Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:- Facebook : / gospeltvshow Instagram : / chomozanews KZbin : kzbin.info?su... #ChomozaTv#GospelUpdates#2020
Пікірлер: 37
@chrismassawe3263 жыл бұрын
Like zenu hapa kwa waliomfuatilia Dr. Elie na kubadili mfumo wao wa kufikiri na kuanza kuishi ipasavyo.
@princessenzahoraho13643 жыл бұрын
Ninasifa kwa Dr.Elie ju amedufundisha vizuri sana katika maisha yetu. Ametusaidiya sana kutambuwa nakukitambuwa nakutambuwa wengine natena kama umesha tambuwa kwakutambuwa nisifa yetu. Mungu amubaliki sana. Mi na ishi Belgium. Napenda sana kipindi cha chomoza tv. namafundisho yenu. Kiswahili siyo luga yangu halakini ninakipenda saaana. Mungu ababaliki nawapenda sana.
@happinessmwezimpya80853 жыл бұрын
Mda hautoshi mpeni mda wa kutosha Dr anavitu vizuri sana
@blandinarevocatus80713 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Dr nafuatilia mafundisho yako ila muda ni mfupi sana wangeongeza kidogo
@winneirosem1803 жыл бұрын
Hii ni kweli kabisa isiyopingika. Mungu awajalie tena team chomoza tuko pamoja
@babyhamisi53313 жыл бұрын
Nampenda uyu doctor Ellie mungu amzidishie umri wenye afya
@mj.tv.forpeople9923 жыл бұрын
Masomo ni mazuri Sana yanabadilisha maisha yetu, ila sauti Ina kuwa chini sana
@thomasgervas8280 Жыл бұрын
Amina
@mjroyaltz83223 жыл бұрын
Utapendwa ukifa wala usiwe na wasi wasi,,,Daaa nakuelewaga san Dk hakika umekuw baraka kwetu🙏🙏🙏
@reginanampala7293 жыл бұрын
Yn najifunza sn ubalikiwe sn Dr yn chomoza kuwa na huyu baba mubalikiwe sn
@zakariamavere52573 жыл бұрын
Dr kiukweli umenibadilisha mnoo kwa mtizamo na mwenendo mwenyezi Mungu akujalie afya na maisha memaaa daimaa,ahsanteen
@naropilitv62853 жыл бұрын
Shukrani Sana Dr.
@vivianjackson89963 жыл бұрын
Ubalikiwe doctor
@sd-lesavoirdedeli27093 жыл бұрын
Mungu awabariki saaaana.
@gracenaro42533 жыл бұрын
Kuishi kupenda kufa kupendwa daa! Great work you doing fantastic job Dr. May you live long to teach our generation, am from Kenya
@sabrinakazungu82582 жыл бұрын
Sure
@ceciliakingazi67923 жыл бұрын
Mbarikiwe team chomoza
@agneskighenda37953 жыл бұрын
A fountain of KNOWLEDGE!!
@samuelhenry91943 жыл бұрын
Barikiwa sana kwa neno
@officialsaitoti4923 жыл бұрын
Nice Service, God bless u
@danielpiniel29813 жыл бұрын
Useful 🙏
@victorclement34632 жыл бұрын
Dr blessed
@gaudencegeorge46223 жыл бұрын
Ni lini team chomiza mtaingeza mudaaaaa,???
@charlzzesonconsciousness66853 жыл бұрын
Tuko pamoja
@zuhuramike13993 жыл бұрын
Amen
@mussantobi49423 жыл бұрын
Asanteni sana chomoza twawapenda daima.
@mussantobi49423 жыл бұрын
Asanteni sana chomoza twawapenda daima.
@abdulrahmanhassan92543 жыл бұрын
Maoni hamuyadanyii kazi, dakika 22 hazimtoshi mpeni DR kuanzia lisaa limoja 1 mpaka masaa 2 au mnataka aondoke duniani kabla hajamaliza kufundisha aliyonayo?
@stancylousnamula24013 жыл бұрын
Mbavu zangu
@yonakonhosaidseifmohmed68112 жыл бұрын
Wee bwana ni mtu wakuheshimuwa sana kabusa
@salumsamesame17413 жыл бұрын
Smart
@rehemarashid62843 жыл бұрын
Namuelewa dr
@tatutumbi46402 жыл бұрын
Nimejifunza mengi toka kwa Dr. Elie na timu nzima, ya CHOMOZA. Mungu Awabariki🙏
@ayubukibiki56903 жыл бұрын
Aaah leo umeupload mapema uncle jimy
@manasemlumba91093 жыл бұрын
Huyu doctor nikimkosaga naugua. He changed my life