I have to say this is the BEST recipe here on KZbin. Simple and well explained, I tried it and I impressed my co workers. Asante dada!!!!
@ShunasKitchen5 жыл бұрын
Thank you so much for the lovely feedback.. :) I'm sure you enjoyed eating mandazi with your co workers .
@issaabdullah20735 жыл бұрын
frank white
@farhiyadhiidhal56085 жыл бұрын
Wow nice
@salwasaeed57165 жыл бұрын
Yummy
@dionisiamessanga6124 жыл бұрын
@@ShunasKitchen kwanini hujaweka baking powder
@nancycharo7708 Жыл бұрын
Shuqran dadangu...wallah ....nimejaribu kupika kupitia njia zako....Mume wangu amependa ajaaab....Allah akueke kwa ajili yetu
@patriciangora30525 жыл бұрын
yaani hata asiyejua kupika atajua because unaelekeza vizuri sana. Looking forward to more recipes. By the way ntaangalia video zako zote. I am already obsessed with this channel.
@ShunasKitchen5 жыл бұрын
Thank you so much my dear :)
@cindymtunga26524 жыл бұрын
Exactly she’s so amazing
@Marzyart5 жыл бұрын
I tried this. Its the first time I dont have to add extra water or extra flour to fix the dough. Only the ingredients you mentioned and it was perfect. I had a delicious mandazi. Thanks
@muotinzmultiply883 жыл бұрын
Dada...nimefwata recipe yako...nikapika mahamri safi sana. Asante...plus I love way you explain things
@esperancafernandes36083 жыл бұрын
If I were in Kenya, I would come over for tea at your home. I am from Kenya too. Thank you so much. It is so nice to here Kiswahili again.
@elinakaoneka412 жыл бұрын
my csta salute I just watched hii video yako na nmeshapika mda huu jamanii ni matamu balaa..You re the best,thank youu
@wendynillieds49564 жыл бұрын
Thank you shuna....yamekua matamu sana....Leo nimejaribu na nimeweza....Asante maa...
@rosemarygathoni88207 ай бұрын
Did them today ..and the results were awesome...thanks for sharing your knowledge...am humbled
@mariejeanekawini89524 жыл бұрын
Nilitumia mwelekezo wako na matokeo yalikuwa 100% perfect. Shuna ubarikiwe sana .
@leen.42052 жыл бұрын
I have tried many mahamri receipes on YT but this is by far the best recipe on YT 🔥🔥🔥 My mahamris came out soft, balooned and delicious. I followed every step and the mahamris were perfect. I give this recipe an A+. Thanks for sharing 🔥🔥❤
@arafaabdi4364 жыл бұрын
Asante sana ilikuwa mpaka nachukia kufanya maandazi lakin kwa ajili yako sasa nainjoy kupika maandazi mazuri jazakallah kheri
@aishahennaharts93945 жыл бұрын
Masha Allah looks very delicious yummy reminds me of iftar days of Ramadan..Allahuma Balighna Ramadan Ameen.
@knightgbishop17894 жыл бұрын
Glad for the invitation, i thought i knew how to prepare Mahamri, you made me feel a student and i'm happy to be
@ai_olive92895 жыл бұрын
This is the best mandazi recipe out there!!! My husband absolutely loved it. It was soft, fluffy and well risen. Thank you so much.
@ShunasKitchen5 жыл бұрын
You are welcome. Thanks alot for the lovely feedback. I'm so happy you liked it 🙂
@maryammkinze73662 жыл бұрын
My to go all time recipe yan haijawah kuniangusha hii recipe kila nikitaka kupika maandazi lazima nirudi hapa shukran sana Allah barik na ramadhani hii bas hata siwazi kuhusu maandazi kabisa
@shimuld67216 жыл бұрын
Mashaallah tabaraka Rahman shukran dada jazakaallah kheir Mwenye enzi Mungu akuzidishie
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Ameen asante sana my dear
@didahassan13193 жыл бұрын
Yani kwa kweli chunas kitchen unajua kunipa appetite ya kula... anyway nakupenda kwa ajili ya Allah
@maureenkamau16254 жыл бұрын
I love this recipe so much. Thank u girl for posting this!!!!!
@ireneurio59384 жыл бұрын
Nimependa uko detailed sana. Ungekuwa mwalimu ungekuwa best teacher
@zuweinaabeid16596 жыл бұрын
Ma Shaa Allah Tabaraka Rahman Allah akujaalie hii sadaqa yako iwe njia ya kukupeleka janna bila hesabu shukraan sana kwa kutusaidia ukhty
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Ameen ameen shukran sana ukhty
@husnahamisi93622 жыл бұрын
Shukran wallah my mahamris today ajab kila mtu ameyapenda thank you mwalimu
@esthermukai11965 жыл бұрын
I love this! Your recipes have simple ingredients not hard to find. Thank you.
