Jinsi ya kuoka Zebra Cake | Cake ya mafuta | Zebra cake recipe

  Рет қаралды 95,569

Shuna's Kitchen

Shuna's Kitchen

Күн бұрын

Sorry for the video/voice-over quality
✔keki ya kusaga na blender: • Jinsi ya kupika keki y...
✔Blender cake: • Jinsi ya kupika keki y...
✔ Jinsi ya kuoka cake bila oven: • Jinsi ya kuoka Cake ya...
✔ No oven cake: • Jinsi ya kuoka Cake ya...
____________________________________
Ingredients
3 medium/large eggs
1 cup sugar
1/2 cup oil (vegetable or olive oil)
1/2 cup whole milk
1 and 3/4 cups plain flour
1 tsp baking powder
essence (I used vanilla, icecream and rose)
__________________________
▫️For more updates please join my social media family ❤
✔instagram: @jifunze_mapishi 👉 / jifunze_map. .
✔Facebook jifunze mapishi 👉 / shunaskitchen
__________________________________________
✔For business enquiry only : shunaskitchen@gmail.com
_____________________________________
✔More videos to watch;
🔴✅jinsi ya kupika keki ya machungwa/ Orange cake video 👉 • ORANGE CAKE / KEKI YA ...
🔴✅ Jinsi ya kupika chapati laini na za kuchambuka bila kukanda unga sana/ How to make no knead soft chapatis 👉 • Jinsi ya kupika chapat...
🔴✅ Jinsi ya kupika cake laini ya kuchambuka / How to make delicious and fluffy cake 👉 • Jinsi ya kupika cake l...
🔴✅Jinsi ya kuchoma kuku bila kutumia oven wala mkaa / How to roast chicken without oven or charcoal grill 👉 • Jinsi ya kuchoma kuku ...
🔴✅jinsi ya kupika pudding ya mchele / Rice pudding 👉 • Mapishi ya pudding ya ...
🔴✅ Jinsi ya kupika mkate wa mchele kwa kutumia unga wa mchele / Rice flour bread 👉 • Jinsi ya kupika mkate ...
🔴✅ jinsi ya kutengeneza Icing sugar mwenyewe nyumbani / How to make icing sugar at home 👉 • Jinsi ya kutengeneza I...
#oilcake #zebracake #shunaskitchen

Пікірлер: 126
@KhadijaAbdulrahman-ic2zd
@KhadijaAbdulrahman-ic2zd 22 сағат бұрын
Mashaallah nitsjaribu hini recipe ajaab❤
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 5 жыл бұрын
Penda saana mapishi yako. Yananikumbushi na mengine nilikuwa nimesahau. Shukrani and stay blessed.
@kashimohammad4162
@kashimohammad4162 2 жыл бұрын
Nimeipenda ,niulize tu, siezi kutumia siagi badala ya mafuta
@HadijaSheban
@HadijaSheban 4 жыл бұрын
Mashallah 😋😋😋
@RayOthman
@RayOthman 2 ай бұрын
Nakupenda aunt unamapishi mazuri
@hanifamamta1267
@hanifamamta1267 3 жыл бұрын
MashaAllah ni nzuri sanaaa shukran maana jana nlijaribu imetoka 👌
@salmaseif8755
@salmaseif8755 4 жыл бұрын
Nimependa ❤❤😍nitajaribu Inshaa Allah mungu akubariki sanaa 🙏
@omarkitwana5244
@omarkitwana5244 4 жыл бұрын
Wow inshallah leo nitafanya hivyo very nice 👍
@ninjaman4670
@ninjaman4670 5 жыл бұрын
Mashallah shukran sana habbty najifunza mengi sana kupitia kwako.. ALLAH barik fyki😘
@hazelbrown4712
@hazelbrown4712 5 жыл бұрын
Shukran dear nimejatibu hii Cake imekua yummyy tasty and soft😋😋 MUNGU akubariki zaidi na zaidi Dadangu🙏 much love from Msa (Mombasa)💕💕
@tauhidasheha1118
@tauhidasheha1118 5 жыл бұрын
Maashallah napenda mapishi yako nimejifunza vingi kupitia wewe
@immaculatajeremiah308
@immaculatajeremiah308 Жыл бұрын
Asante sana, naomba kuuliza hivi kuna sukari maalum ya keki au yoyote naweza tumia?
