BINTI MDOGO WA KIZANZIBAR DEREVA WA MALORI MAKUBWA / KAACHA KAZI YA UTANGAZAJI TV/RADIO

  Рет қаралды 57,012

KTV TZ ONLINE

KTV TZ ONLINE

11 ай бұрын

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 625 323 932
Ktv Tz Online Journalists
cc: Sadia Rashid
cc: Sauti Byego
Camera Department"
Dadi Ali
Omar (OJ)
Nassor Shaibu
Abdallah Juma
Editors:
Juma Maulid
Dadi Ali
Video Zingine:
Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
- Ali Kiba akiwa Oman
• ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
• NI KWELI ALI KIBA AMNU...

Пікірлер: 182
@AshaSeif-zb1ry
@AshaSeif-zb1ry Ай бұрын
Mashallah mungu azid kukupa kipaji akuondoshee husda z walimweng
@cloudinhoabdi868
@cloudinhoabdi868 11 ай бұрын
Just like any other job Sumaiya. Take it the way it is. I really admire your confidence and personality. Kenyans loves you. Watching from Tucson Arizona UNITED KINGDOM
@salyali7807
@salyali7807 11 ай бұрын
This is abusing to women.. there is nothing to congratulate you should feel sorry for her... she's been brainwashed and now she works like a .... may Allah guide her
@ZON_MEDIA2
@ZON_MEDIA2 8 күн бұрын
Dereva sumaia nimekubali mwanafunzi mwezaku❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@officialshoty8436
@officialshoty8436 11 ай бұрын
Hongera sn Sumayya... Mungu akusimamie ktk kila hatua... Hakika unaweza... ❤❤
@MTANGITHABITI-iw3qy
@MTANGITHABITI-iw3qy 11 ай бұрын
Nimependa Xn iyo Yani yani hata unavyo ongea unaongea kwakujiamini xf Xn
@sakinaamani1486
@sakinaamani1486 11 ай бұрын
Mungu akutangulie na akuepushe na wanao husudu in shaa Allah
@nassirshaib6651
@nassirshaib6651 11 ай бұрын
Upo vizur mdogo wangu pambana usikate tamaa❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@daktari_mtangazaji
@daktari_mtangazaji 11 ай бұрын
Kila hatuwa Dua, mungu akusimamie katika maisha yako.
@FatmaMohammed-ry8yo
@FatmaMohammed-ry8yo 11 ай бұрын
Mashaallah tabarakallah Allah akulinde akuongoze natamani nami niendeshe
@daktari_mtangazaji
@daktari_mtangazaji 11 ай бұрын
@@FatmaMohammed-ry8yoInawezekana ni kwenda kusoma tu
@melch3097
@melch3097 11 ай бұрын
KTV TZ, naomba mawasiliano yenu, for advertise, thanks
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 11 ай бұрын
Good job my sister Salam zangu kutoka USA marekani
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 11 ай бұрын
Umejikaza my wanawake tusonge mbele Kwa maendeleo sio umbea😍
@user-si3ey6uu1g
@user-si3ey6uu1g 11 ай бұрын
Hongera xn sumaiya kwa kuwa mwanamke wa kwnza znz kuendesha gr kubwa allah akufnyie wps ktk maisha yko.
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 11 ай бұрын
Wazanzibar ni wachapa kazi simunamuona na mama samia
@officialshoty8436
@officialshoty8436 11 ай бұрын
Hongera sn best... Mungu akusimamie ktk kila hatua... Hakika unaweza... ❤❤
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 10 ай бұрын
Na unga mkono wanawake wote wanao kutoa na kuto kujali jinsi a. Nakupenda wewe. Wanawake tunaweza tu kujiamini na kupewa chance. Hongera dada.
@hemednassor2362
@hemednassor2362 4 ай бұрын
mashAllah yuko vzur leo tu nimemuona na semitraler lake
@munaomar9532
@munaomar9532 11 ай бұрын
Allah akufanyie wepes pia usimame na mungu
@fababindawood8363
@fababindawood8363 11 ай бұрын
MASHA ALLAH NICE ALLAH AKUBARIK
@aziza9093
@aziza9093 11 ай бұрын
Mwnamke huwamakini sana kwkilajambo Allah akulida
@salyali7807
@salyali7807 11 ай бұрын
Hii ni kudhalilisha wanawake.. hizi kazi nzito ni za wanaume.. wanawake hawakuumbwa kwa kazi ngumu kama hizi... Wanawake amkeni hizi kazi waachieni wanaume watumike .. in the long run kazi hizi zitavunja afya zenu.
