Sheikh Walid Awafundisha Wanaopnga Barazanji /Wee Unashangaa Wanyama Kuongea / Sheikh Walid Alhad

  Рет қаралды 22,915

DARSA TV

DARSA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 171
@madaimachano2256
@madaimachano2256 Жыл бұрын
Mashaallah,,, walimu kama hawa ndio wanaohitajika katika jamii iliyoparaganywa akili, Shahe wetu Mungu akubariki sana.... Mufti hujakosea na tunaomba tuthibishie awe shekhe wa Mkoa Kamili.... tunafahamu Kuna baadhi mambo hajatia kutikana na cheo hajikamilika....
@salhamudy2065
@salhamudy2065 Жыл бұрын
wallay Allah anajua jinsi gani nakupenda shekhe walid kwajir ya Allah wewe ni mtu mwengne kabisa katika hawa tulionao sasa Allah akujalie mwisho mwema inshaallah
@aboubwatta8126
@aboubwatta8126 Жыл бұрын
Aamin
@2003hintay
@2003hintay Жыл бұрын
Sheikh Walid Allah akubariki Sana kwa hekma kwa elimu ulonayo Mwenyeezi Mungu azidi kukuweka kwa jinsi unavyodadavua umenishibisha japo Mimi si katika wale akina bacho
@hafswanaaman2911
@hafswanaaman2911 Жыл бұрын
Mashaallah mashaallah sheikh Walid mungu akujazi kheri wape ukweli hayo wamjume Mtume❤❤
@muftiahmadimahmudulemba1918
@muftiahmadimahmudulemba1918 Жыл бұрын
Maa Shaa Allaahu Watu wanatumia akili zakibinaadam sio kutazama uwezo wamungu anaweza kufanya au?
@jumA-th7rs
@jumA-th7rs Ай бұрын
Shehe MUNGU akuweme ili tupate elimu yako. Amin
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 Жыл бұрын
Shoukran sheikh kwa Hakika asiekuelewa ana hasad juu yako
@omaralwi3946
@omaralwi3946 Жыл бұрын
Masha Allah tunasikia Habib Omar anakuja kenya wiki ijayo. Insha Allah aje na Tz Allahuma Ameen
@khalidmzala3275
@khalidmzala3275 Жыл бұрын
Mashaallah allah akujalie kila la khery
@AllyNgale
@AllyNgale Жыл бұрын
Alhamdulilahi kwakweli amefanya sawa au wamefanya sawa waliokuteua wewe uwe kaimu au uwe Shekhe wa Mkoa wa Dar salaam unatufaa saana Ktk jamii zote za kiislaam watakao kuradi na kukuchukia ni Roho mbaya nachuki na uvivu Walio nao Ktk mambo ya kheri
@RashidSaid-t9i
@RashidSaid-t9i Ай бұрын
Umenichekesha sana shekhe alhamdullah
@ashamngindo8023
@ashamngindo8023 Жыл бұрын
Mashallah shekh wetu mungu akuhifadh
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Жыл бұрын
Maa shaa ALLAH 💚💚💚💚
@ALHIMUTV
@ALHIMUTV Жыл бұрын
Jaazaaka Allah khayra
@Shakila-t3c
@Shakila-t3c Жыл бұрын
Aslm alkm ww... sheikh Walid 😀😀😀😀😀 . Jazakallah kheir 🙏🌹🌹🌹🌹
@sudiali2849
@sudiali2849 Жыл бұрын
Ustad Unazunguka sana katika mifano yako Kuna tafauti ya Neno laa kusemwa na Mtume na maneno katika Barzanji Unacho paswa kutuilimisha ni utuambie hayo maajabu ya mbuzi na samaki yametajwa wapi katika hadith au quran acha kutoa mifano ya kitoto
@omarymohamedndondo1801
@omarymohamedndondo1801 Жыл бұрын
JAZZAKA ALLAHU KHAYRA
@RashidSaid-t9i