@mukamusonipajobo2441
@mukamusonipajobo2441 3 жыл бұрын
Asante sana kabisa sasa nauliza mtu anaweza kupamba Cake ya Zebra kama hiii
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 3 жыл бұрын
Ndio anaweza
@safiyasaid1291
@safiyasaid1291 5 жыл бұрын
Shukran nitajarib na mm inshaAllah mna niliwahi kufanya ya mafuta haikutokea nzuri tena ni mda mrefu nilipata kwa fauzia...now napika ya cake ya kawaida hlf nikafanya zebra
@maryamjuma1087
@maryamjuma1087 3 жыл бұрын
Maa shaa allah mm hua napikaa hua natoa vizur sn
@thaniameddy1618
@thaniameddy1618 5 жыл бұрын
Shukran kwa mafunzo 💗.hua napenda kufuatilia recipe zako mashaallah
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 5 жыл бұрын
Asante sana kwa support, na appreciate
@salimafakhi9425
@salimafakhi9425 5 жыл бұрын
Nilifanya na Mashaa Allah ilitoka vizuri sana..Shuna naomba cake ya tende please
@shammoha5297
@shammoha5297 5 жыл бұрын
MashaAllah. Nzuri👏🏼🙌🏽💐nimeipenda. Ntajaribu in shaa Allah
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 5 жыл бұрын
Asante sana
@fatmaabdalla691
@fatmaabdalla691 4 жыл бұрын
Shukran mpz... Ila naomba kuuliz hukutumia siagi.. Au ndo umetumia mafuta tuuu.... Alaf keki zng hazipand mpz ttz huwa nn... Huwa zinapand kidg
@kawsarkawsar2416
@kawsarkawsar2416 3 жыл бұрын
Shukran sister. Kwa bp nikafanya double nieke 2tsp au
@fatmachanzi9966
@fatmachanzi9966 3 жыл бұрын
wow nice one😍
@aasiyahhasan2321
@aasiyahhasan2321 3 жыл бұрын
Asante sana hii ime sadia Mimi sana sana
@nassorhamad8556
@nassorhamad8556 5 жыл бұрын
Mashallah habibty nzuri Sana keki nitapika inshallah
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 5 жыл бұрын
In shaa Allah nasubiria mrejesho 😋
@zawafikhamis9570
@zawafikhamis9570 5 жыл бұрын
Masha Allah' unaweza kutumia maziwa ya box
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 5 жыл бұрын
Ndio😊
@ammarzk7043
@ammarzk7043 5 жыл бұрын
Shukran kwa mapishi mazuri dear Allah ibarik
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 5 жыл бұрын
Ameen ameen asante sana
@aasiyahhasan2321
@aasiyahhasan2321 3 жыл бұрын
Asante sana sana sana!
@ibtisaamhassan2774
@ibtisaamhassan2774 5 жыл бұрын
BarakaAllah
@nurumuhammad8502
@nurumuhammad8502 4 жыл бұрын
Mashaalah barakallah
@salimafakhi9425
@salimafakhi9425 5 жыл бұрын
Mashaa Allah
@indirachudasama8059
@indirachudasama8059 4 жыл бұрын
Hello, can u give eggless cake recipe? Thanks
@afnanidarous1316
@afnanidarous1316 5 жыл бұрын
Mashaaallah nzuriii sana na mm nitajaribu kupika
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 5 жыл бұрын
Asante sana kwa kuangalia :)
@khaldasheikhan2418
@khaldasheikhan2418 4 жыл бұрын
Assalam aleikum dear ... vipimo ya mafuta na maziwa lazma iwe na the same measuring cup ama cup ile nimetumia kupima unga na sukari..? Ama ni tumie vipimo vyote na same cup ( kikombe cha chai for example)
@amrusleman9734
@amrusleman9734 4 жыл бұрын
Thank you shuna
@mohamedayda7756
@mohamedayda7756 5 жыл бұрын
Mashaa ALLAH dear huwezi fanya kwa siagi hii
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 5 жыл бұрын
Unaweza 😊
@mohamedayda7756
@mohamedayda7756 5 жыл бұрын
So naweza kutimia vile vipimo uloyayusha siagi pia
@mercynanjala8389
@mercynanjala8389 Жыл бұрын
Nice mum
@kawtharkitchens5839
@kawtharkitchens5839 5 жыл бұрын
Manshallah nzuri sana nitajarbu na mm napenda sana keki 🥰😋😋
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 5 жыл бұрын
In shaa Allah nasubiria mrejesho 😋
@hibaalfarsi7756
@hibaalfarsi7756 4 жыл бұрын
mashallah my dear
@Iyoboofficial
@Iyoboofficial 5 жыл бұрын
Shukran Sana Shunnas Nitajaribu
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 5 жыл бұрын
Afwan dear na asante sana kwa kuangalia
@humuodally470
@humuodally470 5 жыл бұрын
Habbty
@humuodally470
@humuodally470 5 жыл бұрын
Naomba vipimo vya unga sijaelewa vikombe viwili na robo au kikome kimoja na robo sijaelewa hicho kipimo cha unga
@fatmaabdulla7080
@fatmaabdulla7080 4 жыл бұрын
Hongera sister masha aAllah
@jeffmauzo5483
@jeffmauzo5483 5 жыл бұрын
Mashallah love you
@moonladysoona7979
@moonladysoona7979 5 жыл бұрын
Napenda recipe zakoooo sana...thanks
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 5 жыл бұрын
Asante sana my dear
@pienicolaus2952
@pienicolaus2952 4 жыл бұрын
Asante vip cocoa waweza kutumia ile ya chai?
