HALI HII YAMTOA OFISINI MKUU WA MKOA MHE. AYOUB

  Рет қаралды 49,966

AL FATAH TV ONLINE

AL FATAH TV ONLINE

Күн бұрын

Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
#AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
#ZANZIBAR​​

Пікірлер: 122
@HalimaMwamzuka
@HalimaMwamzuka Жыл бұрын
Mungu awabariki Al fatah
@abubakarshamuhuni3894
@abubakarshamuhuni3894 Жыл бұрын
Mungu mbariki mheshimiwa wetu wa mkoa wa kaskazini tunampenda sana wamjini walimuondosha kimaslahi ya mashoga mmetuletea wakaskazini tumefurahi sana mungu mlinde muheshimiwa AYUUB MUHAMMAD
@fatmamuhammed9713
@fatmamuhammed9713 Жыл бұрын
Molla amlipe mema mjini hatukumuondoa tunampena na tunamtaka lkn ndio hivyo
@hafidhothman1899
@hafidhothman1899 Жыл бұрын
Mashallah Akhy Ayoub Allah akubarik akupe wepesi na njia nzr za uongozi wko na akupe wepesi wa maisha yako hapa duniani na akhera pia....shukrn
@ummyidrisaummyidrisa-ls2vm
@ummyidrisaummyidrisa-ls2vm Жыл бұрын
Alhamdu lilah Allah akulipe kila la kheri MH Ayoub
@raysjames1776
@raysjames1776 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akubariki
@azzaalhabsi1505
@azzaalhabsi1505 Жыл бұрын
Mashaallah mh ayoub allah akulipe kila lenye kheri wewe pamoja na familia yako awape afya njema na umri mrefu.akuzidishie moyo wa imani.allah ampe shifaa mgonjwa apone ampe furaha pamoja na familia yake.asante alfatah allah awalipe mema zaidi na zaid.
@MohammedSleyyum-g9r
@MohammedSleyyum-g9r 5 ай бұрын
Vizuri Sana Allah akulipe,
@ummuhafswa8980
@ummuhafswa8980 Жыл бұрын
Mashaallah. Ngekua viongozi wanchi wote wapohiv jua lisingezidi sentimita zake pamoja n mvua kuleta madhara.
@salimmbwana6926
@salimmbwana6926 Жыл бұрын
Allah awalipe kila la kheri
@abdulbandidu119
@abdulbandidu119 Жыл бұрын
One of the best RC in Zanzibar,Ayoub Mohammed Mahmoud ubarikiwe ww na kizazi chako. ( Aamin).
@abumoyo840
@abumoyo840 Жыл бұрын
Mungu amjalie kheri inshallah
@سالم-ك7ر
@سالم-ك7ر Жыл бұрын
Alhamdulilah ALLAH awajazi kheri❤
@biberpriyer330
@biberpriyer330 Жыл бұрын
Allah awalipe ujira wenye kukinaisha wote waliofanikisha jambo hili 🤲🤲🤲🤲🤲🤲aaamin
@lailalaila8206
@lailalaila8206 Жыл бұрын
wasitirin waja mnaongoza mriopewa zamana na sio kuangamiza waja mnaongoza allah hamjaze kher uyo mku wa mkoa
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 Жыл бұрын
Allah akujaalie pepo mkuu wa mkowa pamoja na alfatah na mgojwa wetu Allah ampe shifaa ya haraka 🤲
@ummuhafswa8980
@ummuhafswa8980 Жыл бұрын
Allah ajaalie kiwe kifutio chamadhambi yake kiongozi huyu muadilif
@sabrinasabrina8395
@sabrinasabrina8395 Жыл бұрын
Allah atupe stara dunian na kesho akheera
@subetizaid6515
@subetizaid6515 Жыл бұрын
Alhamdulillah Allah Yuko pamoja nanyi insha Allah
@aishatmohd5306
@aishatmohd5306 Жыл бұрын
Maaashallah
@josephtheophilo9472
@josephtheophilo9472 Жыл бұрын
Mashaaallah
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
😢😢😢😢😢😢😢jamani الله awalipe kheri. Huyu RC tunasikia sifa zako nzuri sana, hususani kuteketeza ushoga, الله akulipe abui.