@RashidSaid-t9i Ай бұрын
Alhamdullah
@yusufsadic2930
@yusufsadic2930 Жыл бұрын
Masha Allah Shekh Waled
@shabanramadhan7632
@shabanramadhan7632 Жыл бұрын
❤ ALLAAH akbar
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 Жыл бұрын
ASANTE SHEIKH LETU WALID KWA MAFUNDISHO
@yussufsumbu9412
@yussufsumbu9412 Жыл бұрын
mashallah
@shidiereng7181
@shidiereng7181 Жыл бұрын
tafadhalini mashekhe wetu mtufunze Wala msilete uzishi katika dini
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 Жыл бұрын
Tushawafunza sisi ndio maana Kojo kumtoka Jiwe ambalo halina Roho Nafsi kila siku likimpigiaya salamu Mtume S.A.W je wanyama wenye Roho Nafsi? Sasa sisi kujuwa kutoka kwenu mawahabi Uzushi wenu mulouzuwa wa kigawanyo cha Tauhid ipo wapi ktk Quran au Hadithi
@JumaMkululu
@JumaMkululu Жыл бұрын
Nabii Suleiman aliongea na wanyama mbona hawabishi hayo lakini kwa kipenzi cha allah wanabisha wanyama kupeana taarifa
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Жыл бұрын
Masufi acheni upumbavu, hoja hiyo ya wanyama kusema Muhammad Bachu alishaijibu alipoulizwa swali na Mazinge, na shekh Muhammad Bachu alisema mambo ya wahyi na miujiza hawakatai ila kuwepo na dalili ni wapi na msimuliaji ni nani kuhusu ilipotungwa mimba ya mtume wanyama wote walipeana habari? Nyinyi masufi mlipata wapi hiyo habari
@nailaomar4810
@nailaomar4810 Жыл бұрын
Wajibu hao
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj Жыл бұрын
@@mohdkhatib223 ww kaa kando na kipenzi chetu sisi tutamsifu na tutamswalia waona ajabu wanyama kutamka kwa mimba ya mtume huoni ajabu mtume kapita kwenda kwa mola wake na jibril kashindwa kupita na nimalaika
@muhidinally3753
@muhidinally3753 Жыл бұрын
Juma hakuna maandishi katika kitabu cha Allah wala hadithi qudus wala hadithi za mtume. Nyie mwatoa wapi?? Huo ndio uzushi. Allah awaongoze katika njia nyoofu
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 Жыл бұрын
MashaAllah
@MuhammedBalkiss
@MuhammedBalkiss Жыл бұрын
Subhanallah astghafirullah ladhim
@jumamwenda2607
@jumamwenda2607 Жыл бұрын
Mashall
@kondoatown8765
@kondoatown8765 Жыл бұрын
Sio hajabu ila nani ? Kawamtangulia baranjii ktk kisa hicho shekh hivi kweli hamuelewi au ndo upinzani laiti kma kisa hiki angekisema mtume swalallah alywasalaam ama Aya ktk Quran lkn hayo maneno ni ya barazanjii
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw Жыл бұрын
Ngoja ninyamaze. Wataelewa. Tu mawahabi 😂😂😂😂
@mohamedrashid7864
@mohamedrashid7864 Жыл бұрын
Wanyama kuongea kwa mawahabi haiingii akilini kwao kwa sababu ni watu wa mwili mambo ya kiroho hawana ktk akili zao hayapo hawajaruzukiwa ufahamu
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Жыл бұрын
Sasa nyinyi masufi mmepata wapi hiyo ya wanyama wote kusema ilipotungwa mimba ya mtume.