@Sheba4651
@Sheba4651 11 ай бұрын
Wanadanganyana wapo Jihadi, mimi mwanaume sitaki kuteseka kusaka chakula changu cha siku, imenilazimu tu, Allah ameshapanga mja wake, natamani niishi kama niko peponi ila haiwezekani, sitaki kusukuma rikwama ama semitela. Inakuwaje tena wanawake wameumbwa watumikiwe, wanalala zege, maziwa magumu kama ubao, wanajiona wapambanaji, wanafurahia mateso. Hawajitambui.
@allytindigwa7647
@allytindigwa7647 11 ай бұрын
Hongera sana,na hongera kwa Familia hii.❤❤❤❤❤
@user-kb3dz5lr1s
@user-kb3dz5lr1s 10 ай бұрын
Mashaallah allah akudhidishie nakupe wepes zaidi katika kazi zko
@habibukabwanga4908
@habibukabwanga4908 10 ай бұрын
Hongera sana mama
@khadijauledi3293
@khadijauledi3293 11 ай бұрын
Hongera sana, umeshuka kwenye gari nimeona hujavaa viatu sahihi vya kuendesha gari, viatu vya kufunika, (UKUMBUSHO)
@firdaus7428
@firdaus7428 10 ай бұрын
Comfortable shoes is very important when you’re driving. Very good recommended.@Khadijauledi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 11 ай бұрын
Huyo ni mwanamke wa shoka mnyamwezi mnzanzibar mchapa kazi sanaaaa kweli utumwa ulikuwa mwingi sana ukawapa nguvu sana wanawake jeshi kubwa mungu amsaidie sana huyu mnyanwezi mnzanzibar
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 11 ай бұрын
Hongera mdada japo ni lidude la barabaran jitahid urushe ndege tena
@mrishotufu6859
@mrishotufu6859 11 ай бұрын
Wanawake nawakubali sana kwanza nimajasiri nimewaona wakimlinda ayati kadhafi walibia mungu amùweke mahalapema pepuni
@asalkhan9168
@asalkhan9168 11 ай бұрын
Hongera dada mi naona huku nilipo wanawake wanaendesha mabasi makubwa na magari ya mizigo
@user-hv3uy6fp3w
@user-hv3uy6fp3w 11 ай бұрын
Allah akusimamie kipenz akulinde na Kila baya 🙏
@arafamke
@arafamke 11 ай бұрын
Masha Allah akukinge na husida my
@ahmedbambo2673
@ahmedbambo2673 11 ай бұрын
mungu akusimamie katika ndoto yako dada
@user-wq2xy5mw1z
@user-wq2xy5mw1z 11 ай бұрын
Mashaallaah my sister. Uko vinzuri mungu akubariki sana 🙏
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 ай бұрын
Allah akupe kazi ya stara utakayostirika na utakayoeza kuvaa mavazi mazuri ya kiisilam, amiin
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 11 ай бұрын
Ovyooo
@mwigaadam1179
@mwigaadam1179 11 ай бұрын
Kwani hii sio ya stara au??
@thadeimatenga4397
@thadeimatenga4397 11 ай бұрын
Acha unyanyasaji wa kijinga.
