Ndio sisi wote wanadamu, hasadi na uhasama ndio mapito yetu. Tumuombe Mwenyezi Mungu muumba mbingu na ardhi atupe nafsi zenye kuridhi kulhali jua au mvua. Shukrani kwa ujumbe maridhawa Bi Sabah.
@TunzaSaidi7 ай бұрын
Inshaallh leo yetu kesho ya mungu🙏🙏🙏
@ukuvukiland2387 Жыл бұрын
Kumbe Sabah huu ujumbe wewe ulikua wa kwanza nakumbuka kipindi kile cha makuzi nishasikiliza hizi msg...those time east African melody nice msg, shukran shangazi..
@mwanahamisiabdul7980 Жыл бұрын
Hata uwabebee turubai
@sandukuladhahabu Жыл бұрын
Wimbo huu uliimbwa na Zuhura Shaaban pale Melody then akaimba khadija Yusuf na Sabah pia
@MikidadiSalim-xk9dc4 ай бұрын
Upo wapi mwenzetu..king of taarab ni rukia ramadhani ❤😂
@MustakimseifSalum4 ай бұрын
@@sandukuladhahabuuhakika
@husternkutcher3 ай бұрын
Wimbo ulitungwa na omary mzee,,uliingiziwa sauti na khadija yusuphu ukaja kuimbwa rasmi na zuhura shabaani ukamilikiwa east African melody ukawa wimbo wa kundi hauna mwenyewe hivyo version ya pili akaja kuiimba sabaha saluum muchachu baadae khadija akaja kuimba version ya 3 hii ilitokana na ingia toka ya wasanii kwenye band