Shekh ALLAH akulipe kheri wewe na sisi sote na ALLAH atufikishe hali ya kuwa ni waislam na waumini na Inshaa Allah atuingize peponi pasina hesabu. Atakae kupinga kwa hiki huyo si mwislam na asipoomba msamaha atakuwa mwenye hasara hapa duniani na kesho kwa Mola wetu.
@saidali9255Ай бұрын
Bachu insha Allah Mwenyezi Mungu atamlinda,May Allah let them fighting the loosing battle! Bachu ni mfasaha na haongea bila ushahidi wa vitabu na maneno ya wanazuoni!
@jumaothman94493 жыл бұрын
Pole sana mzee Allah akuongoze katika hakki. Tuiyogope siku ambayo tutarudishwa kwa Allah
@mohamedisimaiАй бұрын
unajiona tayar uko kwa jannah 😢😢😢😢
@khatibame39763 жыл бұрын
Mashaallah shekh shahran, mungu akulinde na Shari na fitna za hawa wanaojiita masalifi
@nassirhamad94073 жыл бұрын
Salamaaa ya WAISLAM NA UISLAM iko katika kulazimiana na njiaa ya SALAF SWAAALIH Kama wao wanajiiita masalafi baaasi tufunzeni usalfi wa kweli ili tuuufuateee sasaaaa.... lakin sio bidaaaaaa
@abdullahothman44073 жыл бұрын
Mungu akuhifadhi mwalimu wangu na mitihani ya kidunia na ya kiahera
@abbubakarmfinanga573 жыл бұрын
Subhana lah waislam wenzangu ebu tuangalien mazingira aya tunayo fanyia iimijadala
@kipineonline3023 жыл бұрын
Alhamdulilah wamesha toa maoni wengi... Sheik umeongea kwa uzuri ila bado hujatoa hoja kuhusu suala hilo!
@binausimohammed7753 жыл бұрын
Unaonaje ww ukatoa hojja juu ya swala hilo.
@Ahmadasshii-raazy88883 жыл бұрын
شكرا شيخنا وبارك الله فيكم
@shimbo01463 жыл бұрын
Mungu atuongoze.mzee.wangu.ukijikwaa.unamtaja.nani.mtume.au.mungu.jirekebishe.umri umeenda
@binausimohammed7753 жыл бұрын
Yaan unaonaje ww ukabaki na msimamo wako ukamwacha na msimamo wake.
@hemedahmed30943 жыл бұрын
@@binausimohammed775 uislm ni dini ya dalili c kujifanyia hovyo Allah anasema ameikamilisha dini kwa hy kitachokuwa nje ya Quran na sunna ni bid'aah na kila bid'aah ni upotovu na kila upotoshaji unampeleka mtu motoni (Al Hadith) Ss mtufundishe lini na wap ktk Qur'an na sunna mtume Muhammad swalallahu aleyh wasalam alisheherekea cku ya kuzaliwa bc toa aya ktk Qur'an
@hemedahmed30943 жыл бұрын
@@binausimohammed775 Leo nimekukamiliishieni Dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni UISLAMU uwe ndiyo Dini. Na mwenye kushurutishwa na njaa, bila ya kupendelea dhambi, basi hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu na Mwenye kurehemu. Hii aya ilikuwa inamaanisha kisiongezeke kitu ktk dini
@AA-yr7sr2 жыл бұрын
Kwa hakika huyu sheikh Muhammed Bachu kipaji anacho MashaAllah tupokeeni tu tusim katishe tama kijana wetu nakuombeni wazee wote na vijana Asante
@mohamedisimaiАй бұрын
Kipaji anacho lakini hakina kocha wa uhakika so mbinu hana
@alhilaltvonline3 жыл бұрын
Wafahamishe sheikh. Allah akubarik. Kujua kiarabu si kujua dini.
