Alfatah ni wabunifu wa vipindi vyenye manufaa kwa jamii. Namuomba Allah, siku moja muje mumiliki TV kama ZBC au TBC na nyengine
@AlkafaaMarket3 күн бұрын
Asalam aleykum sheria za uislam ni madhubuti wala hazina xpere date kiufupi serekali inawalea wabakaji wajuwe wanamajukumu mazito kwa mungu ikitokea kubakwa kwa mtt wa kiongozi wa juu t bas itabadilishwa mbio lkn wakisikia wamnyoge aaa sikitu
@theteacherchance67505 күн бұрын
Nadhani neno "mwanazuoni" ni kutokana na Mwanachuoni (umoja) Wanazuoni (wingi) sio "mwanaZuoni".
@Zivago126 күн бұрын
Mpe dakika za kujibu vyenginevyo utauliza masuali 3 tu😂
@MonoMono-q7s6 күн бұрын
Yan ni kweli akipewa adhabu mmoja tuu kakatwa kichwa bas wallah wataacha mana kika siku mambo yanazid kupamba moto inauma mtu uwekww pemben