Nabarikiwa sana na wimbo huu mungu atutangulie tuzidi kufanya vizur zaidi
@denisjoseph943 Жыл бұрын
barikiweni wana shirati! kanda maalum rorya!
@gilbertkivawiraofficiel8749 Жыл бұрын
Nawakumbuka marafiki zetu...mungu azidishie nguvu kstika kazi yake...Goma-Drc mumependwa kweli kupitia New jerusalem choire
@KennedyAdem-vs2kr Жыл бұрын
Mr Gilbert barikiwa
@user-rl8dv3pt8eАй бұрын
God bless all the choirs for wonderful songs l feel spiritually anourished
@barakamediatz5022 Жыл бұрын
Mbarikiwe kwa kazi njema..Najua kuna mahali tutakuwa pamoja na kufanya kitu cha pekee sana na watu watabarikiwa zaidi.
@danielkeroiga-mm9qb Жыл бұрын
Kazi nzuri sana nakuona Kijana Denis
@sabatojacob9620 Жыл бұрын
Wa kwetu Mungu awabariki sana
@agnesgames-zr2ih Жыл бұрын
❤❤❤ nawapenda Sana wadivetisita wasabath mungu awa baliki
@kelvinwilliam5145 Жыл бұрын
Kristo ndo jiwe imara 😘😘💯
@josephmaingu5650 Жыл бұрын
Nawapenda sana Kwa nyimbo zenu nyie na iringo Kwa kweli mnamwinua MUNGU wanajeshi wangu wa mpakani❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@sdasongslyrics Жыл бұрын
Happy Sabbath 😍😍 nmebarikiwa na huu wimbo.
@nyagwisnyagwis9306 Жыл бұрын
kwa kweli hp mmefanya kweli camini km ni kwaya yangu ya nyumban ndo mnafanya hv kwasasa, mungu awabariki Sana mm ni NYAGWIS nipo mbeya nawafatilia San vilivy