Kelvin nakupenda sana kwa kazi zako nzuri ukiwa ndani kwa movie yoyote napata faraja
@AlfredKavutha4 ай бұрын
Kukuua kwn Kuna kingine Cha kukifanya wah tamaaa dada
@lydiahnyamokami50584 ай бұрын
Kevin kua maakini afadhali upite na moto wa boss kuliko kutegemea mwenye ndoa utajuta ikigeuka kua ndoano😂😂❤❤
@joycemuenimutua45064 ай бұрын
Kazi Iko sawa kabisa nawakumbali kweli 🎉🎉🎉❤❤❤ ❤ from 🇰🇪
@directorbrax5 ай бұрын
Siku Moja Kabla Ya Ndoa Yangu Tuwe Pamoja Hadi Mwisho
@Dontatv2555 ай бұрын
Ndioo
@ivethanyunga-eh9ri4 ай бұрын
Kazi nzuri sana kelvin endelea kuleta vitu vizuri zaidi 🎉
@NduguMwananchi-lee54 ай бұрын
Nafasi ya lina angekaa loveness ingekua poa mnoooo
@VumiliaKashindi-y7k4 ай бұрын
🎉🎉🎉😊
@MubayaSelemani3 ай бұрын
Umefkiri kama Mimi Dear
@IrakozeOlene2 ай бұрын
Kueli lovenesd💪tena romantic
@QuenDidah-n5w2 ай бұрын
Yani kabisaaaaaaaaaaaaaaaa😂😂😂😂😂ushasema mpenzi
@QuenDidah-n5w2 ай бұрын
@@IrakozeOlenekabsa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@HellenWafula-b4x4 ай бұрын
Kelvin KAZI nzuri Sana hakika nazipenda movies zako ila wachelewesha Sana jamani
@JosephmatongwaMabonga4 ай бұрын
babambana kalvin unaeza ziba pengo la kanumba much love kutoka kenya
@JesckaJuniortz4 ай бұрын
God bless u mr kevii unafundixho sanaa
@FatyMcute5 ай бұрын
Mashallah kazi nzur team kelvin ila lina hii tabia cjapenda
@Marim-sj7oi5 ай бұрын
Hata mmi pia cjapenda mke mmoja waume watatu😢
@FatyMcute4 ай бұрын
@@Marim-sj7oi😢😢 huyu ni hatari aised
@RadjaboyKubita5 ай бұрын
Wakwanza toka Congo 🇨🇩 ebu nipeni likes zangu ✌️
@NalubegaJude4 ай бұрын
Naitwa Judith naishi UG big up kelvin nakupenda sana ❤❤❤❤
@Man_Freja5 ай бұрын
Clever boy unaipamba hii movie ishaanza kutupa mizuka sasa
@Cuteeeee4774 ай бұрын
Vailet na Maya nashindwa kuwafananisha kabisa mnafanana sana
@faizamohamed69934 ай бұрын
Hata huyu rashidi na Kevin pia wamefanana sana
@Halima-l7k5 ай бұрын
Masha Allah Wana donta tv kwa kazi nzuri ila mnachelewesha movie
@doricemwakasengo11674 ай бұрын
Shida mapenzi ukipenda utaumia unae mpenda akijua atakukimbia na moyo nao ukipenda utanga'ang'ania hata usipo pendwa huchoki kusubiria
@yusufujkululinda49474 ай бұрын
Kevin mr mapenzi unaziwezea hzi movie za mapenzi jaman❤❤
@AfAfit995 ай бұрын
Wa kwanza like zangu jamen
@Dontatv2555 ай бұрын
Safi
@dementriaassey4 ай бұрын
Kazi nzuli sana Kevi .napend San move zako .hongera san❤
@CatherineKirugumiCathy4 ай бұрын
Kazi nzuri kelvin napenda hii filamu zako zinambamba
@MonalisaNdimbo-f8m5 ай бұрын
Ase kevy ni kama namuona kanumba jaman pambana ase
@hodamzungu41075 ай бұрын
jamani leo wakwanza nimewahi lakini sitaki like kazi nzuri
@Dontatv2555 ай бұрын
Sawaa
@Hope-dq1or4 ай бұрын
Daaah unaye mpenda hakupendi kumbe anawake
@JeannetteManirambona-o6m4 ай бұрын
😂😂umesha ona eee😂😂
@malyajmpondompondo3814 ай бұрын
Hongeren mov nzur sana
@PamelaNaliaka-dk1xq4 ай бұрын
Kevin nazipenda sana movie zako zinatufunza mengi alafu wewe ni mtu wa mzimamo
@rizikisam64814 ай бұрын
Nelly eti shwaa kaisha kama alivopita na mwanamke wa kaka ake kuna watu wanafiki sana kama Nelly alafu unamsevu sponser na ❤ uogopi
@ShazChemАй бұрын
😅😅😅😅😅😅am dying on fainting ❤,Rashid,Kevii....lina ni mrukaji....kweli ni kabla ya ndoa yangu.....