@abdallahmzonge44552 жыл бұрын
hamna kitu hapo, hoja za msingi ziko kwa Muhammad Bachu
@humeidsinani2162 жыл бұрын
Hhhhhh umeongea kweli mwalim wngu
@iddyramathan45073 жыл бұрын
Namkubali sheikh Mohammad Nassoro Bachu kwa msimamo wake usiyoyumba
@kanasolange10632 жыл бұрын
Nasoro bacho Allah akuhifadhi
@hassanameir17103 жыл бұрын
Tunaocomment tuzingatie "yule ambae Anamuamini Allah na siku ya mwisho basi na azungumze kheri au anyamaze" shukran
@aishaalizubeir79642 жыл бұрын
Kweli kaka hlo nijambo muhimu sana..kuzingatia..watu wasiwe kama sisimizi hajui atokapo wala aendapo
@aishaalizubeir79642 жыл бұрын
Kikumbwa ni kusoma tukajua haki iko wapi...na cyo matamanio ya nafsi zetu
@jumamohamed52292 жыл бұрын
Shukran sana sheikh ilimu imewafikia wacha wazidi kujifunza wataelewa tu lkn watachkua mda
@jumatano2423 жыл бұрын
Adil tv kuwa makini na vichwa vyako vya habar hususan ktk masuala ya dini usione unavutia viewers
@Omaromar-rv3wf2 жыл бұрын
Ubarikiwe
@sulemeki28272 жыл бұрын
Mashallaa
@AbdulwahabMakameАй бұрын
Shekhe wetu SHAHRAN maelezo ya ALBUSIRY yako wazi ucbabaishe babaishe,
@hazjay46713 жыл бұрын
#MaShaAllahSheikh...!!
@ebrahimosman54773 жыл бұрын
Sadakta shehe 🙏
@kanasolange10632 жыл бұрын
Na baba yako pia Allah amrehem Amiin
@safiakhamis51052 жыл бұрын
Amin
@rajabually86593 жыл бұрын
Huo ndio uislamu tulikuwa kuwa nao sasa wakuzozana wenyewe kwa wenyewe sijui nani alituroga waislamu innaa lillaahi wainnaa ilayhi raajiuuni 😭😭😭😭
@galbasalim21643 жыл бұрын
Unasema uislamu umerogwa Tumu kwa Allah
@galbasalim21643 жыл бұрын
Aqida ni jambo muhimu sana
@allymuhamed72953 жыл бұрын
unahekma yakufikisha masha Allah
@moddyhh3 жыл бұрын
dah! Allah atuepushe kwa kwel , huu ni upotoshaji!
@mohamedisimaiАй бұрын
Una mizigo yako na ss tuna mizigo yetu kakojoe ukalale inshallah
@mamakemusab20112 жыл бұрын
Tawassul nikwa Allah pekee....Ila ukisema siku ya qiyama Allah yy mwenyewe atampa mtume Rehma na Amani ziwe juu yke uombezi Kwa ummat Muhammad swallah Allahu aleyhi wasallam ......Ila nyinyi mumezoea kutawassul hata kwa makaburi
@suleimanissa53012 жыл бұрын
kwa staili hiii wasoo kuwa waislam eti wasilim mtasubr sana
@Auf-uh3jq2 жыл бұрын
Shekhe Kuna watu wataka umaaarufu katika mitandao
@muslimbwattan28833 жыл бұрын
Naam swadakta mungu akuhifadhi (amiin)
@modaxbaba84503 жыл бұрын
Sheikh unafanya talbis,mm nilikuwa nakuheshimu sana kwa kujua kopo limejaa kumbe,subhaanallah.sheikh unapotosha ukweli
@nuramoboy2 жыл бұрын
Hihihi shehe bwabwa hili lishatutia aibu
@mohamedisimaiАй бұрын
Muongo una lako tu
@abuuharuna88203 жыл бұрын
Hapa hamna shekhe kuna mpinzani
@adensir6303 жыл бұрын
Sheikh kielimu Wewe Ni mdogo Sana kwa sheikh Muhammad nassoro bachu wapasa umuite Baba Ila kiumri sheikh Nassoro bachu atakuita Kaka kwa sababu tu ya Adabu aliyo nayo sheikh Muhammad bachu Allah amhifadhi kwa watu walio mzidi Umri...