@hamidomar7474
@hamidomar7474 Жыл бұрын
Binafc mh ayob tunamkubali arudishwe mjini
@FatmaMohamed-jw2lc
@FatmaMohamed-jw2lc Жыл бұрын
Ninavyokupenda na taman uwe Raisi wetu one day Insha a Allah😍😘😍
@luqmanothman1692
@luqmanothman1692 Жыл бұрын
Ukweli muheshimiwa Ayoub ni kiongozi wa kuigwa. Anajitahidi
@fathmaoman1186
@fathmaoman1186 Жыл бұрын
Allah aibariki familia hií, na ambariki kiongozi wetu pamoja na alfatah na wote wanaochangia
@yasminjuma9146
@yasminjuma9146 Жыл бұрын
ALHAMDULILLAH ALLAH akulipeni kheri amin. Na jambo zuri lilonifurahisha kuja na doctor.afya ndio kila kitu
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 Жыл бұрын
Hivyo vinanda vyani? Bora hata mngeweka dua kuliko mananda hayo yanakera yatoeni ovyooo kabisa.
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 Жыл бұрын
Kweli
@DaRa-dz9ri
@DaRa-dz9ri Жыл бұрын
mm nilikua namkubal lkn saiv ananikera anabaguwa sana muheshimiwa
@robbyone453
@robbyone453 9 ай бұрын
Here BP mbona mpaka ss hii njumbahaije jengwa hadileoo kunann
@adilihassan8455
@adilihassan8455 Жыл бұрын
Ssawa sheikh,bt mbona waonekana ukifanya aamal kuidhihirsha,??chunga riyah_ chunga,hii ni biashara kubwa baina ya nyiny na Allah tiuuuuu,
@khadijaali6
@khadijaali6 Жыл бұрын
Shida mpaka muonyeshe watu mwaporomosha thawabu
@rastafare878
@rastafare878 Жыл бұрын
Natamani wewe angalau ingelikuwa ndie makamo wa pili au raisi mwenyewe , huenda Zanzibar yetu ingelikuwa Na maadili yake na heshima yake , Zanzibar yetu imechafuliwa mnoooooo, utamaduni Na maadili yetu yote pamoja Na dini vimeharibiwa sana , maskini Zanzibar yetu😭😭😭
@MohamedMgwami-nw6bl
@MohamedMgwami-nw6bl 6 ай бұрын
Mheshimiwa ayoub mahmoud mohammed allah swt akulipe badala kwa kuguswa kwako na mitihani ya mzee wetu huyu,umefanya ibada kubwa sanaaa,allah swt atakulipa badala insha allah,
@DaRa-dz9ri
@DaRa-dz9ri Жыл бұрын
anaubaguz uyo
@KassimAbdul_wfg
@KassimAbdul_wfg Жыл бұрын
Allah aibarki family hii na ampe shifaah mzee wetu na alinde family hii na wabariki taasisi ya Al Fatah TV na kwa hakika hawa ndo viongozi wanao takiwa katika jamii # mkuu wa mkoa huo
@zulfaissa7814
@zulfaissa7814 Жыл бұрын
Mwenyezi mungu awajalie mwendeleze kua namoyo wasubra yadhati nawendelea kuwasaidia nawengine
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 Жыл бұрын
Amin
@zeinabathman4969
@zeinabathman4969 Жыл бұрын
Mashallah tabarakallah fih mashallah kaka rashid mungu akuzidishie UTU wako inshallah na wote walochangia inshallah mashallah tabarakallah fih mashallah so sad wallah mungu atawaezesha hapo na pengine inshallah ameen
@hafidhothman1899
@hafidhothman1899 Жыл бұрын
Hkk nakpnda sana hkk ww ni kiongozi cjaona km ww nakpnda sana Alla ajaalie viongozi wengine wafate njia zako
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Masikini mashaalah mungu aponywe huyo baba amuondoleye maradhi na njaa mtihani wauwalah na shida hizo za umasikini
@lailalaila8206
@lailalaila8206 Жыл бұрын
tatu wanasaponti mashoga wanashindwa kusaponti watu wenyeuitaji wa maisha magum nyumba mbovu chakura hakuna mazingira hatarishi harafu wazungu wanasema haki za binadamu kufokoana mavi mbon hamtoi misada ya raiya waishao maisha magum na wagonjwo ndio haki za binadam kwan kila binadam anatakiwa kuishi vzuri na maisha bola na sio viongoz wa juu mnasaponti ushoga tu si ujinga
