Zingatia kuwa matukio ya Episode hii hayajapangwa katika mfululizo unaotakiwa kwa hadithi. Jitihada zinafanyika ili vimalizike kupangiliwa na hatimaye mwendelee kupata burudani kama mlivyozoea hadi mwisho wa simulizi hii.
Пікірлер: 581
@mwanaishamatano2389 Жыл бұрын
Wapi nduruuuu kwa shilingi......walio kua na hamu kama mm tujuane gonga like twende nalo
@KhalidiAlly Жыл бұрын
Oky
@KhalidiAlly Жыл бұрын
Mm natak shiling stak mal moy mamov yaajab naitaj shiling bwan itoke kwawakat
@bethermassawe929 Жыл бұрын
lakn hii sio ep ya 163.. hii ni special ep ila nyie piga kelele kwa baba kibena woyooooooo
@habibuabuu9609 Жыл бұрын
Tupo
@MwambaHeri Жыл бұрын
Shilingi imeenda
@hamismustafahalfansuleiman5799 Жыл бұрын
Msumbiji tumeipokea kwa furaha sana 🙏🙏🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@GodfreySangile Жыл бұрын
Jaman hii shilingi inazidikunishawishi kuendela kuifuataria wapi Baba wa kibena ❤❤❤❤❤❤🎉
@husnaibrahim2107 Жыл бұрын
Yes baba kibenaaaa in the hospital am happy kuskia Michael yupo hai kwakweliiii dj Fanya mambo
@japhetleonard2 күн бұрын
Hatimayee imerudiii tumeisbriii sanaa tuu hongerenii
@AaronMuyumba2 ай бұрын
Pisha hiyi ilikuwa ime haribika wakati edina alitaka kufa mimi n'a mupenda sana gutale pamoja n'a ibrah hâta n'a mupenda sana edinah n'a Paméla piya n'a wengine nawapenda sana mutupe vitu ni innocent toka Congo asanteni sana❤❤❤❤❤❤❤
@salafinatanzani2813 Жыл бұрын
Unajuwa sijapenda kabis sipenda kwa kwel kwann jaman majambazi wanawasumbaa mapacha wangu nn lakni 😢😢😢😢
@DanielHassan-gk4bt Жыл бұрын
Si majambazi Ni venessa mwenyewe
@DanielHassan-gk4bt Жыл бұрын
Haya yote Ni kwa kupitia kwake venesaa
@user-px3ct3nq6r Жыл бұрын
Suzi nakupenda saanaaa yaan hongera kwa msimamo wakoo❤❤❤🎉🎉
@user-vr1ct5vr6nАй бұрын
nataka kujua baba eddana kuwa kwakina maiko ni masonko atasema vippi. ni Wisey kutoka kenya gonga like za winsey hapo plz.
@AliMohamed-bp5jiАй бұрын
Babwema, hongera wewenimfano halisi, wawAle Wazazi wenyebusara ambao nindra kupatikana, nakupe da,
@user-oi2qc7gr2d Жыл бұрын
Jamani mmeieka special shilingi 😂😂😂😂😂❤❤❤🎉🎉🎉nawapenda sanaa tu
@salimkombora2742 Жыл бұрын
Huu wimbo wa shilingi DJ uko sawa sana
@ashuuabdu1638 Жыл бұрын
Baba kibena chafua anga hapo wajue km kuna watu wana weza na wanaweza tenaa❤
@antonysimiyu-vf5qf Жыл бұрын
Nilikuwa na hamu kubwa sana ya kuona shilingi asante sana Antony kutokea Kenya
@KhalidiAlly Жыл бұрын
Hiii ep yangap
@antonysimiyu-vf5qf Жыл бұрын
@@KhalidiAlly episode 163
@KhalidiAlly Жыл бұрын
Tatiz saut
@daviddouglas9565 Жыл бұрын
Kaka hizi special episodes kama zipo mingi turushie tu wangu tupunguze uchovu wa kubeba box 🤗. Ningependa kumwona mzee Mkude akitoa mimacho baada ya kujua Michael kwao wapo fresh. asante sana kwa zote zilizopita anyway.