@samxx4113 жыл бұрын
Bachu anajuwa kila sheikh kwa akili yako
@mohamedisimaiАй бұрын
Acha ujinga Allah amesema hakutoa ila kidogo tu
@ramadhanomar80933 жыл бұрын
Acha upuuzi wako huu...nlifikiri hii ni channel ya sunnah kumbe ni ukhurafi huu
@zuberizuberi78443 жыл бұрын
Ushajua nafasi yko mbele za Mungu au
@najashjejeje62163 жыл бұрын
Adil tv unafitinisha. Allah haridhii hivi. Kua mamini na vichwa vyako vya habari . Pia hajatajwa mtu jina hapo kwanini umeweka picha kama anaambiwa yeye.
@abdulazizmwipi92953 жыл бұрын
Ramadhan omar we ulitaka chaneli hi iwe ya nyie makhawaarij?
@abdul-rahmanfakijuma18793 жыл бұрын
Maa Shaa Allwah,
@AA-yr7sr2 жыл бұрын
Asalaam alaikum Warahmatullah Wabarakatu waisla ikiwa mtu kakosea mada kwa nn usimtafute ukafahamisha alafu yaishe maana sahivi ukikosea kidogotu mtu anakimbilia kwenye mtandao nakuku kandia kwahakika ni mtihani mkubwa huu SubhanaAllah
@mohamedisimaiАй бұрын
Sheikh bachu hakubali sabab yy ni kizazi cha mitandao
@jaymore67853 жыл бұрын
Mashaallah
@nuramoboy2 жыл бұрын
We shehe tafsiri hayo maneno ulosema ya barzanji..usilete ya kiama..Alla amesema clear waidhasaalaka ibadiya anni fainni karibu...haijasema nendeni kwa mtume...hata wanoabudia masanamu walisema manaabuduhum illa liyukarribuna ila Allah zulfa..hatuyaabudu haya masanamu ila yatukaribishe na Mungu kwa karibu..Tuache we shehe ubwabwa ..Kijana Bachu amesema sahihi
@munirsmith29382 жыл бұрын
Maneno ya sheikh shaharani yako sahihi hakuna ubaya wowote ikiwa dheheb lako ww huyakubali kwake yy inakubalika. Nyi vijana ndio mano watukana madheheb ya ashaira wakt ndio watu ambao wameandika kila kitu katika dini yetu
@abuukhayrallahissa54152 жыл бұрын
Sadakta
@ZainamavooMavooАй бұрын
Ambao hawkumulewa shekh bc hawjielew
@siloomar76993 жыл бұрын
Ndio ushirikina
@salehabdulrahmanbakar25453 жыл бұрын
Wewe babu mpotoshaji maulidi hayafaii
@maulidimrisho42292 жыл бұрын
Mashekhe wa Msulidi wana tia aibu sana
@shariffhabshy67703 жыл бұрын
Masha Allah sheikh umeeleza vizuri lakini mawahabi ni summun bukmun hata uwanbie nini.
@OmaryTambi Жыл бұрын
Sheikh we hanna ki2
@lemalisipilali2 жыл бұрын
Sheikh kumbukeni siku ya q'iyam nyinyi ndio viongoz mna potosha watu waache ukweli
@hamadfaki25033 жыл бұрын
Shaharani yani hicho Qiasi ulichotumia ni qiasi batili, kwaiyo kumbe ukifikwa na shida hapo ulipo unamuita mtume akutatulie shida yako?
@hajjkhamis19833 жыл бұрын
Jaman ni qiswa batili hicho !!??