@salyali7807
@salyali7807 11 ай бұрын
Nikweli kabisa.. kila kazi zina mipaka yake... kwa mwanamke kufanya kazi hizi ni kujidhalilisha tu na kuumizwa afya zao... wanawake amkeni hizi propaganda zinafanya wanawake kuwa slaves wa ulimwenguni
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 11 ай бұрын
​@@thadeimatenga4397mhmm
@nooraomar2510
@nooraomar2510 10 ай бұрын
Maashaallah Allah akuzidishie kipaji chako
@user-gx3sg3mf3z
@user-gx3sg3mf3z 11 ай бұрын
Safi sana dada pambana hiyo ni kazi kama kazi zingine mungu akubariki
@eshasalim5496
@eshasalim5496 11 ай бұрын
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! ALLAH Akuhifadhi Ya Rabb. AMIIN
@salummzee9739
@salummzee9739 11 ай бұрын
Maisha popote ndugu yng ajira ya sasa ujiripua popote penye uhalali tu jitahidi utatimiza ndoto zako life it's performances it's gose rass
@bosskaree49
@bosskaree49 10 ай бұрын
Allah akufanyie wepes katika kazi zako
@ahmedbaamironlinetv4753
@ahmedbaamironlinetv4753 11 ай бұрын
Congratulations ❤🎉🎉🎉
@scoutpwanimchangani6711
@scoutpwanimchangani6711 11 ай бұрын
Ni kweli sio maderava hawajasoma. Bali ni uderava ni kazi kama kazi nyengine
@wardajumaa1272
@wardajumaa1272 11 ай бұрын
Mungu akusaidie dada
@user-gk3wz8wb3t
@user-gk3wz8wb3t 10 ай бұрын
Maashaallah. Maashaallah maashaallah Baaraka llahu feek
@nassorphamadi6065
@nassorphamadi6065 8 ай бұрын
Nice good job
@greysonsanga
@greysonsanga 7 ай бұрын
The hero women congrats
@muhammadmagtuf714
@muhammadmagtuf714 11 ай бұрын
Allah atakujaalia mume wa kheri in shaallah biidni Allah ❤
@kassimabu9420
@kassimabu9420 Ай бұрын
Good job
@nasibmbuguni5613
@nasibmbuguni5613 11 ай бұрын
Dada hongera sana pambana na maisha vizuri sana
@jebellwallace3509
@jebellwallace3509 11 ай бұрын
Big up
@fauzenkassim8424
@fauzenkassim8424 11 ай бұрын
Mashaallah 🥰 pambana Allah atakusaidia inshaAllah 🤲
@fifo262
@fifo262 11 ай бұрын
Hongera my ❤
@omarfauz1877
@omarfauz1877 10 ай бұрын
Hongera allah akupe wepesi
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 11 ай бұрын
Nimesoma nae chuo cha udereva mbweni znz Tulikuwa tunafanya try pamoja Ana vituko uyoo
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj 11 ай бұрын
Hongera sana piga kazi maisha magumu
@AaAa-vm8bb
@AaAa-vm8bb 11 ай бұрын
Hongera sana Sumeiyah kwa ujasiri mkubwa Allah akupe Imani na ujasiri wa hali ya juu zaidi sasa wewe hutaki kuomba kijora kwa mume wako yeye jee akiomba kikoi utamnunulia?😂😂
@bintqassimidarous1636
@bintqassimidarous1636 11 ай бұрын
Kwa Zanzibar mageni lakini kwa huku ulaya wanawake wanaendesha hadi ma train 🚊 tax na kila kitu
@user-zn9xo4pk4p
@user-zn9xo4pk4p 11 ай бұрын
tunaweza hongera
@KIMALEX254
@KIMALEX254 10 ай бұрын
😊😊kenya ni kawaida ata ni wengi,
@dullahmuhamed3781
@dullahmuhamed3781 10 ай бұрын
Kila laheri kwakweli mungu akutangulie suiya
@saidwayawaya5356
@saidwayawaya5356 11 ай бұрын
Hongera sana my sister
@mohddelo
@mohddelo 11 ай бұрын
Hongra sana umeweka historia ya zanzibar
@nadiaali9147
@nadiaali9147 11 ай бұрын
Mashaallah ❤
@ZamdaMisembe
@ZamdaMisembe 11 ай бұрын
Mashallah 🙏 chamsingi kaz iwe ya Halali
@munalove450
@munalove450 10 ай бұрын
Mashaallah ukhuty sumy😘😘😍😍
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 11 ай бұрын
Hongera sana mtoto wa kinyanwezi wa zanzibar kweli watu wa bara wanawake wa bara wanafanya kazi kubwa sana ungekuws mwanamke wa kiarabu halisi usingeweza wengi wao laini laini
@user-ps7ej3ep4e
@user-ps7ej3ep4e 11 ай бұрын
Ss uarabu na unyamwez umetoka wp Hapo
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx 11 ай бұрын
Sio tatizo hlo vo tatizo ss waume zetu wanajua wajibu wao uyo engelikua ana mume wakumtunza kiislamu hta ilo gar asengeliendesha lkn maisha yamemfanya hvo kuwa ulaini sasa hpo tuwe bamba la kobe au
@hassanadam3007
@hassanadam3007 11 ай бұрын
Haile silas iko kila pahali❤❤❤
@samsungoman5626
@samsungoman5626 11 ай бұрын
Maashallah
@allywawete5769
@allywawete5769 10 ай бұрын
God job
@scoutpwanimchangani6711
@scoutpwanimchangani6711 11 ай бұрын
Ni kweli sio kama Kila dereva Hana elimu. Ukweli haya ni maamuzi tunya mtu.