@fatmamansor81383 жыл бұрын
Wow Mashaallah Allah akupe Siha na Afya Habibti Mahambri mazuri na maelekezo clear kabisa Shukran Habibti!
@darlenee.l.31314 жыл бұрын
Hey Shuna! I recreated this recipe - it was my first time. I am so happy, my mandazis came out great! Thanks for the tutorials, keep them coming!
@ShunasKitchen4 жыл бұрын
Thank you so much for the lovely feedback, glad you made it 💞
@Khalila_hudaa3 жыл бұрын
Hey try mine also you gonna love it
@josephnjuguna96063 жыл бұрын
Asante sana kutoka Kenya, huwa ninafuata resipe zako. Never disappoints. 🙌🏿
@bienikibeni48906 жыл бұрын
Masha Allah nimeona nyingi but hii clip yako iko best kwa information yako unaeleza kwaku fahamika na recipe yako 👍🏼
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Asante sana Bieni usisahau kunitumia matokeo🙂 :)
@hafsakhamis31495 жыл бұрын
Shuna's Kitchen nice
@rahmaabdulrasul95044 жыл бұрын
@@ShunasKitchen g
@athumankaswaga605 Жыл бұрын
Asante sana kwa somo lako. Nimekuwa nikifuatilia sana mapishi yako ghafla nimejikuta nimekuwa mpishi now niko Nchini Oman napiga pesa.
@faridamkesso976 жыл бұрын
MashaAllah yaani umenitamanisha hadi nimekumbuka nyumbani mahamri na mbaaazi
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Thank you so much for watching:)
@shimuld67216 жыл бұрын
Mashaallah tabaraka Rahman Mwenye enzi Mungu akuzidishie fi miizan hasanaatish
@dullahboy98206 жыл бұрын
Farida Mkesso Mazur sana
@stivenstivenkeneth62955 жыл бұрын
mashaallah
@userAysha4 жыл бұрын
Dadangu ahsante sana mashallah unafundisha kila kitu vizuri sana sana mashallah
@deeahmat59014 жыл бұрын
Best maandazi recipe ever. Mine turned out amazing, soft and delicious.
@ShunasKitchen4 жыл бұрын
Superb! Thank you so much
@peterstano47593 жыл бұрын
Best recipe I like it and ll'l try it if it is possible bt it seems like thanks madam.
@marydzuya2086 Жыл бұрын
Nusu kilo ya unga nieke kiasi gani cha hamira
@mercydelight1149Ай бұрын
Beautiful , lugha pia sanifu, umeeleza vizuri sana
@MrChickenstalker4 жыл бұрын
Mashallah, thank you very much sister May Allah bless you
@Jokha1Jokha4 ай бұрын
Mashallah habbty mungu akuzidishie nimejifunza now napika mandazi mashallah yanatoka uzuri sana.
@wanjirubens4 жыл бұрын
I love your calmness makes it easy for me to learn it easily
@shanesmith56904 жыл бұрын
I kno right check out this easy to follow recipe for mandazi m.kzbin.info/www/bejne/sKTXZHtoqLCpn6s
@deborahcharles74725 жыл бұрын
Siji sahau kuna siku nilikua ugenini gafla nikaambiwa nipike maandazi kwasababu watu tulikua wengi nikapika dada si nikasahau amila uwi bahati nzuri asubh tulikua tunaondoka basi njia nzima yakawa yanasemwa maandazi yangu tu nilikua nacheka but moyoni naumia maana nilitoa half keki sio half keki kaukau sio kaukau lakini Leo nimefata procedure zako dada nataman maandazi nlopika Leo ndo yangekua kule ugenini thank you shunaa your real the best napika vingi vitam kupitia ww
This woman is the reason my bride price is going up! Hahaha 😂 😂
@ShunasKitchen4 жыл бұрын
Haha keep it up 🤣
@shanesmith56904 жыл бұрын
Ahaha thats a good one i know right!!!...check out this one shes keeping me on point her videos so easy to follow mashallah m.kzbin.info/www/bejne/sKTXZHtoqLCpn6s
@kiheriabill40054 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@mattykenga27553 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣👌
@Khalila_hudaa3 жыл бұрын
Hahaha amaizing🔥🔥
@fsalim25295 жыл бұрын
MashaAllah...kazi yko nzuri na waeleza vizuri sana...Allah akubaarik...