@jamesmutali43563 ай бұрын
mm nmeshindwa kwelewa nn kinaendelea
@hamismustafahalfansuleiman5799 Жыл бұрын
Hii shilingi inatufanya tulie single tusiwaze mapenzi aiseee Mungu awape mwisho mwema wote waliyo shiliki movie hii amin 🙏🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@beautifulafrica6886 Жыл бұрын
Upo sahihi kabisa hata sisi tulioko Omani ❤❤❤❤
@fatumamwayawe7598 Жыл бұрын
Amin Yarrabbila laamin 🤲🥰
@user-gn2wz2os4f Жыл бұрын
Kabisa team single tunaenjoi
@claudinetambwe9233 Жыл бұрын
Kama hauna shilling hawuna samani mbereabatu napenda shilling sana❤❤❤❤
@teilamchomvu5452 Жыл бұрын
Weuwee piga kelele kwa DJ roma ❤
@aishaharun5482 ай бұрын
Jamani tuendelezeeni cjui baba Edna atakuwa hali gni akijua kona michael ni matajiri hamwwzi kutuacha kwenye taharuki imefika mahali paxuri jmni
@DadeChafimali3 ай бұрын
Poleni sana ila tumemisi sana shilingi yetu
@user-iy9bd9nk3e Жыл бұрын
Wale wa shilingi oyeeeee nategea nikiwa saudi🎉🎉🎉🎉🎉
@user-gn2wz2os4f Жыл бұрын
Nikiwa dubai❤
@fatuma46ramadhan1810 ай бұрын
Jamani siaminni mm wow jamani tuliimis sana❤❤❤
@JohnFariji2 ай бұрын
Big up sana wanangu, vip ndo final ao bado tunaendelea.
@kisaikamusicsound8 Жыл бұрын
Nampenda kibena alivofika mjini na KUPATA kazi
@user-cv5dc3br2q11 ай бұрын
Mbona munashelewesha
@achaacha4020 Жыл бұрын
Wawooo hengereni sana roma asante
@martinjacobtv9864 Жыл бұрын
Nampenda Pamela vizuri zaidi, my character of Play
@mwajumasuleiman9767 Жыл бұрын
Jamani..mnachelewesha..kuturushia
@jacinterakumu9106 Жыл бұрын
Asante sana Dj Roma 🎉❤ kwa mpigo tena zaidi 😂
@husnaibrahim2107 Жыл бұрын
Baba kibenaaaa Fanya jambo Kwa Michael 😢
@magrethlubimbi4055 Жыл бұрын
Sana
@agathamartine10 ай бұрын
Sana jmniiiiiiii😊
@herbertwafula4 ай бұрын
How can I get more episodes from 163?
@KarimwilsonNyigo-cw4ou3 ай бұрын
😅
@KarimwilsonNyigo-cw4ou3 ай бұрын
❤❤
@radhiamohaa3723 Жыл бұрын
Baba kibena wapi nduruu weweeeeee ❤❤❤❤chukua maua yako dady 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@khadijaumazi3308 Жыл бұрын
Baba kibena hebu fanya mambo iwe mambo nakukubali mauwa hayo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤😂
@EricrutuliraOfisa Жыл бұрын
Kweli shilingi nisawa ila munakaa kimya sana
@oku4900 Жыл бұрын
Jamani tunaomba shilingi iendeleee
@user-jf5np6tn6z Жыл бұрын
Aky dj thanks 👍 yaan napenda shilling sana nani tena anapenda shilling kaa mm nipea like plz
@Dorcas_Charles Жыл бұрын
Shilingi imeisha au maana dj uko kimya sana!!!
@KingZahoro Жыл бұрын
Wa kwanza mwenyewe leo
@adilcosmas9 ай бұрын
Tuliochelewa kujoin kwa shilingi tujuane kwa like hapa😂😂
@GadssonLutaha3 ай бұрын
Kibena kaletwa mjini kuweka mambo sawa michael na mama yake watakaa sawa!
