1)Awe anakufurahia 2)Umkubali/akukubali kama ulivyo.. 3)Kumuamini 4)Shauku ya kuona maisha yake yanakuwa bora zaidi kuliko ulivyomkuta
@queenmilan20244 ай бұрын
Live from Italy
@linnetmbotto72124 ай бұрын
Ukweli kabisa… every point is true
@Moyowamama4 ай бұрын
NIPOOOOO LIVEEE FROM KILUVYA
@Moyowamama4 ай бұрын
Very powerful...
@LilianMbangwa4 ай бұрын
Barikiwa mwalimu
@NzaroKarisa-z1i4 ай бұрын
Upendo Wa kweli hauishi
@Gama-sp2ni4 ай бұрын
Upendo hautoshi kwa wapendanao pasta . Mi Gama gairo
@ANNASEPHANIA-lg1uj4 ай бұрын
Upendo was dhati huwa hauishi pastor by Anna - KATAVI
@zakariachacha75744 ай бұрын
Arusha usisahau
@mj.tv.forpeople9924 ай бұрын
Hauishi Imajini mm nagundua sipendi mtoto wa mama mkwe
@Moyowamama4 ай бұрын
DARASA la wanaume lilikuwa babkubwaaa Sana... Next time wengine msikoseeeee
@FranciscoAntonioAmdoba4 ай бұрын
Fransisi / Mocambi que
@JoyceLucas-zk7nv4 ай бұрын
Nikweli, upendo hauma sababu. Hivyo alivyo unampenda tu
@ANNASEPHANIA-lg1uj4 ай бұрын
Sasa pastor umesema kama unauelekeza upendo kwake na haelewi kuhusu huo upendo na mshaoana inakuwaje huo upendo unaelekeza kwingine maana MUNGU anakataa kuachana Sijaelewa vizuti maelezo yako ya huko mwishoni .By Anna -KATAVI
@DeoSukambi4 ай бұрын
Upendo na kuachana ni vitu viwili tofauti..kutoacha na ni sheria ya ndoa na upendo ni sheria ya asili..na kuelekeza upendo kwingine haimaanishi kumchukia uliyenaye na kuanzisha uhusiano na mwingine..nafikiri tatizo ni kwamba tunaweka upendo na uhusiano sehemu moja..si kweli kuww kila unayempenda lazima uhusiane naye kimapenzi
@Moyowamama4 ай бұрын
YOTE NIMEYAKUBALIIII... UPENDO UNAISHA KUKIWA NA MAMBO TOFAUTI NA HAYO MANNE ...
@BarnabaBuhoma4 ай бұрын
Mimi sitajibu ila nitauliza: Je kufuatana na sifa hizi, mtu anaweza kujifunza kumpenda mtu??