MashaAllah unaonyesha mfano siwakawaida kwa wakati huu mgumu tuliyonao Allah akuhifadhi akufanyiye wepesi majambo yako hapa duniani nakesho akhera Ameen
@hassanadam3007 Жыл бұрын
Masha Allah Allah awalipie jaza na awahifazi na awazidishie umiri mrefu
@AndulHida-hs5py8 ай бұрын
Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri ostadh, tumefaidika mno, mola akulipe Kwa Niya yako inshaallah.