SHILOLE AMPA MAKAVU LIVE SNURA KWENYE MKUTANO "NAKUAMBIA UKWELI, HATUPENDANI, ULISEMA NIPIGWE TU"

  Рет қаралды 54,918

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 185
@ibnahmad607
@ibnahmad607 4 жыл бұрын
Shilole ni Utopolo tu huyo. Namshauri Uchebe atafute mwanamke mwenye dini, atabarikiwa. 🙏
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 4 жыл бұрын
Shilole umependeza sana leo 👌🏿ila hapo kwa snura nitamtetea niliona interview yake hakusema hayo jaribu kupitia tena alielezea vizuri sana,no si fair ulichokisema.😔😔❤
@zulekhaally3524
@zulekhaally3524 4 жыл бұрын
Wewe ndo ukuelewa alisema kweli
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 4 жыл бұрын
@@zulekhaally3524 sawa 👍
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 4 жыл бұрын
@@zulekhaally3524 kweliii ampe nae kaona aibu
@zulekhaally3524
@zulekhaally3524 4 жыл бұрын
Nyie angalieni snura alivyokua anaongea it's means anafurahiy nenden mukachek vizuri Sas
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 4 жыл бұрын
@@zulekhaally3524 tuma tuone
@haarunsaidabdillahi5267
@haarunsaidabdillahi5267 4 жыл бұрын
Nimeangalia interview ya Snura from AtoZ.Snura ameongea kweli tupu.Shilole umelikoroga mwenyewe.Uchebe si kichaa akupige ovyo.Usiongee English,hujui.Watu hawashangilii hapo wanakucheka.
@nasramakau6139
@nasramakau6139 4 жыл бұрын
Umeona ee
@erickothegreat8353
@erickothegreat8353 4 жыл бұрын
Snura umependeza wewe Dada waga una sura nzuri sana.Achana na vichaa wasio na soni na maadili nini waongee wakisha shika kipaza wana ropoka tu.
@aminamusa5483
@aminamusa5483 4 жыл бұрын
Kweli kabisa.huyo shishi nikahaba.halikubali kuambiwa.ukweli limeweka.uhuni mbele.sana.penda sana Snura💕
@khatwabisadathil3423
@khatwabisadathil3423 4 жыл бұрын
Ericko gud 👍👍👍👍👍
@ashleymoudy6714
@ashleymoudy6714 4 жыл бұрын
Nakupenda kweli shishi ila Dada jifunze ustaarabu mbele za watu umemkosea snura umempoint kabisa mwenzio mbele kadamnasi tujifunze Kua kila jambo tunalolitenda Leo linaacha alama. Umeacha Alama sasa jitathmini ni nzuri au LA?!
@aminaakea5188
@aminaakea5188 4 жыл бұрын
Shilole ukweli wauma.... Snura aliongea ukweli mtupu kwa interview yake... N hilo ndilo linalokuuma ww... Ila kumsema mwenzio mbele ya watu sio vzuri dadaa... You could atleast follow her privately n umuongeleshe dear kuliko kuongea hapo...... Kama unakubaliana n maneno yangu niekee like 🥰💓
@babadiamondplatnumzdudulay3675
@babadiamondplatnumzdudulay3675 4 жыл бұрын
😭😭😭😭uruma kweli sio vizuriii ivo
@chusegang7410
@chusegang7410 4 жыл бұрын
Shilole umenikera banaa shilelo uko si kujitambuwa banna hayo sio maisha kunavitu vingine nilazima muwe privet sio plubc umenikela sanna
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 4 жыл бұрын
Shilole hukusiliza interview vizuri Snura hakusema hivyo usiangalie viclip uwe unaangalia interview nzima na hakukutakia ubaya sema wewe ni mropokaji sana unajifanya hukubali kushindwa bila kujua ukweli au sababu umenikera kwenda zako
@joanondeng8818
@joanondeng8818 4 жыл бұрын
Mmmmmh... Shilole! we saw the interview she didn't say so, Snura I felt for u, but be strong n don't mind her she is confused
@najmaibrahim1536
@najmaibrahim1536 4 жыл бұрын
True kabisa
@barakashadrack7695
@barakashadrack7695 4 жыл бұрын
Shilole sijaipenda hiyooo
@jamesmwafumbila7027
@jamesmwafumbila7027 4 жыл бұрын
Shilole kuna aja ya kurudia Interview ambayo imefanywa na Snura ndo umuukumu hivyo......Snura aliongea points sana shida haukufatilia..