@khalfanhamadi3616
@khalfanhamadi3616 11 ай бұрын
Siku1 alisema mtu hawezi kuongea na wanyama kama mungu hajampa mantika twairi sasa yy kuingea na paka je ana mantika twairi😂
@JumaMachano-b8t
@JumaMachano-b8t Жыл бұрын
Masheikh wa kuigwa watu wa taswauf
@mudhihirugara8845
@mudhihirugara8845 9 ай бұрын
Uongozi unaweza kumfanya mtu aliyekuwa mchamungu akawa muovu umakini nakujitathimini nimuhimu zaidi
@zuberihamisi460
@zuberihamisi460 Жыл бұрын
Wewe uwe muwazi kama ni mfuasi wa Barzanji
@kassimsleyman6911
@kassimsleyman6911 Жыл бұрын
😮😅😢🎉 shekh kwan nn Mana ya barza zi
@saudaumar3354
@saudaumar3354 Жыл бұрын
Mashekhe wapenda vita.nikupeana ilimu sio kutusiana bachu akiwa amesema barzanji Ina makosa huangaliwa lakini watakosa kukata viuno barabarani kisi ngizo maulid na Wali waburee
@abasimwinyibovu3090
@abasimwinyibovu3090 11 ай бұрын
Kila kitu mnapunga nyinyi3 mawahabi hatuwashsngai sana wengine mnathubutu kuzitia ndoa za wazazi wenu kuwa ni batili
@dredboy
@dredboy Жыл бұрын
Una ushaihidi au ni maelezo hatutaki maelezo twataka ushahidi
@harrishussein6992
@harrishussein6992 Жыл бұрын
Watu wanavichwa vigum Sana mnaambiwa mtume aliongea mpaka najiwe wewe kaongee najiwe kama unaweza
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 Жыл бұрын
Tatizo sio kuongea wanyama. Tatzo ni hilo tukio lilikuepo kweli⁉️⁉️⁉️⁉️ kuongea twajua kama waeza ongea . Alafu Shekhe Saidi sikashamaliza kazi na mkamsifu😂😂😂sasa mnafafanua nini. Kwasasa hata makafiri wanajua kua maulidi haipo ktk Dini MUULIZE MAZINGE ALIJIBU VP
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor Жыл бұрын
Makafiri wenzenu au
@Auf-uh3jq
@Auf-uh3jq Жыл бұрын
Achaneni na Bachu Albarzanji hakujua kujieleza alitaka kujulikana na sifa
@SuleimanHassan-o6f
@SuleimanHassan-o6f Жыл бұрын
Tungu kaongea ipo dalili katika Qur an kigogo cha mimbari kuzugumza hadith swahih Je wanyama kuzugmza ipo hadith sahihi
@BashirAdan-ox6jr
@BashirAdan-ox6jr Жыл бұрын
Wacha uwongo na porojo mingi toa Hadithi swahihi au aya ndani ya Qur'an ili kudhibitisha
@DanielRodgers-ov1ft
@DanielRodgers-ov1ft Жыл бұрын
Tuambie ukweli wako wew
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 11 ай бұрын
Ebu muogopeni Allah masufi musiogee uwongo
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 Жыл бұрын
Ss sheikh na nyny toeni dalili basi ktk hayo maneno wapi imethibiti kua wanyama walipeana habari ilipotunga mimba ya mtume mbn dalili hamtoi mmebakia kusema tu😂 hatujasema kua wanyama haiwezekani kuongea vo ila tunataka dalili km ulivyotoa dalili ya jiwe lililokua likimsalimia Mtume toeni basi na dalili ya wanyama kupeana habari😂 mmebakia kuchamba tu lkn dalili hamna😢
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor Жыл бұрын
Dalili kaitoa nassoro bachu wewe pumba katika munakasha
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 Жыл бұрын
@@MuhidiniNassor ile hadithi munkara ndio dalili?
@ikabako2454
@ikabako2454 Жыл бұрын
Ni uongo hakuna mtu anayeweza kwenda mbinguni na farasi, hakuna mtu anayeweza kuongea na sisimizi ni uongo. Inakubidi uwe mpumbavu sana kuamini huo ujinga.