@lifeandliving45333 жыл бұрын
Mashallah Mashallah very helpful and the Mandazi are so nice, I have almost finished ol the KZbinr videos of Mandazi but for today this recipe made it for me thanks Shuna😍 May Allah bless you
@mcrenee-xc5zr5 жыл бұрын
Najifunza mengi kutoka kwako dada,barikiwaaaa.
@mrsmunene4 жыл бұрын
Tried this recipe and it turned out perfect...
@daimavlog4 жыл бұрын
Sorry dear ulipata kimstari?
@mghoimokamagdalena89704 жыл бұрын
Asante sana hii recipe ilinisaidia maandazi yangu ilikuwa laini .shukrani
@bettyflorence69265 жыл бұрын
Will definately try. Looks simple and yummy
@shuraymhassan57396 жыл бұрын
Mashaallah Wewe wajua kuelekeza mtu mpaka akashika ur are My favourite habbty .Allah akuzidishie.
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Asante sana my dear ❤
@l.a16134 жыл бұрын
This is an incredible recipe. Just learnt how to make mandazis and after the first attempt using a different recipe, this one proved to be even better the second time around. Asante!
@ShunasKitchen4 жыл бұрын
Asante sana kwa feedback nzuri
@shanesmith56904 жыл бұрын
Check out this one the recipe is so easy to follow just made it myseld over the weekend !!! m.kzbin.info/www/bejne/sKTXZHtoqLCpn6s
@felistermatindi91342 жыл бұрын
@@ShunasKitchen sijaona matumizi ya backing powder, haihitajiki?
@muthoningumi4 жыл бұрын
Thank you dear... This has become my go to recipe for mandazi. Nimejaribu nyingi, lakini yako heee tamu Sana..
@ShunasKitchen4 жыл бұрын
Asante sana ❤
@sheikharashid13784 жыл бұрын
It is the best recipe Ur cooks always impress others Good to have u as a teacher and also as an inspiration to those who are learning to cook U always explain everything well Mashallah👏👌
@suzanmhanga67372 жыл бұрын
Asante hakika unajua kuelekeza hata kwa asiejua chochote anaelewa,mungu akubariki sana
@rizwanaagha23894 жыл бұрын
Made the mandazis yesterday. Turned out really soft and tasty. Thank you Shuna.
@nailaissa16136 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah shukran kwa mapishi yako..Allah akujaze uzidi kutuelimisha..Ameen
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Ameen asante sana my dear
@maiidahmartinez32544 жыл бұрын
Lovely recipe tried it today and it was amazing!
@shanesmith56904 жыл бұрын
Nzuri! Checkout this awsome video of mandazi so easy to follow and so delicious
@safiaseif74945 жыл бұрын
Nakupenda sana dada yang unajua sn kupika asante kwa mafunzo mazuri Mungu akubarikii
@leahchebet63455 жыл бұрын
Hello Am so grateful.Tried it out and everyone loved it. Am so happy
@zaydaali58674 жыл бұрын
Mashalha tabarakalha
@shanesmith56904 жыл бұрын
Try these mandazi recipe so easy to follow and so delicious m.kzbin.info/www/bejne/sKTXZHtoqLCpn6s
@asikorose22797 ай бұрын
Thanks nimejaribu leo ikosawa kabisa
@kenyaettahboss42404 жыл бұрын
This is so nice I'm eating them while they are on display 😋
@kiheriabill40054 жыл бұрын
Kazi safi... Mahali siko sure ni hapo kwa maziwa ya unga
Angalia video yangu mandazi so easy to follow m.kzbin.info/www/bejne/sKTXZHtoqLCpn6s
@hadijamkwale14652 жыл бұрын
Best recipe ever😘...I made yummy en best mahamri kupitia recipe hiii ❤️
@maryamoman59266 жыл бұрын
Mashallah nampenda sana mapi ❤❤❤❤shi
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Thank you so much for watching:)
@MaggieNW6 ай бұрын
Tried it multiple times and it’s the best recipe, I use it every time I make Mahambri. Thank you for sharing your recipe much love from Australia 🇦🇺❤️
@azzaalmaamry766 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@caritasbaziga90364 жыл бұрын
Good job dada kwa mapishi mazuri pia wewe ni mwanamke msafi .
@yusufbasiliya12475 жыл бұрын
Your the best👌🏻lkn kuvaa cloves it’s very disturbing to watch sio Siri
@shaheroselalji9890 Жыл бұрын
Demonstration yako iko nzuri sana. I must try this recipe. I might try it using half the measurements with 2 cups of flour. Thank you for sharing.
@fauziamohamed2925 жыл бұрын
Shukran Allah akujaze InshaAllah
@aishahakizimana58686 жыл бұрын
Maa shaa Allaah 😍, thank u for sharing dear.
