Sijawahi kutoka kimapenzi na msanii yeyote WEMA SEPETU hajui kuigiza ana nyota ya kupendwa.

  Рет қаралды 19,220

NYUNDO TV

NYUNDO TV

Ай бұрын

#nyundotv #Wemaaepetu #Hemedphd

Пікірлер: 59
@uwerapraxeda7240
@uwerapraxeda7240 Ай бұрын
Weeeeeh,unamjua wema wewe,anajua,anajua,anajua tena🙌
@ashamahadi5281
@ashamahadi5281 Ай бұрын
Yaani mwanangu unampatia kweli mtangazaji anataka kukutengenezea Kiki unamtolea nje. Na unajua kujielezea nimekupenda Merry wa jua Kali uko vizuri❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n Ай бұрын
Nakupenda coletha❤❤❤❤❤ww muigzaji bora
@tonykonki1437
@tonykonki1437 24 күн бұрын
A cha wewe wema twamkumbari sana hata wewe huko kwa jua kali huonekani .
@NeemaSendeu
@NeemaSendeu Ай бұрын
Nakupenda coleta umejibu vyema
@VanessaMwandu
@VanessaMwandu Ай бұрын
Umesema kweli Kemmy, Thea na Monalisa wanajua sana umemsahau Mariam Ismail Upande wa Kanumba hilo halipingiki jamaa alipambana nyie mpo mpo tu
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Nimeipenda hili jibu "Mmecrem tu" ila wako watu wanapiga kazi na hawana skendo
@janifajani8875
@janifajani8875 Ай бұрын
Yani ww ndomm yani kutembea na kijana mdogo sipendi
@user-fx7ig1uy6t
@user-fx7ig1uy6t Ай бұрын
Huyu nae anamdomo sihaba😂😂😂😂
@user-pw2sw1sk1b
@user-pw2sw1sk1b Ай бұрын
Mnooo.anamdomo huyu dada 😅😅😅
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 Ай бұрын
Ni ukweli 100% mwandishi hajitambui hajui umaarufu na utendaji kazi
@khadijasaleh898
@khadijasaleh898 28 күн бұрын
Umeongeya vizuri mno
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Ай бұрын
Hapo kwenye kuanza kujikubali ww kwanza ndiyo umkubali mwingine umezingua unatakiwa uwakubali watu ili uone mapungufu yako
@KhairatAljabry
@KhairatAljabry Ай бұрын
Nakupenda we dadaaa sanaaa
@RehemaOmary-ny4oe
@RehemaOmary-ny4oe Ай бұрын
Hana lolote huyo bibi
@pyelesyamwakatika540
@pyelesyamwakatika540 Ай бұрын
Merry nakuelewa tokea kitamboo
@khadijatirionaire2510
@khadijatirionaire2510 Ай бұрын
Nakupendaga mnoo
@dorislema2465
@dorislema2465 Ай бұрын
Wivu tuu
@hopefully7090
@hopefully7090 Ай бұрын
Kweli wema lazima aongelewe kwa vyovyote vile.
@dorahtwaha3574
@dorahtwaha3574 Ай бұрын
Asante sana dada angu nakupenda sana unajua sana
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 Ай бұрын
Colleta una akili sana unajibu vizur sana.akili nyingi kichwani.safi kwa majibu mazur
@ashaali7154
@ashaali7154 Ай бұрын
Huna lolote una roho ya korosho tu hata kujulikana hujulikani na ni kwa ajili ya chuki .
@pyelesyamwakatika540
@pyelesyamwakatika540 Ай бұрын
mh hajulikani huyu kaenda wewe wa juzi ndio maana
@MarianaMartin-rr7nx
@MarianaMartin-rr7nx Ай бұрын
Coletha umri umekutupa mkono sasa ni gazeti la jioni kabisa
@ninayamat8213
@ninayamat8213 Ай бұрын
😅😂😂😂😂😂😂😂😂eti gazeti la jioni😂😂😂
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b Ай бұрын
😂😂😂😂nimeipenda hii kwann nisikupge tuonekane nimekupga iyo safi sana sio Kila kitu mapenzi
@tabuomary1016
@tabuomary1016 Ай бұрын
Wivu tu. Wewe kuongea na pia ndio kujua kuigiza. Muache Wema .
@berithaandersonn2234
@berithaandersonn2234 Ай бұрын
Kama hujamuelewa huwezi kumuelewa kabisaa
@alimwadima254
@alimwadima254 Ай бұрын
Coletha yupo single huoni Raibow hiyo kwa T shirt 😂
@Zainab_salat
@Zainab_salat Ай бұрын
Ndo inamaanisha uko single😂😂😂😂😂
@alimwadima254
@alimwadima254 Ай бұрын
@@Zainab_salat Yuko single Kwa Kuwa Hana Mwanaume ila ana Mwanamke mwenzie🤣🤣🤣...#LGBTQ #Upinde😆
@Zainab_salat
@Zainab_salat Ай бұрын
@@alimwadima254 jamani🤣🤣🤣🤣🤣 mm ninajua rainbow inamaanisha mashoga ndo maana nikakuliza
@alimwadima254
@alimwadima254 Ай бұрын
@@Zainab_salat Rainbow ni mashoga/Wasagaji Huwezi Kuwa single wakati wanaume kibao/ Wanawake kibao...hivyo Bac km ni Mwanaume na upo single Bac ww ni Shoga na km ni Mwanamke na upo single Bac ww ni msagaji🤣🤣🤣 IPO wazi
@jade75798
@jade75798 Ай бұрын
Ni vile tu hujapata kijana wa umri mdogo wa kukutongoza .usiseme hutaki mimi nilikuwa hivyo akatokea mbonge la hb limepanda mpaka nikamhug mwenyewe .sasa hivi ndio my boyfriend na tunapendana na nimemzidi miaka 11 na sisikii sioni .
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 Ай бұрын
Du
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 Ай бұрын
Du
@jade75798
@jade75798 Ай бұрын
Habari ndio iyo na nina watoto watano na mtu mwingine.chezea love wewe
@user-bc3lh5ss6c
@user-bc3lh5ss6c Ай бұрын
😂😂😂😂
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 Ай бұрын
@@jade75798 yaan ww una watt watano lakini una huyo kijana ndio uko naye.were hongers kama vile zari alivyokuwa na diamond
@NeemaSendeu
@NeemaSendeu Ай бұрын
Nakupenda coleta umejibu vyema
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 13 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 35 МЛН
HAMISA MOBETTO-NALIPWA PESA NYINGI,MSIJE MKANITEKA BURE
5:52
NILIJIFANYA MSOMALI | NILITUMIKA NA WAZUNGU HATARI | SHULE ILINIOKOA
1:30:38
Official Dating Assistance
Рет қаралды 19 М.
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 4
36:03
ZamaradiTV
Рет қаралды 27 М.
@juanchinbrodie #comedia #humor #juffec #felipecharry #amigos
0:15
Felipe Charry
Рет қаралды 6 МЛН
Фильм про побег от родителей
0:59
Holy Baam
Рет қаралды 3,7 МЛН
Вся страна в очередях, а ты без очереди...
0:52
МиRRные Чувства
Рет қаралды 7 МЛН