@yarockabdulqadirqadir
@yarockabdulqadirqadir 11 ай бұрын
Wewe ni chizi
@SelemanabushiriNyasuka
@SelemanabushiriNyasuka 11 ай бұрын
Mtume aliongea na nyoka je nyoka sio mnyama tumieni akili
@Yousouf-wn1qz
@Yousouf-wn1qz Жыл бұрын
Masufi wanaona waoondowa naompnda mtume Mohamad (sw) kuliko waislamu wote duniani eti? kwakuwa wenzao hawapigi madufu namannanda ndohawa mpndi mtume
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Ivo unavotafsir swahaba gani kafahamu ivyo
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 Жыл бұрын
Ss ndugu yangu Walid hiyi n dini sio kila mtu anaweza kuleta tu mmb yke, hii n dini hatutakiwi kufata mkumbo ukileta jmb n lazima ulete dalili coz Mtume alishatutahadharisha juu ya watu ambao watakuja kuleta mmb ya uongo ktk dini, toa dalili sheikh wacha mnn mengi😂
@omaryjumas6327
@omaryjumas6327 Жыл бұрын
Unastaajabisha kweli. Yaani unamkataza mwenzako asifuate mkumbo kwasababu anaunga mkono mawlid, lakini wewe hujioni kwamba unafuata mkumbo kwa kuwafuata wanaopinga mawlid. Which is which?
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 Жыл бұрын
@@omaryjumas6327 alete dalili wapi imethibiti wanyama walipeana habari😂
@MunezeroHabiba-td3mv
@MunezeroHabiba-td3mv Жыл бұрын
Midjinga iko kibao mfano wako habisme towa vidjikelele hapa
@ikabako2454
@ikabako2454 Жыл бұрын
Jiwe haliwezi kuongea acheni uongo. Mtu mzima na akili zake anaongea vitu visivyoeleweka.
@DarsaTV.
@DarsaTV. Жыл бұрын
Unabishina Na Mtume Muhammady (S.A.W) iyo Hadithi Siyo Zaifu
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm Жыл бұрын
Wanyama waliongea una ushahidi wa Hilo sheikh tupe ushahidi
@AbdallahShamte-mp1iu
@AbdallahShamte-mp1iu Жыл бұрын
Kwani unachipinga ni nini akhy au hajamsikia shekhe wako Bachu akinukuu hadith kutoka kwa Abuu Nuaimu kwenye مجلة المنرى wewe unataka ushahidi gani tena zaidi nyinyi mawahabi ndio mlete ushahidi kua hadith munkar haifai kuwa hoja tena sio kwa kelele zenu tu mulete hoja za kielimu ni mwanachuoni gani wa mustwalahi alhadiith amesema mtu akitumia hadith munkar maneno yake au kitabu chake huambiwa ni uongo?
@fay9687
@fay9687 Жыл бұрын
Wewe pia wataka pesa mbona umekubali uongozi
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Hamna kitu apaa
@abdurahimabdulkadir3926
@abdurahimabdulkadir3926 Жыл бұрын
Sasa kwahivyo ww uliambiwa useme mkubwa wa jiko na hujuuliza sasa hii si dunia hii ni dini ukileta kitu lazma uulizwe labda watoto wako ndio hawatakuuliza lkni katika dini utaulizwa umufti wako twataka dalili
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Tupe dalili Wapi wanyama walisema Acha porojo
@DarsaTV.
