SHEKH QASSIM MAFUTA AKILI NA FIKRA ZA MASALAFI ZANZIBAR KAZIKAMATA MKONONI

  Рет қаралды 4,586

Manhaj Salaf Zanzibarقناة الدعوة السلفية في زنجبار

Manhaj Salaf Zanzibarقناة الدعوة السلفية في زنجبار

Күн бұрын

Пікірлер: 211
@AbAlhuraas
@AbAlhuraas 4 күн бұрын
MashaaAllah Akhy Muhammad Bachuu tumekuwelewa ,
@OmarSalum-y9c
@OmarSalum-y9c 3 күн бұрын
Tena Mia kabisa
@bagalucha
@bagalucha 4 күн бұрын
Barakallahu feek
@ABUUSHURAIM
@ABUUSHURAIM 3 күн бұрын
Upo sahihi akhy
@nurdinayoub2894
@nurdinayoub2894 Күн бұрын
Kumbe chanel hii imekusanya kila aina ya mahizbi
@islaminmyheart9348
@islaminmyheart9348 2 күн бұрын
Naam tunamtambua Sheikh Muhammad bachu Allaah amuongoze Yeye na Sisi kwa Uhizbiyyah na tunaifahamu hii channel kwa ujumla kwa uhizbiyyah Majina hayabadilishi kinachoitwa . و من علامات أهل البدعة، الوقيعة على أهل الأثر
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 4 күн бұрын
Huyo mzungumzaji mnatakiwa kwanza kumpa nasaha za kutosha katika ulinganizi wake kuna siku nilimskia akisema kwmba huenda kiwango chake cha elimu kikawa sawa na Haji upepo halafu huyu mtu ndo anatuaminisha kwamba wakina sheikh Qassim ambao wamehangaika kutafuta elimu kwa kibaarul-ulmaa katika sehemu kubwa ya maisha yao wana ufahamu mbovu katika kuelewa ibara za ulamaa kuliko yeye!!! Wallah nilimuona mjinga sana anatakiwa kutaraajaa kwa Allah kisha kuwaomba radhi masheikh wote wa Kisalafy Tz na duniani kwa ujumla.
@ManhajSalafZanzibar
@ManhajSalafZanzibar 4 күн бұрын
@@Hamis-ks1sy unajua kuwa umesom kwa malamaa haina maaan kuw atapatia kila jambo
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 4 күн бұрын
@ManhajSalafZanzibar Sawa kwahiyo akhy Muhammad anataka kutuaminisha kwamba yeye uwelewa wake ni mkubwa katika kufahamu ibara za ulamaa kuliko sheikh Qassim wakati elimu yake ni sawa na jaahil Haji upepo?? Haya kwanini sasa yasemekana amejitenga na wakina Barahiyan ambao alikua anawatetea kwakuona kwamba wapo sawa na salafy wote kuwaita majadida?? Huyu kijna kuna mda huwa anakurupa sana.
@NassorHassan-no1cr
@NassorHassan-no1cr 4 күн бұрын
​@@Hamis-ks1sykwan kassim mafuta nan??? Ktk uislam
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 4 күн бұрын
@NassorHassan-no1cr Mlinganizi katika Waislamu ambae tunaitakid anajuhud kubwa katika da'awatussalafiyyah pia amewekeze mda mwingi kusoma dini ya Allah ingawa sio maasuum lakini nnachosema Bachu anakurupuka saivi aje aseme kwamba yeye ndo alikua na ufahamu mbovu katka ibara za ulamaa mpaka kupelekea kuwadharau wakina Abuu Hasheem ambao wamehitimu Masomo yeye akiwa bado ananyonya maana elimu yake ni ya kawaida ambayo amesema yawezekana ikawa sawa na jaahil Haji Upepo
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 4 күн бұрын
@NassorHassan-no1cr Halafu kuwa na adabu unavyomtaja aanza na Sheikh maana elimu na jitihada zake hata robo yake hufikii hata kama humpend
@AbAlhuraas
@AbAlhuraas 4 күн бұрын
Tupo Pamoja tunapata Faida
@abdulhalim5950
@abdulhalim5950 4 күн бұрын
Musihangaishwe enyi masalaf hii ni chanel ya mahizbi mkubwani abuu muawia. Basi musiihadaike kuondikwa chanel ya salad Zanzibar
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 4 күн бұрын
Sawa hatuhadaiki,kwani we nani?
