Mwanaume anajua kulea watoto wake ata mwanamke aingii ndani am so proud of you Shetta yaani unajua kulea mshenzi wewe uko karibu sanaa na wanao yaani umeweza unajua unajua unajua mpaka unakera❤
@Dr.Shemasi Жыл бұрын
mbona mshenzi
@SalamaNauthar Жыл бұрын
Mashaallah Kayra anajistiri jamani ALLAH Akulinde mtoto mzuri
@MsNajma-e6e10 ай бұрын
Napenda baba hanae penda watto wake na kulea kama we shetta wanaume wengi wanajua kumbwaga mbegu tu na jukum la kulea rinabaki kwa mma peke wanajifanya wao wanaume hawawezi kulea lkn sio kweri we umeweza hongera my brother,,na wanaume wengine wakuige aisee ❤❤❤❤
@salimshamis7580 Жыл бұрын
Life kweli inachange Mzee shetta nikikumbuka enzi ya hakuna kulala pale Ilala dahh!!.. tunagonga story kiboya boya saizi Mzee life limenoga. Big up sana mzee.
@rukyahassansuleiman5977 Жыл бұрын
Ongera sn sheta wewe ni baba bora una mapenzi na wtt wk adi raha ❤👏👏🙏
@husseinrashidi5828 Жыл бұрын
Huu jamaa ni msani ila watoto anawalea mazingira ya dini watoto wanajistiri mtoto anajua muda wa ibada MashaAllah nimefurahi kweli
@doullahmtengeson285910 күн бұрын
MAISHA YA DINI ILA KWENYE FRIJI KUNA POMBE
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
Mashallah yaaan mbaka nimependa hii family ubarikiwe SNA shetta wewe ni baba wa kuigwa wallah
@kimzymamy6594 Жыл бұрын
Mashallah mungu ambariki shetaa na kizazi chake yni wakarimu balaa❤❤❤😍🙏
@babiz255 Жыл бұрын
Unajua kuna wasanii wana pesa ila wanaweza kucontroll hanasa tu hawawez kuorganize watoto wao japokuwa wana nguvu ya fame na money inabidi wajifunze kwako mwanangu nahis hao binti zako n mama tofauti lakin umetumia effort ya kiume kuonganisha binti zako na kulea vizur na kwa muonekano tu inaonyesha jinsi gani watoto walivyo na furaha kwa baba yao. Safi mzee unastahili kwel kurun izo ngo's za ukatili wa watoto. Big up men
@najmarsaid4435 Жыл бұрын
Hao watoto ni mama mmoja na baba mmoja wala sio tofauti
@halimamvungi1 Жыл бұрын
Hili la Binti wa mama tofauti umelipata wapi, hao watoto ni wababa mmoja na mama mmoja
@momobakari9680 Жыл бұрын
@@halimamvungi1😂😂😂
@officialbntrasool5223 Жыл бұрын
@@halimamvungi1 😂😂😂😂
@happylynguya3464 Жыл бұрын
Ni nyumba yake mwenyewe au??😴😴😴 make daaaah..
@zakiakondo2849 Жыл бұрын
Qayla ni kiongozi haswa all the best toto❤
@VictoriaAidan-qe6qk Жыл бұрын
Nimependa maisha ya shetta big up broo
@SamweliMeja-e3c Жыл бұрын
Daaah hiii family ♥️ Dua San aiseee
@AbdallahMohamed-wz8lc Жыл бұрын
Safi sana Shetta kwa hii organization yako! Hili tatizo linazidi kuwa kubwa! Awareness ni muhimu
@DijaMriri-wc4qd Жыл бұрын
Mashallah kaila ni mrembo
@hassanyunus4634 Жыл бұрын
Mbona bro naona hapa hujatenda haki, wale wanyonge unawa enjoy sana but Kwa chetta ume shindwa kumtembeza Kwa nyumba yake, tunge penda kuona bedroom yake kama unavyo tuonyesha za wengine
@muna1165 Жыл бұрын
MASHALLAH HONGERA SANA KAKA
@MsAisha-w4o4 ай бұрын
Masha'allah ni Raha nimejihisi
@salhamrishoi4943 Жыл бұрын
Mashaa allah❤❤❤❤🎉
@daimavlog Жыл бұрын
Nimependa malezi ya watoto jamani hadi raha
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Mashalah,,sheta anampenda Sana wanae,,hususan kayra,,,ila karya karembo mashalah,, mungu akubariki Sana awabariki wote as family
@baimarrajahbuayan6237 Жыл бұрын
Kumbe ni Karya na qaira? 😮
@AliyMistah Жыл бұрын
Nimependa. Malezi. Yako. Broo.
