No video

#SHUKRANI

  Рет қаралды 6,465

Nathan Levo

Nathan Levo

Күн бұрын

Shukrani apewe Mungu muweza wa yote, anayetupatia kibari cha kushinda katika hali zote, na nyakati zote. Tuungane pamoja kumshukuru kwa wimbo huu mzuri
2Wathesalonike 2:13
Shukrani zangu za dhati ziende kwa
@ kanisa la FPCT CITY CHURCH,
audio
@mobby production
video production
‪@SharonmediaProstudio‬
IT
#LewisNiyonzima&#Elton7

Пікірлер: 152
@LEOKADIAMLENGA
@LEOKADIAMLENGA 9 күн бұрын
Wimbo mzurii sana barikiwa
@IsakaDaudi-pi2lm
@IsakaDaudi-pi2lm 2 ай бұрын
Aisee ndugu Mungu akubariki sana
@NathanLevo
@NathanLevo 2 ай бұрын
Ahsante sana rafiki kwapongezi yako
@gustafsonpaschal5795
@gustafsonpaschal5795 3 ай бұрын
Hongera Sana Kaka MUNGU Amekujalia vingi sana
@NathanLevo
@NathanLevo 2 ай бұрын
Ahsante sana
@ellynikotv7178
@ellynikotv7178 2 ай бұрын
Hongera sana kazi yako ni njema
@NathanLevo
@NathanLevo 2 ай бұрын
Nashukuru sana mungu akutunze hata wewe
@venasirubuga4147
@venasirubuga4147 Ай бұрын
Nabarikiwa na huu wimbo, God bless you brother
@kiswaswaduolgii-gv6yb
@kiswaswaduolgii-gv6yb Ай бұрын
Umenibariki nawimbo wako MUNGU Akuinue zaidi
@finiascharles9163
@finiascharles9163 3 ай бұрын
Namii kama Mtende ulioota Jangwani....Be bleesed my Brother....Jina la YESU litukuzwe kwa Huduma yako ❤❤🎉🎉🎉...
@NathanLevo
@NathanLevo 2 ай бұрын
Ahsante sana kaka nashukuru kwaujumbe wako wa pongezi
@godwinmwesiga6226
@godwinmwesiga6226 2 ай бұрын
Wimbo mzuri sana
@NathanLevo
@NathanLevo 2 ай бұрын
Ahsante sana mwalim wangu MWESIGA🙏
@PendoJackson-q1q
@PendoJackson-q1q Ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi mungu azidi kukuinua zaidi
@francis.dg3
@francis.dg3 3 ай бұрын
Kaka hongera sana umefanya vizuri ubarikiwe na bwana
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Ahsante sana kaka, ni kwa Utukufu wa MUNGU PEKEE Hakuna la kmpinga Mungu
@AnnaMtangi-nk5gm
@AnnaMtangi-nk5gm 3 ай бұрын
Hongera bro Nathan by Gadiel Muheza - Tanga
@loyceyeremia-ky7cm
@loyceyeremia-ky7cm 3 ай бұрын
Mungu awabariki sana...wimbo mzuri unatutia moyo 🎉🎉🎉
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Amina tunashukuru sana akubariki pia wewe
@brianshomi722
@brianshomi722 3 ай бұрын
Hongera sana from FPCT Dodoma city church
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Okay thanks welcome to City church ilala, nashukuru Sana kwa pongezi nzuri.
@SharonmediaProstudio
@SharonmediaProstudio 2 ай бұрын
Kazi nzuri kiongozi MUNGU Akubariki Endelea kupambana Utafika
@NathanLevo
@NathanLevo 2 ай бұрын
Amina kaka
@NathanLevo
@NathanLevo 2 ай бұрын
Ahsante kwa pongezi usiache ku subscribe na lke
@youngwilliams2740
@youngwilliams2740 3 ай бұрын
Very creative, God bless you all Special Love to Rwiza
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Amen🙏
@eliyasimon5122
@eliyasimon5122 3 ай бұрын
Mungu akuinue kwa viwango vingine mtumishi wa Mungu🙏 nasan
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Nashukuru Sana, ni kwa Utukufu wa MUNGU tuu kiongozi Karibu
@PeterShauri
@PeterShauri 2 ай бұрын
Tumerudi tena Mungu anetupa uhai❤ Mbarikiwe sana
@NathanLevo
@NathanLevo 2 ай бұрын
Amina sana tunashukuru sana kiongozi
@TabuZamu-fo5yq
@TabuZamu-fo5yq 3 ай бұрын
Hongera Sana kaka Mungu akubariki zaidi
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Ameen sana, tubarikuwe sote kwa kumtukuza MUNGU
@shelestinabateniki8211
@shelestinabateniki8211 Ай бұрын
Kazi nzuri brother
@ClementLumambo
@ClementLumambo 2 ай бұрын
Hongera brother kazi nzur
@NathanLevo
@NathanLevo Ай бұрын
Ahsante kaka nashukuru kwa pongezi usiache ku subscrabe na lke.
@geremanicolibori6230
@geremanicolibori6230 3 ай бұрын
Hongera sana mdogo wangu,wonderful song
