Nashukuru sana dada kwa somo hili zuri la leo yani kwa mafunzo yako mpaka saivi nina bakery yangu na mimi nashukuru sana sana dada ❤️🤍❤️
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Karibu sana na hongera kubwa kwa mafanikio Mwenyezi Mungu azidi kuweka baraka.
@hadijasaleh7357 Жыл бұрын
Ni lazma kutumia sukari nyeupe?
@شيلي-و4هАй бұрын
Shukran kwa darasa ....Kumbe keki na sheria zake😂😂
@shamimulazaro9518Ай бұрын
Masha_Allah Masha_Allah shukran dada
@winnieshayo18262 жыл бұрын
Wooow sasa nmeelewa kabsa nashukuru kwa hii video
@khadijajuma38878 ай бұрын
Umenisaidi sana shukran kipenzi
@MA-kh2lr2 жыл бұрын
Beautiful mashallah. From instructions to practical. Stay blessed.
@estermvungi25003 жыл бұрын
Asante nilikua najiuliza nikwanini kekizangu haziwi nzuri kumbe sababu ndio hiyo yakukoroga sana asante mpenzi nazidi kuelewa
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Karibu sana
@KabaseleNzungu Жыл бұрын
Napenda sana😊❤😍
@anthonychinguile8674 Жыл бұрын
Asante hivi dada huwa navurugwa na maumbo yakeki utakuta keki ina umbo la kitabu au mdoli hv inakuwaje hapo
@RehemaMjema-u6k4 ай бұрын
Asante sana kwa somo mungu akubariki
@mziwandabakers82974 ай бұрын
Ameen
@laureenmwafula4567 Жыл бұрын
😂😂😂ugali tutapkia tembele nishapka sana ugal jaman shukran sister
@thumaiyamussa5552 жыл бұрын
Nawwapongeza Sana muko vzur ktk mapish nimevutika kujiunga na hii chanel
@AnnaMwishagori Жыл бұрын
Asante nimejifunza kuoka keki
@anthonychinguile8674 Жыл бұрын
Asante sana dada kwa mafunzo mazuri mie naomba darasa jinsi yakupamba keki kutoa mauwa kwakutumia zile nozzle
@JustaCharles-n3w11 ай бұрын
Asante jamani oven nayo inanizingua sana Kuna wakati hasomi muda pia Kuna wakati inatoa moto wa juu lkn moto wa chino yaani koil haziwaki
@RodomilaJoseph-ye2rt Жыл бұрын
Naomba unisaidie Na kama kujifunza je manake MN I Mimi natamani kujifunza hata kuingia darasani sawa napenda sana kujuwa zaidi Na hasa kupamba ndo bado sijui vizuri
@salmazuberi-pd2zn Жыл бұрын
Hongera dada unaelekeza vizur
@RehemaNgamila6 ай бұрын
Nashukur kwa somo
@UpendoMunuo-n4w3 ай бұрын
Asante kw kutufundisha barikiwa sanaa
@janegeogre32343 жыл бұрын
mziwanda nakupenda sn my mafunzo yako ni mazur sn dear ubarikiwe sn dada
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
🙏🙏❤❤❤😘
@silviakidibule58712 жыл бұрын
Asante dada nimeelewa somo
@LovelyProteaFlower-ht9gl7 ай бұрын
Nashukuru kwa somo
@HawaHamza-u9f Жыл бұрын
Mashallah,,,,ila nahitaj kujua zaid
@beatricearon64392 жыл бұрын
Sufuria zako nazipataje nimezipenda niko kahama naomba na bei pia🥰🥰
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
0768859358
@allymwajuma12623 жыл бұрын
Shukran sana najifunza vingi toka kwako Allah akubarikie zaidi
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
🙏🙏🙏❤
@pulcheriamayombo5780 Жыл бұрын
Nimeongeza maria mapya asante sana
@reycakesjikoni90853 жыл бұрын
Asante kea somo my wangu
@siriyangu47243 жыл бұрын
Mashaallah shukran daa kwa somo zury hakika unatupa mafunzo mazury tunafaidika uwe na cku njema kwako pia
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Shukran dear
@healthcomoditysikika95452 жыл бұрын
Nikumiss sana ndugu yangu wa faida jamani sababu nilipoteza cm now nipo hewani halaf nimekutana na Somo zuri sanaaaaa🥰 much love
mashallah maelekezo mazuri,but mm napenda and i wish one day niwe napika keki nzuri but nimejaribu mara kadhaa hazijawa nzuri yaan zinaiva lkn chini zimafanya mafuta😢 please i need your help
@user-sp3gg7id8q2 жыл бұрын
Allah S W A akubarik inshaAllah
@zabronmgusi77712 жыл бұрын
Nafaidika sana na vipindi vyako, ubarikiwe
@emmahebron68983 ай бұрын
Unaelekeza vzur hadi raha
@neyskitchen3 жыл бұрын
Asante kwa masomo mazuri najifunza vingi sana kwako😍
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Karibu dear ❤
@happynessngereza5692 ай бұрын
Nimepata kitu.