@salhkasmm558
@salhkasmm558 11 ай бұрын
Hay maisha hatujayazoweya waznz lakini nikawaida kwa nchi nyengine inatemea nguvu yako na akili yako piga kazi mazali halali
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 10 ай бұрын
Mashalla Allah ❤
@nassorphamadi6065
@nassorphamadi6065 8 ай бұрын
Please tunatak chuo cha uderev wa track apo zanzibar
@neemamasudi7988
@neemamasudi7988 11 ай бұрын
Ongera sana
@jumamnemo8383
@jumamnemo8383 10 ай бұрын
Magari ya aina hiyo kweli yalikuwa hayapo hapa Zanzibar lakini wapo waliokuwa wanaendesha Malori kama Bi Sada Ibrahim Makungu.
@rasjamal9854
@rasjamal9854 11 ай бұрын
Mashallah Maisha kujiamini na kuto kataa tamaa❤
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 11 ай бұрын
Binti huyu namshauri atafute viza aende Canada akaombe kufanya kazi hiyo. Wapo Wanawake wengine Waafrika wanafanya kazi hiyo. Wanalipwa hela nyingi sana $40 kwa saa. Ni zaidi ya Sh.Milioni 20 kwa mwezi au sh.Milioni 5 kwa wiki. Wanalipa kwa wiki. Lakini kabla hajaenda huko ughaibuni anatakiwa aje huku bara atakutana na wanawake wenzake wengi wanaosafiri masafa narefu kama Congo. Rwanda, Zambia nk. Akishazoea hapa bara then aende zake Marekani au Canada. Nampongeza binti yetu huyo wa Kitanzania. Mungu ampe mwanga zaidi.
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx 11 ай бұрын
Wanalipwa hyo lkn pesa yote hio inaenda kwenye matumiz pakulala kula na huduma nyingi binaadam
@daktari_mtangazaji
@daktari_mtangazaji 11 ай бұрын
@@malak-lz6kx😅😅😅 ndio lengo la kupata hela aty ili uweze kujikimu hizo zote haziwezi kuisha kwa icho unachosema wewe lazima itabakia ya save
@prosperintlwealthcompany8885
@prosperintlwealthcompany8885 11 ай бұрын
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx 11 ай бұрын
@@daktari_mtangazaji 🤣🤣🤣
@sakinaamani1486
@sakinaamani1486 11 ай бұрын
Tena anatakiwa aondoke mara moja vile wame m expose asije akawa kama yule mma wakamkata mkono n wabaya baadhi ya wanadamu
@abubakaradnan4689
@abubakaradnan4689 10 ай бұрын
Sio kweli sio mzanzibar ila ameishi sana Zanzibar na kama utamsikiliza kwa makini kiswahili chake kinatafauti baadhi ya maneno.
@ibra.mstudingfile8584
@ibra.mstudingfile8584 11 ай бұрын
Mashallah kijana mpambnaji Mume nipo hapa 😊😊
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 10 ай бұрын
😂mume wewe kwio???😂😂😂
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 10 ай бұрын
No.. mwanammke wa kwanza kuendesha lorry ni bi njiwa jamani.huyo atakua wa pili. Tunakuombea kila la kheri sist...Allah akulinde.
@melch3097
@melch3097 11 ай бұрын
Welldone sister natamani kukwajili kwenye magari yangu.
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx 11 ай бұрын
😂😂
@utaani1
@utaani1 6 ай бұрын
Mwanamke ambae ana income hata ndogo humuwezi kwenye ndoa. Mimi yashanikuta si kama nimesikia . Nawaonya wanaume ambao wanataka mwanamke mwenye income. Mwanamke hata kama ana income basi income yake hatodaidia chochote ndani ya nyumba na mwisho hata muda wake atakuwa hakupi ataanza dharau kibri jeuri na haki yako ya ndoa mume atakuwa hakupi
@SurprisedDrill-ky9fi
@SurprisedDrill-ky9fi Ай бұрын
Hondera sana ila kama kuna uwezekano hio gari yako badilisha hilo jina la mbele(MAN)
@user-qo8uj1ym4m
@user-qo8uj1ym4m 11 ай бұрын
Fanya kz dd usiogipe maneno ya watu,jitume kwa jitihada zaidi
@ZON_MEDIA2
@ZON_MEDIA2 8 күн бұрын
Utaomba namba yake
@lacksonnyika3770
@lacksonnyika3770 11 ай бұрын
Good fighting
@khadijajuma7873
@khadijajuma7873 11 ай бұрын
Ongea kizenja bana. Onaongea kishua sana😊
@abubakaralliy8435
@abubakaralliy8435 10 ай бұрын
Anaongea kiswahili fasaha
@muhammedislam4875
@muhammedislam4875 11 ай бұрын
Ktv tz niliwamiss
@salumbinabed6906
@salumbinabed6906 11 ай бұрын
Usipinge nikweli tunaongoza kuvunja Sheria sio barabarnitu sehemu zote
@zuhura.suleimanmwamwari3083
@zuhura.suleimanmwamwari3083 11 ай бұрын
Kenyani jambo la kawaida hongera
@aminsnassibu8748
@aminsnassibu8748 11 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@josephsureeliajosephmion9997
@josephsureeliajosephmion9997 10 ай бұрын
Right
@zanzibartvonline
@zanzibartvonline 4 ай бұрын
mm sijakushauri kwakazi hiyo
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 8 ай бұрын
Go to Saudi Arabia....
