Hapo shekhe umenimaliza kwa kufutwa kuwailimisha washinda Allah akuweke akupe umriii mrefuu naafiya nanguvoo yakuitumikiya diniii 🤲❤💯
@mohamedabubakar98523 жыл бұрын
Mashallah Tabarakallah...Umefafanua kwa Uwazi..uwamuzi ni wetu sisi...Shukran Habib ALLAH akuhifadhi...Ameen
@khamisijuma31673 жыл бұрын
Sheikh uko vizuri umetuzindua Allah akujaze elimu zaidi
@salamakhamis72455 жыл бұрын
Siachi kukuombea dua shekh wangu kwa utulivu ninaopata kupitia darsa zako Alla akulipe Jannah
@salamakhamis72455 жыл бұрын
Baaraka LLAHU fiiku Allah atakulipeni kwa juhudi zenu zakuelimisha Umma uliozingirwa. na utata huu ulioingizwa kwa makusudi. ktk jamii za waislam
@adamnssirisiri93385 жыл бұрын
Mashallah umenisomesha Alhamdullah
@abdulnadhiffakizubeir61853 жыл бұрын
Asant Sana maalim umefafanua vzr Allah akujaalie kila la kheri
@mpondamedia24163 жыл бұрын
jazaaka rrahmaani khayra shaikh Mbarak Ahmed Awes
@binabeid73225 жыл бұрын
Masha Allah umenitowa kizan sheikh mwenyezimungu akulipe kila la kheir
@ramadhanimakange97663 жыл бұрын
Kaka uko vizuri sana Allah akuzidishie Ilmu yako.
@abdallaramadhan38504 жыл бұрын
Mashaa Allah tumekuelewa vizur sana,Allah akulipe kheiyr na fauza fiyl dunniya wal akheyr.
@zubeirahmad2195 жыл бұрын
Yaani Wallahi kama utaamua kumsikiliza huyu Sheikh,basiii wallaahi hauhitaji hoja yoyoote wala kubisha maana kiila kitu kikowaaazi kabisaaaa
@zulfasultan89483 жыл бұрын
Shukulani Jazeera shehe Alihadullilah kwa kunisomesha
@kasimuayoub66665 жыл бұрын
Allah akubariki Allah akulinde na husda wallahi faida imepatikana....Allah akulipe kheri. Ila nataka faida kuhusu Siku mbili alizowakuta nazo bwana mtume watu wa madina wakisherehekea ni zipi
@hakimtamimi265 жыл бұрын
Jazaka Allah kheir ustadh
@abdullahiiddi41093 жыл бұрын
Allah akujaalie afya yenye kheri tuzidi kunufaika katika Mafundisho na. Makumbusho mazuri kabisa sheikh. Allah atuezeshe kufwata maamrisho.
@mussaally23695 жыл бұрын
maashaa'allah nampenda sana masomo yake yapo makini sana ALLAH amlipe jannah
@AhlusunnahWalJamaa5 жыл бұрын
Amin
@yussuphsultan14003 жыл бұрын
Asante sheikh, na ya mwaka huu pia ni Jumatano
@yusarjunkhanna41003 жыл бұрын
Dalili za idd ziko wazii, kwahvyo wa jumatano pia ni siku ya Pili ya idd hakuna nenoo
@hajigahimbare5795 жыл бұрын
بارك اللّه فيك يا حبيب👏
@swalehalhabshy65756 жыл бұрын
Ahsaaantaa habiby mbarak ....jazakallahu kheeiyrr
@khatwibutv90913 жыл бұрын
Allah akulipe Bora ya jazaa
@mwanahamisjuma33615 жыл бұрын
Nashkur sheikh kwa kutuelimisha mana kuna redio huku tanga nimeskia inasema lazima tufange sawa na watu wa Makkah na jmos haifai kufunga nashkur sana Allah akulipe
@abuibra5 жыл бұрын
AZAKALLAH KHEIRAN,ALLAH AKUZIDISHIE KILA LA KHERI KHUTBA ULIO TOA IMETOA SHAKA KATIKA NAFSI ZA MA’MILIONI YA WAISLAMU SHUKRAN YA SHAIKH.