@Kidotii Жыл бұрын
Shettq Salute! Malezi 100%😊
@Chakol123-k7s Жыл бұрын
Yani mie muda wote namuangalia huyo last born ananichekesha tu yani hatulii ☺☺☺
@khadijahamisi6558 Жыл бұрын
Mashaallah jamanii nice family❤❤❤❤❤😍😍😍😍😍😍😍
@lucykristensen7145 Жыл бұрын
The little girl is Daddy’s. She is real sweet. Good family❤
@leaherasto92911 ай бұрын
Big up Sheta
@EmJesho Жыл бұрын
Shetta hongera ila umepotea kwenye game
@saumusulaiman4742 Жыл бұрын
Maashaalah ❤❤🎉
@RayyanRayyan-rt9cg Жыл бұрын
Mungu awabariki sana wew ni zaidi ya baba bora
@husseinjuma8282 Жыл бұрын
inamaana hamjaona kwamba qaila anadrive naumri wake na sio kesi😂
@letisiamakonda387311 ай бұрын
Tutafute hela😂
@RichAuntie-g6s4 ай бұрын
Muheshimiwa
@RehemaMussa-d3w2 ай бұрын
😂😂😂😂
@subrynerysegerow1323 Жыл бұрын
Hujatuonyesha nyumba😊
@yousramutwale2463 Жыл бұрын
Uyu Kaka ni baba Bora kumbe ❤❤❤
@DijaMriri-wc4qd Жыл бұрын
Maisha ya wenzetu jamani😂😂😂😂😂
@beautyibrahim8428 Жыл бұрын
😂😂😂😂yaan acha tu
@happynesbaemuhappynes88134 ай бұрын
Jikubali
@BenignessKadinda Жыл бұрын
Big up bro unaweza kulea watoto
@FaidhinaHassan8 ай бұрын
Hongera kwa malezi Bora
@bennamush4616 Жыл бұрын
Salehe mbona hapo huchunguzi mpka chumbani Kama kwa wengine 🤣🤣🤣
@saidtembele3070 Жыл бұрын
Ye mwenyewe hana amani si kaingia ushuani 😂😂😂
@ledetourzanzibar1433 Жыл бұрын
Never give up sheta bro
@SalamaNauthar Жыл бұрын
Kwani Salehe umetoka bona tv?
@estermuganda9298 Жыл бұрын
Ila walimwengu mna maneno jamani😀
@happymfiomy4673 Жыл бұрын
Camera yenu haina quality ya kutosha
@EmJesho Жыл бұрын
Salehe niaje mtangazaji Hongera
@khadjamhozya Жыл бұрын
Nimeshangaa🙏🙏🏼🙏
@boanerguebayisenge266 Жыл бұрын
Be Blessed 🙏🏽
@mejumaabaraza3989 Жыл бұрын
Yani for the first time kuona mwanaume kama sheta mpaka nimekupenda wallahy... Masha kaila amekuwa masha Allah na amevaa kistara wallahy
@AbdallahMohamed-t6f Жыл бұрын
Upo vzr Sana mdogo wangu
@carlykyle887 Жыл бұрын
Saleh kamuogopa shettah ...mbona hawaja zunguka nyumba 😂😂
@hassanyunus4634 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa anaonea wanyonge
@alidyaya4512 Жыл бұрын
Leo umekuwa mpole aupo kene geto la BAGA😂
@OmmyDseven3 ай бұрын
Uyu alivo fika kwa Baga Kaleta zalau lkn hpo weeeh😂
@SululuZungu-kx8ws Жыл бұрын
😂😂nayy huy mdg watu wapo kwny story ya KZbin yy ana anasema Monday yann ten
@shabanimwinyikhery1174 Жыл бұрын
Wonderful family
@khadjamhozya Жыл бұрын
Mpore ana akiri sana
@NenosuccessEliya Жыл бұрын
Baba mzuri kwa watoto kiukweli we ni mfano wa kuigwa
@EddisonEzekiel Жыл бұрын
Hivi vipindi vizuri huwaga havidumu 😢
@khadjamhozya Жыл бұрын
Ira kweri
@filbertagrey4078 Жыл бұрын
Nice family
@adamsilumbe8356 Жыл бұрын
Shetta namuwazia kushika ngazi ya juu ya uongozi serikalini, tena ngazi ya mkoa. Kama sio mkuu wa wilaya, basi atakua katibu au mkurugenzi serikalini.