@mziwandabakers82972 ай бұрын
Karibu
@nurumwasunga9753 жыл бұрын
Safi hadi raha
@RodomilaJoseph-ye2rt Жыл бұрын
Asante sana kwa maelezo yako lakini Mimi sijui nakosea wapi keki zinakuwa ngumu haziwi lakini sana kila wakati
@mayamussa3882Ай бұрын
Huwenda mchanganyo unakuwa mgumu
@businessadshomedec79983 жыл бұрын
Jazaakillahu khayra that was wonderful
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Amiin
@floralyimo73623 жыл бұрын
Asante nimejifunza
@shadianewrin6013 жыл бұрын
Asante mpendwa
@mantogolomweta3 ай бұрын
Asante Kwa kujua kupika keki ya mayai 8 Bali Naomba kujua UNGA Kwa kilo naweza kujua kuliko mzani keki ya mayai 8 UNGA ni nusu kilo au
@monicaantonyfredrick86842 жыл бұрын
Asante dada nilijaribu nikabeki unga wa nusu kilo keki ikaiva vizuri na laini but haiwi kubwa sana wakati wewe nusu naona unatoa keki mbili
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Inategemea umetumia tin za size gani ,hongera kwa kupika vizuri
@angelamulokozi41783 жыл бұрын
Masomo mazuri Dada asante sana
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Karibu sana
@careydany41773 жыл бұрын
Asante kwa somo dada, ubarikiwe Ila da Mziwanda Nina swali, je, ili kupata keki iwe juu flat bila kuwa na crack (kupasuka) unafanyaje?? Maana Mara nyingi nikibake keki inafura Sana juu na inapasuka juu hali inayosababish keki ya kuondoa ili kupata level sawa inakuwa kubwa sana☹️ Nn tatzo hapo na suluhu ni nn??
@furahashaaban55682 жыл бұрын
Nadhani pia chombo unachotumia kubake kikiwa kidgo sana cake ikipanda juu inaenda kuwa overheated inaungua su kupasuka juu
@liukang-i5o Жыл бұрын
habari madam naomba msaada aisee mm mchanganyiko wangu wa sukari na blueband nishaweka mayai huwa unakatika sijui kwanini naomba msaada..?
@miriambuda37943 жыл бұрын
Ubarikiwe
@joinanganunga69857 ай бұрын
Naomba uniunge kwa group
@upendokasumani83842 жыл бұрын
God bless you ♥️
@SitiHassan-z6g11 ай бұрын
Nahitaji vipimo mayai 10
@irenemodrick86404 ай бұрын
Nakuelewa saana dada
@mziwandabakers82974 ай бұрын
Karibu sana
@Julie-p1e4uАй бұрын
Je keki anawezaje kunyumbulika yaani ichambuke
@janesiulapwa87933 жыл бұрын
Your the best mziwanda bakers🥰
@MashaSuleiman-tb3po Жыл бұрын
Yaani Leo ndo nimeingia darasani. Nimekupenda mwalimu . Je una darasa la online?
@RahmaNasoro-o1g3 ай бұрын
Asant kpnz
@fatimasaid48553 жыл бұрын
Masha allah
@munazahormohd22692 жыл бұрын
MashaAllh🤩
@AnithaKisula Жыл бұрын
Hello dada naomba unisaidie jinsi ya kufanya ili keki isishikize kwenye cupcake mm muda mwingine nikitoa keki uwaga inashikiza chini na sometimes inakatika kabisa
@winnieshayo18262 жыл бұрын
I love baking
@aminambegu15643 жыл бұрын
Asante mpenzi kwa darasa lako nzur Allah azidi kukupa ujuzi zaid, but changamoto yangu ni moja mpenz tafadhali naomba unisaidie kila nikipika cakes inapasuka niambie shida nini plz 🙏
@edithanicodemus77593 жыл бұрын
Asante sana my Best Teacher
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Karibu dear
@Emmy_lee_beauty Жыл бұрын
Hello my dear,kwanini keki yangu inasumbua sana kuiva kati?