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Thanks brother 🙏
@JohnSilvester-vk9fy
@JohnSilvester-vk9fy 2 ай бұрын
Hongera aseee kazinzur
@NathanLevo
@NathanLevo 2 ай бұрын
Ahsante sana kiongozi
@swahilimotivationaltv1275
@swahilimotivationaltv1275 3 ай бұрын
Mungu aendelee kutukuzwa kupitia vinywa vyenu.... Special Love to Rwiza
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Amina MUNGU atusaidie zaidi
@goodnesskachira-lr3xq
@goodnesskachira-lr3xq 2 ай бұрын
Mungu akupe hitaji ya moyo wako bro angu 🥰
@NathanLevo
@NathanLevo 2 ай бұрын
Amina napokea sana, naomba ushilikiano wa kupost kwa wengene au kuweka status yako pia usiache ku subscrabe
@DamasMichael-mg3yu
@DamasMichael-mg3yu 3 ай бұрын
Kaka barikiwa sana🔥🔥🔥🔥
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Ameen...tubarikiwe sote
@francisefrahimu
@francisefrahimu 3 ай бұрын
Yesu akuinue zaidi Ndugu yangu... Ujumbe mkubwa sana Huu
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Ahsante sana kaka franchise
@patrickkatana8823
@patrickkatana8823 2 ай бұрын
More grace Bro.. From Kenya 🇰🇪
@ShirackTweve
@ShirackTweve 2 ай бұрын
Amee🙏🙏🙏🙏n
@NathanLevo
@NathanLevo 2 ай бұрын
Okay thank you
@ElizabethSostenes-um2nj
@ElizabethSostenes-um2nj 3 ай бұрын
Barikiwa mtumishi
@saraphinabutati8321
@saraphinabutati8321 3 ай бұрын
Hongera Sana Nathan. Yesu akutunze..
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Nashukuru Sana saraphina Utukufu nampa MUNGU
@mouzinhocorneliojacob3551
@mouzinhocorneliojacob3551 2 ай бұрын
Boa canção e Deus te dá sucesso para sempre (Mozambique ❤❤❤)
@NathanLevo
@NathanLevo Ай бұрын
Nashukuru sana kwa pongezi barikiwa.
@neziashertiely8032
@neziashertiely8032 3 ай бұрын
God bless you.. servant of God
@eziraVenasi-tm9uu
@eziraVenasi-tm9uu 3 ай бұрын
Mungu mkuu, Ubarikiwe sana na Mungu aendelee kukutumia na kuinua huduma yako..
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
AMINA MUNGU ANIWEZESHE
@nellyshivere4267
@nellyshivere4267 3 ай бұрын
Amen...Zachariah 1:18-19....hakuna wakupinga uweza wako, Pembe yako imeinuka..tupiganie Bwana🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Ameen, MUNGU ni mwaminifu sana na akupiganie sana uvuke salama
@nellyshivere4267
@nellyshivere4267 3 ай бұрын
Thank you God for this confirmation 🤣🤣🤣Leo nimeota tunavuka ng'ambo nyingine tukiwa watu wengi sana ,waking up i find your comment ....Ameeeen🙏🙏
@elamnabugare8487
@elamnabugare8487 3 ай бұрын
This is another level brother,.. keep it up 💪💪💪💪💪👏👏👏,... endelea kutubariki bro🌹🌹🌹👍👍
@RuhamaMtahabwa
@RuhamaMtahabwa 3 ай бұрын
Lord is great! Be blessed brother Nathan🙏
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Amen 🙏
@Frankyobabi
@Frankyobabi 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtu wa Mungu kazi ni nzuri sana
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Ahsante sana mkuu yobabi Utukufu kwa MUNGU aliye niwezesha🙏
@rahelytendeje1354
@rahelytendeje1354 3 ай бұрын
Your the best
@EmmanuelTitusMakanyaga
@EmmanuelTitusMakanyaga 3 ай бұрын
Hakuna laana Tena
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Kabisa kaka hakuna laana tena ukiwa na YESU tu.
@hiyangosadick3505
@hiyangosadick3505 3 ай бұрын
Jina la Kristo liwe pamoja nanyi Special Love to Rwiza
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Amena nakwako pia
@NathanLevo
@NathanLevo 2 ай бұрын
Usiache ku share ku subscribe na lke
@annaDamiani-ui6is
@annaDamiani-ui6is 3 ай бұрын
Wimbo mzur sana
@NathanLevo
@NathanLevo 2 ай бұрын
ahsante sana nashukuru kwapongezi🙏
@ElizaShedrack-kj9tq
@ElizaShedrack-kj9tq 2 ай бұрын
🎉🎉🔥🔥💗💗
@redemptamuvumu964
@redemptamuvumu964 3 ай бұрын
👏🏽👏🏽
@peterlumambo5797
@peterlumambo5797 3 ай бұрын