@NassorHassan-no1cr
@NassorHassan-no1cr 4 күн бұрын
@@abdulhalim5950 kwan mpka mutuality nyie ? Nyie nan ktk hii dini ? ww mpuuzi nin??? halafa alivokuwa chizi kaja ktk hii chanal ya kihizbi kwan nyie sio mahizi wenzak wanapiga kura uko
@AbAlhuraas
@AbAlhuraas 4 күн бұрын
@@abdulhalim5950 Ukiambiwa Uthibitishe Uhizbi Wa Abuu Muawaiyya utweza Kuthibitisha ? Nakuomba Unilete Hoja Na Dalili zilizo wazi juu Uhizbi Wa Abuu Muawiyah Allah amrehemu Sheikh Wetu
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 күн бұрын
​@@AbAlhuraas Mimi sitaki kuzungumza kuhusu Abuu Muawiyah Allah amrehemu... Vipi hawa akina Abuu Zaghar wanaoshirikiana na Bachu Hizbi, tuwaite akina nani?! MPAKA TUONE TARAAJUU YA BACHU... NASISI MSITUBURUZEEE...!!!
@AbAlhuraas
@AbAlhuraas 4 күн бұрын
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Swa na Wee Nikikuwambia Uthibitishe Uhizbi Wa Akhy Muhammad Bachuu ,utaweza ,Bas Nakuomba Uniletee Hoja Za Na dalili Za wazi za Uhizbi wa Akhy Muhammad Bachuu ?
@Muswlih
@Muswlih 4 күн бұрын
TATIZO JAMBO LIKIWA DHIDI YA SHEKH QASIM MAFUT HATA KAM NIKWEL LKN BAD WAMENGANGANIA WATU
@ManhajSalafZanzibar
@ManhajSalafZanzibar 4 күн бұрын
@@Muswlih ukweli hawaisem
@abouswaleh1035
@abouswaleh1035 3 күн бұрын
Kutokana na watu wanavonufaika na elimu yake
@mashaurimvungi2232
@mashaurimvungi2232 4 күн бұрын
Hizi zilipendwa hatuzitaki huku Abu Rudud alishaweka wazi ujahili wake akakimbia
@ManhajSalafZanzibar
@ManhajSalafZanzibar 4 күн бұрын
@@mashaurimvungi2232 sawa kk tunakubali
@NassorHassan-no1cr
@NassorHassan-no1cr 4 күн бұрын
@@mashaurimvungi2232 kassim pia alishawekwa wazi na Abuu Hatimu akakakimbia au nyie munasahau????
@NassorHassan-no1cr
@NassorHassan-no1cr 4 күн бұрын
@@mashaurimvungi2232 Abuu rududi chizi sanna bachu kamwita malaya kujakuambiwa yey mshamba kaanza kulalamika
@OmarSalum-y9c
@OmarSalum-y9c 3 күн бұрын
Ukitizama vitabu anavyotumia bachu na wanavyotumia hao kina sh qassim ni vlvl ila cjui wana nini hawa jamaa
@JumaawazirWazir
@JumaawazirWazir Күн бұрын
Mijitu ya bidaa. Sasa inaumia ikisikia sauti hii
@mustafaramadhani1488
@mustafaramadhani1488 3 күн бұрын
Aya yenyewe hawez kutafsir.
@shazilumnalima9708
@shazilumnalima9708 4 күн бұрын
Nyinyi wenye channel andikeni kuwa hii ni channel ya MAHIZBI na sio Masalafy
@ManhajSalafZanzibar
@ManhajSalafZanzibar 4 күн бұрын
@@shazilumnalima9708 allahu akulip kher kk allahu atufanyie wepes allahu atuwafikishe ktk kher
@NassorHassan-no1cr
@NassorHassan-no1cr 4 күн бұрын
@@shazilumnalima9708 kwan na ww si uandike ? Shida iko wapi chukua simu yak uandike mwehu weee munataka sis tuwe kondoo wa kassim mbinafis akifanya yeye sunna wakifanya wenzake bidaaaa
@islaminmyheart9348
@islaminmyheart9348 2 күн бұрын
Je una ilimu yoyote ili ututolee au ni maneno matupu tu?. Tueleze kwa ilimu ikiwa wewe unasema kweli ​@@NassorHassan-no1cr
@omarabdullah-k8j
@omarabdullah-k8j 4 күн бұрын
sadakta akilizao.zimefungwa hasa hawa.wa.zanzibar
@AbrahamanSaidi-uf1dw
@AbrahamanSaidi-uf1dw 4 күн бұрын
Huyu ni mgonjwa tunamjua
@AbAlhuraas
@AbAlhuraas 4 күн бұрын
@@AbrahamanSaidi-uf1dw Nani Mgonjwa
@NassorHassan-no1cr
@NassorHassan-no1cr 4 күн бұрын
@@AbrahamanSaidi-uf1dw sasa ww chizi kabisa
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 күн бұрын
Akhy muhammadi kama umerudi katika man hajji salafi itakuwa vzr Allah, akujaarie maana kule kwa answari sunnah kulikuwa hakukufai wamepinda wale.