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 4 жыл бұрын
Huyu Bibi titi Ana mdomo sana uchebe ulifanya vizuri kumpasua shezy tyep halafu snura hajasema upigwe tu ujasikiliza vizuri hili jimama linatakaga sifa 😏😏😏
@binthassancollection.6308
@binthassancollection.6308 4 жыл бұрын
Ndio maana akadundwa
@samirarashid8186
@samirarashid8186 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 4 жыл бұрын
Salma shilole hajielewi ila snura ni mstaarabu sana ipo siku atajiona mjinga kwa kuropoka bila kujua undani ndio maana kapigwa najikuta muongeaji sana na hajui anachoongea
@hadinasule5536
@hadinasule5536 4 жыл бұрын
Kwelii
@mariamnamwa188
@mariamnamwa188 4 жыл бұрын
Kumbe huyu shishi hana akili😏😏
@lovvy854
@lovvy854 4 жыл бұрын
Shilole hapo umemkoseya Snura atamimi sikumskia akiongea vibaya ila aliongea vizuri bila kukukosowa tafadhali mtafute umuombe radhii mdada mwenzako
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 4 жыл бұрын
Kanikera. Sasa yy ndio mbaya vipi amlipe ubaya kwa ubaya
@salmamzee2281
@salmamzee2281 4 жыл бұрын
Mim nilivofaham kuhusu kusema hivo alisema unapotangaza kwa matatizo ya ndoa kweny mitandao sio vizur mapenz kitu chengin shilole ungejaribu kuyasolv matatizo ya ndoa kupitia chin kwa chini hata kwa wajumbe wazee au serikalin ila tu isiwe kutangaza hivi kweny media sio vizur kwakweli hutojua mwisho wako kwenye ndoa mapenzi kitu chengine na pia mambo ya ndani ya ndoa siri angejaribu kuyasolv kimya kimya tu yakaisha kanitia imani sana kumwambia hadharan mwa watu dah
@binthassancollection.6308
@binthassancollection.6308 4 жыл бұрын
Kweli sinura hakusema vibaya ila huyo shishi ana mdogo ndio maana akadundwa
@lovvy854
@lovvy854 4 жыл бұрын
@@binthassancollection.6308 kwaio anastahili kichapo ndo akome kiereere halafu hana ata aibu yey star na hajui kizungu aazirika tu akichekwa
@lovvy854
@lovvy854 4 жыл бұрын
@@salmamzee2281 ukweli kabisa hakusema vibya angejistiri na ndowa yake sio kutangazia mitandaoni ivondio alivyo sema Snura maskini amemkoseya Sana mwanmke mwenzake mbele ya umatii
@khadijaomar8427
@khadijaomar8427 4 жыл бұрын
Hakusema upigwe jamani
@magemachamacha4884
@magemachamacha4884 4 жыл бұрын
Aseme tu anachuki na Snura !Snura hakuongea kibaya kuhusu wewe alikuelimisha ili ujitambue maana kwenye mitandao hakuna suluhisho
@issaissah8832
@issaissah8832 4 жыл бұрын
Daah shishi unalewa sifa muombe msamaa snura tena haraka
@ashleymoudy6714
@ashleymoudy6714 4 жыл бұрын
Kwakweli amuombe msamaha
@ashleymoudy6714
@ashleymoudy6714 4 жыл бұрын
Shilole wewe kwakweli wakati mwingine uache udhabiki umemkosea snura saana tena hata kama ni hasira duu si kihivyo
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Sio vizuri kushushuana hivyo!!!!
@victorianbenardnachenga6839
@victorianbenardnachenga6839 4 жыл бұрын
Yaani msemaji wa matukio makubwa kama haya anakuwaje mtu asiyejitambua kama Shilole...???!!! Waandaji wamekosa umakini kwa kiwango cha juu sana...!!!