@عمررمضان-ب7س3 жыл бұрын
Kwa ufahamu huo nikumuomba Allah akuongoze tu njia ya sawa,maana wachanganya shafaa ya siku ya kiama na kumuomba Muhammad dunian akiwa kaburin
@binausimohammed7753 жыл бұрын
Naona unapo kua na shida unamuomba Allah na humuombi mtu. Ukiwa wahabi ni mjinga tu hutoelewa hayo anayo ongea huyo mzee hapao ni wenye akili za moyoni tu ndio wanao elewa
@khamistv9223 жыл бұрын
Yani na ww ndio walewale
@salummzee97392 жыл бұрын
Mtume Muhammad s a w alitabiri mwisho wa dunia watazuka wanazuon waongo watakupeni tabu kwaio ndio huyu miongon mwao tumeona sasa
@seifabdulwahid45793 жыл бұрын
Sasa hayo majungu Shekhe unosema. Ww ulikuwaufahamishe tu na hilo ndo tatizo la Mashekhe wetu mnakuwa mnawapa mdomo Wakiristo
@mbarouksalum83193 жыл бұрын
huyu nae anazeeka anateta shirki kiasi alichotumia hakiingii kabisa magurafi hawaoni tabu kusema uongo shaharani mche Allah
@binausimohammed7753 жыл бұрын
Hakiwezi kuingia maan nzi anao ona asali huona mzoga na mzoga kwake ndio asali. Mtu Alie soma chini ya mufti awe hajui wew ukue. Nyie mikia ya ibilisi tu
@hamadmasoud4903 жыл бұрын
Sheha Mzee alinganisha dunia na akhera , duniani mtu anahiari lkn akhera hakuna hiari , sisi tumeambiwa tumfuate mtume sio tumuambudu Shehearejee vitabu kuoma Sana sio kuwa na elinu elimu hupewa mcha Mungu
@amatullahummufurqaana72833 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌Kuna zingine Raddi ni muswiba 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@abii-nurayn2 жыл бұрын
🙆♀️
@yusufathman24783 жыл бұрын
Sheikh hujielewi.. kwan sisi tumekufa taari.. hadi tumtake mtume msaada. Eleweni watu wa maulid hamjielewi hamna hoja.
@nuramoboy2 жыл бұрын
Hata mie nashangaa basi tusisali tusubiri kuombewa akhera
@abusultanzimbawy5013 жыл бұрын
Beiti yenyewe yakupiga chenga
@kondempya2 жыл бұрын
Mijitu ya maulidi sijui itajitambua lini kuwa ni uzushi
@pakashume7253 жыл бұрын
Mtoto anakupelekeni mbio saana, ni Bora mkakaa kimya tu.
@Ibrahim-st3uo3 жыл бұрын
Amesema Imami Shafii " Hawi Mtu sufi Asubuhi ikafika Jioni akawa na akili timamu "
@abdulazizmwipi92953 жыл бұрын
Ila mtume hajasema hvyo
@nassirhamad94073 жыл бұрын
بارک الله فيک Massufii ni watu wa baya sanaaa na zanzibar hukoo kinaa konaaa Allah mustaaan
@abdulazizmwipi92953 жыл бұрын
@@nassirhamad9407 kher nyie mawahabbi wazur mlobashriwa pepo nq mtume Aya cc mliotubashria Moto tuacheni tufny ya kwetu mbna mnatuinglia fateni aqida yenu nyie mawahabbi mbn kila kukicha mnawajadili masufi loh mbn cc hatuwainglii loh mwajiona mmeokoka
@bahashachembea69223 жыл бұрын
Amsema katika kitabu gani?