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 күн бұрын
Msiseme amerudi nyie... tunataka athibitishe mwenyewe na tuone kweli kaachana na Mahizbi wa Answar! MANENO MATUPU BILA VITENDO HAVIZINGATIWI.... ATAENDELEA KUWA HIZBI MPAKA TUONE MABADILIKO KAMA SIO KUTARAJAA KABSA!
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 күн бұрын
ITAKUWA kheri kubwa sana kama na Barahiyani atalinganiwa arudi katika Manhaj Salafy! Mimi wote nawatakia kheri... But kutamka tu wafuasi wake haitoshi kumrudisha Bachu katika Manhaj mpaka atarajaa au akiona uzito basi tuone kweli kaachana na Mahizbi wa Answar na awatahadharishe ili tujue kweli yupo mbali nao... otherwise akikaa kimya, watu watajua kuwa bado yupo na Maanswar na watajua kuwa Maanswar sio mahizbi.... Baarakallahu fiyk!
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 күн бұрын
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x ishallah tumuombee duwa ataraj.,, maana,, kaona ansari mbona wanakanusha usalafi arafu wanajiita salafi, ataraji amewatwani ulamaa wa ahlsunnah kupitia kitabu cha barahyani usalafia jadida neno hilo shekh fawzan aliulizwa amelipinga mno, hiyo ni maneno ya watu wanaopinga man hajji salafi, ni maneno yasiyo na maana.kulu jaa lhakuu wadhaka lbatwili, ikija hakki batwil uondoka.
@MohammedBakari-pn9yg
@MohammedBakari-pn9yg 4 күн бұрын
Acha kuaribu njia sahihi ya salaf ...suni answar na salafiiyu wote ninjia moja na wapo ktk kutetea sunna ...na pia kila mmoja anamapungufu yake hiyo ndiosifa ya mwanaadam
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 күн бұрын
@MohammedBakari-pn9yg Mapungufu yawepo sawa ila sio ya kimanhaji... ukipinda kimanhaji lazima watuhizibishe... Kwa mujibu wa qawli za maulamaa!
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 4 күн бұрын
Kusoma na Kufahamu ni Vitu VIWILI TOFAUTI. NDIO maana Kukawekwa Mitihani kwenye KUSOMA! NARUDIA TENA ASILIMIA NYINGI ZA MASHEIKH WETU WA KISALAFI WALIANZA(AMA KWENDA KUJITWIKA USHEIKH) BAADA KUFELI SHULE... SHEIKH MSABAH ALIWAH KUSEMA ,ELIMU(MASHINDANO) YA KUIPIMA AKILI AU KUKUZA AKILI NI MUHIMU SAANA,LAKIN KWA MASIKITIKO MASHEIKH WAMEPUNGUKIWA FANI HIYO YA KUKUZA AKILI. MASALAF JADIDA,MAWAHAB TABU ZENU KUBWA AKILI MUMEIWEKA NYUMA YA ELIMU(UFAHAMU) KWA KISINGIZIO DINI HAITAKI AKILI. SASA BILA AKILI UTAMBANUA VIPI? AU SHEIKH AKIWA NA AKILI YEYE NDIO NUSURA KWA UMMA?
