Рет қаралды 4,356
NI SIKU YA MCHUANO MKALI WA UIMBAJI NGAZI YA DAYOSISI
*KKKT D-KASK JIMBO LA KILIMANJARO MASHARIKI USHARIKA WA HIMO
*JE! NI KANUNI ZIPI ZITUMIKAZO KUMSIFU BWANA ?,
*KWA NINI TUNAPASWA KUMSIFU BWANA KATIKA UZURI WA UTAKATIFU WAKE ?,
*KWA NINI SHUHULI ZOTE ZITAKOMA BALI KUSIFU KUTAENDELEA MILELE ?,
*NI MADHARA GANI YATUPATAYO TUKIKOSEA KANUNI ZA KUMSIFU BWANA ?,
*NI KANUNI IPI INAYOIPA NGUVU KANUNI NYINGINE ?