@abdulqahirhassan30033 жыл бұрын
Kilichobaki ni sisi kufata tu.,, INSHAALLAH kila kitu kimeelezewa vizur
@salamakhamis80923 жыл бұрын
Allah akuhifadhi Yaa Sheykh
@kubraislam75243 жыл бұрын
Mashaallah,shekh
@mustafakiluagianabakiejama96485 жыл бұрын
Hongela Shekhe wetuu
@salumidd75365 жыл бұрын
shukran shekh Wabishi wapo toka enzi ya mtume ten wabishi sio sas hiv zimebaki copy zao tu kwa ufupi umeeleweka san
@khamisyasin32765 жыл бұрын
Mashaallah jambo liko wazi kabisa
@francinensavyimana56015 жыл бұрын
Ulipo kabisa sahihi sheikh
@rashidkadui99505 жыл бұрын
Allaah ukulipe shekhe
@inabikorwaneema88155 жыл бұрын
Barak'Allahu fiiQ
@hamadamaani25165 жыл бұрын
الله يبارك فيك شيخنا الجليل
@zubeirahmad2195 жыл бұрын
Nampenda sana huyu Sheikh Mbarak Ahmed Awes
@jiongezeemaarifa14965 жыл бұрын
ماشاء الله
@amirybeka96025 жыл бұрын
shukran sheikh mbarak
@lelaallububa57395 жыл бұрын
Jazak lah khaira
@khashimhashim37393 жыл бұрын
Clear
@mwalimameir43053 жыл бұрын
Wewe ni msomi wa wasomi.
@samiasadiki29283 жыл бұрын
Yeye anatoa ufafanuzi kazi iko kichwani kwako ukitaka fuata maelezo yake Kama hutaki umfuate unae muamini yote sawa tu.
@ummulkheir83215 жыл бұрын
Mashaallah
@hanzunimgogoro57225 жыл бұрын
Mashallah
@hudishehdadi77905 жыл бұрын
Allah baarik
@hassansaidy38275 жыл бұрын
hawa mawahabi huwa hawana hadabu hupendasana kumezeshwa kuliko kusoma shekh umeeleweka
@masoudsalim47455 жыл бұрын
mashaAllah ALLAHU Barik
@junaytadarwesh47085 жыл бұрын
Well said. Asiyefahamu hapo basi tena. Tumejichanganya na hili neno Arafa. Arafa ni tarekh 9 mfungo 3. Sahih kabisa.
@mohamedbadru80055 жыл бұрын
Shekh umeeleweka saana sema ubishi wa mwanadam uko pale pale vijana humu wengi hawajasoma wanataka waende na usasa mpaka kwenye masuala ya Dini hata mitume waliwaambia watu wao ukweli ila bado wakaendelea kuwapinga mpaka wakakutwa na maangamizi Allah akulipe kheri uendelee kutuelimisha
@mohameddhussein61645 жыл бұрын
Sasa shekhee iyi swaumu iliitwaje kabla ibada ya hajji kuwepo
@jaffarmguwa55665 жыл бұрын
Msituletee khabari za masheikh na khitilaaf.... Mwandamo ni mmoja na udhuru Wa kila mtu kufunga kivyake umekwisha .... Ka ma mtume amefunga na kufunga kwa kupewa habari sisi nanai mpaka tusifunge.... Siasa NDIO zinazoharibu uislam.....
@jokhasaid86665 жыл бұрын
Watu siku hizi wanajichanganya wenyewe. Kila nchi kuna kadhi/muft mafrudh watu wafate mufti wa nchi yao.
