SHILOLE AVUNJA UKIMYA CHANZO CHA KUACHANA NA MUME WAKE/ SIRI HADHARANI NI AIBU

  Рет қаралды 79,568

BinaTv

BinaTv

Күн бұрын

Ahsante kwa kuwa mwana familia,(BINA Tv) kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ya BINA TV ili usipitwe na habari zetu.
#alikiba, #ayotv, #block 89, #bongo #chapchap, #bunge, #bungeni, #burnaboy, #ccm, #chadema, #davido, #diamondplatnumz, #diamondplatnumz, #good #morning, #habarizaleo, #habarizamillard #ayo, #harmonize, #lavalava, #lavidavi, #live, #magufuli #makonda, #mbosso, #mgahawa, #millard, #millardayo, #millardayo, #millardayotv, #rayvanny, #refresh, #serikali, #sportsarena, #sportscourt, #spots, #sundayworship, #tanzanianews, #thestorybook, #theswitch, #tiwasavage, #trending, #uchaguzi, #wasafi, #wasafifm, #wasafimedia, #wasafi tv, #wizkid, #yope, #yope #remix, #zuchu
#BinaTv #WasafiTv #ManaraTv

Пікірлер: 69
@dianerditto
@dianerditto 3 ай бұрын
Wewe bina tv mshenz sehemu gani kwenye hyo video shishi kaongea habr za bwana ake mbna waongo hvo, pumbvu kabisa na unsubscribe chanel yenu kuanzia leo...shenzi(in leonardo voice
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 13 күн бұрын
Yaan shishi nakupendaga sana na baba levo❤❤❤🎉🎉🎉👍👍👍👍
@beatricejohn1659
@beatricejohn1659 3 ай бұрын
Wapi shishi kaongelea kuachana?
@helentelemla5623
@helentelemla5623 3 ай бұрын
Kuna vipengele umenifanya ni cheke shishi 😂😂😂
@raybirry3816
@raybirry3816 3 ай бұрын
KICHWA CHA HABARI CHA UONGO.
@octave8873
@octave8873 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@LetdiscussBusiness
@LetdiscussBusiness 3 ай бұрын
Awee dini tumeletewa kula bia kwani zamani dulikuwa tuna habudu nini
@AnnamichaelVictor
@AnnamichaelVictor 2 ай бұрын
Hahhaahhahahhahahahaha
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 3 ай бұрын
Baba levo ni mlevi Mwenzio
@jescarobertkiswaga1580
@jescarobertkiswaga1580 3 ай бұрын
Shilole unaroho ya pekeako Shilole no matter what ila nakupenda bure tu.
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 3 ай бұрын
Unasema zamani wanaume walikuwa naonga kuzidi sasa.nikwa sababu watu wazami hawakuwa najuwa kutongoza wanawake na zamani warembo hawakuwa wingi kama sasa.leo kuna vibinti vya 2000 mitandao nayo inaongeza idadi ya mabinti kwaiyo kwanini kuonga pesa nyingi.
@DavidMbwilo-qk1bz
@DavidMbwilo-qk1bz 3 ай бұрын
Baba levo kakuweka Bondi 😂😂😂
@HassaniHamza-lr4ov
@HassaniHamza-lr4ov 3 ай бұрын
Mwaaah pendeza Ringa
@beatricejohn1659
@beatricejohn1659 3 ай бұрын
Saa ndio mmalizie kwa kingereza?😊😂
@Chrisscherry
@Chrisscherry 3 ай бұрын
Ila Tanzania nchi ya ajabu,celebrity akiachwa ama akiachika atafanya interview media zote,atasign madili😅😂😂😂
@shamsikiluwasha9541
@shamsikiluwasha9541 3 ай бұрын
Ss Kwan hao waislamu hawanyi
@JokhaJokhaabla
@JokhaJokhaabla 3 ай бұрын
wanakunywa lkn sio sheria kwani sio kila muislam dini imemkaa ndio mana kuna mashekhe Allah amewaleta ili waelimishe anaehitaji kuokoka ataokoka asiekubali basi atabaki pale anapohitaji kubaki na kamwe huwezi kumbadilisha mtu ikiwa yy hajakubali kukubali bali pia unaambiwa usichoke kumuelimisha
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips 3 ай бұрын
Towbah Air Tanzania tena
@mohamedsalum9465
@mohamedsalum9465 3 ай бұрын
sasa mwandishi ,bona unamshilka nywele
@Naju645
@Naju645 3 ай бұрын
Nakubali Baba levo anaakili mno
@SashaOscar
@SashaOscar 3 ай бұрын
Acheni makasiriko tafuten pesa achen kupangia watu maisha, mkifuata nyie izo sheria za dini inatosha, na uzur kama ni moto atachomw yy nyie mnaojifany wasafi bakin na usafi wenu