@Iryne-m6f4 ай бұрын
Vicky anaeza, sna😂😂, Ila kelvin kwa upole na ukarimu, hongera, ❤
@liliy-u3n5 ай бұрын
Bro unachelewesha sana😢
@FredrickNdyamkama4 ай бұрын
Boss yuko vizur sana na kazi
@جاااحظمجنون4 ай бұрын
Hongera sana wana Donta t v🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 kanzi nzuri
@LightnessUrio-fo7mq4 ай бұрын
Wa mwisho jmn naombeni like ata kumi yuko wapi 😂😂😂
@JustinaMumbua-j2k4 ай бұрын
Shukrani kelvin mwalimu hodari sana umetifuza mengi👋
@JumaMigezo4 ай бұрын
Sema muuza nguo apo katupika kwenye hesabu 😂😂
@auleusmuyamba42084 ай бұрын
Humu ndan n mwendo wa anayekupenda, humpendi na unayempenda hakupendi na anayempenda hampendi na anaependwa hapendwi, na anayependeka hapendekeki🤣🤣🤣🤣🤣
@اريناارينا-ق3ط4 ай бұрын
😂😂😂 Vicky lakini mtaka vyiote hukosa vyiote
@Aishybeb5 ай бұрын
Jaman nimewahi leo kuwakilisha team hamamm mnipee likes ata mbili ivi ❤❤
@جاااحظمجنون4 ай бұрын
Damam ama hamamm
@Aishybeb4 ай бұрын
@@جاااحظمجنون hamamm
@twatz29183 ай бұрын
Like mother like daughter
@Movestime-g4i5 ай бұрын
Wakwanza from 🇨🇩🇨🇩naomba like hata 100
@جاااحظمجنون4 ай бұрын
Uzitoe wap
@JohnNzombo4 ай бұрын
Congo mboka makasi tuko pam❤❤oja na Kelvin haya shukua
@OmarsumairtuariboSumairtuaribo4 ай бұрын
Kelvin khan wewe bro una unyama sana brother
@erastopascal4 ай бұрын
Sanaa❤...Kevin ni genius🎉
@HadijaHamisi-yt3pn4 ай бұрын
Mafunzo zaidi twayasubiri❤❤❤
@rizikishukuru74904 ай бұрын
😅😅😅😅😅hii imeweza 🔥🔥🔥 kazi nzuri sana
@hawasilangala75144 ай бұрын
Nawapenda sana ❤️😊
@Aqcina983 ай бұрын
Ila nimeipenda hii, kelvin you rock❤
@Deontaryprinc4 ай бұрын
Kevi mwehu kweliii nakukubal Sana apo mwisho mmechez na linah
@LoveBadro4 ай бұрын
wakaka siku izi wanapend vimseleleko😊
@SadaKigwangala4 ай бұрын
Hahaaaaà nataka na raba ili nipendezw
@MauwaAmida4 ай бұрын
🎉❤ nimeipenda sana
@MariamRiziki-o8x5 ай бұрын
Kama unaamini kuwa vai ma maya ni madada gonga likes hapa tukisonga mbele😢😢😢😢
@AgnesMwende-p9w4 ай бұрын
Yea wanafanana kweli
@juliettv66264 ай бұрын
Ndiyo wanakwaka wamapacha
@halemamoon17824 ай бұрын
Wallah tena
@marryjames-wl7be4 ай бұрын
Huyu lina mshenzi 😂😂sponsar una save jina unaweka na ❤ kabisaa nani kasema 😮we huogopi 😅😅
@AyubuCl4 ай бұрын
Dah ndugu boss kapagaw kinom😂
@LoiceMapenzikenga4 ай бұрын
Hapo kelvin ukk sahihi sana
@Fadhila0-x7c4 ай бұрын
Naombeni mnisubscribe guys daah wa mwisho leo
@ElinaziMtenga-q6t4 ай бұрын
Oza
@jacksonstanslaus89674 ай бұрын
Ndoa Lin maana cku zinakata ila kelvin haunaga hata machale wewe? Shtuka bac