@mchawaamanmchawa593
@mchawaamanmchawa593 11 ай бұрын
Hongera ila usilewe sifa
@mwigaadam1179
@mwigaadam1179 11 ай бұрын
Hili gari ni Tanzania na Sumaiyya ni Mama Samia ko wanawake wanaweza
@user-kf9hd8lh2m
@user-kf9hd8lh2m 11 ай бұрын
Najikuta napata nguv ya kupambana 😂
@nassorphamadi6065
@nassorphamadi6065 8 ай бұрын
Hicho ndiy kiliyo chetu
@aliferuzi1537
@aliferuzi1537 11 ай бұрын
HONGERA SANA BINTI HAKUNA LISILO WEZEKANA FANYA KILE UNACHOKIFIKIRI UTAWEZA NDIO MAISHA HSKUNA ALIZALIWA DEREVA AU OPP PIGA KAZI SONGEA MBELE NA MAISHA NI HAYOHAYO
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 11 ай бұрын
mhmmm haya
@user-gt1os3oh9h
@user-gt1os3oh9h 11 ай бұрын
KTV TZ nawez kupata nmb yenuu au nmb ya huyu derev sumaiya
@ktvtzonline
@ktvtzonline 11 ай бұрын
0717 619834
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 11 ай бұрын
Huko ni mshangao ila wachina na nchi nyenginezo warembo ndio kazi zao hizo kazi kazi
@user-zn9xo4pk4p
@user-zn9xo4pk4p 11 ай бұрын
hii tv ipo bdo
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 11 ай бұрын
Wanawake wakizanzibari kazaneni mufanye kazi msikae tu mume lete. Pesa yako Ingraham zaidi kuliko ya kugaiwa.
@fifo262
@fifo262 11 ай бұрын
Acha ujinga wewe
@salimmalaka256
@salimmalaka256 11 ай бұрын
​@@fifo262UJINGA WAKE NINI??
@abdulhamidmusa8962
@abdulhamidmusa8962 11 ай бұрын
@@salimmalaka256 haya mambo yanaharibu sana jamii ..hasa ya kislamu na tatizo linaanzia kwenye wanaume kuwajibika na kuwapa haki zao ....io nia aibu sana.
@Sheba4651
@Sheba4651 11 ай бұрын
Mwehu wewe. Unaona kutoka mapema alfajiri kutafuta kibarua ndio maisha ya peponi?
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx 11 ай бұрын
Alhmdullah mumewng anajua wajib kwa mungu wke mwanamke anafanya kaz lkn sio hzi . Alafu wanaume wakiwatesa kimaisha mnaonewa kumbe mnapenda
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 35 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 7 МЛН
UTAPENDA DEREVA MKONGWE AKISIMULIA MAISHA YA MGODINI MAMBO MAZITO.
28:11
HABARI JAMII DIGITAL
Рет қаралды 26 М.
20 Legendary Goals By Diego Maradona
5:42
iLance7i
Рет қаралды 37 МЛН
HII NDIO NYUMBA INAYOTILIWA MASHAKA CHUINI ZANZIBAR
8:52
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 217 М.
MADARAJA YA LESENI ZA UDEREVA
9:24
LatraTV
Рет қаралды 88 М.
ALIEKUA KWENYE MAPENZI NA JINNI,AHADITHIA MWANZO MWISHO
26:03
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 1,2 МЛН
TAZAMA BINTI MREMBO ZANZIBAR ANAVYO TENGENEZA PESA NYUMBANI KWAO
14:06
KWANINI BEI YA SAMAKI ZANZIBAR NI GHALI............?
10:33
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 5 М.
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 35 МЛН