SIDE CHICK (Mchepuko) EP 01 || S01 || LOVESTORY

  Рет қаралды 18,113

Waraha films

Waraha films

Күн бұрын

#bongomovies #sidechick #mchepuko

Пікірлер: 227
@MRTASHA-c2k
@MRTASHA-c2k 2 күн бұрын
Karibuni tutazame tamthilia yetu nyingine kali sana❤
@SdFft-j5g
@SdFft-j5g 2 күн бұрын
Umeyatimba broo,kwa wanawake wote ukaona tuu kendi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@SalomeFigawa
@SalomeFigawa 2 күн бұрын
Hapo kwa kendi umeyatimba kendi sio type yako
@HappyNass-mu3lu
@HappyNass-mu3lu 2 күн бұрын
Kwa candy utayoka Mr Tasha
@BettyMzungu
@BettyMzungu 2 күн бұрын
Pamoja❤
@VanessaZumbwe
@VanessaZumbwe 2 күн бұрын
Tupo pamoja yaan bega kwa bega
@FatumaBahatihassan
@FatumaBahatihassan 2 күн бұрын
Jamani tulohamia upande wapili tujuane
@Najmahnyangasi
@Najmahnyangasi 2 сағат бұрын
Daah mr tasha mkeo ni candy atakukondesha huyo wewe 😂😂😂😂😂😂😂😂😂alivyo mkondesha mr kai 😂😂😂😂afadhali angekua zuuh aky
@sayunimnguruta98
@sayunimnguruta98 4 сағат бұрын
Tasha umeyatimba pole 😂😂😂😂 mke candy umekwishaaaaa😂😂😂😂😂
@Haleema-dg5bo
@Haleema-dg5bo 2 күн бұрын
Weeeee Mr Tasha kakaangu umeoa Kendy 😂😂😂😂😂 utakufa siku c zko
@serahkazungu6029
@serahkazungu6029 6 сағат бұрын
😂😂😂😂
@RosemarySulle-e9c
@RosemarySulle-e9c 3 сағат бұрын
Jmn hii ni move to so uhakika
@mapesaomary-ip3vf
@mapesaomary-ip3vf 2 сағат бұрын
Tumeamia uku sasahiv ❤
@nurusaid4698
@nurusaid4698 2 күн бұрын
Uyu Candy Bora Awe Chizi Aishi Majalalani Ndio Watu Wataishi Kwa Amani😂😂😂😂😂
@DOTTOMATUKIO
@DOTTOMATUKIO 2 күн бұрын
Ila candy
@JustaMartinsEduardo
@JustaMartinsEduardo 5 сағат бұрын
Yani arudie kuwa kichaa😂😂😂😂
@penzileenkadogo9554
@penzileenkadogo9554 3 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂umenibamba bwana wee😅
@jamillahassan3405
@jamillahassan3405 32 минут бұрын
Bwanayeeeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@FatimaFati-pu4lb
@FatimaFati-pu4lb 3 сағат бұрын
Mm na mpenda cendi🎉🎉
@UkuttyFetty
@UkuttyFetty 2 сағат бұрын
tasha kakaangu hap umeyatimba uwiiiii
@MiriamuMuro
@MiriamuMuro 3 сағат бұрын
Candy hashindwi kuomba talaka kwa mme wake Tasha sababu Candi Hana haya ..... Ninavyoona Tasha anaenda kwa zuuuuu ❤❤❤❤ moveee hiyooo tamu .