@salmakyaman Жыл бұрын
Llll
@Lulualshagri Жыл бұрын
Dua lako liwe la kheri kwake
@yunusabeid74 Жыл бұрын
Na izo tattoo je?
@SophiaChmpaya Жыл бұрын
Hatimae kwa bint yake kyaila imetimia
@baimarrajahbuayan6237 Жыл бұрын
Amiin❤
@agnestemu8382 Жыл бұрын
Mama ao yupogi wapi
@halmashenyange3735 Жыл бұрын
Good family ❤
@khadjamhozya Жыл бұрын
Siami ni nyumba inazidi ya kond boy harafu hanamaringo❤❤❤🙏🏼🙏🙏🏼
@@MwanahamisMussa wewe Kuma nikome Nina uwezo wakumutamka yeyote naye mtaka kwenye koment
@leaherasto92911 ай бұрын
Qayra anaendesha gari waoo
@RehemaRashid-hk9cz13 күн бұрын
Nimependa unavyo Lea watoto wako kidini wallah
@yamusahmasoud9107 Жыл бұрын
maisha on Camera tutazima Camera kawaida ytu
@MarthaMakashi Жыл бұрын
I wish nipate baba bora kwa wanangu kama huyu😢
@letisiamakonda387311 ай бұрын
InshaAllah
@WlkmkeissBriana11 ай бұрын
Mbona hujatembenzwa apo kwa shetta
@Yolanda-n3x Жыл бұрын
😅😅 nimeipenda ila hapo kwenye kulala mtoto ametoka super market anadriv hapna
@victoriamongi243410 ай бұрын
😂😂😂qla nikweli ana drive mwaya
@happinessjustine2521 Жыл бұрын
Yn huyu kila anakoenda linataka kula 2 liroho km nn asa Apo mbn hujamkagua ad chumbani km Baga na b 🌟
@shwaibukhatibu2838 Жыл бұрын
Dah bonge la jumba Masha Allah
@mwajumamwajuma55 Жыл бұрын
Lake
@readtanzania2023 Жыл бұрын
Apartment
@Lulualshagri Жыл бұрын
Analipia hapo
@RAMATZ-gh2mm11 ай бұрын
Th@@Lulualshagri
@charlesgeorge2855 Жыл бұрын
Nimewaza tu hiv Shetta na Hashim Ibwe nan mrefu
@MwarafiaAbdi Жыл бұрын
Kwani shetta na Hashim Ibwe ni ndugu au
@khadjamhozya Жыл бұрын
Acha ushamba Fara wewe
@benadetamtabo74375 ай бұрын
Ila asikae meza yenye kioo ni hatari
@deboranicoraus4866 Жыл бұрын
Mependa alivyo walea wanae mbk raha wana adabu sana😘
@DeusMagere3 ай бұрын
NO FRIENDS.....😢
@Maryam-kl6gj Жыл бұрын
Kay hongerakwakujistiri
@shakilaAqram2 ай бұрын
Yan huyu baba nibaba aiseee
@khadjamhozya Жыл бұрын
Kingreza kizuri sana
@Zuenatupa9 ай бұрын
Salehe anaonekana Anaheshima sana
@sf2tv Жыл бұрын
Nakubali
@JohnManoni-t9o Жыл бұрын
Sana broo
@hajimnubi4581 Жыл бұрын
Very important person to know😂
@ShedrackMakumba10 ай бұрын
Hapo kwenye maji
@kingkendrickk Жыл бұрын
Rudiana na mkeo mlee watoto hao
@jeffkonki82793 ай бұрын
Alikimbia Kwa piddidy huyu jamaa akamuacha mondi peke yake maan walikuwa karibu sana ila akaona Bora kidogo anachokipata kuliko kikubwa zaidi Cha piddidy haya Sasa mondi anaitaka kuwa tajir namba Moja duniani na piddidy yupo jela mwenye nyota ya kungarisha
@Aminabakari-y5n Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤
@MagamboRamadhan Жыл бұрын
MASHALLAH