@DarsaTV. Жыл бұрын
kwa nabii suleyman
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Жыл бұрын
Kama ni uchizi kuongea na paka, basi nyinyi masufi mtakuwa ndio machizi wa kwanza kwasababu nyinyi ndio mlipata habari ya kuwa wanyama wote walipeana habari wakati mimba ya mtume ilipotungwa. Hem teteeni uongo uliomo ndani ya kitabu cha barzanj, sio kuropaka tu kama mbwa koko. Mkiambiwa usufi ni upumbavu ndio mnazidi. Halafu nyinyi mashekh wa bakwata ndio mmezidi kwasababu mna upumbavu wa kisufi halafu na uzuzu wa kujali matumbo yenu
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 Жыл бұрын
Hayo alisema NA kutuambia ni hadithi ya MTUME SAW iliosomwa kwenye mjadala. SASA BACHU NAE AJIGEUZA MTUME NA AMUULIZA PAKA NYAU 🐈NA YEYE ILI ATULETEE WAHYI KUTOKA KWA WALII 🐈NYAU. 🤣🤣🤣. yaani maswahaba WAMEAMBIWA NA MTUME SAW, ndio hadithi zilivyosemwa imepokewa NA ibn ABBAS SWAHABA wa MTUME SAW mpaka kwa ibn naiim akaiandika. Sasa bachu kapokea KWA WALII NYAU 🐈, 🤣 NA NYIE NDIO WAPOKEZI WA MTUME WENU NYAU 🐈, NA SWAHABA NDIO BACHU NA WEYE NI TABIINA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@SelemanabushiriNyasuka
@SelemanabushiriNyasuka 11 ай бұрын
Someni ikiwa mti uliongea na mtume je wanyama itashindikana
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
ISITUMIKE NGUVU KUBWA KUMKANDAMIZA BACHU...BACHU HAKUKATAA CHOCHOTE...YEYE ALITAKA ANDIKO TU....LOLOTE TU..LAKINI ANDIKO SIO STORI
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Жыл бұрын
Masufi acheni upumbavu, hoja hiyo ya wanyama kusema Muhammad Bachu alishaijibu alipoulizwa swali na Mazinge, na shekh Muhammad Bachu alisema mambo ya wahyi na miujiza hawakatai ila kuwepo na dalili ni wapi na msimuliaji ni nani kuhusu ilipotungwa mimba ya mtume wanyama wote walipeana habari? Nyinyi masufi mlipata wapi hiyo habari
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 11 ай бұрын
Nyinyi watu wa talbisi وتلبس ألحق بلباطل
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 11 ай бұрын
١٩ hujibu mwa babaisha watu wasiojielewa mwapoteza
@ruqiyanasir7141
@ruqiyanasir7141 Жыл бұрын
Hawa ndiohawawalafi wanaotizama mituboyaotu nakupotowa watu ndomana akili zimewatoka hamuna lolote mabakwata munajulikana wanafik
@MuslimChannelTZ
@MuslimChannelTZ Жыл бұрын
Shekh sio ajabu kwa mtume mimba yake kutungwa na wanyama kuongea...lakini hiyo hadithi dalili zake ni zipi...je mtume alilizungumzia hilo au alitufunza kuhusu hilo...je kwenye Quran tukufu limezungumzwa hilo...?
@alisuleiman4046
@alisuleiman4046 Жыл бұрын
Sheikh wewe ni mswahili, toa hoja na dalili? Unaleta story too. Wewe mnafafiq Sheikh Walid.
@dredboy
@dredboy Жыл бұрын
Cmama na haki wacha kutetea batil
@salumumangi994
@salumumangi994 Жыл бұрын
Rajabu tuliza ufahamu wako wanyama wengi wamesema na bado wanaendelea kusema mpaka leo ingekuw kila kitu kina semwa kwenye kitabu Allah sijuwi kama kingi someka Mwenyezi Mungu kazungumza Kwa majumwisho ingekuw hivyo utahoji hata KZbin mbona hijaandikwa na nivitu hivi havikuwepo wakat wamtume sindio uzushi mbona tunavitumia
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 Жыл бұрын
Nyinyi ni watu wa maajabu yaani jambo ikiwa la kutajwa Mwenye Ezi Mungu na Mtume S.A.W huwa muna shaka nalo. Lkni mukiona watu wakiwaambrisha wamaya wanao wafunga kama kwa mfano sana sana Mbwa na wanasikiza yaani mwaanza kusifiya jamaa aongeya na Mbwa anaskiya. Ndio Bachu akaongeya na Paka 😂😂😂
@ikabako2454
@ikabako2454 Жыл бұрын
Masufi huwa wote wana shida ya akili.
@DarsaTV.
