Vai we ni super women,,,,,super star,,,ni noumaaaaaa upo vzr na ndoto yako (SOLUTE)
@aryanchuumu3622 жыл бұрын
Nilimis jamn uyu mdada alikuwa wapi..uyu ni namba moja wangu kwa wadada wote waingizaj..bongo movie mpk kweny comedy Big up♥️✌️
@stevennyondo22152 жыл бұрын
Na kwenye bongo movie yupo?
@bahatinassor58232 жыл бұрын
Ata mie nilimmiss nampenda
@Zainab_salat2 жыл бұрын
Wako wengi Wanafusa nao
@doctagelopita12132 жыл бұрын
Hata mm nampenda Sana sana sana vailet💓💓💓💓
@hadjidjae2 жыл бұрын
Uko Sawa kila Mutu namaoni yake sindio 🤣🤣 kuja waiona ATI
@bajosdamour23472 жыл бұрын
Hili lidemu Vaireti linajua kuigiza sana wallah nibasi😍😍🔥🔥
@sherrymoli2472 жыл бұрын
Kirikou vip😂
@bajosdamour23472 жыл бұрын
@@sherrymoli247 Nani kiriku?
@baloz89742 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 eti kirikou hapa lazima ucheke
@sherrymoli2472 жыл бұрын
@@bajosdamour2347 Aime apa Na huna chaku nifanya😂😂😂😂
@bajosdamour23472 жыл бұрын
@@baloz8974 hhhha
@medzauledi8634 Жыл бұрын
Vai mungu akubariki Sana na talent uliyo nayo.pia nampongeza mbwa kicheche pumbavu zako mbwa ww
@teacherd2 жыл бұрын
Huyu dada anajua mpaka anamboa..🔥🔥🔥🔥🔥
@munasaid14292 жыл бұрын
Kicheche unaweza kumpiga mwehu uyu 🤣🤣🤣🤣🤣
@emmanuelngiriwonsanga2157 Жыл бұрын
This girl is a good actress that I have ever seen in my life she deserve more ❤❤
@bajosdamour23472 жыл бұрын
Alafu tulikua tumemmiss sna jamani like za Vaireti tafazali👍👍
@stevennyondo22152 жыл бұрын
Vaileth yupo serious sana hadi tunalia huku wenye roho nyepesi 😭
@duhrurhhddhheud85752 жыл бұрын
😄🤣😂 me leo nimejikaza ila bado kidogo yatoke
@abuuajmal14672 жыл бұрын
😀😜😛
@stevennyondo22152 жыл бұрын
@@duhrurhhddhheud8575 hatar huyu dada
@soleilinzeza68972 жыл бұрын
Leo nimejikaza cozi halijatok😂😂😂
@nicholaskibet82802 жыл бұрын
Vailety 💖💖💖 nkupenda bure aky kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kumbafu zetuuuuu 🤣🤣
@Amina-xc8tl2 жыл бұрын
Hahaha 🤣
@felixmutie38512 жыл бұрын
Mbwa miki
@estherezzy1362 жыл бұрын
Mbwasisi😂🤣😂🤣😂
@felixmutie38512 жыл бұрын
Mbwa @@estherezzy136
@maratvonline7 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@soomzoomdon53352 жыл бұрын
vailet kicheche bairamu we love you guys much appreciated from Kenya pumpavu zetu mbwa sisi kiufupi twawalike tu sana
@baloz89742 жыл бұрын
As a team hawa wanafanya makubwa stick together you people's to make this comedy industry good far
@tanashanahreel-qo3es Жыл бұрын
Natokea Burundi, uyu dada kwa kweli anajuwa kuigiza big up Vai nakupenda bure
@macaicaandre2 жыл бұрын
Mbona sidyapata like kyenhe kazi ya kicheche
@hassanmwangosi6022 жыл бұрын
vaireti uko vizuri mungu akupe nguvu na akili uwe juu ya hapo ulipo
@johnurio19002 жыл бұрын
Huyu dada nasema hakika Ni no moja namtafta nimpe zawadi hongera sna vailet jina la chezo
@mbungewakujitegemea13992 жыл бұрын
Ulituhaid kuwa unakuja na vitu vipya na vikali hakika huu pia nzuri tupe sehem ya pili
@vince00442 жыл бұрын
baada ya akina iren uwoya, jacklny wolper, wema sepetu kwa bongo movie kupoteza ladha na sanaa ya uigizaji ikaisha nguvu ila vai kachipuka kwa haraka sana kuzuia nafasi ya wema sepetu twaomba huu mwaka kuchipuke tena wengine wanaojua kama vai kushika izo nafasi zingine twakupenda vai huku kenya🔥🔥💪
@kassimchuo52902 жыл бұрын
Vai gogooooo mbwa gogooo kichechee weee unaweza pumbavu sanaa
@aishandanu2 жыл бұрын
Jaman huyu mdada nampenda bure🥰
@MoshiMpindi-f7w2 ай бұрын
Vp we ungekuw we halafu ukateseka hivo ?