@kareemmkuki-pq8jq Жыл бұрын
Nashukuli nimepata kufaha kitu
@khadijaosuman76092 жыл бұрын
Naomba kuuliza mnafundisha siku gani
@susanmasai80582 жыл бұрын
Samahn mnapatikan wap
@hafsahassan15482 жыл бұрын
shukran unatufunza meng lkn changamoto kwangu inakuja kuwa keki inavmba vzur ukitoa inaonekana muonekano mzur na ukiweka kijit kinatoka kikavu lakin ukikata inakuwa haikuwiva .. changamoto yang n hyo
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Vipimo vyako sio sahihi pia zingatia moto
@devothabishagazi23903 жыл бұрын
Ahsante sana
@oscarbumbugu33073 жыл бұрын
Asante Kwa somo nimekuelewa
@bintsaid93133 жыл бұрын
Tafadhali mziwanda grams like 5grams hupimwa vp
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Kwa mzani dear
@jikonikwamamantilie90793 жыл бұрын
Ahsante nimejifunza kitu,,Sheria namba 8,,Kama umekoroga unga mwingi na unatumia handmixer,,kutumia spatula ni ngumu,,unashauri nini
@priscasteven4552 жыл бұрын
Habar dada mm naomb namb
@PeaceCharles-w3w Жыл бұрын
Dada Asante ,ila mm sina mnzan wa jikoni,na vikombe vya kupimia
@RukiaMohamed-q9q Жыл бұрын
Mpenzi mm nikipika keki inaiva vizuri ila kwanza inapasuka sana hadi rojo linatoka kwa pale kati halafu chini inakalina sijuwi kwa nn
@hellendinahlwesya79872 жыл бұрын
Asante kwa video nzuri, iv mm nikipika keki inapasuka ni kwasababu gani ya moto au?
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Moto pia ukorogaji ,endelea na mazoezi utajua wapi unakwama
@hellendinahlwesya79872 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 Asante sana
@winnieshayo18262 жыл бұрын
Mm huwa nakosea kwenye moto
@JustaCharles-n3w11 ай бұрын
Sawa nimempata mwanga Kwa kiasi chake, maana najifunza Bado, lkn nikifikia ile hatua ya kuweka mayai mbona keki inakatika nakosea wapi sijui
@SUBIRASAIDABDALLA Жыл бұрын
Mbona cake inapasuka na kuwa ngumu kwa nn?
@GraceNyarobi6 ай бұрын
Kwenye mkaa Sheria ni ipi
@mziwandabakers82976 ай бұрын
Ya kuoka moto juu na chini kama keki
@RighnessJurius6 ай бұрын
Naitaji kujua kupamba keki na kuchonga
@zakiamrisho713 жыл бұрын
Ahsante Sana,Mungu akubariki,Kuna kitu nimejifunza
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Karibu sana 🙏❤
@mayamussa3882Ай бұрын
Kama oven ni ya moto wa chini unaset ngapi
@shamimulazaro9518Ай бұрын
Jamn ambao hatuna mizan ni huzun 😢
@RehemaNkwizu10 ай бұрын
Naomba namba
@fathatjuma92652 жыл бұрын
Maashaallah....
@fatumaismaili12672 жыл бұрын
Naomba video namna ya kuchanganya,icing ya kufunikia keki sijaelewa wanachanganya na nini ,kuna gell au ni butter
@sharifamchinjita-nd3rc Жыл бұрын
dada mm.nataka kujifunza kwako nipe muongozo plz
@PriscillaTemba Жыл бұрын
Namba kujua utaratibu wa darasa ni siku gani?
@nancyngoiri43672 жыл бұрын
You are such a blessing
@johanesneema5912 жыл бұрын
J ko
@babykasisi3073 жыл бұрын
Shukran dear
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Karibu dear
@OdesDanford6 ай бұрын
Dada na swali kama sina vanila na tumia
@getrudegregory59593 жыл бұрын
Mungu akubariki
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
🙏🙏
@asmahally36722 жыл бұрын
Unachukua wanafunzi
@sarahmundhe82633 жыл бұрын
Mbona keki Wangu unapasuka juu
@RestituterKilawe-v1f Жыл бұрын
Dada naomba unisaidie wapi nakosea maana keki inakuwa ngum
@agripinantiga9503 Жыл бұрын
Nimeshindwa kujua moto wa oven naset juu chini au chini pekee
@susanmasai80582 жыл бұрын
Mafunzo yako ni mazuri sn but mnapatikan wap mi Niko moro
@FransiscaKimario5 ай бұрын
Asanteeee sana dada kwa darasa la keki nimejifunza mambo ambayo nilikua siyajui