@DarsaTV. Жыл бұрын
Unawatukana Waislamu Wenzio Doooh Masikini
@ikabako2454
@ikabako2454 Жыл бұрын
Ahahahahaha kama watakuwa wanafanya vitu vya kipumbavu basi sitakuwa nao. Mimi ni muafrica.
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 Жыл бұрын
Muislamu hamtukani SHEIKH ABDULKADIR JAILANI KS SUFI.
@R10_Rajab
@R10_Rajab Жыл бұрын
Shehe sio ajabu wanyama kuongea kwa ajili ya Mtume ila ,nani alilithibitisha hilo? Je ndani ya Qur ani imo hiyo?je katika hadithi za wanavyuoni imo hiyo?hilo ndio linalotakiwa liwekwe wazi,na sio kusems uongo kwa kisingizio cha kumsifu mtume ,Kwa hivyo kwa kuwa mtume ndio asingiziwe vitu ambavyo havipo? Wewe ni shehe na unaaminiwa na ndio unatunzwa hapo kwa kuongea vitu wanavyoaminishwa watu ambavyo sio vya kweli,tuambie sasa ni kitabu gani cha wanazuoni au ni aya gani ndani ya Qur ani ilioyositbitisha hayo?
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Жыл бұрын
Tatizo la hawa masufi wanajitia uzuzu, na hiyo hoja ya wanyama kusema, Muhammad Bachu alishaijibu alipoulizwa swali na Mazinge, alisema hawakatai mambo ya wahyi na miujiza, ila katika hiyo inayotajwa katika barzanj dalili wamepata wapi, wanashindwa kujibu hadi leo. Halafu bakwata hakuna shekh, kuna wachumia matumbo tu kwa maslahi yao.
@allykhan6440
@allykhan6440 Жыл бұрын
Njoo nikuoneshe hadithi
@allykhan6440
@allykhan6440 Жыл бұрын
​@@mohdkhatib223Kuwa na heshima,
@AbdallahShamte-mp1iu
@AbdallahShamte-mp1iu Жыл бұрын
Hadith za mtu zipo nyingi na Shekhe wenu Bachu aliitoa siku ya Munakasha sasa sijui unataka hadithi ya Abunu Assi
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 Жыл бұрын
Tukutane Mahakamani Naushahidi Wako Nawangu. Maana Kilakitu Ushahidi Ndio Akili Yako Ilipoishia Maskini.
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 Жыл бұрын
Alafu acha kuongopea watu sio yote yanayo egemezwa kwa mtu ni ya kweli lazima tuchuje kwa misingi ya kisheria maana dini mashia na masufi wameiharibu wanaingea mengi ya uwongo na kumsingizua uwongo Kwa hiyo mtu akizungumza kitu kwa dini ni lazima Atoe na Dalili na Dalili pia tunaipima kwa mizani za kisheria je imethibiti
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 Жыл бұрын
Eti tuchuje wewe kama nani mjingajingatu hutambuliki labda mtaani kwako
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 Жыл бұрын
@@fadhilimusa9732 2shawazoe masufi Wana taqleed ya upofu hamchuji Kila munalo ambiwa Ndio maana munadanganywa Mtume alikula sima mawlidi kondoa unakubali tu kama fala vile Samai dawa ya Ukimwi Mara Kuna mtu alikufa akafufuka Akatamka Shahada Kisha akafa tena C wazimu huu kuamini upuzi kama huo Chochote kitakacho nasibishwa na dini lazima tuchuje kwa mizani ya kisheria kikiwa na Ushahidi wa kweli hilo tunalifanyia kazi Kikiwa ni Cha uwongo lazima tutalipinga na kulibainisha kwa watu
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 Жыл бұрын
@@fadhilimusa9732 alafu kaa ukijua Sina wasiwasi na Dini yangu na Akinijua Allah inatosha ila sitoona Dini inaharibiwa na vibaraka flani na tukae kimya
@mohamedrashid7864
@mohamedrashid7864 Жыл бұрын
Hakuna wahabi hata mmoja anaetumia sheria kuliendea jmbo . Huwa wanaagizwa na walimu wao hilo tu