@hellenshayo3454
@hellenshayo3454 4 жыл бұрын
Woiiiiiiiiiii.... mi sijapenda kwa kweli
@hurumamushi1059
@hurumamushi1059 4 жыл бұрын
Hakuongea hivyo,,
@smileboy6199
@smileboy6199 4 жыл бұрын
Shishi NAKUPENDA Sana ila kwa snora hujamfanyia haki
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 4 жыл бұрын
Kabisa hajafanya haki
@shersaid7988
@shersaid7988 4 жыл бұрын
Snura ameongeaa maneno ya busara Shilole muombe radhi Snura kisha si uungwana kusema mbele za watu.tumia busara ukiongea dada.
@lucasshalonpplshishiachana8487
@lucasshalonpplshishiachana8487 4 жыл бұрын
Umezingua sn shilole hata Kama mtu amekukosea cyo kiivyo
@anithagalla4938
@anithagalla4938 4 жыл бұрын
Fara wew
@solemba595
@solemba595 4 жыл бұрын
Kunatofauti kubwa sana Kati ya aliefundwa ktk Mila na desturi za kiTanzania na aliefundwa na mitandao...
@ahmedkhatibu5387
@ahmedkhatibu5387 4 жыл бұрын
Not fair kabisaa,,,,kwa busara angeweza kumfuata kando na kumueleza kuliko kudhalilishana.
@masharubundevu3765
@masharubundevu3765 4 жыл бұрын
Ww mdomo umekuzidi kiasi upigwe kwa sbb unajiona unakawezo kadogo unaleta zarau kwa mumeo
@samirarashid8186
@samirarashid8186 4 жыл бұрын
Ilo nalo neno hahaaa
@iddyamiry6875
@iddyamiry6875 2 жыл бұрын
Nakubali sana
@AyshaSliman-cg8dr
@AyshaSliman-cg8dr Ай бұрын
Kuma tu wew huna lolote mbwa kweli shetani
@OmanOman-bh4yh
@OmanOman-bh4yh 4 жыл бұрын
We nimaraya kwenda uko
@williamkigonela5467
@williamkigonela5467 4 жыл бұрын
Duh iko kiingerezaa
@ostakiambilinyi5129
@ostakiambilinyi5129 4 жыл бұрын
Masifa
@jtheophil5499
@jtheophil5499 4 жыл бұрын
Hawa wote wanajuana unaweza kukuta snura labda kuna mtu alimwambia nje ya iyo interview na uyo mtu akamweleza shilole.kikubwa msameheane.Bila shaka shilole kalitua hasira zake zimeisha maskini.Poleni nyote.
@neemanicolas8091
@neemanicolas8091 4 жыл бұрын
Snura hakuongea vibaya tuliona interview yake,mjinga ww muache mwenzio
@zulekhaally3524
@zulekhaally3524 4 жыл бұрын
Aliongea
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 4 жыл бұрын
@@zulekhaally3524 kweli kbs kama hakuongea vibaya mambo ya shishi yanamhusu nini???? Si angeongea yake tu..akome na ubonge wake kaona aibuuuu
@husnasaidihasani7172
@husnasaidihasani7172 4 жыл бұрын
Mbona hakuongea vibaya jmn
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 4 жыл бұрын
@@husnasaidihasani7172 ndo kaibika sas..ila sio vizuri kwenda kuongelea mambo ya watu kwenye vyombo vya habari...hata kama shishi ndo alimkosea uchebe
@zulekhaally3524
@zulekhaally3524 4 жыл бұрын
@Preetty Shemsa we iyo iyo kasikilize vizuri utagondua shishi kip alicho chukua Ata mimi nimekiona upo
@afandebrighttz2887
@afandebrighttz2887 4 жыл бұрын
Namleta Uchebe sasahivi ,,,,snura hanaga hizo mambo
@beebee9419
@beebee9419 4 жыл бұрын
Kuma yako shilole nimekuchukia kuanzia apa
@sadafrancis8309
@sadafrancis8309 4 жыл бұрын
Duuuuh maneno makali mpk roho imeniluka na aibu just laukama mm ndo snura aibu kweli ila huyu dada ata Kama n kweli bora asingesema jina la mtu kumpoint mtu n udhalilishaji
@marjana1126
@marjana1126 4 жыл бұрын
Sikweli shishi muongo
@aminaa6748
@aminaa6748 4 жыл бұрын
Hajaongea hivyo mbona kaongea vzr tuu acha uongo
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 4 жыл бұрын
Pekeyako ulijitangaza ulipigwa sasa nini kumukoseya snora adabu
@saudchief1632
@saudchief1632 4 жыл бұрын
Shishi umekosea sanaa
@richarddavidmk
@richarddavidmk 4 жыл бұрын