Hongera sana mtumish kazi safi sana
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
MUNGU amefanya Utukufu wote namrudishia Ahsante sana nashukuru Sana kwa pongezi nzuri, share namarafiki sasa
@bujagajeremiah4308
@bujagajeremiah4308 3 ай бұрын
Mungu aendelee kukutumia Sana Mkuu wangu kuokoa hiki kizazi kupitia hiyo huduma yako, huu wimbo ni mzuri Kwa kweli
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Utukufu kwa MUNGU, nashukuru Sana kaka
@ChristinaNdaji
@ChristinaNdaji 3 ай бұрын
Amen barikiwa
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Ahsante sana nashukuru
@ChristinaNdaji
@ChristinaNdaji 3 ай бұрын
Amen barikiwa mtumish
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Ahsante sana rafiki 🙏
@mariazabron2659
@mariazabron2659 3 ай бұрын
Mungu azidi kukupandisha viwango vya juu mtumishi
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Amina nashukuru Sana
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
AMINA 🙏
@annahezekiel5281
@annahezekiel5281 3 ай бұрын
Ufike mbali zaidi mtumishii..kazi nzuri sanaa
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Nashukuru Sana ahsante sana🙏
@annahezekiel5281
@annahezekiel5281 3 ай бұрын
Ok ok..🙏
@vascokaloli8984
@vascokaloli8984 3 ай бұрын
Wimbo mzurii sanaa aisee
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Ahsante sana kaka vasiko
@RizikiPaschal
@RizikiPaschal 3 ай бұрын
Mungu awabariki sana ❤❤❤
@NathanLevo
@NathanLevo 2 ай бұрын
Amina sana nashukuru sana
@NathanLevo
@NathanLevo 2 ай бұрын
Amina sana akubariki hata wewe pia, usiache ku lke na ku subscrabe
@ezrayavanijosias
@ezrayavanijosias 3 ай бұрын
I've subscribed on your account. Your song is of another level. May God lead your ministry, you'll reach far
@AlexPatrick-wb5eu
@AlexPatrick-wb5eu 3 ай бұрын
Blessed be you, God's Servant. I'm incredibly blessed by this song, which is truly lovely. Undoubtedly, gratitude is due to God always.
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
glory to GOD
@johnpasta3920
@johnpasta3920 3 ай бұрын
Special Love to Rwiza
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Thank you my friend
@zohc.
@zohc. 3 ай бұрын
Hongera sana Mungu akubariki
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
AMINA 🙏
@severinlouis
@severinlouis 3 ай бұрын
My teacher am humble Be blessed 🔥🔥🔥🙏🙏🙏
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Ahsante sana kaka MUNGU ndiye kiongozi wangu amefanya atakavyo.
@washirakesaga7189
@washirakesaga7189 3 ай бұрын
Asante YESU wewe ni mwema sana kila wakati .Mungu akutunze sana mtu wa Mungu
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Nashukuru Sana kaka washira kesaga
@NaomiLevocatus-eo2ew
@NaomiLevocatus-eo2ew 3 ай бұрын
Mungu akupekuzid kunyenyekea ili uendelee kumsifu
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
AMINA🙏
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Nashukuru Sana mdogo wangu
@matwisportsacademy4097
@matwisportsacademy4097 3 ай бұрын
❤❤❤ Special Love to Rwiza
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
🙏
@aloyceJiles
@aloyceJiles 3 ай бұрын
❤❤❤
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Karibu sana mtu wa MUNGU
@jonathanvyaranse2668
@jonathanvyaranse2668 3 ай бұрын
Hongere Sana mtumish wa MUNGU Kaz nzuli Sana
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Nashukuru Sana jonathan
@DianaSamora
@DianaSamora 3 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU, ukastawi kama mutende wa jangwani yaaaaani kama mutende 🤗🤗
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Ahsante sana 🙏
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Acha tustawi wote Sasa, nikuombe wasambazie lnk wadau wako MUNGU akutunze daima
@EvelineMetusela