@AbuuBakar1
@AbuuBakar1 3 күн бұрын
Msabah mwenye akili timamu kahalalisha nyimbo kasema HIZI TAARABU ZILIKUA KASWIDA ZAMANI WAO WALIKUA WAKIIBISHWA MADRASA ILA WATU WAKAWEKA VINANDA TU WAKAHARIBU bali kaongea kubwa zaidi ya hilo kasema kwa kunukuu maneno ya msanii aitwae....😂 Ukisoma maneno utamjua ( 🎧HAPA NILIPO MIMI NIPO KITANDANI , STAREHE ZIMENIWEKA MATATANI 😂!! sheikh msabah kaendele mpaka mwisho kisha kasema huyu msanii aitwae..... 😂 Nyimbo yake inafundisha jamii😂 huyu ndio sheikh wako mwenye akili timamu 😂
@AhmednurHussein-m2s
@AhmednurHussein-m2s 4 күн бұрын
Yani wallah ni mtihani mahizbi kila adui ya dawa salafiyyah wako nae ebu angalia mfano hawo kina abu zagari na sheikh wake abu musw'ab hawakubari mahizbi wa kianswari kama kina barahiyani na wengineo walioko katika mlengo huwo ila we angalia kisa tu Muhamed bachu ni adui wa masalafi kwa sas ni kipenzi wao wako nae tena wanandika eti sheikh Muhamad Bachu duh mtu akipinda ustarajie kwake suna hata kidogo
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 4 күн бұрын
Kwa maelezo ya awali Bachu ameachana na wakina Barahiyani na huenda siku si nyingi akataraajaa in shaa Allah.
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 күн бұрын
@@AhmednurHussein-m2s shekh wangu tunasubiri taraja ya muhammadi bachu usimbeze anarudi kwenye man hajji salafi, sasa usimbeze shekh wangu akuna binadamu mkamilifu kila mtu Ana makosa yake
@AhmednurHussein-m2s
@AhmednurHussein-m2s 4 күн бұрын
Yani muhamad bachu anaewasifia matabligh na wale wahubiri na kina kishki mnashirikiana nae alafu eti nyiny mwadai kuwa ni madalafi subhanAllah
@AbAlhuraas
@AbAlhuraas 4 күн бұрын
@@AhmednurHussein-m2s Madalaf kwli ,😁😁😁😁
@khamisswalehe
@khamisswalehe 4 күн бұрын
weww mkamilifu hesabu yako tutaiona siku ya kiama
@NassorHassan-no1cr
@NassorHassan-no1cr 4 күн бұрын
Saiv Hasnuu na Abuu umair washamfaham sanna Kassim mwanzo walikua hawajamfahamu
@ManhajSalafZanzibar
@ManhajSalafZanzibar 4 күн бұрын
@@NassorHassan-no1cr hhhhhhhhhhh by haroub watapata tabuu sannaaa mpga hela uyoooo
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 күн бұрын
​@@ManhajSalafZanzibar Kijana mtafuta hela kupitia utube upo?! Iangalie sana Ikhlasw yako juu ya kupost hizi ruduud... ni kwa ajili ya Allah au ni kwa ajili ya kupata viewers ili upige pesa.... It's up to you! BAARAKALLAHU FIYK!
@Daifar100
@Daifar100 4 күн бұрын
Wamefahamu nini? Walichokuwa hawalifahamu waambie waweke wazi hicho walichokifahamu kama wao ni wa kweli
@ManhajSalafZanzibar
@ManhajSalafZanzibar 4 күн бұрын
@Daifar100 kuwa Qassm Mafuta amewadhulumu
@NassorHassan-no1cr
@NassorHassan-no1cr 4 күн бұрын
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x mukipost nyie kwa ajili ya Allah wakipost wengine wantafuta hela
@mahatmohamed8392
@mahatmohamed8392 3 күн бұрын
Yani huyu Muhammad Bachu maneno yake yana tofauti gani na Mohammed Bahero? Halafu usalafi upi huu wa kufanya mijadala na ahlul bid'aa na kuwaita hao anaofanya nao mijadala ''sheikh wangu''
@OmarSalum-y9c
@OmarSalum-y9c 3 күн бұрын
Wewe umefuatilia mdahalo wa sh qassim mafuta na sh kazuba kuhusu tawassul
@OmarSalum-y9c
@OmarSalum-y9c 3 күн бұрын
Na kuna ubaya gani kuwaita masheikh wetu
@AbuuLuqmanOmar
@AbuuLuqmanOmar Күн бұрын