Uache Umalaya wewe shishi Utakuja Kufa kwa kipigo Ndoa sio usanii uchwara,nahklo nguo lako kama majani ya mrenda,
@mu-crzymahez9229
@mu-crzymahez9229 4 жыл бұрын
sio poA na wala simsaport snura kaongea sawa tnh sana
@beebee9419
@beebee9419 4 жыл бұрын
Jaman angalien watu wakuwapa mic kwenye mikutano ya mana mkutano wote umeonekana wakipumbavu sababu yake
@allydisi3656
@allydisi3656 4 жыл бұрын
Lala nje tena uone ni nondo sasa
@khatwabisadathil3423
@khatwabisadathil3423 4 жыл бұрын
Ally 😂😂😂😂😂😂😂
@kibongobongo4608
@kibongobongo4608 4 жыл бұрын
Baba LEVO Kafanikiwa kwakweli kamrudisha Shilole wa zamani mlevi kamtoa mume Sio mchezo muda Sio mrefu Shishi food itafungwa 😁😁😁😁 Uchebe kheri imekuita usikasirike pengine mke mwema anakuja soon
@paschalkapande1486
@paschalkapande1486 4 жыл бұрын
Asa Girl Power alafu kuna polepole anafanya nini hapo au ndo Girl Power
@nathankihiyo2791
@nathankihiyo2791 4 жыл бұрын
Hapana si sawa
@maryammaryam5789
@maryammaryam5789 4 жыл бұрын
Kiki snura hakuongea hivyo
@wakishuakutokatz4737
@wakishuakutokatz4737 4 жыл бұрын
Huyu Dada ni mbwa Sana na hana akili kabisa kila siku kupigwa yeye tu ebu acha ujinga ujinga wako tumekuchoka mbuz we
@naamohamed9964
@naamohamed9964 4 жыл бұрын
Yan hata aibu hana duhhh jmn
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 4 жыл бұрын
Huyu shishi kakosea sana huoni kama unampa aibu mwenzio 🖕🖕🖕
@charityjoshua4622
@charityjoshua4622 4 жыл бұрын
Ingekuwa ni mm ninge nyanyuka nikuonyeshee ile ya uchebe ni ndogo ukukwetu arusha nivitendo nn kumzalilisha mwenzako hapo pangebadilika
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 4 жыл бұрын
Nikweli hajasema kwakweli kaongea point Sana kuhusu wewe shishi umetaka kumuumbua tu mwenzio eti nakupenda mmmmmh
@samirarashid8186
@samirarashid8186 4 жыл бұрын
Umeona eeeh
@badgirlimatonyaibadgirlima2557
@badgirlimatonyaibadgirlima2557 4 жыл бұрын
Shilole punguza kulopoka lopoka,snura hana akili Kama yako na wala mwenzio chizi Ila wewe ni mjingaa kupindukia...huna akili na Bora ata uchebe angekupiga Sana adi ushindwe kuongea maana mi naona unaongea upuuzi tuu..Snura nakupenda Sana wewe dada una busara Sana kuliko ilo lichizi...hakika wewe ni dhahabu na siku zote dhahabu siwez kung'ara bila ya kupita kwenye Moto...wewe ni mshind tuu
@RandB_Channel
@RandB_Channel 4 жыл бұрын
HAKUONGEYAKA ETI UPIGWE .FATILIYA VIZURI MAHOJIYANO
@Da-cr6ow
@Da-cr6ow 4 жыл бұрын
Mimi naona huyu uchebe hakumpiga alitakiwa ampe kipigo takatifu mjinga uyu maana ana mdomo kama chuchungi
@winnshirima4122
@winnshirima4122 4 жыл бұрын
Hahaa gelos unatia aibu girls inakushinda kutamka na ukubwa wote huo fyuu
@sadafrancis8309
@sadafrancis8309 4 жыл бұрын
Kazngua Sana
@matikosillamunanka9987
@matikosillamunanka9987 4 жыл бұрын
Mstaafu Makonda aliwahi kusema tunawapa Promo wajinga kina liquid Pierre watu lakini watu wa maana atuwapi Promo SHILOLE ANABABAISHWA NA UMAARUFU UNAMZIDI UMEKUA JUU KUZIDI UWEZO WAKE
@mudasina900
@mudasina900 4 жыл бұрын
Shilole hukumtendea haki snura unamuaibisha mwenzako mbele za watu wakati hakuongea hivo, mdomo huo umeona umepata iko siku utapatwa wewe mwanamke Ulokosa haya ovyooooo
@godfreymagoso5334
@godfreymagoso5334 4 жыл бұрын
I wish kale ka wimbo ka "elimu ya mjinga" kangewekwa playback wakati anaongea hii pumba ,,, Ungesikiliza ya snura bila mihemko ungemuelewa!! Sema nimependa wanawake wenzako wanavyokurudisha kwenye mstari!! Kamuombe radhi snura!!