@saidahamis362311 ай бұрын
Jaman kaz njema wote nawapenda naomba shilingi isishie hapa plz jaman❤❤
@sabrinadaudi8626 Жыл бұрын
Wakwanza leo mi sitaki like yeyote Naomba like nyingi kwa DJ wetu tafadhari
@user-fc2ev9id3f8 ай бұрын
Wapi nduruuuuu wooow ❤inaitwa shilingi wenzangu mwasikia kama mimi ninavyoisikia ni tamu ebe Hala Hala watuendeleze na shilingi mwatupokonya peremende na taari.iko Kwa mdomo naingija Kwa hamu tuu sana
@mackmillankenga3401 Жыл бұрын
🇰🇪 Kali sana hii filim muendelee hivyo butaleee
@mwaminishakalili4120 Жыл бұрын
Jamani david anapangiwa njama tumuombee duwa liwarudie 🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹😭😭😭😭
@magrethlubimbi4055 Жыл бұрын
Aswa
@magrethlubimbi4055 Жыл бұрын
Shangazi kibena hao wote ni wakwako naomba usizimie shangazi ukimuona maiko
@milliardere9177 Жыл бұрын
shilingi noma
@fatmasuleiman7556 Жыл бұрын
Shilingii ni tamuuuuu ❤❤❤
@pedropedroagira3980 Жыл бұрын
Dj tuletee bak tu bak🎉🎉🎉
@Aileth-pp4on Жыл бұрын
Mbona mnaanza kutuchangany jmn
@mwaminishakalili4120 Жыл бұрын
Bora babakibena kaja utufunulie ujambazi wavifo 🥹🥹🥹🥹
@mercymbodze8986 Жыл бұрын
Oyooooh kwakweli nmefurahi sana❤❤
@mashafondo14211 ай бұрын
Nimeipenda sana hii filamu
@sindalove58312 ай бұрын
Vip hii itaendelea au
@danielmsanjila5 ай бұрын
Imeisha Bado tnaiyaka jamani imenikatili sana
@Nahdiya-nr3de Жыл бұрын
Imerudiwa hii move
@user-fy4op1sw2f Жыл бұрын
Dj movie umeiharibu kwa kufa Michael
@AnifaMomade-m4k Жыл бұрын
🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿tumeipokea vizur Mimi naipenda sana movie ya chilingi
@angeliqueniyonzima3850 Жыл бұрын
Hii nikiboko ya kweli kbs
@Nahdiya-nr3de Жыл бұрын
Mm nataka mzee ngokee asababishe Devid asipate lolote wale wabaya wote wajulikane
@user-gn2wz2os4f Жыл бұрын
Amin
@safarikanigibertin9812 Жыл бұрын
Vipi kwa sasa mambo inatumaa kweli
@bakarimnyubi2650 Жыл бұрын
Ndio kuingia ss wadau gongeni like zenu wtu wngu wa gulf..🇰🇪🇧🇭
@babajuma250011 ай бұрын
Aki nimeangalia bongo movie nyingi lkn shilingi ni bonge lao muko vizuri nyote lkn itabidi binty wa mzee mkude uniote nyuma ya tent
@MshamuShafeek-kx5xb Жыл бұрын
Jaman shilingi yet mtumalizie tutazimia kwa shiling sie
@samyabahatialhiani4018 ай бұрын
Mtuleteye shilingi muendelelesho🇧🇮
@ezekielmothoka727 Жыл бұрын
Hapo safi dj bora
@ashaabedi7343 Жыл бұрын
jamani muendelezo maana nakumbuka mwazo nilivyo aza kuifatiliya shilingi nilikomea apa apa naipenda sana shingili ❤❤
@user-oe5fq3nr5b11 ай бұрын
Aki ni kweli akutakiae mabaya huja kwa furaha
@kilimaone363211 ай бұрын
