Wee tabasamu huna changamoto kweli wakati barabara ya sengerema Hadi ngoma centa uliahidi Rami, maji shida
@iddihussein5264 күн бұрын
Uchawa tuu kujipendekeza
@kasomishedrack50274 күн бұрын
Hawa darasa la 7 ni shida eti tunapambana.Nini unachofanya ili kuonesha unapambana wakati serikali na mikatava yote ya uwekezaji inafanywa na serikali ndo inayokusanya Kodi.Jamani wawakilishi ndo hawa wanakelele nyingi siyo za maana eti watu wanafanya kazi usiku na mchana wakati ni uongo,maji kila siku yanakatuka Mambo ya hovyo kabisa.