@abdulazizmwipi92953 жыл бұрын
@@bahashachembea6922 hlo ndy swali la kuuliza haswa
@abdallahkawambwa26663 жыл бұрын
Shekh ukovizur lughainapanda
@mabrukjuma38783 жыл бұрын
Hii dini pia usipojuwa kiarabu vizuri utaenda visivyo ulamaa wote waliimarisha lugha mwanzo
@mafaza.tv.tz2552 жыл бұрын
Tofauti ni kwamba siku ya kiama mtume atakuepo, lakini saiv mtume anakusaidia nini wakati ashakufa... Zaman maswahaba walikua wakitaswili wakati mtume yuhai, alipokufa wakaacha.... Sasa saiv mtume aahakufa amani iwe juu yake, ukimuomba yeye anaskia kweli, atakujibu kweli...
@nureinimohamed4492 жыл бұрын
Huyu Mohamed Baachu ata leta shida na vurugu wa usalama katika inchi ya Tanzania.
@akidanyanje90723 жыл бұрын
Hawa mashekh naona kama wanatucheza shere
@Hongkongman22 жыл бұрын
Hawa mashekh ubwabwa ni wabishi Hiyo siku ya hesabu mtume salla llaahu alyhi wasallam hatakua na huo uwezo wa kutuombea bila kupata idhini ya allah subhanahu wataala Allah ndio atamuamrisha rasuulu llah salla llaahu alyhi wasallam haya waombee Kwa hiyo wa kumkimbilia kwenye matatizo ni Aallah peke yake Na mshirika Huyo utakaemkimbilia ww kumwambia akuombee yeye atatoa wapi nguvu ya kutatua shida zako bila idhini ya allah ? Hawa masehe ubwabwa wanapotosha sana Kijana wetu mohd bachu allah amhifadhi yupo vizuri sana
@msabahaali7583 жыл бұрын
Shekhe unajihakikisha kwa kutetea bidaa unakesho usiku badala ya kufanya ibada
@adilhabib89883 жыл бұрын
Wachani maulid mzeeee
@Team-t6k3 жыл бұрын
Sheikh : 1. Unamtaja saana Mtume swallalahu alayhi wa salam pasina kumsaliya kisha unadayi kuwa unampenda juu maulidi Mtume swallalahu alayhi wa salam anasema bahili ni yule nitakapo tajwa kishwa asini swaliyi. 2. Sheikh kwani walikwambiya wakati matatizo ya siku ya Qiyama Mtume swallalahu alayhi wa salam atakapo pewa izni ni Allah alisema kuwa shifa yake itakuwa halali kwa wanao fanya mzuliya? Ao alisema kuwa ni ile dua baada ya adhan 3. Maliziye iyo hadith yote na tafsi yake acha kutuchangana ayo maneno hayaendani na iyo hadith Wallah a'alam
@omysule71183 жыл бұрын
Hoja zako hazielewek, hemu jenga hoja vzr
@Team-t6k3 жыл бұрын
@@omysule7118 mwambiye amiliziye iyo hadith uyo mzee njoo hoja kama inahusu ayo maneno yake
@khamistv9223 жыл бұрын
Yani weye ndio zero kabisaaa,tukasome jamanini,hizo ni bahar kubwa za elimu,kuchwa kitupu hautaelewa kituuu
@ahmadsayyeed79103 жыл бұрын
Shekhe nikuambie yeye amemtaja na jibu lake ni amemsalia acha kujifanya unaijua zaidi dini
@Team-t6k3 жыл бұрын
@@ahmadsayyeed7910 hahahahaha tatizo sio ilo unalo fikiriya leo kila moja anataka apachika frika zake pasina dalili sahih njoo azingi akilini za watu pako video nyingine ungine alijibu bingine iyo njoo faida ya bid'a huwezi kupata jawabu sahih ispokuwa kila moja atasema anavyofikiriya.
@amanichanzi43152 жыл бұрын
Sheikh wa mchongo huyu hajui hata adabu ya kutaja mtume swalallahu alayhi wassalam
@thamratysuleiman3053Ай бұрын
Sheikh nakupenda kwa ajili ya Allah.lakini kwa hili sikuungi mkono. Cku ya hukumu ,tutakua tumefufuliwa wote hata mtoto mdogo ataombea wazazi wake ,ila hapa duniani ,Mtume saw ameshafariki.sasa tutamkimbiliaje?