Mimi nilisem @roma ni mswahili aliwadanganya tarehe 25 bila chochote
@kilimaone363211 ай бұрын
Hafadhar ume like roma wewe ni mswahili kweli
@user-om1rm8tm1r Жыл бұрын
Jamani. Mbona hatuelewi. Vip. Tena
@silvesterokibo521 Жыл бұрын
Shilingi inaweza Sana Kwani Dj Hamna episode ingine
@odettebarengeke2469 Жыл бұрын
Jamani tu ambieni Kama shilingi ime kwisha ‘ tume Anza rudia jua kali Tena
@joshuakorir2003 Жыл бұрын
Ndio tumengojea wah
@user-px3ct3nq6r Жыл бұрын
Daaa kweli usilolijua nisawa nausk wagiza dev ungejua kua Ben ndo adui mkubwaaa hatariii saanaaa
@lodricklazaro10139 ай бұрын
Mbona shilingi imekosa kuendelea jaman
@nadhiruomar6994 ай бұрын
Hapa ndio mwisho ama wahusika wakuu naomba mutueleze tafadhali
@user-gk4jj3ys6s10 ай бұрын
Nimemiss Edina maiko gutale ibrah kwenye shilingi jaman
@rehemamaduhu5642 Жыл бұрын
Hao majambazi sijawapenda wameharibu scene
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Baba kibena nakukubali wewe ni mganga wa pekee ktk hii duniya unojuwa wajibu wako wa tiba asiliya ingekuwa waganga wetu wanatekeleza kama wewe hii duniya ingekuwa salama
@abumoyo840 Жыл бұрын
😂😂😂 Gd job dj 🎉🎉🎉🎉🎉
@user-lu1lh5qy7h Жыл бұрын
Jaman nipeni like zang wakwanza leoo
@tajilimtoto5009 Жыл бұрын
Mimi nataka baba kibena awaroge wote wanao taka kuwauwa awa mapacha
@aishasuleimantabwara4954 Жыл бұрын
Yani huyu mr Ben ñi mnafiki sana
@ZachariaKoroso2 ай бұрын
Great🎉🎉🎉
@abdallaabdalla6824 Жыл бұрын
Shilingi kweli Sasa imekua ngumu kupatika
@ramadhanmwanyika212111 ай бұрын
Vp shilingi leo mlituahidi
@yusroman1626 Жыл бұрын
Mii kwaushauli wangu tunge maliza kwanza shilingi alafu move zingine badae au vp
@emmanuellukwaro407 Жыл бұрын
Sema mnazingu sana
@leonardinnocent9638 Жыл бұрын
Mambo ni bambam. Dj atakuwa Lazaro Mushi a.k.a Gutale. Chukua 🎉🎉🎉🎉🎉 yako
@magrethlubimbi4055 Жыл бұрын
Hahaha😂😢
@kisaikamusicsound8 Жыл бұрын
Daaa hii shilling ni balaa,natamani maiko aponee ili awapeleekee moto akina junior na baba mdogo sio kwa shobo hizooo😂😂😂😂😂
@magrethlubimbi4055 Жыл бұрын
Saaana
@kilizajumainn826 Жыл бұрын
Bba kibena kaja hospital maiko wetu atakuwa sawa david pia atopigwa risasi😂😂😂😂
@athumanmatimbwa4144 Жыл бұрын
Dj Roma upo vizuri
@AdiladilMohammed-v2tАй бұрын
Mzm
@user-zl7mz5kx1u Жыл бұрын
Aslm alykm waugwana Jaman shilingi ndo imeisha hapa au sierewi jamani
@salamahamadisudi191211 ай бұрын
Wema kimekuramba 😂😂😂😂😂
@user-zz6ti5rb1p Жыл бұрын
Mm hapa nina.ham.sana
@psj1564 Жыл бұрын
Wiyowoyowoyo
@rahmajuma2946 Жыл бұрын
Shilingi imeingia Bad Boy .... hapa hakuna tena Shilingi ni damu tupu