@jackyshizzle397
@jackyshizzle397 5 жыл бұрын
Will try out soon
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 5 жыл бұрын
Please let me know how it goes 😉😊
@habibaawadh3901
@habibaawadh3901 5 жыл бұрын
Maashallah shukran
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 5 жыл бұрын
Afwan dear
@سالمهعلي-ت5ل
@سالمهعلي-ت5ل 5 жыл бұрын
Nzuri Mashaallah
@samranoor1360
@samranoor1360 5 жыл бұрын
MashaAllah very nice but mm binafsi sipendi keki ya mafuta huona haina ladha
@weamabdoulnoor3481
@weamabdoulnoor3481 5 жыл бұрын
Wewe kama inakuwa mbaya tu labda uiongezee uipambe kwacrime ndio kidogo inakuwa tamu
@fatmasaid5864
@fatmasaid5864 5 жыл бұрын
Shukran sana keki hio naipenda na hasa kwa mafuta nahisi inakua nyepesi Allah akubarikie
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 5 жыл бұрын
Sana kwa mafuta inakua easy. Asante sana kwa kuangalia
@nussmam2009
@nussmam2009 5 жыл бұрын
Mashallah nzur
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 5 жыл бұрын
Asante sana dear
@a.856
@a.856 5 жыл бұрын
Asante tufundishe na keki ya kuunguza sukari please🤗
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 5 жыл бұрын
In shaa Allah dear. Asante sana kwa kuangalia
@sakinadeprecious3087
@sakinadeprecious3087 5 жыл бұрын
Thanks darling kikombe unachotumia kina ujazo gani?
@rahmabeautyhealth2349
@rahmabeautyhealth2349 5 жыл бұрын
Maasha alaah jezakalaah khair
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 5 жыл бұрын
Shukran dear
@atfaalimrisho2393
@atfaalimrisho2393 2 жыл бұрын
Dada naomba Kwa vipimo vya gram pls
@marinamooh4055
@marinamooh4055 5 жыл бұрын
MashaAllah 😍😋
@humuodally470
@humuodally470 5 жыл бұрын
Naomba icho kivimo cha unga sijaelewa vizuiri
@favouredandblessedladiestv1191
@favouredandblessedladiestv1191 11 ай бұрын
Je kama sina maziwa?
@mwanaishambili241
@mwanaishambili241 5 жыл бұрын
Mashaallah huyu dda nyie anajuwa kupika ongera da 😘
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 5 жыл бұрын
Asante sana kwa kuangalia :)
@aidaabdalla6433
@aidaabdalla6433 5 жыл бұрын
Thanks I love 🍰
@humuodally470
@humuodally470 5 жыл бұрын
Vipi hali
@humuodally470
@humuodally470 5 жыл бұрын
Natamani nipike lakini sijaelewa unga
@chabychaby1096
@chabychaby1096 4 жыл бұрын
Ukiweka maziwa ya unga je?
@irenewairimu1068
@irenewairimu1068 3 жыл бұрын
Hiyo cocoa,nitaipata wapi?
@nussmam2009
@nussmam2009 5 жыл бұрын
Kutype nako shida time nyengine nikitumia sunflower oil si inafaa shuna au vp nijuze moenz
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 5 жыл бұрын
Ndio
@nussmam2009
@nussmam2009 5 жыл бұрын
@@ShunasKitchen shukran
@gwamakaamulike8085
@gwamakaamulike8085 4 жыл бұрын
km situmii maziwa?! nifanyeje?!
@NarjuAli-ni5lm
@NarjuAli-ni5lm 5 ай бұрын
Nimejaribu sikuweza ikuwa baya
@lavalava3304
@lavalava3304 5 жыл бұрын
Habibty napenda sana mapishi yako hasa nikiona vidio yako nafurahi kweli usikae sana
@EdnaTarimo
@EdnaTarimo 2 ай бұрын
Me nimepika haijachambuka kama yako, shida n nini!?
@rahmakhamis4629
@rahmakhamis4629 5 жыл бұрын
Huwezi kuchanganya kwa mwiko?