@Mwanauru
@Mwanauru 2 сағат бұрын
Mr tasha pole sanaa kazi unayoo 😅😅😅😅😅
@MiriamuMuro
@MiriamuMuro 4 сағат бұрын
Kweli nakupa pole Tasha uwiii umemuowa pasua kichwa candy. 😂😂😂😂
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 2 сағат бұрын
Kendii tabia ni zilezile pole sana tasha
@WiniMsemwa
@WiniMsemwa 7 сағат бұрын
Duuuh hatal kazi imeanza busat nawakubali sana mnajua kutufrahisha jmn
@Amena-z5r
@Amena-z5r 4 сағат бұрын
Mr tasha pole sana my dear
@AdhisJulia
@AdhisJulia 3 сағат бұрын
Waaa tasha ak pole
@RehemaMohamed-m8r
@RehemaMohamed-m8r 3 сағат бұрын
Shida kama shida 😅k😂
@denisemmanuel-jh8pc
@denisemmanuel-jh8pc 3 сағат бұрын
Tasha na candy khaa ila nae zuu mbona anayatafuta matatizo tena na huku awe wa pili, uyu sio kaibe😊
@Aminashekivuli
@Aminashekivuli 7 сағат бұрын
Kazi nzur sana busati ❤❤❤❤
@TutiMwalilino
@TutiMwalilino 3 сағат бұрын
Uwii Tasha kwa kendi jamn upo hatarini tasha
@penzileenkadogo9554
@penzileenkadogo9554 3 сағат бұрын
Mr Tasha pole sana😢kumuoa candy ni kujichimbia kaburi,kai naye round hii ameona amsaliti Tasha 🤔😂omg😅
@FarhhFarhh
@FarhhFarhh 7 сағат бұрын
Maahallah❤❤❤❤❤
@WiltherArisa
@WiltherArisa 2 күн бұрын
Tasha 😅😅😅😂Leo ameyatimba kabisa
@jubaidamiss2409
@jubaidamiss2409 3 сағат бұрын
Next ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@فاطمه-ج6ن7س
@فاطمه-ج6ن7س 6 сағат бұрын
Mr.Tasha kipande ulochukua kakaangu utakufa bila siku zako.huyu candy anaendana na chiko..mana wote walivuta bangi na tembe zake.ila kwa wewe ndugu yangu mr.tasha na kwa upole ulonao dah. hapo kaz unayo
@FazilimariamMariam
@FazilimariamMariam 2 күн бұрын
Watu wawa rabuni tuna wapenda mno jamani love❤
@MonicaMkombwe
@MonicaMkombwe 15 сағат бұрын
Yaani tupo makini sana na kazi zao kuliko kazi za waarabu🇴🇲
@MwanajumaMajimbo
@MwanajumaMajimbo 6 сағат бұрын
​@@MonicaMkombwe😂😂😂😂
@CarolineSaumu-ng3zk
@CarolineSaumu-ng3zk 4 сағат бұрын
Pole tasha 😂😂kazi unayo
@MargaretJulius
@MargaretJulius 4 сағат бұрын
Pole sana tasha kazi unayo
@JustaMartinsEduardo
@JustaMartinsEduardo 5 сағат бұрын
😂😂😂Mr Tasha, kweli kazi unayo,kwa huyo mkeo was sasa 😂😂😂anaitwa da Candy 😂😂😂😂
@rahemh1234
@rahemh1234 13 минут бұрын
Tasha yani hapo kwa Candy umeyatimba 😮😢 mtu wako ni Zatiti tu bas lakin kwa Candy 😂 utaburuzwa ushangae 😅😢 halaf hiyo nafasi ya zuu haijampendeza angepewa Sania zuu kapendezwa na ustaarabu tu
@JoyceKayombo-y3g
@JoyceKayombo-y3g Күн бұрын