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
You are welcome, Thank you so much for watching:)
@muniragambere26805 жыл бұрын
Wow......shuna wewe kiboko....maa shaa Allah
@mamakerayanmurisho20974 жыл бұрын
Mashallah 🌹
@mariamhamadi2160 Жыл бұрын
Wow nimenufaika sana na utaalamu uliotumia kwa kutengeza na kupika mahamri
@fatumahemedi59206 жыл бұрын
Most definitely ill try it out
@shanesmith56904 жыл бұрын
Check out these easy to follow mandazi m.kzbin.info/www/bejne/sKTXZHtoqLCpn6s
@shamimhass4 жыл бұрын
Mashallah mahamri mazuri saaaana. Asante kwa ku share recipe yako
@abdulsataralalawi17345 жыл бұрын
مشاءالله this remind me when I was a child
@LightnessMrema-qv4uy8 ай бұрын
Nimejaribu kupika da yametoka vinzuli sana God bless you.
@kawtharjamaal75905 жыл бұрын
Hivi hao waliodislike wanann lakin yan andazi linavutia hivi ,kweli binadamu hata ufanye nn kwake vibaya .
@pendosammy59845 жыл бұрын
hawajielewi
@nurjahanlogde18155 жыл бұрын
@@pendosammy5984 Husda hiyo !!!😡😡
@pendosammy59845 жыл бұрын
@@nurjahanlogde1815 mmh
@T1tanGamingCsgoMore5 жыл бұрын
Hawayajui hao tuwapuuzeni tu
@fatumachari2581 Жыл бұрын
I made this wallah so yummy asante sana kwa kunifunza
@hsomi14624 жыл бұрын
Napenda sana jinsi unavyoonyesha step kwa step. Nimejifunza sana kutoka kwako. Nakushukuru sana.
@tatukarata21513 жыл бұрын
Nimeyapenda sana najaribu km yatakua
@Ethansplaytimeadventures5 жыл бұрын
Sisi wakenya lakini Kiswahili sanifu is difficult to follow....Love the recipe though...It's well explained as opposed to many others.
@bintimohammed32334 жыл бұрын
Sio wakenya wote sisi wa Mombasa twasikia kila kitu
@miphy25434 жыл бұрын
recipe za wa tz mambo yote .i learnt cooking nice chapati from her
@Mutheu_keАй бұрын
If unatumia self rising flour unaweka yeast bado?
@saifbrashdy60952 жыл бұрын
Mashaalah unakipaji na hodari wa kuelezea asante
@farajaandrew70812 жыл бұрын
Nimetumia recipe mandazi yametoka vizuri ila ngozi ya nje imekuwa ngumu.. nimekosea wapi?
@readwithme5758 Жыл бұрын
Me too. Inakatika
@NafhatHamed11 ай бұрын
Labda umetumia ppf unga wa maandazi hbf
@zulekhamuhsin593310 ай бұрын
Weka yai ata moja
@biusiabdallah34919 ай бұрын
Umepunja mafuta sana huenda
@noraazan91243 ай бұрын
Mafuta huenda yalikuwa makali wakati wa kuchoma
@paulinewanjiru83252 жыл бұрын
Napenda video yako unaexplain everything so clearly
@irenenelson90725 жыл бұрын
Na jaribu kesho
@AN-cw2by4 жыл бұрын
Ahsante sana, leo kwa mara ya kwanza nimepika maandazi na yametoka vizuri sana
@latusha48886 жыл бұрын
MashaAllah
@sayunimrocky8445 Жыл бұрын
Hongera maandazi mazuri, na unaelewesha vzr kazi kwangu
@فاتنالتميمي-ر4ه5 жыл бұрын
نريد ترجمه بالعربي الكلام مو مفهوماو انجلش شكرا
@omziad50955 жыл бұрын
المقادير : 500 جرام دقيق ابيض نص كيلو ، كوب ونص حليب سائل او حليب جوزالهند ، ربع كوب سكر ابيض ، ملعقة صغيرة حبهان (مطحون) هيل ، 2 ملعقة اكل زيت طبخ ، 7 جرام او ملعقة طعام خميرة سريعة ، 2 ملعقة طعام حليب بودرة . الطريقة واضحة ، فقط معك مقدار ال كوب ونص حليب تقسميه نصفين ، نصف كوب ببداية العجنة والباقي بالعجنة كامل .. معك كذلك التوقيت لترك العجنة ترتاح او تختمر . بعد العجن تترك ساعة و عند تقسيمها 5 اقسام تترك ربع ساعة وعند تقسيمها تترك نصف ساعة .