@mtanzaniahalisimungunimwem673
@mtanzaniahalisimungunimwem673 4 жыл бұрын
Jemedari kivip jamani
@jumayusuph8471
@jumayusuph8471 4 жыл бұрын
Hapa Kuna tofauti kubwa Sana ya mtu kuwa na jinsia ya kike na mwanamke mwenye jinsia ya kike huyu shilole anashindwa kutambua kuwa yey ni jinsia gani na yupo katik kundi lipi katik hili ni mwanamke mwenye jinsia ya kike au ni mtu mwenye jinsia ya kike
@neemaneema7955
@neemaneema7955 4 жыл бұрын
Wee shilole ni chizi, tahira mkubwa, mm ndo nilisema upigwe tu sababu unakishimbe
@auntdorah9141
@auntdorah9141 4 жыл бұрын
Kamuaibisha msichana mwenzie..haya c mambo ya jukwaani..
@danielamosi7349
@danielamosi7349 4 жыл бұрын
Huu niujinga hata kama nikweli usingemuaibisha mwenzako
@irenetobico6392
@irenetobico6392 4 жыл бұрын
Ongea kiswahili tunakijua we ongea tu jmn maana Engilishi hapo ni ya senga kabisa
@estherminnahboaz6956
@estherminnahboaz6956 4 жыл бұрын
Yaani shilole kwasababu ulibakwa utotoni basi akili zako zipo matakoni yani kama chokoraa sishangai ccm wengi niwatu wasiosoma yaani majinga mengi kama shilole yapo ccm😂😂😂
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 4 жыл бұрын
Mbn huna makovu
@mohamedjackson3816
@mohamedjackson3816 4 жыл бұрын
Huna hikma WW uyo ni utoto hauna ujemedari wowote kuna nafasi nyingi za kuzunhumzia
@taustaus2737
@taustaus2737 4 жыл бұрын
Acha uongo uliyataka mwenyewe wewe ndio unajiona bora kuliko wengine mwanamke jebedali hua hapigwi kipumbavu jilekebishe acha utoto nawewe sasahivi nimzee karibu unatapata wajukuu
@eminaelytibesigwa4802
@eminaelytibesigwa4802 4 жыл бұрын
Kama hujui lugha ya kingereza ongea kiswahili tu inatosha
@munamuha5699
@munamuha5699 4 жыл бұрын
Wachana urongo hakusema hivyo.umezowea urongo kumbe inaoneka hujapigwa
@hadijapazia8255
@hadijapazia8255 4 жыл бұрын
Shilole umemkosea sn Snura,umemdhalilisha ili hali hakuongea ivyo, Cfa zikizidi mwisho wa cku unaharibu kabixa,cjaipenda iyo.
@nusurashaban955
@nusurashaban955 4 жыл бұрын
Wanasema msitiri mwenzako na we utasitirika yani mwenye sijapenda
@safiaothman1098
@safiaothman1098 4 жыл бұрын
Kwani hapa ulipomdhalilisha c Mtandaoni? Ungesubiri muwe wawili tu ndipo umulize Ukweli wa hilo jambo.
