Hofu 1,inaua IMANI 2,inakufanya kuwa TEGEMEZI 3,kutamani kutiwa moyo ni matokeo ya HOFU 4,hofu inatufanya tushindwe kueleweka 5,hofu huleta migogoro katika mahusino 6,hofu inaua upendo 😢 7,hofu inatufanya tuue uwezo wa kujitawala Ushindi juu ya hofu, nikuacha kujifikilia wewe na kufikilia kile kilicho mbele yako 💪💪👏👏👏
@robertmanyerere76604 ай бұрын
Shukrani Pastor Deo Kwa somo hili muhimu, hakika ninahitaji kusikiliza tena na tena ili ikiwezekana nami niwe msaada Kwa familia yangu, marafiki na wengine
@ANNASEPHANIA-lg1uj4 ай бұрын
Ahsante sana pastor umenisaidia nimepata vitu vingi saana jamani ,Mungu anisaidie🙏 By Anna katavi