Kwahiyo kai huku umekua kibe nten wetu😂😂😂😂
@Magangagift300
@Magangagift300 2 күн бұрын
Jaman wote nawapa ongera nawapenda Sana tango nimeyanza kuwafatiliya🎉🎉
@FatumaJuma-vk8nv
@FatumaJuma-vk8nv 2 күн бұрын
Mamb n moto🎉🎉🎉🎉
@HAWAIDDY-q8f
@HAWAIDDY-q8f 4 сағат бұрын
Tasha Leo kakutana nacho😅😅😅
@LouiseMwito
@LouiseMwito 7 сағат бұрын
Pole sana tasha
@NeemaJoeli-sj3ps
@NeemaJoeli-sj3ps 6 сағат бұрын
😅😅😅😅😅😅 tasha umemuoa candy yakikushinda sepa tu baba
@esthermkambe
@esthermkambe 2 күн бұрын
Hii nayo n moto weee😂😂😂❤❤❤❤❤🎉💐💐🌹🌹🌹
@gracenchimbi5126
@gracenchimbi5126 Күн бұрын
Tasha safari hii kivumbi kimeamia kwako😂😂😂😂😂 pole sanaa
@Thuma-g8o
@Thuma-g8o 3 сағат бұрын
Cendy mumewe ni chiko tu lakini tasha na kai wataburuzwa sana na cendy
@Maryam-e2x8p
@Maryam-e2x8p 4 сағат бұрын
Hongera Mr tasha❤ 🇸🇦
@SdFft-j5g
@SdFft-j5g 2 күн бұрын
Kendi alipona kua chizi,,Tasha na bdoo ndo movie inaanza tuu😂😂😂😂😂😂
@MiriamuMuro
@MiriamuMuro 3 сағат бұрын
Mpumbavu mwenzangu yupo wapiiiii. Chikooo wapi chikooo baba .kipara mtelezo upo wapi .... Wale vibaraka wa chiko wako wapi . Rahama na mke wenzie yupo wapi .
@Piliseleman-v6r
@Piliseleman-v6r 5 сағат бұрын
Badilishen majin sio kila move majin hayo hayo kilamb mwiten hata muyuwe😂
@Kadii-o9s
@Kadii-o9s 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂jmni kendi
@BrendaChelangat-oj3bx
@BrendaChelangat-oj3bx 7 сағат бұрын
Pole Tasha baba😂 kazi unayo❤❤
@NuraydaFatma
@NuraydaFatma 2 күн бұрын
Nawapenda sana ❤❤
@RahimaAa-g2v
@RahimaAa-g2v 7 сағат бұрын
❤❤🎉 move kali sn
@lilianmatheka9109
@lilianmatheka9109 4 сағат бұрын
Wadau house girl iliisha
@MaryamIssa-x5z
@MaryamIssa-x5z Күн бұрын
Sania mbn hatumuoni humu nimemmiss
@fatumaselemani3807
@fatumaselemani3807 2 күн бұрын
Mashallah ❤❤❤❤
@SuzyAna-vu9li
@SuzyAna-vu9li 6 сағат бұрын
Tasha kaka umeyabananga mwaka huu 🤣
@MiriamuMuro
@MiriamuMuro 3 сағат бұрын
Zatiti yupo wapi ,Sania yupo wapi . Kibendu yupo wapi mke wa kibendu yupo wapi . Mama yake tasha yupo wapi .. baba yake Kai yupo wapi ..... 😭😭😭
@JacintaMaloba
@JacintaMaloba 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂 tasha umeyatimba leo 😂😂😂
@SharifaA-y4t
@SharifaA-y4t 6 сағат бұрын
😂😂eee tasha ume patikana
@DavidMauziki
@DavidMauziki 7 сағат бұрын
Candy ni kichaa kweli maisha nikuvumilia tu
@evarkhanaya7891
@evarkhanaya7891 2 сағат бұрын
😅 bro tasha huyo sityp yako kabisa
@FestusJuvinary
@FestusJuvinary 3 күн бұрын