@MoshiMpindi-f7w2 ай бұрын
Halafu nakupenda kama huna mchumba na kama haujaolewa
@MoshiMpindi-f7w2 ай бұрын
Nakuomba unijibu kwanza bc2
@bestfutur9682 жыл бұрын
Vai ni muigizaji mzuri anajuw kuigiza kbs anahitaji sopoti kubwa ili aendelee kufanya makubwa zaidi
@Tchidymbanga2 жыл бұрын
Nimehuzunika kwa Vailet anaigiza kama kabakwa kweli😭😭😭, Ila kutokea Kicheche tu kabalansi nimecheka sana 😂😂😂, Mbwa Kicheche (Best actress na best comedian Vai + Kicheche)
@LavieChris-w8cАй бұрын
Namupa mauwa yake uyu mdada vaileth,🎉🎉 anajuwa igiza Sana hadi basi''''
@lubnafaizaidd2983 Жыл бұрын
I love this lady so muchh keep it up dear vailet ,,
@SamiraseifAlfan-ph4ke2 ай бұрын
Ila kicheche unajuwa kukeraa🤣🤣🤣🤣pumbavuu zakoo my gogooo😂😂😂
@mpawenayoaimegodas84382 жыл бұрын
Kicheche unachekesha sana kbs Vaileth nakupenda sana
@shabaninasolo85452 жыл бұрын
Very nice 👍 kazi nzuli Asanteni 🙏🙏🙏
@linahjozhe2956 Жыл бұрын
jamani daa vai umeigiza vizuri usilie jamani
@MwanauluHaruni7 ай бұрын
Watching from Kenya, Vailet umeweza katika uigizaji 👍
@bestinajosephmagoiga28 Жыл бұрын
Daah ni kwelii kweny uhalisia wa maisha haya mambo yapo
@elishalugano56792 жыл бұрын
Vailety ni namba moja aki ingilikua kanumba angali angamwacha uyu dada kucheza naye
Uyo dada anajua sana kulia natamani San kucheza nae kwenye comedy zangu jaman na mpenda San katika wasanii wa kike apa bongo😘😘🥑
@ElizabethMaduhu-u7s Жыл бұрын
Nampenda huyu dada kiukwel ,,big up xana😂😂😂😂
@valentinanduku87182 жыл бұрын
Waa ni muvi nzuri sana hongereni nyie
@fabianallex2 жыл бұрын
Amlishi polii kakataliwaa pumbavu zakee
@ramadhaniibrahimu59722 жыл бұрын
Mimi nimependa tu hapo alipochomoa kisu izo shanga duuuh bonge lashanga dada gofo
@emmanuelandrew99412 жыл бұрын
Vailet i love you unajua hadi unakera unaelewa unachokifanya upo seriously na kazi kitu kimoja tu ucje ukabadili mwonekano ukaanza kupaka makeup unapendeza unavyoigiza ukiwa natural hivyo hivyo i love you badly
@sospeterlazaro6142 жыл бұрын
Kicheche mxenge anajua xan jamanii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Gerardirankunda28852 жыл бұрын
Dad muwuwanj eee huyo kicha kwr🤣🤣🤣🙏🙏🙏🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💯💯🇹🇿
@salama11132 жыл бұрын
Vay unakipaji kikubwa mungu akuongoze
@annabelkadzo54702 жыл бұрын
Vailet gogo 😀😀😀😀😀😀 kicheche nakupenda Bure
@fortclassic63612 жыл бұрын
Nataman hata sku moja Vai nifanye nae kazi
@selinaronald9292 жыл бұрын
Huyu mbwa kicheche unaweza ata kumuua 😂😂😂😂😂😂yni uko kwnye stress lkn yy analeta ujinga
@waingomluyha18782 жыл бұрын
Kicheche ,, hizo ngoma mwatumia huyo msanii aitwaje
@EstherNawanzi-ds5xg Жыл бұрын
Vai unajua kuigiza kulia Yan serious hongera sana ☑️
@houseboy27542 жыл бұрын
Dada vai anakipaj kikubwas
@anithaprotas73602 жыл бұрын
Kicheche n shda sana mn 2nafurah atar
@JohnMtaita-fm4lh9 ай бұрын
Kicheche nakukubali man wangu ila vaianazingua kinoma anapenda kulialia
@mussamasenda88962 жыл бұрын
Wamepita wengi comedy Ila uyu kicheche no 1 walopita na watakaokuja no 2 uyo Dada gogoo no 3 clam no 4 wote wa hayo makundi Ila clam. Toa iyo dawa igiza kawaida