@abuuthauran99332 жыл бұрын
Ufuhamu wako Shahrani nimbovu sana na hiyo ndio elimu uliyoipata misri. Unakatazwa kumkimbilia mtume sababu yeye ameshafarika lkn siku yaqiyama watu wote watakua wamefufuliwa na yeye Mtume atakua hadhwir. Unatia aibu shekh Nibora ungenyamaza.
@abdulkareemseif18923 жыл бұрын
Kweli bana watu wa maulidi mwapenda shirki
@SalahAli-rq5sp3 жыл бұрын
Uyu shekhe leo waongea utopolo mtupu
@sidrasidra86163 жыл бұрын
🤔🤔🤔🤔🤭
@galbasalim21643 жыл бұрын
Siku ya kiama imethibiti kwamba Rasuli ﷺ atapewa idhni ya shifaa dalili iko wazi but hapa duniani Dalili ya shifaa iko wapi LETE DALILI WACHA MIZUNGUKO PLEASE
Allah ndie anaetajwa.. Hata Mtume s.a.w alikuwa hataji baba zake au mitume wengin kama Nabii Ibrahim a.s Alikuwa anamtaja Allah s.w. Alikuwa akisema Rabbi rabii, wala hakuwa akisema Abii Abii, jina la Mola wake ndio lilikuwa la mwanzo. Aombwae ni Allah mtukufu.. Je Baada ya Kufa Mtume s.a.w Sayyidina Abubakar R.a alisoma maulidi ya Mtume.? Haiwezekani watu wa mwanzo waliokuwa pamoja na Mtume wakalijua jambo na kulifanya ikawa watu wa zama hizi wanalijua wao zaidi kuliko hao wa mwanzo.
@drimazonechoice98223 жыл бұрын
sas wew na mm tunafanana na Mtume Muhhamad(s.a.w)?na je quraan unayo isoma wew leo ilipoamdikwa Mtume alikuwapo?muhim ni kusoma na ukielewa ndipo utende ALLAH anapenda ibada au aamali njema ambayo itafanywa kea elim nayo sio mihemko
@karimdaud39933 жыл бұрын
Tukiomba duaa tunamsalia mtume s.a.w halafu tunaendelea na duaa tukimaliza tuna funga duaa kwa kumsalia MUHHAMAD SWALALLAHU ALAYHI WASSALAM.
@iddybarua55303 жыл бұрын
Watu kama hawa si wakuwasikiza watakuingizeni kwenye shirk
@ahmadsaid91372 жыл бұрын
Ww Adil kiswahili hujui,,,KIYARABU ndio nn????KIARABU
@mussamsuya85953 жыл бұрын
KALALE
@mabrukjuma38783 жыл бұрын
Huyu ghurafi haelewi asema nini wrong and poor understanding subhanallah
@muhammadmjara67763 жыл бұрын
wazushi kila siku wanazidi kubabaikatu hawana hata lamaana lakusema ahalu bidaa
@khamistv9223 жыл бұрын
Kasome kijana,kama ni bidaa basi maisha yako yote inayoishi ni bidaa tupuu,je unasemaje apo
@lemalisipilali2 жыл бұрын
Vikirieni lakini maneno yake mbona sio kama mnapo vikiria nyinyi
@abulfadhwil37333 жыл бұрын
Tatizo kubwa la wazanzibar hawajui dini wamezaliwa na waswahili wakarithi uswahili
@mahamoudduchi33183 жыл бұрын
Ukisha kuijuwa wewe tu iyo dini imetosha ndugu.
@abuuqatada97912 жыл бұрын
Watu wa maulid hiyo ndio itikadi yeny potofu mnafany shirki Sanaa kwenye mamaulidi yenu
Serikali na Idaara ya usalama iwe Maacho Na migawanyiko na chuki katika diini.