Kai unacho mfanyia tasha sio poa unaamua kupita na mke wake umesahau kuwa alikuwa rafiki ako kwenye house girl au🗣️😭😭😭😭😭
@CarolineSaumu-ng3zk
@CarolineSaumu-ng3zk 4 сағат бұрын
😂😂😂 tuko kipande ingine
@NaomiNyabokeMageto-v8j
@NaomiNyabokeMageto-v8j 2 сағат бұрын
😅😅😅😅😂😂😂
@حسنا-ض3ز
@حسنا-ض3ز 2 күн бұрын
Much love from kenya
@Fatima-i7h3w
@Fatima-i7h3w 2 күн бұрын
😂😂tashaaaa umeangukia pia safari hii huyo sio zatiti 😅
@HefsibaFokas
@HefsibaFokas 6 сағат бұрын
We kai so vizuri
@LoiceRunya
@LoiceRunya 2 күн бұрын
Tasha kayakanyaga this time😅😅😅. Ila hii pati ya zuu angepewa Sania😂😂😂
@FaudhiaWadongo
@FaudhiaWadongo 7 сағат бұрын
Mlipo tupo❤❤❤
@sakina5550
@sakina5550 13 сағат бұрын
Candy huyoooo😂😂
@FatumaHajj-h6m
@FatumaHajj-h6m 4 сағат бұрын
Tupo nanyi kipenzi mr genius hadi Kenya 🇰🇪
@ShamimShamy
@ShamimShamy 2 сағат бұрын
Mr Tash kanzi nzur lkn zuu nakupenda kwakuw unaokoa furaha ya MTU pale amechoka Maisha
@aishaomar2287
@aishaomar2287 6 сағат бұрын
Tasha wetu uku umekua chuma ulete😂
@AishaLidago
@AishaLidago 2 күн бұрын
Candy tena😂😂😂
@MonicaSimon-n3i
@MonicaSimon-n3i 4 сағат бұрын
kaz nzr hongeren
@OscarClex
@OscarClex 3 күн бұрын
Nzuri sana hii movie tupeni burudani
@waraha2024
@waraha2024 3 күн бұрын
ahsante sana mdau wetu, tutaendelea kuleta burudani zaidi
@swahilinationfilms8494
@swahilinationfilms8494 2 күн бұрын
Kazi nzuri sana
@Lydia-oy1cz
@Lydia-oy1cz 4 сағат бұрын
Uku tasha kayakanyaga😅😅😅
@zawadiKimaro-xh6wx
@zawadiKimaro-xh6wx 2 күн бұрын
zuu anajiingiza tena kwenye anga za kendy 😂😂😂😂
@aishaomar2287
@aishaomar2287 6 сағат бұрын
Aliapa kula nae sahani 1😊
@JanethMarko-e7h
@JanethMarko-e7h 10 сағат бұрын
Kai jmn unakosea kabisa
@Priscaangelusi
@Priscaangelusi 6 сағат бұрын
Candy habadiliki movie zote jamani 😂😂😂😂
@FelistusKimanzi-f2g
@FelistusKimanzi-f2g 5 сағат бұрын
😂😂😂😂nice one
@SalamaSally
@SalamaSally 4 сағат бұрын
Mr tasha kazi unayo baba
@MamrF-v9v
@MamrF-v9v 6 сағат бұрын
Tasha na candy hanuendani kuwa bibi namuke😂
@fammamaboko6543
@fammamaboko6543 2 күн бұрын
😂😂😂 Candy uyoooooo
@SalhaAli-b8d
@SalhaAli-b8d 7 сағат бұрын
Jmnii hause ushaisha au
@CharityGilla
@CharityGilla 3 күн бұрын
Humu tu🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥
@NeemaEli-wl1dz
@NeemaEli-wl1dz 2 күн бұрын
Mungu awainuwe zaid
@tatumarin
@tatumarin 3 күн бұрын
Mambo ni moto du
@AminaHassan-mn4hl
@AminaHassan-mn4hl Күн бұрын
Tasha umepatikana leo Pole kwa candy Pole 😂
@NeillahMcute