@EvelineMetusela 3 ай бұрын
Barikiwa sana
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Ahsante sana nashukuru Sana
@grasionkenedy7596
@grasionkenedy7596 3 ай бұрын
Mali safi 😊 fully blessings
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Amina 🙏
@isackpeterofficial7867
@isackpeterofficial7867 3 ай бұрын
Hongera sana sana kwa wimbo huu kongole
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Utukufu apewe MUNGU ndiye mwezeshaji ahsante sana kwa pongezi endelea kusapot kwa status yako au kwawadau wako MUNGU akutunze daima
@KamohaKamoha
@KamohaKamoha 2 ай бұрын
🎉
@NathanLevo
@NathanLevo 2 ай бұрын
Ahsante kiongozi
@fordenstudios
@fordenstudios 3 ай бұрын
Glory to God
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Ahsante sana nashukuru Sana
@stevenmpanzo6249
@stevenmpanzo6249 3 ай бұрын
Jamaaa anajua ❤
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Ahsante sana Utukufu kwa MUNGU
@KwaleCountystudios
@KwaleCountystudios 3 ай бұрын
Huu wimbo ni mkubwa
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Utukufu kwa MUNGU nashukuru Sana 🙏
@AbiaChirstopher
@AbiaChirstopher 3 ай бұрын
NaShukuru wimbo mzuri ubarikiwe mtumishi
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Ahsante sana Utukufu nampa MUNGU
@filibethbenard6792
@filibethbenard6792 3 ай бұрын
Uinuliwe na ukastawi
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Nashukuru Sana napokea
@mategekochannel8581
@mategekochannel8581 3 ай бұрын
Amen ❤❤❤❤
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Barikiwa zaidi mtu wa MUNGU nawewe pia
@jonasmpanzo9306
@jonasmpanzo9306 3 ай бұрын
Kama mtende " Glory to God" Shukrani
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Yeah kama mtende wa jangwani, ahsante sana kaka
@magangamjomba
@magangamjomba 3 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Nashukuru Sana kaka
@amosizebedayo9190
@amosizebedayo9190 3 ай бұрын
Barikiwa mtumishi Mungu akuinue
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Amina nashukuru Sana kwamaombi yako
@severinlouis
@severinlouis 3 ай бұрын
Jama habari hii tu share na kwawengine 🎉
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Ameen, Ameen tufanye hivyo zaidi mkuu na Bwana atatubariki
@EmmanuelTitusMakanyaga
@EmmanuelTitusMakanyaga 3 ай бұрын
4:30 😅
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Shukurani kaka🙏
@johnsongolo5684
@johnsongolo5684 2 ай бұрын
Hongerasana mtumishai wa Mungu🙏🏻
@NathanLevo
@NathanLevo 2 ай бұрын
Ahsante sana
@DamasMichael-mg3yu
@DamasMichael-mg3yu 3 ай бұрын
Kaka barikiwa sana🔥🔥🔥🔥
@NathanLevo
@NathanLevo 3 ай бұрын
Amiiinaaa sana MUNGU atubariki sote🙏
IBADA YA UZINDUZI WA EP YA UKASTAWI
10:14
Nathan Levo
Рет қаралды 705
Casfeta Mzumbe Mbeya -  Unatawala (Official Music Video)
7:07
Casfeta Mzumbe Mbeya
Рет қаралды 14 М.
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 12 МЛН
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 21 МЛН
Wewe Joho wacha Kuvaa Kofia Mbele ya Rais Ruto!!DP Gachagua Warns!
7:05
AMENIKUMBUKA -EMMANUEL JOE (Official Video)
4:13
Emmanuel Joe
Рет қаралды 21 М.
MTETEZI WANGU  ---- ERIC NSABU-- OFFICIAL VIDEO
6:00
Eric Nsabu
Рет қаралды 10 М.
GODFREY STEVEN FT IRENE UWOYA - TUNATEGEMEANA ( Official Video )
3:54
Godfrey Steven
Рет қаралды 1,6 МЛН
Ninasababu|Mwanaume kama Yesu(Cover)|Praise Medley|Essence of Worship
11:34
Essence Of Worship Ministries
Рет қаралды 1 МЛН
UKASTAWI-NATHANLEVO||LIVE PERFORMANCE ||
4:21
Nathan Levo
Рет қаралды 534
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 25 МЛН
Paul Clement - Neema Ya Mungu ( Official Video )
9:35
Paul Clement Official
Рет қаралды 204 М.
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 12 МЛН