5140
@hamadrashid5140 Күн бұрын
😂😂😂😂😂 haya
@shekhsamiudinonlinetv8272
@shekhsamiudinonlinetv8272 Күн бұрын
Anataka kuwa mganga huyu ameuonaje uchawi ikiwa mtume alifanyiwa bila kujua hadi akafahamishwa na Allah kupitia malaika wake? Akubali hata umri umemtupa halafu jaman acheni ushabik kwenye dini muogopeni mola wenu msitafute kiki hadi misikitini
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t 2 күн бұрын
WAISLAMU WOTE TANZANIA NZIMA....MASHEKH BAKWATA WA MIKOA...MASHEKH BAKWATA WILAYA NA VIONGOZI WOTE WA TAASISI ZA KIISLAMU TANZANIA PAZENI SAUTI ZENU NA KUMWAMBIA SHEKH MKUU MUFTI WA TANZANIA SHEKH ZUBEIR 'AACHE NA AONDOE' HIZO PICHA ZAKE ZOTE KWENYE MAULID MBALIMBALI....EWE SHEKH MKUU MUFTI ACHANA NA HII TABIA YA KUWEKA AU KUWEKEWA PICHA ZAKO KWENYE SHUGHULI ZA DINI KAMA HIZI MAULID ZA UZAWA WA BWANA MTUME MUHAMMAD S.W. MWENYEZI MUNGU MTUKUFU 'HAWAPENDI' NA 'ANAWACHUKIA' WATU WENYE 'KUJIFAHARISHA'....MBONA MASHEKH WAKUU NA MAMUFTI WALIOPITA HAWAKUFANYA HAYA MAMBO YA KUWEKA PICHA ZAO KWENYE HAFLA ZA KIISLAM....MBONA MASHEKH NA WANAZUONI NA MAULAMAA WAKUBWA WALIOPITA NA WALIOPO HAWAFANYI HAYA MAMBO YA 'MAPICHA'....EWE SHEKH MKUU NA MUFTI WA TANZANIA....JISAHIHISHE NA UOMBE TOBA KWA ALLAH S.W.
@Ibnulpuga
@Ibnulpuga 2 күн бұрын
Ishi zama zako yaliyopita unataka yafanyike leo
@abdulsakibu
@abdulsakibu Күн бұрын
Acha dhana mbaya, nani alokwambia picha zake zinawekwa kwa ajili ya yy kujifakhrisha? Tubia ww ulomjengea dhana mbaya halafu pia soma matumizi ya celebrities katika kuhamasisha jambo ili kupata muitikio mkubwa means mufti ni kielelezo cha watu wengi anaowaongoza nyuma yake kwahyo target pia ni wale alonao nyuma yake ukiwemo ww
@AthumaniAmiri-fv5zp
@AthumaniAmiri-fv5zp 2 күн бұрын
Tujitahidi kihifadhi quran bas Sura ndogo tu iyo ammy mpk utazame kwenye simu😂
@amaxyz138
@amaxyz138 2 күн бұрын
subhanallah huna la kusema mpaka utie ila jambo hata kama ni jambo la kheri ungenda wewe tukakuona vile wasoma na hifdhi yako badilisheni tabia hizo
@saidimpako5186
@saidimpako5186 2 күн бұрын
kusoma kwakuangalia ni bora kuliko hifdhi nenda kaulize mashekhe zako
@rjqaasam4587
@rjqaasam4587 2 күн бұрын
Kuwa na Adabu wewe
@choggysly3541
@choggysly3541 2 күн бұрын
Usilete utoto kwenye masuala ya Quran ,sura ndogo ndio ipi ...Na pia kuangalia haina maana mtu hawezi soma pasi na kuangalia
@AthumaniAmiri-fv5zp
@AthumaniAmiri-fv5zp 2 күн бұрын
Wacheni utoto masudi ni qari wa fanni Nikicho kisema anatakiwa ajitahidi ahifadhi na sijasema kama anakosea kusoma kwa kutazamA Mbona mmehemkwa bila kutazama nilicho andika
@abbaskhamis3407
@abbaskhamis3407 Күн бұрын
Anabebwa tu lakini huyu jamaa hastahili kusoma maneno ya Allah naipo siku atajavua nguo hadharani ili mashekh munao mbeba kwasababu yajina mupate aibu muda wake umeisha
@shawwalmsati3405
@shawwalmsati3405 Күн бұрын
Hivi kusoma kwake maneno ya Allah kipi kinachokiuka hapo?? Maana hapo kavaa stara, kakaa pahala pazuri na kasoma Quran, ni kipi ulichokiona kakikosea?? Au unabeef nae ndo maana wasema hvo
@hajimtandua7574
@hajimtandua7574 2 күн бұрын
acha kiki aya uo uchawi ww umeuonaje na aujakupata
@elimikanamadrasa5490
@elimikanamadrasa5490 Күн бұрын
Hapo chacha
@binmahmoud2821
@binmahmoud2821 2 күн бұрын
Hekima iko wapi? Alie fanyiwa uchawi ilikua ni kheri kwake kukaa kimya. Lkn pia anie record ilikua ni bora zaid kutopost tukio hili lenye kutia aibu katika dini yetu.