@husseinally13183 жыл бұрын
Sheikh nina ombi naomba unifahamishe vizuri kwa kupitia qur-aan tukufu yani nataka kuijua hii aya ktka quraan tukufu inyoeielezea hii arafa na swaum ya arafa. Mana ukisema ufuate madhehebu utajikuta kuna mtihani wa kubadilika leo huku kesho huku na ni mtihani mkubwa huu tulionao wa mizozano. Allah atujaalie tuwe ni kuiepuka mizozano hio
@husseinally13183 жыл бұрын
Tuwe ni miongoni mwa wanaoiepuka mizozano hio
@mussashaaban31365 жыл бұрын
Hao kwasababu wako nyuma ya masaa Mwenyezi Mungu atawalipa wala hawatakosa fadhila za siku ya Arafa, kwa sisi ambao hatujatofautiana hata saa moja ni wajibu kufunga pale mahujaji wanapokua kwenye viwanja vya Arafa
@ustzsele663 жыл бұрын
Mpelekeni kwa sheikh Abdallah Humeyd aksome .Mana apotezaweng
@yassinmmbwera92735 жыл бұрын
Hivi hawa Masheikh wetu kuna anayetoa Fatwa kwa Ufahamu wake. Jibu hapana.. fatwah zao wote ktk vitabu vitabu vitukufu Pamoja na vya Maimam wetu, Imam Shafii, Imam Malik na kadhalika hakuna anayejitungia.
@yassinmkubwayassin6885 жыл бұрын
Haijawahi kutokea... tokea kuumbwa kwa Dunia nchi mbili zilizo kuwa katika ukanda mmoja wa Dunia yaani Latitude moja, Alfajiri ya nchi mbili hizi ni sawasawa, Adhuhuri huwa wakati mmoja, Laasiri, Insha, nchi mbili hizi hazitafautiani...na ikiwa nchi moja ni Jumatatu na nyengine huwa Jumatatu iwe nchi hizi mbili zina tafautiana ki,matalii haiwezekani kabisa.
@abuuazhar37384 жыл бұрын
Shekhe wewe Ni Fundi.
@twalibalihamza2805 жыл бұрын
Sasa hawa mawahabi mbna wanapotosha watu haya mambo yakowaziiiiiii
@yahpinfo165 жыл бұрын
Shekh katika dunia hii hakuna nchi inayo pishana na mecca kwa siku wote tupo ndani ya msaa 24 nchi iliyo pishana sana ni masaa 9 hii kauli yoko kuwa wao wapo katika siku nyingine haina mashiko
@111simplifier35 жыл бұрын
kielimu sheikh bdo hajaeleza kitu daaah ijapokuwa ni bngwa kwa watu wasiokuw na upeo wa kielimu
@harunhassan52375 жыл бұрын
Sheikh hao watu washam na madina je mpaka leo wafunga mbalimbali
@harunhassan52375 жыл бұрын
Na kama suudia akupangia hajj na huko kwenu tarehe haiko sawa na muandamo ya mwezi sasa hajj yako iko sawa ukienda,maana suudia wameona mwanzo na wewe kwenu kabla kusafiri hamujauona mwezi
@yahpinfo165 жыл бұрын
Pili una nukuu mashekh na maulamaa wanao pendekeza kufunga kila mtu kulingana na mwezi wa kwao je ni wanazuoni wate duniani wana unga mkono kila mtu kufunga kulingana na mwezi wa kwao na kama wapo kwanini hutoi hoja zao watu wazipime unaonekana una upande wako ndiyo unajaribu kuelekeza watu huko kwani mpaka unaona watu wana fuata mwezi ama arafa ya mecca juma kuna wanazuani wamejenga hoja zikaeleweka kama wewe ulivyo waelewa wakwako
@ziadazidi26585 жыл бұрын
Sheilh hauna hoja unababaika tu
@deluxermahyono52905 жыл бұрын
Kwani miezi iko mingapi duniani? Kwahiyo arafa ni nini? Ila mnatuchanganya sana jamani. Inamaana arafa ni siku ya 9 na co kisimamo cha arafa? Sasa ww hauko Tokyo mbona! Ni sawa na kusema ww ni myahudi mweusi. Mfano unaotoa mbona haiingii kwa akili.