Kwahiyo Mjadala kufanya Ustadh Muhammad Bachu na Watu wabidaa tu haifai ?? kwa Sheikh Kassim Mafuta inafaa au umesahau Sheikh Qassim Mafuta aliwahi kufanya mjadala na Dedes kizimkazi mada ya Maulid pia aliwahi kufanya Mjadala na Qazuba au hawa ni watu wa sunna ?? Tuweni na uadilifu ikhwa hata kama mtu humpendi mfanyie uadilifu
@SuolFat
@SuolFat 4 күн бұрын
Unajilabu na kujisifu kumbe ni mwana kharamu
@issarajabu5696
@issarajabu5696 4 күн бұрын
Mche ALLAH hayo usemayo una uhakika nayo kumbuka utakwenda ulizwa
@NassorHassan-no1cr
@NassorHassan-no1cr 4 күн бұрын
@@SuolFat yawezekana mwanaharamu akawa baba na mama yak sasa si ajabu kwa bachu
@SuolFat
@SuolFat 4 күн бұрын
@NassorHassan-no1cr unaongea Nini ww mtoto wa kahaba ww na bachu dau lenu moja ndio maana maako alizaliwz na mamae bila baba kwa umalaya wake ivi umewahi kumuuliza mamaako baba yako ni nani nazani atakosa jibu
@NassorHassan-no1cr
@NassorHassan-no1cr 4 күн бұрын
@@SuolFat sawa ila ww na baba yak nyote munafirwa mikundu sasa ww utakuwa nan kama si mwana haramu
@SuolFat
@SuolFat 4 күн бұрын
@NassorHassan-no1cr hahaha kweli mawahabi nyie ni wanaharamu punda viongwe na mama zenu na baba zenu nyeto ni makahaba wesenge nyie machkoko muonao lawiti baba zenu na mama zenu mbwa Koko nyie msio na haya msio jua vibaya laanatullah 'yie
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 4 күн бұрын
Halafu mbona mbahangaika sana na mtu ambae hawazungumzi?? Hamuoni saivi kama da'awa yenu imedhoofika kwanini msitafute sulhu na ndugu zenu badala ya kuwasema2 kila siku??
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 күн бұрын
Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji... Waache waonge weee, watuhizibishe weeee, mwisho watachoka wenyewe na Da'awatussalafiyyah itabaki kuwa na sisi Biidhnillah Subhaanawwataala! WAACHE WAONGEEE.... DAWA YAO NI KUWAKALIA KIMYA TU HAWA...!!!
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 4 күн бұрын
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Asisee unajua bora kipindi cha Abuu Muawiyah watu walikua wawafuatilia saivi kama hawana cha kufanya au Abuu Muawiyah pekee ndo alikua ana elimu katika hili kundi??😁😁😁
@SuolFat
@SuolFat 4 күн бұрын
Kwani mna ugomvi
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 4 күн бұрын
​@@Hamis-ks1sy Mimi naitakidi ya kuwa Sh Muhammad bachu, Sh Qassim Mafuta na wengine ni katika watu walio na man-haj swahih kabisa,,, na wote ni viongozi wetu katika dini sisi kama waongozwa basi tunatakikana kuwapenda wote na kuchukua elimu kutoka kwao, kisha elimu ndio itaamua namna ya kuishi katika maisha haya.
@NassorHassan-no1cr
@NassorHassan-no1cr 4 күн бұрын
@@Hamis-ks1sy Kwan nyie akili zenu mpka asema kassim tena kuna mijinga wanasema et kassim عالم يؤخذ عنده قول
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 4 күн бұрын
Kusoma na Kufahamu ni Vitu VIWILI TOFAUTI. NDIO maana Kukawekwa Mitihani kwenye KUSOMA! NARUDIA TENA ASILIMIA NYINGI ZA MASHEIKH WETU WA KISALAFI WALIANZA(AMA KWENDA KUJITWIKA USHEIKH) BAADA KUFELI SHULE... SHEIKH MSABAH ALIWAH KUSEMA ,ELIMU(MASHINDANO) YA KUIPIMA AKILI AU KUKUZA AKILI NI MUHIMU SAANA,LAKIN KWA MASIKITIKO MASHEIKH WAMEPUNGUKIWA FANI HIYO YA KUKUZA AKILI. MASALAF JADIDA,MAWAHAB TABU ZENU KUBWA AKILI MUMEIWEKA NYUMA YA ELIMU(UFAHAMU) KWA KISINGIZIO DINI HAITAKI AKILI. SASA BILA AKILI UTAMBANUA VIPI? AU SHEIKH AKIWA NA AKILI YEYE NDIO NUSURA KWA UMMA?