@sukicgermain8135
@sukicgermain8135 2 күн бұрын
Uchawi ni siri pengine Kipo alichokiona jaman
@hassanndaro1766
@hassanndaro1766 2 күн бұрын
Mchawi anaingia msikitini itakuwa hapo hadharani Hata mienigemtaja
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 2 күн бұрын
uyo mchawi yuko wapi?? Dini yenu ikidharauliwa mnakenua meno,,ila wahusika mnacheza nayo..
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 күн бұрын
mrtatajana wote!!maana mnafahamiana!!mbona hamkuja na mshirikina wenu SULE na SHARIFF FIRADAUS awape ulinzi!! Mnauchafuwa uisilam!!
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 күн бұрын
Wewe una comments nini
@elimikanamadrasa5490
@elimikanamadrasa5490 Күн бұрын
Wachawi wamegunduana 😂😂
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 күн бұрын
Uskute ata vitenguzi vya udhu havijuwi
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 2 күн бұрын
Kenge ww mpuuz Mmoja
@abdillahalburhaan2557
@abdillahalburhaan2557 2 күн бұрын
Dooh bas huyo bhn ypo vzr sanaa usj ukaon kaish nje bure ht mim nlikuwa namuon kawaid ila anajuw we jikoroge kenge ukaone hilo balaa
@habil6545
@habil6545 Күн бұрын
Kama anavijua unajua hii kauli yako itaku-cost kiasi gani siku ya kiama?
@salehislem671
@salehislem671 2 күн бұрын
Acheni upumbavu nyinyi....huo uchawi wa vp ss...kwani kuna mtu asiye mjua masoud Adam kama ni majnun😊
@Marjeby
@Marjeby 2 күн бұрын
😂😂😂Kila siku huwa nasema Masoud ana matatizo ya akili watu huwa kama hawaniamini eti kuna mtu kanitupia sihri nimemuona upumbavu wa mwisho kabisa mbele ya hazara kama hiyo na mbele ya mufti wao unaongeaje utoto huo
@hassanndaro1766
@hassanndaro1766 2 күн бұрын
Kila mtu na tabiya yake mwengine hawezi kukaa na jambo moyoni
@SadickMussa-g6h
@SadickMussa-g6h 2 күн бұрын
Makhulafi hawana tawhiid
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 2 күн бұрын
Leo umeshindwa mpuuzi wee uscheze na Qur'an​@@Marjeby
@abdulchibubu8250
@abdulchibubu8250 2 күн бұрын
Shekhe usimtukan il kukosea ipo kw kil mtu
@mybabyarchive2104
@mybabyarchive2104 2 күн бұрын
BABDEO HAYUKO KWA AJILI YA DINI YUPO KWA AJILI YA TUMBO
@AllyMohamed-v2e
@AllyMohamed-v2e 2 күн бұрын
We uliye kwa ajili ya dini una nafasi gani hadi sasa.!?
@Kan332
@Kan332 2 күн бұрын
Kwa sababu wewe huli😂
@Hassanintandu-u7s
@Hassanintandu-u7s 2 күн бұрын
Wew duniani unafanya kazi gani kama si kulishughulikia tumbo tu
@josephmnzavas9747
@josephmnzavas9747 2 күн бұрын
uchawi waziwazi afanyiwa!!!!tangu anaanza kusoma sijaona namna uchawi alivyofanyiwa,uchawi ndani ya msikiti?
@Farheen-l7s
@Farheen-l7s 2 күн бұрын
ZAMA ZAKE ZIMEISHA ILA ANAJIKAKAMUA PIA NIMEANZA KUMUONA ANAANZA KUSHINDANA NA KINA RAJAI KWAMBA SIKU HIZI ANAANZIA JUU ILA WAPI MASOUD KAA CHINI JIFUNZE USOMAJI UPYA WA KISASA WA KINA RAJAI NA ANKO IDI KISHA PUMZI INAKATA ANAPUMUA KATI KATI YA AYA YA QURAAN
@HassanAlly-k2p
@HassanAlly-k2p 2 күн бұрын
Big up brother
@twaibuvarishtuvarishtu2220
@twaibuvarishtuvarishtu2220 2 күн бұрын
Ndugu yangu acha ushabiki huyu ni legendary kwenye qur an Kwa hiyo usimfananishe na chipkizi kak
@hassanndaro1766
@hassanndaro1766 2 күн бұрын
Acha ushabiki hao ulio wataja hapo hawafanani kiusomaji na masoud adam fatiliya visomo vya wasomaji duniani ndio utajua
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 2 күн бұрын
MashaaAllah amekaa sana kwenye ramani tokea miaka ya 95 hadi sasa ndio kaanza kuchoka hao kina rajai wameanza kupotea hata miaka10 hawajamaliza
@mybabyarchive2104
@mybabyarchive2104 2 күн бұрын
Wakina rajai washapotea
@HazardMjeshi
@HazardMjeshi 2 күн бұрын
Kwli hiii fainali
@maulidimanzi9964
@maulidimanzi9964 Күн бұрын
Kwenye fainal Hadi uchaw
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 күн бұрын
Hana lolote ametaka tu kujipaisha kwa kusema ameona uchawi hana uwezo wala uchamungu wa kumfanya allaah amuonyeshe uchawi na wachawi lamda kwa njia zake za kichawi
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 күн бұрын
Hizo ni hadhara za MAULID!!tukisema MASUFI wanachanganya dini na USHIRIKINA na kila ujinga na MILA chafu,mtakataa?!! njooni kwenye SUNNA mpate ladha ya IMANI na UISILAM!!