@Commentsplus
@Commentsplus 3 ай бұрын
Hakumuweka kidbway
@oyay2821
@oyay2821 3 ай бұрын
Hio media itawekwa bond sababu ya kamari
@tumainiellyimo4657
@tumainiellyimo4657 3 ай бұрын
Yaani hawa wasanii wanaishi maisha yakuigiza balaa
@umranim5854
@umranim5854 3 ай бұрын
DUNIA tu inakudanganya katika siku hizi tunzo sasa za dhul hija ni siku kubwa sana kwetu waislam na wewe ukiwa mtoto wa kiislam una tangaza pombe laana tu llah mungu akuhid kumbuka dunia ni mapito tu itaku cost kwa mungu tubu kwa Mungu usifurahie dunia maisha mafupi furahia Akhera yako tubu usihadaike na dunia 💔😔
@anastaziamathias8861
@anastaziamathias8861 3 ай бұрын
Maraika WA zamu umeshafiks
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 3 ай бұрын
Ulevi umekunenepesha Shilole mama
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 3 ай бұрын
SubhanaAllah yaan ww muislam umepewa pesa umeenda kununuwa ulevi umenda kuwaalika watu waje wanywe walewe ivi unajuwa dhambi ngapi zko na zahawo utakao wanywesha HasbiAllah waneemal wakili
@FatumaBadi-xi4fc
@FatumaBadi-xi4fc 3 ай бұрын
Msiba kwa kwel
@mariagrayson5414
@mariagrayson5414 3 ай бұрын
Inaonekana wewe hapo hauna dhambi na utaenda mbinguni. Hakuna mtu mkamilifu
@brghtonmgonja6831
@brghtonmgonja6831 3 ай бұрын
Sasa ndugu unataka akamjengee baba ako nyumba kijijijin au😊😊
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 3 ай бұрын
@@brghtonmgonja6831 Mimi nakujibu HasbiAllah waneemal wakili shenzi usojuwa dini koma ukomae mm na mtetea mwislam sijakutetea ww kafiri ukomae
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 3 ай бұрын
@@brghtonmgonja6831 wacha amjengee mama yko kijijini sina soda na nyumba wala sihitaji kitu kwakwe wala kwako ukitaka hata ww naweza nikakulipa mshahara kunapo ukweli kunauma ukomae Baba shenzi mtu akasema ukweli unauma mpaka kutowa maneno ya kijinga unashadidia dhambi kafiri ww na shilole Sawa sawa
@YusufuAbas
@YusufuAbas 3 ай бұрын
Dada mzuri halafu unachagua kuwa msukuma😂
@maryammussa2835
@maryammussa2835 3 ай бұрын
😏😏😏😏😏kwa kuwa cyo binadamu
@YusufuAbas
@YusufuAbas 3 ай бұрын
@@maryammussa2835 unakubarije kuwa msukuma halafu mzuri mi sipendi hii tabia basi tu.
@ThomasAlute
@ThomasAlute 3 ай бұрын
Mkundu wako uliojaa mavi
@NaomiMathias-q6h
@NaomiMathias-q6h 3 ай бұрын
😮😮😮
@theresaelizabethelijah117
@theresaelizabethelijah117 3 ай бұрын
😂😂😂
@DeborahSichone-b9c
@DeborahSichone-b9c 3 ай бұрын
Muumba akusamehe bure
@salmasaid1521
@salmasaid1521 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@everlyneasuma1817
@everlyneasuma1817 3 ай бұрын
Heri umejaa mavi ila anamaendeleo kukuliko😅😅
@noela86rogers
@noela86rogers 3 ай бұрын
Frodhen
@KhadijaJacob
@KhadijaJacob 3 ай бұрын
Dadaangu mnyamwez mwenzangu uko vzr
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 ай бұрын
Hahaha naona watalewa saaana 🤣🤣🤣
@shamimageta6651
@shamimageta6651 3 ай бұрын
Kwani Kuna ubaya Gani @shishi
SHILOLE AKIRI "NITAOLEWA HATA NDOA 30, KWANI KUNA UBAYA?
23:13
Millard Ayo
Рет қаралды 52 М.
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 57 МЛН
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 117 МЛН
wasanii wa nigeria Diamond platinumz amesema anawadizidi ela wasafi media#music
5:13
Diamond wasafi wcbTZ beatskomasavaTV 2024
Рет қаралды 1,1 М.
PROPHET IPM AMWAGA  UCHAFU WOTE WA DIDDY/ VIJANA ACHENI TAMAA
24:57
SHILOLE AWASHIWA MOTO NA DK SURE, KWANINI UNAWACHEZEA WANAUME
47:17
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 57 МЛН