@JumaawazirWazir
@JumaawazirWazir Күн бұрын
Wewe ndoo huja elewa Sasa kutumia akili nikule kuendesha watu kwa akili zako bila dalili ya hadithi au qulan mfano maulidi mtu katumia akili yale bila dalili yoyote na kubakia kutapatapa tuu. Alafu wenge wao watu wamaulid ni washilikina waganga alafu Wana jiita wa kisunna masufu Wana tenganisha njia ya wamwanzo na wa mwisho. Maimamu woote wali hangaikia dini Ila haja gundua maulid kama inavyo elezewa maulidi imeanzishwa na shia na shia Wana julikana ni wagomvi wa mteme sw. Dini ilisha kamilika haya maibada mengine masufu wa kubali walijichanganya wa mwanzo kwa sababu ilim ilikua haijaenea. Ndoo maana waliipokea fitina hiyo bila kujua Allah atuongoze njia ya wema. Walotangua salafiy
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 4 күн бұрын
Kusoma na Kufahamu ni Vitu VIWILI TOFAUTI. NDIO maana Kukawekwa Mitihani kwenye KUSOMA! NARUDIA TENA ASILIMIA NYINGI ZA MASHEIKH WETU WA KISALAFI WALIANZA(AMA KWENDA KUJITWIKA USHEIKH) BAADA KUFELI SHULE... SHEIKH MSABAH ALIWAH KUSEMA ,ELIMU(MASHINDANO) YA KUIPIMA AKILI AU KUKUZA AKILI NI MUHIMU SAANA,LAKIN KWA MASIKITIKO MASHEIKH WAMEPUNGUKIWA FANI HIYO YA KUKUZA AKILI. MASALAF JADIDA,MAWAHAB TABU ZENU KUBWA AKILI MUMEIWEKA NYUMA YA ELIMU(UFAHAMU) KWA KISINGIZIO DINI HAITAKI AKILI. SASA BILA AKILI UTAMBANUA VIPI? AU SHEIKH AKIWA NA AKILI YEYE NDIO NUSURA KWA UMMA?
MAKUBALIANO YA SULHU MASALAFY WA ZANZIBAR NA ABUU MUAWIYAH ILIKUWA TAYAR...#fyp #العلم_والحكمة #sub
13:17
Manhaj Salaf Zanzibarقناة الدعوة السلفية في زنجبار
Рет қаралды 1,8 М.
SHEKH QASSIM MAFUTA MBONA UMEKAA KIMNYA.KURA ZINAPGWA JANGWAN #العلم#التبليغ #fypシ゚viral #sub
11:12
Manhaj Salaf Zanzibarقناة الدعوة السلفية في زنجبار
Рет қаралды 5 М.
ТЫ В ДЕТСТВЕ КОГДА ВЫПАЛ ЗУБ😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 4,5 МЛН
كم بصير عمركم عام ٢٠٢٥😍 #shorts #hasanandnour
00:27
hasan and nour shorts
Рет қаралды 8 МЛН
Players push long pins through a cardboard box attempting to pop the balloon!
00:31
Anar Ansar narkotik  ticarəti 8.
3:13
Anar Ansar
Рет қаралды 4
MAJIBU YA SH.MSELLEM JUU YA KUIGAWA MAKUNDI TAWHIID
10:28
MK MEDIA TZR.
Рет қаралды 7 М.
QASSIM MAFUTA NA MUHAMMAD MAFUTA WAMEUZA KIWANJA CHA SHEKH MBWANA ABD#العلم_والحكمة #fypシ゚vira #sub
10:48
Manhaj Salaf Zanzibarقناة الدعوة السلفية في زنجبار
Рет қаралды 358
RADDI KWA QAASIM MAFUTA NA GENGE LAKE
14:23
FAWAAID za KIELIMU
Рет қаралды 8 М.
MFAHAMU MWANAHARAKATI ANAYESEMA UKWELI MBELE YA WATAWALA (SEMA NASI)
35:50
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 15 М.
MWISLAM  UJUMBE WAKO HUU
9:45
KATOTO KAYESU
Рет қаралды 3,3 М.
SHALIFU WA UDONGO ANAWAONA MISUKULE
22:43
KALELA ONLINE TV
Рет қаралды 2,4 М.
NASAHA KWA MASHABIKI MPIRA KHASWA WANAFUNZI
18:47
Abuu Dharry
Рет қаралды 1,3 М.
SHEKH QASSIM MAFUTA UNAMUOGOPA DOKTOUR ISLAM HUWEZ KUMJIB#العلم_والحكمة #muhadhara #fypシ゚vira #sub
10:00
Manhaj Salaf Zanzibarقناة الدعوة السلفية في زنجبار
Рет қаралды 2,2 М.
ТЫ В ДЕТСТВЕ КОГДА ВЫПАЛ ЗУБ😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 4,5 МЛН