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 Жыл бұрын
@@mohamedrashid7864 toa ushahidi wa maneno
@abdurahimabdulkadir3926
@abdurahimabdulkadir3926 Жыл бұрын
Cheo chako cha umufti watu hawakitambui toa dalili jee wanyama waliongea
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor Жыл бұрын
Kibachu wenu Hana akili kauliza suala Kisha kajijibu eti anatega hatimae mikojo vyurrrrrrrrrr
@abdurahimabdulkadir3926
@abdurahimabdulkadir3926 Жыл бұрын
@@MuhidiniNassor twataka mufti ajibu swali jee wanyama waliongea ni kwely au ailimishe watu wanyama waliongea kitabu flani flani mwanachuoni flani ss s wajinga eti usiseme chumvi usiku hayo maneno akawadanganye watoto wake kwake ila dini yataka dalili haitaki eti aliesema ni mufti so hakuna kuuliza swali
@MohamefMullah
@MohamefMullah Жыл бұрын
Mawahabi hakuna siku wataamini kwani Hawana ilmu ya kujua mambo, hawajui ukubwa na utukufu wa mtume wanajihesabu ni kama wao wenye kunya mavi yakanuka,
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 Жыл бұрын
Masufi nao wanajiona Wana elimu kushinda Maswahaba Na wema walio tangulia
@abdurahimabdulkadir3926
@abdurahimabdulkadir3926 Жыл бұрын
@mohamefmullah dini ya kiislamu yaenda na elimu watu wapiga maulidi kusherekea mazazi yake swali jee katika msikiti wa mtume ambayo ingekua vizuri zaidi twasherekea mazazi ya mtume ndani ya msikiti wa mtume mbona hayafanyiki?pili swali liko pale pale jee wanyama waliongea
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 Жыл бұрын
​@@abdurahimabdulkadir3926iyo ya kutofanywa ktk mckiti wa mtume ata c hoja manake hata engkua yanafanywa mle basi bado ingebakia kua hayafai kwa 7bu hayana dalili za kisheria, alafu awa wao kazi yao n kuongea tuuuuuu lkn dalili ya hoja 19 za Bachu hawana yan wanazidi kuwaaminisha watu kua Bachu kawaweza😂
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Жыл бұрын
Masufi acheni upumbavu, hoja hiyo ya wanyama kusema Muhammad Bachu alishaijibu alipoulizwa swali na Mazinge, na shekh Muhammad Bachu alisema mambo ya wahyi na miujiza hawakatai ila kuwepo na dalili ni wapi na msimuliaji ni nani kuhusu ilipotungwa mimba ya mtume wanyama wote walipeana habari? Nyinyi masufi mlipata wapi hiyo habari
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Жыл бұрын
Sisi tunasoma Quran, na tunaona ndani ya Quran nabii Suleiman aliongea na wanyama, hayo mambo ya wahyi hatupingi kwa mitume, lakini la wanyama walipeana habari wakati mimba ya mtume ilipotungwa, nyinyi wapumbavu wa kisufi mmepata wapi? Leteni dalili basi ili tuamini huo uzushi wenu.
@lillaahilhamdutv5383
@lillaahilhamdutv5383 Жыл бұрын
Shida si kuongea kwa vitu, shida ni hiyo habari ni ya kweli?, Yaan utupe ushahidi wa hadithi sahihi zinazothibitisha hizo habari, la sivyo itakuwa ni habari kama za BBC CNN ALJAZIRA N. K kumuhusu mtume
@NasmaaJumah-db9ic
@NasmaaJumah-db9ic Жыл бұрын
Tutajie wapokez wa hadithi ya kumuadhinia mtt acha shubha
@akambi482
@akambi482 Жыл бұрын
Unajua maana ya hadithi kwanza?
@ramadhanwilbard8196
@ramadhanwilbard8196 Жыл бұрын
Hadithi sahihi kapokea Mtume Mohammad (S.A.W) someni jamani!