@abdulahmahamed37902 жыл бұрын
Angesema tu kwenye hiyo abyati ama angeongeza tu kuwa ni siku ya kiama lakini wewe unatafsiri kwa kutumia kichwa chako
@muhidinally37533 жыл бұрын
Sheikh kweli unamtegemea mtume akutatulie matatizo yako hapa duniani, sasa utofauti wako na wakristo wanaoamini Yesu ni Mungu ni ipi? Sheikh wangu????Kisa hicho hakihusiani kabisaaa Sheikh unapotosha kabisa. Tukubali hapo ni shirki kama ya Manaswara tu. Huo ni msiba kwa masheikh zetu jamani. Duuuu
@nureinimohamed4492 жыл бұрын
Mohamed Baachu, ni mtu wa ku sababisha waislamu kuchukiana na hizo fikra zime baangwa na mayahudi. Na baadaye ata leta fikra za uhalfu katika diini.
@abdulimapande42653 жыл бұрын
Wewe nawe kua muelewa shekhe hajatamka hapa duniani amezungumza maombezi ya mtume Muhammad siku ya kiyama msitafute hoja zisizokua za msingi sikilizeni maneno yanayozungumzwa na maana yake msikosoe musivovijua.
@neronapoleon60543 жыл бұрын
Unacheza na mawahabi wewe, walimkufurisha Mwanazuoni Nasirudin Albanii na kusababisha aondoke CHUO CHA MADINA, sababu alisema mwanamke si lazima kuvaa Nigabu , anaweza kuvaa Hijabu ya kawaida ,labda aamue mwenyewe kuvaa lkn asilazimishwe. Walimwita Kafiri ......ndio kazi ya Wahabi .....Kuna wakati unafika anajipinga hadi kivuli chake
@mabrukjuma38783 жыл бұрын
Shek albani unaowaita mawahabi wanamkubali nishk wao wala hiyo haikuwa sababu yakutolewa madina kisha alirudi hapohapo
@rashidabasi79403 жыл бұрын
Mbora wa wakulima naye ni mkulima, Mbora wa watu na yeye ni mtu, mbora wa wasomi naye ni msomi, mbora wa kalala naye analala, mbora wa waislam naye ni muislam, MBORA WA VIUMBE NAYE NI KIUMBE. Simple logic
@salmabintuthman32433 жыл бұрын
ADIL TV KICHWA cha uwongo hakifai katika mambo ya dini. CHUNGA SANA USITAFUTE PESA KWA UWONGO
@arjenarjen67183 жыл бұрын
Muhammad lugha bado kabisa
@mustayoo3 жыл бұрын
Ww pia yaonekana uzee wakusumbua.Wakukimbiliwa ni Allah peke yake
@abuushakiraddausiy86662 жыл бұрын
Shekh hapo umejikoroga hayo matukio nitofauti kabisaa....sababu kiyaama..woote tuko hai hakuna alokufa....twaenda tukiwa haii nakadhwiyya nikwenda kuombewa...sasa hayo maneno ya kumuomba mtume sasa hivii hapa duniani yafaaaa ??! Mche mola wako mashekh njaa....
@abuutalibabdi91682 жыл бұрын
hawa wote wapo right ni mambo madogo madogo tu
@yusuffaki88413 жыл бұрын
Hawana Adab Ao Wasenge t
@abdillahlutemba80613 жыл бұрын
Acheni kutangaza ujinga mitandaoni kwanini mwagawa waislam kwa mambo ya kipuuzi
@OmarOmar-wx9zg3 жыл бұрын
2-1-2022🤣🤣🤣🤣
@haythamali74963 жыл бұрын
Mfahamisheni kijana huyo ataelewa
@ahmadsaid91372 жыл бұрын
Wewe Adil hujielewi,,,mara unampost muhammad bachu,,,mara unampost na title za matusi ,,,soma kijana wacha ujinga