@erickkimario6180
@erickkimario6180 2 жыл бұрын
Ww kweli akili huna unaleta mipasho kwenye sehemu kama hiyo daah ,hata hyo mwanaume uliye naye walaa hutaishi naye kwa tabia zako mbovu
@mtembezikipara8623
@mtembezikipara8623 4 жыл бұрын
Pumbavu mkubwa wee uonewe huruma na umalaya wako aliye pigwa hana hata kovu
@chidybwax8080
@chidybwax8080 4 жыл бұрын
mshamba ty snura hanaga makuuu we mpenda sifa peleka ushamba huko igunga boya weee
@saidkanji9882
@saidkanji9882 3 жыл бұрын
Wewe jau
@sameerbaksh4216
@sameerbaksh4216 4 жыл бұрын
Hili nalo limejiona limepatia maisha ukiwa unaakili ukimuangalia huyu dem anapenda huruma sana ila ni sumu sana uchebe kavumilia meng
@albertjackson7586
@albertjackson7586 4 жыл бұрын
Pumbavu sana we dada umalaya tuu unakusumbua.. Huna hekima mahojianno ya snura tuliyaona hakuongea vibaya
@immahkobeh7620
@immahkobeh7620 4 жыл бұрын
Shishy
@nekashash2190
@nekashash2190 3 жыл бұрын
Shishi ni chizi wa darada la saba 😅😅
@joymsupagladysijeya8384
@joymsupagladysijeya8384 4 жыл бұрын
Sio poa nowadays shishi una ringa unaboo.
@luqmanmkwizu2908
@luqmanmkwizu2908 4 жыл бұрын
Kingereza gani iko cha mavimavi
@sodanseleman8155
@sodanseleman8155 4 жыл бұрын
Ww shilole azikutoshi nilikua nakuona unaakili kumbe zero
@jumasalum2722
@jumasalum2722 4 жыл бұрын
Duh
@mamymamy7938
@mamymamy7938 4 жыл бұрын
Hanaadabu tu hashuo kumdhalilisha mwenzo
@paulchilambo1561
@paulchilambo1561 4 жыл бұрын
👅👅👅👁👁 Uamdhalia mwenzio
@lloveyoutanzania5315
@lloveyoutanzania5315 3 жыл бұрын
Li kahaba hili
@faizislam2378
@faizislam2378 4 жыл бұрын
Mshenzi tu ww huna llt.humfiki snura hata robo wewee mbwa
@evancetilya5140
@evancetilya5140 4 жыл бұрын
Daaa
@wileyemanuel2810
@wileyemanuel2810 4 жыл бұрын
Waliompa huyukuwakilisha wasanii ninan hivi walikosamtu au unampaje uwakilishi mtu ambae hata ndoayake inamshinda
@k.obadgirl8677
@k.obadgirl8677 4 жыл бұрын
Englishiii iyooo mh 😂😂😂😂 s
@ashaali7154
@ashaali7154 4 жыл бұрын
Mwanamke jemedari kweli wewe kupiga wanaume ni sawa lakini ukipigwa wewe si sawa. Sheria ya wapi hiyo?
@madamjoyce5441
@madamjoyce5441 3 жыл бұрын
Unatabia mbaya we mdada loh!
@wivinemwamini9110
@wivinemwamini9110 4 жыл бұрын
Hehehe munadrama hazalani
@eminaelytibesigwa4802
@eminaelytibesigwa4802 4 жыл бұрын
Huna hekima
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 123 М.
Lamborghini vs Smoke 😱
00:38
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Симбу закрыли дома?! 🔒 #симба #симбочка #арти
00:41
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 6 МЛН
I thought one thing and the truth is something else 😂
00:34
عائلة ابو رعد Abo Raad family
Рет қаралды 16 МЛН
Snura afunguka yote kuhusu kashfa za kudamshi na  KIBEN-TEN
19:22
FULL INTERVIEW MKE WA MZEE YUSUPH,KIFO CHA MKE MDOGO,KUACHA MZIKI
47:22
ReyTox Pro Network
Рет қаралды 47 М.
Shilole alivyokuwa Muhudumu wa Hoteli na kumtongoza Ray
19:43
Millard Ayo
Рет қаралды 358 М.
Lamborghini vs Smoke 😱
00:38
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН