Kelvin unatia hurumua jamani 😢pole .....asanteni sana kwakutoa hii movie nmejifunza mengi ubarikiwe Kelvin na team yko❤❤❤🎉🎉🎉
@user-qq6mv6vh3e2 ай бұрын
Huruma sema anaroho ngumu
@pkcamlesh2465Ай бұрын
Aise anatia huruma kinoma duh 😅
@user-xu6pk3cv4v2 ай бұрын
Kelvin hongereni sana..ila hii movie hamja maliza vizuri..Inge faa kelvin na Mayasa waowane .Inge faa waandae kamati upya ya kelvin na Mayasa bhana..Inge noga zaidi.ila basi bwana ❤❤❤. pamoja sana
@JullianaEmmanuel-tm5xg2 ай бұрын
Kelvin angemuoa Maya hapo ingekuwa kali sana, Alf Linah angejuta sanaaaah, Sema bas, Mungu wabariki wapendwa,
@user-qq6mv6vh3e2 ай бұрын
Mawazo kama yangu
@JullianaEmmanuel-tm5xg2 ай бұрын
Kelvin
@aliciavedasto80522 ай бұрын
Mbn umeiba mawazo yangu yan kpengele cha kevi kumuoa maya wamekitoa
@joelnyaga19852 ай бұрын
pia Mimi was expecting the same
@emmanuelpuka67882 ай бұрын
Natoa ushauri leo ningeshauri hivii movie kama hii maudhui ibebe pande mbili kuonyesha dhambi na madhara yake na injili ya kuwavutia wenye dhambi waache dhambi kwa kuumbuliwa na Mungu ili aliyecheza kwa uaminifu afundishe wengine uaminifu na imani inavyofanya kazi katika KRISTO YESU! WANAOMPENDA YESU NIWAONE HAPA! IMANI YENYE MATOKEO❤
@MartinaAgustino-fp5eo2 ай бұрын
Tulioifatlia had final ep gonga like apa Move nzuri inafundisha
@DemicanBusolo2 ай бұрын
final ep?how?
@Justin_Nano2 ай бұрын
Kama wewe ni fans wa Kelvin gonga like 👍 yako hapo
@sikudhanimohammad76922 ай бұрын
Mie ni fan siyo fans
@Ellybeny2 ай бұрын
@@sikudhanimohammad7692umbea tu kuoga 😅
@daudisadi67222 ай бұрын
Kbs @@sikudhanimohammad7692
@HadijaHusen-od2bw2 ай бұрын
👍
@Asiaharuna-vz3pd2 ай бұрын
😂😂
@MR_RAMSATZ2 ай бұрын
dah kaka mbna imeishia karibu sna muvi tamu hivi duh Aya ngoja tuone chuma nyingine unayoachia kiukweli kaka unatufunza sana muvi zako
@mahmoudnajad2172 ай бұрын
HII TAMTHILIA NZURI SANA...MNASTAHILI PONGEZI TEAM DONTA...HONGERENI SANA.
@RoziPeter2 ай бұрын
Tangia tuanze mwanzo Hadi Leo sijawahi kukoment kelvin hongera sana unajuw kuvumilia sana hongeraaaa❤❤❤❤❤❤
@fhugghi41092 ай бұрын
Tunashukuru sana kupata mafunzo kwenye movie yenu 🎉hongereni sana kikosi chote 🌹🌹🌹🌹
@judithpendo99852 ай бұрын
Ulikua unategea ukiwa wapi team Kelvin naona kikiwaramba jmn 🤣 🇰🇪🇰🇪 Genz nawapenda nikiwa Saudi Riyadh 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🥰
@HidayaMbodze2 ай бұрын
Tupo team strong
@judithpendo99852 ай бұрын
Penda ww saaana @@HidayaMbodze
@MohammedyJuma-wf3jc2 ай бұрын
Daah kumbe sikujuw kam ndo final aise congratulations 👏👏🎉 kak kelvin Khan 💪💪💪
@Phoebenafula2 ай бұрын
Wa mwisho kutoka Kenya Nipeni like basi hata kama ni mbili, Hongera sana donta tv❤❤❤
@DamarisDammie2 ай бұрын
Wakwanza from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 movie yenye mafunzo jameni wanawake wengine nawatch nikireject finance bill 😢😢
@Gerckbush2 ай бұрын
Hahahaha you're just remembering about financial bill 💵💵 until now
@Aminahamady-o9u2 ай бұрын
Ata wa mwisho atacomet ye ndo wa Kwanza mmh sema kelvin mnacheleweshà kinoma
@GraceNgaiza-e7e2 ай бұрын
Jamn kwann mnachelewesha sana move mnatufanya tunakata tamaa jamn
@kashmirsamir33672 ай бұрын
❤🎉 Kevin upewe Maya yako Ila pole Sana na shukurani mumemaliza vizuri Sana Allah awaongoze inshaallah tuko pamoja Sana haya burauni tuletee mwendelezo wa kijana tajiri na mpenzi masikini moenda pesa😂😂😂😂 love ndota tv
@aishaabeid81062 ай бұрын
Hongeren sana team Donta Tv Kwa Kaz nzur.. na hongeren sana kwa kushika nafas ya pili❤❤
@wez-bbabisha45922 ай бұрын
wakwanza from burundi na sina shida na like zenu cha msingi na cha scondal tuutazame kwawingi
@EvalineKadogo-eb5xr2 ай бұрын
Hapo ndipo sio mambo ya kuomba likes
@ZaillanVanillaty2 ай бұрын
Wakwanzaaaaaaaaa MWAGA LIKE KWA KEVIN😂😂❤❤❤
@NdigwakoIkambo23 күн бұрын
Mungu habari Kaz ya mikono yako kakA
@HappyDaudi-ub4hw2 ай бұрын
Linah 😂😂😂mwana kulitafuta mwana kulipata 😂pole sana kelvin na mwisho wa kazi ndo mwanzo wa kazi mpya zingine ❤❤❤ nawapenda sana ❤️
@fgfvgggf69932 ай бұрын
Mwajua mnakera sana badili mmalize movie ndio muanze ingine mnaachia katikati alafu mwaanza ingine mpaka twasahau kama tuliishia part ngapi
@user-yv5wh1yk9t2 ай бұрын
Nimejifunza mengi kuputia hii move Mungu awape maisha marefu, Kelvin pokea maua yako🎉🎉🎉🎉❤❤
@esterkimalio88462 ай бұрын
Duuh huyu mama linah,, kheeee ndio maana mwanae yuko hivyo,, ahsanteni kwa movei nzuri
@hythamshadrack23232 ай бұрын
mbona fupi jmn kevii sio km kesho yangu tunaishia ep ya 13 jmn kweli
@CarolyneNyanchama-yk1gf2 ай бұрын
Finally 😂😂😂😂bt mbona sponsor hajaoneshwa na linah anywei thanks kwa movie yenu nzuri mzidi kutuletea nzuri ❤❤❤ love you from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@HappyMtawali2 ай бұрын
Mtaka yote hukosa yote adi kugawa mno kaz nimekosa jmn linnah😂😂😂
@joycemuenimutua45062 ай бұрын
Yaani apa kimeramba kila mtu 😂😂😂😂😂, kelvin pole sana bro wanawake atupangwingwi much love from 🇰🇪
@hghh60562 ай бұрын
Aaa Kila mtu amevuma alicho kipanda Lina usilaumu Rashid ww mwenyewe uliyataka hongera saana kelvin ni wanaume wachache saana wenye moyo kama wako hata singependa siku moja baadae ya ndoa yangu kuishia hapa nimeipenda saana na nimejifunza mengi mungu azidishe kipaji chako kelvin nani kama mm mawazo yake musipite please wenye upendo wa tafsir hii ya siku moja baada ya ndoa nyangu🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@shakilaDaudy2 ай бұрын
Team. Kelvin gonga like apa❤😂😂🎉😢😮😅😊❤❤🎉🎉
@AminaSuleiman-sr4oo2 ай бұрын
Jaman umewahisha kidog safar hii Asante San kak 🌹🌹🌹🌹
@WasmanMundenga2 ай бұрын
Wakwanza mimi naomba like
@NuruHussein-sz2be2 ай бұрын
Jamani nataman nione maamuz ya kevin kama atampenda boss wake❤❤❤❤
@@sikudhanimohammad7692 sahiz amezidisha mfuatilie vizur movie zake za nyuma
@nasrannyakio60762 ай бұрын
Wa kwanza kutoka Kenya likes zije
@user-rf2wb8vw8i2 ай бұрын
Natamani ningeona maisha ya kelvi na ule mtoto wa boss😊
@user-pb3bx7rl6c2 ай бұрын
Tina sio mtu mzuri hata kidogo yaan Kila movie anakuwa na roho mbaya
@EvalineKadogo-eb5xr2 ай бұрын
Hata mimi nashangaa kila movie hucheza part zile mbaya tu
@user-qq6mv6vh3e2 ай бұрын
Tena kanafki
@stephenmatata56762 ай бұрын
To be sincere,,,,the she in office ,boss lady ako supuu❤❤
@user-to6uv6rz7o2 ай бұрын
😂😂😂dah nitamu Sana jamann❤❤❤❤aseeee amakweli huyo mama lina nimbaya sana
@kokenye90032 ай бұрын
Waaah hii leo ni hatali much love from Kenya ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉ongeleni sana hata kama hatujui Kelvin kamuoa nani xx
@MaheriChristopher2 ай бұрын
Bonge la move nimependa harafu kuna majitu yanakimbilia like sijui washida gani.
@PeterMgani-v7c2 ай бұрын
Hiyo mijitu inamatatizo ya akili
@hajiussi92902 ай бұрын
Nani kaisikia hiiii "shuba mit" naomba like zangu
@JullianaEmmanuel-tm5xg2 ай бұрын
Tina apunguze uongeaji jaman
@kingrabi51182 ай бұрын
Number one from 🇧🇮🇧🇮🇺🇸🇺🇸
@LoiceKatana-ci1tx2 ай бұрын
Hongera sana team kelvin kwa kutupa mafunzo mazuri nawapenda nyote 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ntembo2 ай бұрын
Isiishe jmn
@NajmaMgallah2 ай бұрын
Hy nayo chance y kumpata kelvin , umeamwa lump umbea
@theodorachaki51742 ай бұрын
Hongereni sana time Kevin metupatia mafunzo mazuri sana kevini pole sana we mama in mbwa
@FatumaSaid-cl1cr22 күн бұрын
Hongerani timu kelvin tunakupa uwe na maonesho yazidi kuendelea na kipawa chako kenya
@MemoryKamutandi2 ай бұрын
Wakwaza mimi jani lake zangu kutoka south Africa mawuwa ya Kevin 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mariamirakoze72992 ай бұрын
❤❤❤Tunasubiri season 2 kelvin kamuowe Mayassa please😢😢
@HadijaHusen-od2bw2 ай бұрын
Na mie naombeni like ata 5 jmn mana napenda ❤
@Justin_Nano2 ай бұрын
Series nzuri kabisa, kelvin mbona mapema series nzuri ivi😂😂😂😂
@user-le6xc6ei5x2 ай бұрын
❤❤❤❤kaz nzur sna kevn na team yako wap mauwa ya kunambi😊
@RAPHAELGOBRE2 ай бұрын
Leo nimejaribu kuwahi 😂naombeni likes basi
@IbrahimKasonia2 ай бұрын
I❤filamu zenu ninjuri mno nimekua mwenye kuzitafuta kilasiku zina utamu sana muendeleyekutuburudisha ninyi wote niwachezaji kweli
@user-og5bq6qq6c2 ай бұрын
Kelvin unaweza mpaka unaweza tena kaka
@wemasangasanga7572 ай бұрын
Kevi shikamoo🎉🎉🎉
@ElyséeFeza2 ай бұрын
Congratulations Kelvin and all, i love so much your movies❤❤❤❤
@HidayaMbodze2 ай бұрын
Moses na tina pwagu na paguzi😂😂😂
@ZulekhaAmar-fy4pm2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@agnesagnes52882 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂walikutana maraya 2 but mi penda xn Tina vile anaomba doo
@HidayaMbodze2 ай бұрын
@@agnesagnes5288 nakwambia tena kwa harakana lazima alafu anaepewa nae mshenzi akiambiwa Leo naitaka ashapeana🤣🤣
@PhiniasMoremi2 ай бұрын
Patrick kanumba mungu akuinue zaidi umlithi kanumba vizri
@user-me8fd8xe9b2 ай бұрын
Patrick kanumba n yupi apo??
@PhiniasMoremi2 ай бұрын
Kelvin ni nan????
@PhiniasMoremi2 ай бұрын
Kwan kelvin si ndyo patr
@mwajumahibe61612 ай бұрын
Lakini kwa kelvin imehisha vibaya sana bana tuliwafatilia mpaka mwisho lakini na sisi mmeuhumiza mahana tulifikiri kelvin atakuowa mtoto wa boss
@victormkello95752 ай бұрын
😅😅😅
@MR_RAMSATZ2 ай бұрын
Tupe season two kaka hutojali kazi nzuri hakika imefundisha vitu vingi sana tuachane na sifa kama Rashid na linah DU nohatari
@TabiaMwaisumo-ss7pz2 ай бұрын
Shubamiti mfyuuuu😂 kelvin na team yako asanteni kwa kutufunza wanawake wengi wanatamaaa sana,hata wanaume pia kila alietazama hii anachakujifunza hapa
@VumiliaMwaiswelo2 ай бұрын
Hongera sana kevo mpo vizuli muvi ni nzuli mpaka raha
@agnesagnes52882 ай бұрын
Nimewai leo aisee nipeeni like 2kizonga❤❤
@user-qw6wq7in4m2 ай бұрын
❤
@KumbukaSalimo-yk5kf2 ай бұрын
Mimi wa kwanza tena si Moja ❤🎉
@agnesagnes52882 ай бұрын
@@KumbukaSalimo-yk5kf 🤣🤣
@hythamshadrack23232 ай бұрын
first tow watch
@GladysKarembo2 ай бұрын
Hapa nmejifunza kuwa malipo ni hapa duniani,na mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu.Linah wakati ulipofanya mapenzi na mume wa mamako unadhani aliskiaje.Ama kweli mtaka vyote hukosa yote,Kila mahali mumekosa,Big up sana ,pongezi kwa mafundisho mazuri, Nawapenda sana. KELVIN and your team ,Love you more guys❤❤❤. Watching from Kenya.
@sophianyamvula70802 ай бұрын
Mama wa hovyo 😢😢😢😢hongereni sana kwa mafudzo mazuri ❤❤❤
@user-tt6xk4ge5e2 ай бұрын
Jmn movie nzur San sichok kuiangalia nawapenda sana❤
@ruthmkutano186226 күн бұрын
Mungu awabariki sana kwa kazi njema kuna kitu nimejifunza wala sio moja waah asanteni sana
@AsminiIssa-ld9zv2 ай бұрын
Asamte sana movi imefundisua vyema🎉🎉
@user-xx7px6tg3g2 ай бұрын
Haki nimengoja hadi nikachoka asanteni
@MousaAmos2 ай бұрын
Naomb like jmn nmewai japo nmechelew
@ChristineKesi-k9r16 күн бұрын
Mmi nko kenya,nimefatilia full movie, BUT nahisi haikuisha ,ime hang, however hongereni SANA 👏👏
@JullianaEmmanuel-tm5xg2 ай бұрын
Bas linah analaana kama ya mama ake
@celinejohn59152 ай бұрын
Asa kelvin SI ungemuoa yule boss wako mana alikuwa anakupenda
@clariszawadi20102 ай бұрын
Movie nzuri sana,watu wa donta tv, Mungu awalinde na awape ubunifu zaidi 🙏🙏🙏🙏🙏, nawapenda bure
@VictorNzai2 ай бұрын
I the first one to like😂
@IbrahimKasonia2 ай бұрын
I'm so very happy to see the and of this story,hongera kwa uvumilivu ta Kelvin kwa vijana waleo tunge kubali kitambo sister Bo's ilinimiliki pesa
@Gerckbush2 ай бұрын
Hey guys I'm a fan of mayassa please,any movie 🍿🍿 I want to see her in the next série de la puar donta tv🎉🎉
@valinemkanamkuverammbone-ci9ou2 ай бұрын
Wa mwisho nice ending from 🇸🇦 🇸🇦 🇰🇪
@user-ee8ji3lg3p2 ай бұрын
Wakwanza naomba likes zenu
@dolinepeter25032 ай бұрын
Hii move nimeipenda mnooo ahsante donta family kwa move nzur na yenye mafunzo
@HusnaAmudy2 ай бұрын
Toka nianze kufatilia hizi move nimejifunza mengi sana likiwemo la kutuliza hasira na kuweza kubeba mahumivu
@RebekaKirway2 ай бұрын
Mnamwelewa babaake kelvini akisema shubambiti ni kabila gani aahhhha😂😂😂😂😂
@5googleuuu7272 ай бұрын
Nimejifunza vitu vingi mashaalah mbarikiwe sana❤
@imakulataemanuel49792 ай бұрын
Ningetaman Kevin amukibalie boss wake kwan alikua na mapenzi ya kweli kwake
@basimisemusafiri48562 ай бұрын
Tunasubiri part 14 kaka kelvin mungu akulide kwakazi unafanya movie nizabutamusana
@AfreyBahalaye2 ай бұрын
Hongeraaa sanaaa team Kelvin❤😂🎉❤❤❤❤❤❤❤ we loving us Kaz nzuri
@christine77442 ай бұрын
Leo nimewahi kutoka kenya love you guys❤❤❤❤
@HaronMwaisaka2 ай бұрын
Nimependa sana advais ya daddy ni aron from Kenya good work
@user-ke2mf1ed9y2 ай бұрын
Dah movie nzuri sana! Mbona imeisha mapema naamgalia kutoka msumbiji 🇲🇿
@tifashadrack71352 ай бұрын
🎉🎉🎉 Mkaka una voice nzuriii weyee mwaaaaah🎉🎉🎉🎉
@Daudimpeleta2 ай бұрын
Movie nzuri imetuburudishaa na kutuelimishaaa asanteni sana Dontal TV, lkn mmefanikiwa kuonyeshaa ukweli wa Upendo wa kweli Kati ya Tina na mpenz wake ila mmeshindwaa kuonyeshaa Upendo wa kweli Kati ya Kelvin na Boss wake.
@frankmasunga65372 ай бұрын
Mwisho ni mbaya sana story ilianza vzri mjifunze kumaliza vizuri mmetuacha iddle sana
@Husna-uu9oc2 ай бұрын
Hongera sana timu donta mmetufunza mtuletee movie tamu na zenye mafunzo kama hizi
@LoiceMapenzikenga2 ай бұрын
Kelvin pole sana kwa uliyoyapitia lkn ww ni mwanaume jasiri sana
@GentilKakule-rd2pz2 ай бұрын
Hii Siku ya Lina Ku dhalilika nilikua naisubili kwa hamu sana😢😢😢
@ArRahman-ih1pi2 ай бұрын
😔pole Sana Kelvin 🙆
@WistoniSiliveri2 ай бұрын
Dah hatimae tumefika mwisho tuandalieni nyingine Bax jaman tunawapenda na tunawafatiria