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 5 жыл бұрын
Kuanzia mwanzo huwezi, unaweza tumia blender
@alkasuusplazatdm
@alkasuusplazatdm 5 жыл бұрын
Asante @shinuna
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 5 жыл бұрын
Karibu tena
@naimamohammed3980
@naimamohammed3980 Жыл бұрын
Moto ni wa juu na chni ama ni chni pke yke au ni juu pke yke
@nussmam2009
@nussmam2009 5 жыл бұрын
Nijitumua sunfliwer oil pia shuna di inafaa moenz au vp
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 5 жыл бұрын
Ndio inafaa sana
@fatumasalimu9397
@fatumasalimu9397 Жыл бұрын
Hii cake ya mafuta unafanya ya orange usipotaka cocoa
@onairose4239
@onairose4239 5 жыл бұрын
😋😋😘
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 5 жыл бұрын
😋😋😊
@ummusamira3518
@ummusamira3518 5 жыл бұрын
Shukran wajazzakum lkhaira hubby Wangu mimi naomba ukipima kwa kikopo tupimie na gram ili tujue maana kikopo mara nyingi mimi hukosea siipati matokeo mazuri ☹️ ktk mpishi
@nussmam2009
@nussmam2009 5 жыл бұрын
Ummu salam nenda super market maduka ya vyombo utapata viko. Ving hivyo measuring cup utapata ungekuwa jiran yangu ningekuletea😁😁
@nussmam2009
@nussmam2009 5 жыл бұрын
Usijal nenda hayo maduka easy tena mapisg yako yatakuwa suoer ukutumia hv cuo
@ummusamira3518
@ummusamira3518 5 жыл бұрын
@@nussmam2009 nnavyo habibty nimenunuwa amazon ila nikipimia vitu vyote nisawa ila nikipimia cake 🎂 nakosea 🤔🤯
@nussmam2009
@nussmam2009 5 жыл бұрын
@@ummusamira3518 sasa unakosea wap mpenz ungekywa karib na mm ningekujuza habibty kwan uko mji gan dear
@ummusamira3518
@ummusamira3518 5 жыл бұрын
@@nussmam2009 mpenzi wangu niko mbali mimi siko tanzania Ila nitajaribu tena in sha Allah
@rahiminakhamis4415
@rahiminakhamis4415 5 жыл бұрын
Asante nitajaribu ila spendi maziwa nieke nn
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 5 жыл бұрын
Ni cake ya mafuta bila siagi, mafuta na maziwa ndio yanafanya kua na texture na ladha nzuri, jaribu kuengeza yai 1 na mafuta robo kikombe
@rahiminakhamis4415
@rahiminakhamis4415 5 жыл бұрын
Shukran
@ashouraabdallah4080
@ashouraabdallah4080 5 жыл бұрын
Mie tajaribu takupa majibu
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 5 жыл бұрын
In shaa Allah nasubiria feedback. Asante sana kwa kuangalia
@rahmamathayo7861
@rahmamathayo7861 3 жыл бұрын
Sielewagi kipimo cha kikombe bora ungetuambia kwa kilo maana vikombe vinatofautiana ukubwa.
@winniegeorge7083
@winniegeorge7083 5 жыл бұрын
Can't wait to try this.
@humuodally470
@humuodally470 5 жыл бұрын
Vipi hali habbty
@humuodally470
@humuodally470 5 жыл бұрын
Habbty hichi kipimo cha unga sijaelewa vikombe vili na robo au kikome kimoja na robo sijaelewa
@humuodally470
@humuodally470 5 жыл бұрын
Habbty
@dadidyibrahim5615
@dadidyibrahim5615 5 жыл бұрын
kombe ulichotumia kupimia unga ndio hich ulichotumia mafuta ama maziwa ama sukar
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 5 жыл бұрын
Ndio
@dadidyibrahim5615
@dadidyibrahim5615 5 жыл бұрын
Huw ni gram ngp
@dadidyibrahim5615
@dadidyibrahim5615 5 жыл бұрын
Za unga
@humuodally470
@humuodally470 5 жыл бұрын
Habbty
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 1,7 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4,1 МЛН
Jinsi ya kuoka Cake ya Mafuta bila oven /laini sana na ya kuchambuka
6:03
Jinsi ya kupika cake laini ya kuchambuka na mambo muhimu ya kuzingatia
10:04
jinsi ya kupika cake  ya zebra/ how to make  zebra  cake
8:17
Asha Yummy
Рет қаралды 1,5 М.
jinsi ya kutengeneza zebra cake | Mapishi Rahisi
2:48
Mapishi rahisi
Рет қаралды 38 М.
Jinsi ya kutengeneza Keki ya Chocolate | Chocolate cake recipe
10:05
Shuna's Kitchen
Рет қаралды 88 М.
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 1,7 МЛН