@AngelSharif-m1r3 ай бұрын
Nakupend sana kelvin ❤❤❤❤❤
@FurahaKulapha4 ай бұрын
Kazi nzur ❤
@MarryMwigan4 ай бұрын
Huu wimbo pia ni mzuri jamanii ❤
@Dianaf7744 ай бұрын
Kevin the doctor of love😂😂😂
@evasambila85294 ай бұрын
Kelvin, movie zako zinamasomo ndani yake hongereni xana ❤
@HaikaShaoАй бұрын
Kazi nzuri sana nawafuatilia kila siku ❤
@silvesterjuma173 ай бұрын
Hiii movie mwendo wa kuchitiana tu dah sema inaumiza kinyama
@RoseMylove-m2mАй бұрын
Nini natoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 napenda sana kazi zenu zaidi
@kassimkipande18584 ай бұрын
Kelvini Muviizako nazikubaligi sana mzeee
@OveraDavid2 ай бұрын
ongereni sana kwakazi nzuri❤❤❤🎉🎉🎉
@JeannetteManirambona-o6m4 ай бұрын
Much love❤
@FATUMAMUKUCHA-gu1ej4 ай бұрын
Nawapenda sana
@GeorgeOdhiambo-fu1jd3 ай бұрын
Napendanga hii movie 😂😂😂😂
@EmmanuelNamandeАй бұрын
Yaan Kelvin muvi zako zinafundisha Sana mm huwa nazifatilia
@Kaizer-2yb2 ай бұрын
Msanii usvae pensi tenaa 😂😂 maan hyo miguuu
@NkunguHussein2 ай бұрын
Jamani linah mbona anatamaa sana uyu mdada
@FgfRt-t6j4 ай бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦KUTOTA MBARIIIII UKOOOOO MPAKA NIJEEE KIUKWERIII NAWAPENDAAAAA❤❤❤❤❤❤ YANI KEVIN MUMECEZAAAA NYINGIIII RAKINI IYIIII NIMWOTOOOO❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@zainabalex98104 ай бұрын
Punguza unafiki basi Rashid 😂😂
@olicej78374 ай бұрын
😂😂😂😂😂na rinah wake😂😂😂
@ConfusedBabyOctopus-cb2ee4 ай бұрын
Noma Sana rashidi
@EtooMwakisunga2 ай бұрын
Daah yaan Lina anacho fanya sio kizuri
@dearchotay55694 ай бұрын
Kwan boss wa kelvin nayule msichana anaefny Kaz n kelvin pacha au
@halima23823 ай бұрын
😂😂😂kelvin ukienda choni wamuona lina duuh hii ni kali
@SIASANASSOR4 ай бұрын
Mbn boc na huyu mfnya kazi wa like wamefanana htr
@lameckmawuti97594 ай бұрын
Tina umebadilika kweli🎉😢😮jaman like kumi znantosha japo kuwa nmechelewa ❤❤❤
@FatmaLyego3 ай бұрын
Kunambiiii😂😂😂😂😂😂
@LoiceKatana-ci1tx4 ай бұрын
Hongera team kelvin kwa kuendelea kutufunza 🎉🎉🎉🎉❤
@IvonapaschalValentini4 ай бұрын
Boss 😂😂
@AaAs-u8i4 ай бұрын
Muko vizuri naomba mutoe hiyo nyimbo yanimaliza walahi ❤❤❤
@waryobahamza4 ай бұрын
Hii movie kila siku mnabadili jina tuwaeleweje sa
@EsperanceMuzaneza4 ай бұрын
Jamani Doa vip bona aiyifiki
@sifainantore4 ай бұрын
kavin nawuliza lina na.vai ni mapacha mbona wanafanana sana from burundi
@ElizabethMabula-l1uАй бұрын
Sema love hanaga mambo yakujilegeza kwa wanaume muone lina