@RehemaNyela-ps1tn
@RehemaNyela-ps1tn Жыл бұрын
Ewe mungu wape afya njema viongozi wenye huruma amina
@aminaramadhan3815
@aminaramadhan3815 Жыл бұрын
Inasikitisha sn mwenyezi mungo hatawasimamia amin
@WaydaHaji
@WaydaHaji Жыл бұрын
Mungu atujalie nguvu tuwaone na wenzetu walo na hali ngumu zaid
@chamandaayolaiza1535
@chamandaayolaiza1535 6 ай бұрын
KWA NNI MUNATIA MUSIC JMN NA QUARN IMEPIGA MUSIC 😢😢
@scoutpwanimchangani6711
@scoutpwanimchangani6711 Жыл бұрын
Ukweli usiopingika Allah ndie mlipaji wa yote kwa Kila anaetoa basi tumtegemee Allah atatulipa. Mhe Rc Sina la kusema ila ukweli siku ya kuchimba msingi tujuilishwe angalau tuje tujitolee
@afropanorama4730
@afropanorama4730 6 ай бұрын
wazee wenye kuhitaji msaada wapo wengi sio yy tu
@aishajumahasan9175
@aishajumahasan9175 Жыл бұрын
😢😢😢allah akulipe kheri zaid dunian na akhera
@AishaMohd-ov1jg
@AishaMohd-ov1jg Жыл бұрын
Allah awalipe kheri InshaAllah
@issakarim4413
@issakarim4413 Жыл бұрын
Nimetokwa na machoz Allah akulipe kla la kheri ww na rais wa zanzibar kwa moyo wenu wa upendo allah akupeni mwisho mwema mzidi kufanya mazur hongera sana kheri kutoka kwa allah zitakufkieni
@saeedmassoud256
@saeedmassoud256 3 ай бұрын
Inshallah Allah atawalipa kheri
@salehchani879
@salehchani879 Жыл бұрын
Mashallah mh mungu akubarik
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 Жыл бұрын
Nchi ya hovyo sana . Wazee kama hawa wanahaki wakusaidiwa na serikali 😢kimatibabu na kichakula
@umubyeyisandra
@umubyeyisandra Жыл бұрын
Ni kweli kbc sio tzn
@salmaomar8612
@salmaomar8612 Жыл бұрын
Nilisikitika sana nilipoona video no 1. Leo nimefarijika kwa hatua alizochukua Mkuu wa Mkoa. Nakuaminia sana Mkuu. Mwenyezi Mungu akulipe kheri na akupe Kinga katika Shari na khusda za kidunia Mkuu wa Mkoa. Basi hebu toeni no ya simu kwa wale wanaotaka kutabaruq hata kwa uchache wa pesa tu. InshaAllah.
@salmaomar8612
@salmaomar8612 Жыл бұрын
Mm Niliwapenda sana sana wazee wangu wawili walipokuwa hai. Niliwanyenyekea sana. Walipokufa huku wakifuatana ukaribu wa tarehe zao za kufariki, niliona kama kwamba sikuwafanyia lolote jema kwa kipimo cha bidii walokuwanayo kwangu. Na siwezi kuwalipa chochote milele. Wazee wema ndio kila kitu kwa watoto wao. Na mzee wa mwenzio ni wako. Hebu basi tuonyeshe huruma kwa mzee huyu maana ni mzee wetu pia. Mwenyezi Mungu amlipe kheri kwa mtihani alompa. Na sisi tumsaidie kwa chochote tutachojaaliwa. InshaAllah.
@JohariKisongo
@JohariKisongo 8 ай бұрын
Mungu awazidishia neema
@hafidhothman1899
@hafidhothman1899 Жыл бұрын
Alfatah 👍👍👍👍
@samsungoman5626
@samsungoman5626 Жыл бұрын
😭😭😭😭
@roseatienoogutu7641
@roseatienoogutu7641 Жыл бұрын
❤❤Allah akbar
@omarabdalla928
@omarabdalla928 Жыл бұрын
Maasha Allah
@husnaali1610
@husnaali1610 Жыл бұрын
Mkuuu es mkoa mashallah Allah akupekilaheri.Amin
@abuuhafswamunsheedu5790
@abuuhafswamunsheedu5790 Жыл бұрын
Allah awalipe kheri Alfatah Tv
@ZainabSief-lm7le
@ZainabSief-lm7le Жыл бұрын
Mashallah
@fauziyaomar7090
@fauziyaomar7090 Жыл бұрын
Mashallah
@kiri5807
@kiri5807 Жыл бұрын
Mashaallah Mhesh Ayoub Allah akuongeze zaid ya unachotoa .