@R10_Rajab
@R10_Rajab Жыл бұрын
Hayoa mambo ya kukata kucha usiku sijui kuomba chumvi usiku hayo sio mambo aliosingiziwa mtume ,ila kama alisingiziwa mtume kafanya hivyo basi pia waislamu wangehoji
@abdurahimabdulkadir3926
@abdurahimabdulkadir3926 Жыл бұрын
Uislamu haupelekwi na cheo eti mufti toa dalili ya wanyama walingea
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 Жыл бұрын
Ila bachu anawatesa jamani
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 Жыл бұрын
Anajitesa
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 Жыл бұрын
Kikojozi anatutesa lkn alikimbia MAMBRUI
@UpangaRassam
@UpangaRassam Жыл бұрын
Atajitesa mwenyewe na kundi lake.
@NafisaAhmed-g9k
@NafisaAhmed-g9k Жыл бұрын
​@@hilalalhabsi2047kikojozi ni babako nendeni mambrui mukapige piano mucheze ngoma hamna ilmu
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 Жыл бұрын
Media zote ni mtoto wa bachu
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 Жыл бұрын
Za kikojozi, kwa maarufu kwa KUJIKOJOLEA kwenye mnaqasha😂
@abdurahimabdulkadir3926
@abdurahimabdulkadir3926 Жыл бұрын
Mskiti wa mtume mbona hakupigwi maulidi eti kusherekea mazazi yake hicho cheo chako eti ni mufti lete dalili wanyama waliongea
@NasibuJuma-e6u
@NasibuJuma-e6u Жыл бұрын
Kumbe walid ni pumbafu sana kwani hatuelewi
@DarsaTV.
@DarsaTV. Жыл бұрын
sheikh matusi ya nini sasa
@fay9687
@fay9687 Жыл бұрын
Nyie wote mnapigania maulidi sababu ya matumboo
@aminanoor5963
@aminanoor5963 Жыл бұрын
Na ww
@ramadhaniddsalim2201
@ramadhaniddsalim2201 Жыл бұрын
Ww ndio hujielewi
@abdurahimabdulkadir3926
@abdurahimabdulkadir3926 Жыл бұрын
​@@aminanoor5963maulidi yalianza Karne ya sita mwisho na Karne ya saba mwanzo pili hata yalipoanza mbona huo mskiti wa mtume watu hawasherekei kuzaliwa kwa mtume ndani wa mskiti wake watu wa maulidi mwafanya mchezo mungetembezewa bakora
@meksd2418
@meksd2418 Жыл бұрын
Kweliii sikuzotee hatulii sisii tunakulaa siku zaa maulidii tu Hebu kasomee uwe naadabu usiwee Kama yule mwehu wenu
@abdurahimabdulkadir3926
@abdurahimabdulkadir3926 Жыл бұрын
@@meksd2418mliosoma watu wataka kujua jee wanyama waliongea mjadala uliisha sasa elimisheni watu jee wanyama waliongea pili alieota kuwa mtume alimwambia atunge kitabu Cha maulidi eti mstari mmoja uishe na nun mwingine uishe na heee elimisheni watu huu ni ukwely vina dalili
@MuhammedBalkiss
@MuhammedBalkiss Жыл бұрын
Subhanallah astghafirullah ladhim
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 2,7 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 30 МЛН
Зу-зу Күлпаш 2. Бригадир.
43:03
ASTANATV Movie
Рет қаралды 609 М.
KATI YA ALLAH MUNGU WA WAISLAMU NA YEHOVA MUNGU WA WAKRISTO NANI MUNGU WA KWELI APASAYE KUABUDIWA
1:11:46
Ishmael Juma-jamaa la mtaani (Yesu ndio njia)
Рет қаралды 87
BACHU ATANDIKWA TENA NA SHEIKH SAID, WANYAMA WALIZUNGUMZA
21:03
BABDEO MILADU
Рет қаралды 40 М.
Kisa cha Habari ya Panya na Ngamia - Sheikh Walid Alhad
49:56
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 2,7 МЛН