@JumaJuma-fu7ji Жыл бұрын
Shetta mwanao Kawa mzungu aisee watoto wetu tunawapoteza akienda Kijijini kwako uku kwamabibi zako ataongea nn nawao wanajua kilugha TU ebu tupunguze uu uzungu
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
HIYO DISIKAVARI ATAZEEKA NAYO
@ibrahimngulungu Жыл бұрын
Mpe yako bro😊😅😅
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
@@ibrahimngulungu mbn km unaufokea ukweli 😀
@RhodaLudigija Жыл бұрын
Hakukuelewa
@dottomsuya6597 Жыл бұрын
Amelala na jeans
@khadjamhozya Жыл бұрын
Sikutegemea🙏🏼🙏🙏🏼
@gracemabula418 Жыл бұрын
🔥
@selinathindwa9754 Жыл бұрын
Mbona haujatuonesha ndani kote, sijaenjoy 😢
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Ili ieweje
@KHAMIS_SHILINGI Жыл бұрын
Mama yao yuko wapi jamn😢
@irakoze3762 Жыл бұрын
Ameachika kitambo
@saidtembele3070 Жыл бұрын
Salehe ukiingia ushuani unakuwa mpole huna mbwembwe za kuingia ingia na kutoka
@bravoh1705 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@Bmsecret Жыл бұрын
Kiukweli jamaa kataka soda lkn haya tu ila kamaindi sana
@ShedrackMakumba10 ай бұрын
😂😂😂umewaza kama mm
@Angelakizitochinyala8 ай бұрын
Mama wap
@pilimwanza8117 Жыл бұрын
Jamani hivi ni mimi tu au Shetta kafanya bonge la igizo hapo kuwa eti mwanawe km ka drive kutoka supermarket yy na mdogo wake. Eti na baba mtu alikuwa kalala mhhhhhhhh. Sasa huko supermarket alifuata ni i mbona kaja mikono mikavu😅maisha yako Shetta MashaAllah ni mazuri lkn hapo umeigiza bila ya sababu yoyote
@hamisahodari9229 Жыл бұрын
😂
@christinalawrence7493 Жыл бұрын
Lbd kaacha vitu down stairs
@everlyne8595 Жыл бұрын
Huyo mtot ana drive ukweliii kbisaaa co maigizo nilishawahi muona live
@Prisca-sn3zd Жыл бұрын
@@everlyne8595weww umemjulia wap huyo mtoto wa sheta
@rajabdibwa6415 Жыл бұрын
Kama Nono wa aunt Ezekiel anawasha gari sasa huyu atashindwa kuendesha?😂😂
@RhodaLudigija Жыл бұрын
Mama yao yuko wap?
@AlinanusweMwanyangala-ir6hp Жыл бұрын
Mziki au madawa🧐
@zeddymourice4249 Жыл бұрын
Lima ndizi ndugu yangu😂😂😂😂
@khadidjaabdi-hd8py Жыл бұрын
Nyumba zakupanga namin hii sio nyumba yake yotee upandee mwingine kuna mpangaji hapo😂😂 baba Qaillah
@daimavlog Жыл бұрын
Shida iko wapi?
@GubraCity-dm5sx Жыл бұрын
Zinauzwa izo anaweza nunua
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
😮 duh wanadam et naamin
@SaidihusseinAthumani-dy9kw Жыл бұрын
wacha wivu ww
@agnessima5032 Жыл бұрын
@@lifeinmiddleeast8179 yaani watu wana mawazo hasi sana...nashindwa kuwaelewa kabisa.
@chihoma-m4f Жыл бұрын
uko sw kizazi
@Lulualshagri Жыл бұрын
Eti camra ndio ameona km kamnong'oneza babaake eti naomba maji 😂😂😂utoto bwana raha sana