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Zanzibar kumbe bado saana ni mbali na Dunia
@SaramaMassoud-by9ik
@SaramaMassoud-by9ik Жыл бұрын
Amiin kwa dua zote Mungu awape Shifaa wagonjwa wote na pia atujalie imani ya kuweza kuwasaidia wengine kwa kweli hali ni mzito inasikisha sana lakin yote ni maandilko ya mola. Shekh Rashid nawe pia utapata ujira wako na Mheshimiwa M/mkoa tunashkuru kwa imani uloionesha mungu ajaze kheri katika hili
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 Жыл бұрын
Masha Allah mungu akuweke mkuu wa mkoa ili upate kusaidia zaidi na wengine ishallah
@hafidhkhamis731
@hafidhkhamis731 Жыл бұрын
Hongera Mkuu Wa MKOA mh Ayoub Allah akujalie uwe kiongoz Wa nchi badae ya docter mwinyi kumaliza mda wake
@fatmabhai2812
@fatmabhai2812 Жыл бұрын
ALLAHU AKBAR. mwenyezmungu wape STARA Wazazi wetu. Wape khucni lkhatima.babu kanitoa machoziiiiiiii 😭😭😭😭😭😭dah ! Yaaa rabbyyy wactiri Wazazi wng na Wazazi wa WENZANGU. MACKINI BABU😭😭😭😭😭😭!. Mungu mfanyie wepec mzee huyu na umpe afya njema na umpe furaha na umsameh makosa yake tangu yupo hai na umpe khucni lkhatima ikifika ck yake ya mwisho. Pia umjaalie shahada kabla l-maut 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭.
@hamadjuma2079
@hamadjuma2079 Жыл бұрын
Huyu nimfano wakuigwa kwavionhoz hakika ana sifa zakuitwa good leader mashaalla Allah ambarik huyukiongoz
@abdallahgosso3029
@abdallahgosso3029 Жыл бұрын
Wachache wenye moyo kama huo mungu amlipe mbele ya mungu lakini viongozi wengine wajifuze
@SaidSeif-pk4yd
@SaidSeif-pk4yd Жыл бұрын
Allha akujalie mheshimiwa ayubu allah akupe umri mrefu naomba mungu usijebadiri muelekeo kaka angu
@salhaayub1338
@salhaayub1338 Жыл бұрын
Allah awahifadhin wote wenye kujua thaman ya utu na kuikimbilia akhera Allah awalipe
@mariammapendo7265
@mariammapendo7265 Жыл бұрын
MashaAllah Alhamdulillah kwakuwa muislamu tunahurumasna na mapenzi
@bintsalimalbimany287
@bintsalimalbimany287 Жыл бұрын
Mashallah Wallah tangia nijione hii video naskitika NAWAOMBEA dua Allah akbar Jazakumullah kher🤲
@khelefomary4486
@khelefomary4486 Жыл бұрын
Mkuu huyu WA mkoa yupo vizuri sana agombee tu urais WA zanzibar
@kudurakhamis719
@kudurakhamis719 Жыл бұрын
Ni mtihn kwa kwl Allah amuhifadhi mzee na familia yk,na amlipe kila la kheri Mh.RC Ayoub M mahmoud
@saydathyhakizimana9348
@saydathyhakizimana9348 Жыл бұрын
Allah akubarikeni nduguzangu🇧🇮🇧🇮
@asnaaali3264
@asnaaali3264 Жыл бұрын
Nawaombea muwe pepeni baada ya maisha ya dunia ALLAH awafanyie wepesi .na mweshimiwa mkuu wa mkoa umeonyeha mfano wa walio wema waliotangulia
@ashminaabdulla8946
@ashminaabdulla8946 Жыл бұрын
Ila mistake nyumba mkaanza kugombana na Mali si yenu mwenyewe. Mzee
@alihamad7731
@alihamad7731 Жыл бұрын
Hongera alfatah pamoja na mkuu w mkoa kwa kuwafikia walengwa Zaid(Piorite), tupo weng tunahitajia ila mumeon nan wakupew mwanzo, Allah awalipe ujira mkubwa
@HassanAli-eq8ko
@HassanAli-eq8ko Жыл бұрын
Mashaallah jazakumllah kheir amiin mola awalip mema inshaallaah
@FadhilaBakari-er7xd
@FadhilaBakari-er7xd Жыл бұрын
Inshallah mwenyez mungu akusaidie
@sefoadelino6684
@sefoadelino6684 Жыл бұрын
Mashindano ya qurani kibao, hali ya maisha ngumu na mbaya Sijuiii. Lakiniiiii. Hummm
@babuantar8215
@babuantar8215 Жыл бұрын
Alhamdullilah...Allah aikuze Alfatah na uongozi wake ...hongereni sana..