@NeillahMcute 3 күн бұрын
Wueeeh humuu tuu 😂😂🎉🎉🔥🔥🔥
@waraha2024
@waraha2024 3 күн бұрын
naam kazi kazi boss wetu
@MariamuAlly-w3u
@MariamuAlly-w3u 3 сағат бұрын
Tasha umeyakanyag saivi zam yako
@MwanaMwana-f8f
@MwanaMwana-f8f 2 күн бұрын
Mchepuko ni kai 😂😂😂😂😂
@Mwanalimamasumbo
@Mwanalimamasumbo 5 сағат бұрын
😂😂ila candy
@japhethngui6139
@japhethngui6139 4 сағат бұрын
Hapa mnatesa Tasha jamani
@JanethMarko-e7h
@JanethMarko-e7h 10 сағат бұрын
Pole sana Mr tasha
@AminaKavuo-gj3oc
@AminaKavuo-gj3oc 6 сағат бұрын
Waaaah kichaa cendy
@FestusJuvinary
@FestusJuvinary 3 күн бұрын
Tunamaliza house girl tunaunga bila kupumzika
@waraha2024
@waraha2024 3 күн бұрын
naam ni burudani juu ya burudani
@MonicaMkombwe
@MonicaMkombwe 15 сағат бұрын
​@@waraha2024 kazi juu ya kazi
@MaryamIssa-x5z
@MaryamIssa-x5z Күн бұрын
Candy na kupenda bureee shoga yang bila ya ww movie hainogi😂😂😂😂😂
@hutahuta1170
@hutahuta1170 5 сағат бұрын
😂😂kendi nimoto tasha pole
@ZitocrisantoMakaba
@ZitocrisantoMakaba 2 күн бұрын
Tasha kayatiba na candy😂😂
@averinamtani
@averinamtani 4 сағат бұрын
Jamn tunamtaka na zatity wetu
@TheresiaEliazary
@TheresiaEliazary 3 сағат бұрын
Familia ya busati mmeamua kumweka candy na Tasha kwelii jmn sijapenda kabisa kwann msingemweka na chiko jmn why lkn😢😢
@FATUMAMUKUCHA-gu1ej
@FATUMAMUKUCHA-gu1ej 38 минут бұрын
Asante ❤❤😂
@AyishaOman-cw4xs
@AyishaOman-cw4xs 3 сағат бұрын
❤🎉
@HefsibaFokas
@HefsibaFokas 6 сағат бұрын
Taxha ee huyo so saizi ako
@KuvunaGonda
@KuvunaGonda 2 күн бұрын
Ela kazi unayo tasha hapo kwa candy
SIDE CHICK (Mchepuko)  EP 02 || S01 || LOVESTORY
19:13
Waraha films
Рет қаралды 7 М.
KING WA MADEM |11|
15:53
BHAILAM
Рет қаралды 13 М.
One day.. 🙌
00:33
Celine Dept
Рет қаралды 65 МЛН
How many people are in the changing room? #devil #lilith #funny #shorts
00:39
Муж внезапно вернулся домой @Oscar_elteacher
00:43
История одного вокалиста
Рет қаралды 8 МЛН
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 2,2 МЛН
THE CONCEPT EPSD 2 / SAD LOVE STORY
24:38
SUNGURA MEDIA
Рет қаралды 17 М.
MALAIKA Ep {1}
31:13
MZEE KICHECHE
Рет қаралды 243 М.
Luxury Episode 1
23:10
L.M. FILMS
Рет қаралды 106 М.
THE CONCEPT episode 3 | SAD LOVE STORY ❤️
20:29
SUNGURA MEDIA
Рет қаралды 3,5 М.
HEAVEN SENT Part 1 Official Bongo Movie
1:25:20
SANGA FILM
Рет қаралды 251 М.
NDARO NA STEVE MWEUSI WALIVO KULA CHAKULA CHA MGENI UTACHEKA
15:51
One day.. 🙌
00:33
Celine Dept
Рет қаралды 65 МЛН