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 күн бұрын
Ladha unaijua wewe!
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 2 күн бұрын
Uelewa ni changamoto ya Mawahabi
@Hassanintandu-u7s
@Hassanintandu-u7s 2 күн бұрын
Uwezo mdogo wa kuhoji ndugu yangu
@shabanathumani0336
@shabanathumani0336 Күн бұрын
Dini ni uislam na kila mwenye kulifanya jambo ujue kashiba kwalo
@shabanathumani0336
@shabanathumani0336 Күн бұрын
Epuka kushabikia aibu ya mwenzako wakati huenda wewe unaware na makubwa zaidi yaliyojificha
@HUSSEINALLY-b7f
@HUSSEINALLY-b7f 2 күн бұрын
Muongo mkunwa wee
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 2 күн бұрын
Kakukuna wew au? 😂
@jumakingkufarey5319
@jumakingkufarey5319 2 күн бұрын
Amroge Nani umri unaenda suite nayo anaenda acha imani YA kijinga we mwalimu
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 2 күн бұрын
Masoud Acha mkwara wewe au umerudia uvutaji bange 😅
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 2 күн бұрын
Inaonesha unamjua masudi nje ndani maana tukishapiga vitu vyetu huo tunaona vitu visivyoonekana kwa macho ya kawaida
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 2 күн бұрын
​@@kijitamfyomi5598😂😂😂
@mashulano4362
@mashulano4362 2 күн бұрын
From now Naku unfollow
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 күн бұрын
Huyu msomaji atakua lamda ni mganga anatangaza biashara yake ya uganga wewe kama sio mchawi unaionaje sihri ataka kuwaaminisha wataje wake kwamba anauwezo wa kuona wachawi na uchawi ili watu wamuendee kupata tiba Allaah ndie mjuzi
@Marjeby
@Marjeby 2 күн бұрын
Hivi inakuwaje mnawapa machizi hizo nafasi ona ujinga wanao leta mbele za watu eti kuna mtu amenitumia sihri nimemuona na haufiki!anatoa picha gani kwa hasa wasio wa islam juu ya dini yetu?Kilaza mmoja weee
@OmarySultan-z5o
@OmarySultan-z5o 2 күн бұрын
Kasome kisa cha mtume alipo pigwa sihri alimfata alie mtpia sihri io inapung
@UmmuJauzan
@UmmuJauzan 2 күн бұрын
Utupiwe uchawi kwa jambo gani watu wansoma kupita wewe ashaiv watoto wadogo tu
@jamalishoo3802
@jamalishoo3802 2 күн бұрын
Huko kusoma Quran ni neema kubwa sana unaweza kufanyiwa uhasidi
@Kan332
@Kan332 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@hassansanchez14
@hassansanchez14 2 күн бұрын
Hakuna kiumbe yeyote anayesoma qur aan kupita masoud tz hii. Kama yupo mtaje.
@AbuuRayhana-yf3xe
@AbuuRayhana-yf3xe Күн бұрын
Uchawi kutoka wapi bwana! Achaeni Usufi, au wataka kuwa Sharifu, au kiboko ya wachawi uanze kuuza maji ya upako
@AbuuRayhana-yf3xe
@AbuuRayhana-yf3xe Күн бұрын
Kuna duwa unatakiwa kusoma ili ujikinge na vitu hivyo we umeisoma duwa hiyo baada ya kuona huo uchawi
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 108 МЛН
Twin Telepathy Challenge!
00:23
Stokes Twins
Рет қаралды 101 МЛН
Players vs Pitch 🤯
00:26
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 134 МЛН
MFAHAMU MWANAHARAKATI ANAYESEMA UKWELI MBELE YA WATAWALA (SEMA NASI)
35:50
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 16 М.
Subhanallah!Namna Mji wa Sodoma ulivyo leo hii
10:35
Kalamutz
Рет қаралды 1,6 М.
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 108 МЛН