@mwinyihatibhamad1776
@mwinyihatibhamad1776 Жыл бұрын
Alhamdulilah Mungu akuzidishie iman Mkuu Wa Mkoa Na shukran Alfatah
@SaidaHassan-t8y
@SaidaHassan-t8y Жыл бұрын
Mashallah Mashallah Allah awalipe kheir.
@awenakhamis1432
@awenakhamis1432 Жыл бұрын
Maasha allah allah awabariki alfattah pamoj na kiongozi wetu mpendwa mhe ayoub allah amzidishiye moyo wa Imani, allah ampe shifaa Mzee wetu inshaa allah.
@ashminaabdulla8946
@ashminaabdulla8946 Жыл бұрын
Allah akupeni kilalakheiry na sisi tuungane
@mudiplatnumz98
@mudiplatnumz98 Жыл бұрын
Asante mku wa mkowa mungu atakulipa kila laher
@fumbukashangwe3173
@fumbukashangwe3173 Жыл бұрын
Mungu awajarie na kuwaongezea pale mlipopunguza
@allykondo8406
@allykondo8406 Жыл бұрын
Mungu awabiriki nyote
@greenermichael2057
@greenermichael2057 Жыл бұрын
Mungu. Mbariki mtumwa wako
@bauchatv-yd4ug
@bauchatv-yd4ug Жыл бұрын
Serikali ya dokta mwinyi
@adamaliali2206
@adamaliali2206 Жыл бұрын
Mashaallah sheikh Rashid salim Jana nimeona
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz Жыл бұрын
Alhamdulillah Nimefurahi Allah awalipe ujira mwema
@omanmwajabumbeguoman8642
@omanmwajabumbeguoman8642 Жыл бұрын
Mashallah allah awalipe
@kassimali2273
@kassimali2273 Жыл бұрын
Allah akulipe kheri
@aminaalabri4170
@aminaalabri4170 Жыл бұрын
Masha allah allah akubark mh Ayoub hyu ndo mkuu wa mkoa
@adamaliali2206
@adamaliali2206 Жыл бұрын
Mashaallah sheikh ayoub
@adamaliali2206
@adamaliali2206 Жыл бұрын
Allah ampe afya kamili mzee wetu
@zawaidarashid7099
@zawaidarashid7099 Жыл бұрын
Mashallh RC ayoub Allah akulipe khyr amin
@husna34562
@husna34562 Жыл бұрын
Alhamdhulilah 😢
@abdallahsaid8157
@abdallahsaid8157 Жыл бұрын
Allahu Akbar!!!
HII NDIO SIKU YA HUZUNI KWETU.
7:10
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 11 М.
SHUHUDIA ALICHOKIFANYA ALI "MCHAWI" MBELE YA MKUU WA MKOA
8:35
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 63 М.
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 57 МЛН
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 13 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,2 МЛН
MKUU WA MKOA AYOUB AMFUNGA MDOMO MAMA WA MIAKA 80.
4:01
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 5 М.
KWA HALI HII KILA MMOJA ATAULIZWA NA ALLAH.
9:14
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 69 М.
SAFARI NGUMU YA MAKAMU WA KWANZA YAWAIBUA WANANCHI PEMBA
8:20
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 6 М.
HUU NDIO UKWELI WA NABII SULEIMAN KUFIKA ZANZIBAR. Episode 01 (SEMA NASI)
32:24
BIBI WA MIAKA 85 HIVI NDIVYO ALIVYO FURAHIA HARUSI YAKE JANA.
6:57
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 85 М.
KAMANDA MKUU WA KIKOSI CHA SMZ AWAFANYIA WATOTO JAMBO HILI
4:36
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 18 М.
RIPOTI YA MTOTO YATIMA ANAYEUMWA PEMBA.
4:13
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 8 М.