Shukran sana sheikh. Allah sw akuhifadhi na akuzidishie elimu uwaongoze vijana wetu. Shida watu wanafunzwa na social media na sheikh google but it's high time watu wajishughulishe kusoma Qur'an na Sunnah ya Rasullullah SAW na vitabu vya ulama walotangulia.
@abubakarsalim15055 жыл бұрын
Maulamaa wa sunnah sio wanaoenda na hawaa zao sawa akhy unga mkono palipo na ukweli sasa tupatieni alkaba Kenya ama inchi moja Africa
@rahimasoud20364 ай бұрын
MashaAllah mashaAllah Mngu akujaze killa la kheri kwa kutuelimisha kwenye haya mas ala
@khatwabyshabani55925 жыл бұрын
Nimekuelewa vizur sanaa shekh langu Allah akufanyie wepesi
@najmamakame98815 жыл бұрын
Sasa sheikh saudia na tz hatujapisha hata dakika inamana mwezi ukitoka mwezi saudia hatufungii?
@yusuphmussa5545 жыл бұрын
Sheikh upo vzur sana nimekuwa nikifuatilia masheikh weng mfano mufti menk, a seem all Hakeem zakir naik wote wanasema kufuata mwezi wa eneo lako na kufunga arafa no Siku ya tarehe 9 toka mwezi uandame katika eneo lako na c vinginevyo. Hawa maahekhe zetu was huku afrika mashariki ndo wanakuja na misimamo yao ya ajabu ajabu ambayo haifuati dini ni kweli ukiwa Makkah madina ukauliza maswali ya mwezi unaambiwa you should follow your local moon site
@aminayusuph98395 жыл бұрын
Unajisifu na kuwatamka kwa mbwembwe hao mashekhe wakishia fata elimu usifuate kauli shekhe
@abdullahabdul79685 жыл бұрын
Allah akuzidishie ilmu wewe na sisi sote
@mustafaismail56223 жыл бұрын
Mashaallwa nimekufahamu vizuri nimefurahi sana
@rahmahkhalfan11784 жыл бұрын
Tatizo la mawahabi hujitengenezea principles zao wenyewe ambazo hazina dalili yoyote alafu wakadai eti nduyo sunna.sheikh tumekuelewa vizuri sana
@khamisrubea50835 жыл бұрын
Shehe nimekuelewa vizuri umechambua vizuri sana kufunga ni 9 mfungo tatu
@abdurazaqhamisi45765 жыл бұрын
Sins zaidi yakusema Allah akizidishie kila laheli
@saidimiraji19035 жыл бұрын
ahsante sana sheikh wangu hebu naomba unitumie raqamu yako
@ahmedswaleh48045 жыл бұрын
Shukran wajazakumullah alhabyb Nizar.......following from lamu.
@saidimiraji19035 жыл бұрын
ahsante sheikh wangu mimi nimmoja ktk waliokua wamepotea sasa kwa ukumbusho huu kwanzia leo narudi kundini
@mukhtarabdulrahimu34555 жыл бұрын
Utapotea baki hapohapo
@mohamedkioze37685 жыл бұрын
Dini hii islam hairudi nyuma tena ndio maana sasa hv tuna kalenda ya kiislam ya dunia sio kalenda ya miji fulani tu ni kalenda ya waislamu lazima tuifuate sio muda wa kupanda farasi hali ya kuwa magari yapo meli zipo ndege zipo kwa kisingizio cha mtume muhammad s.a.w hakuuliza sham na kwengineko mwandamo angeulizaje? na tunajuwa simu hazikuwepo,,,,??????
@abiabi93532 жыл бұрын
@@mohamedkioze3768 kwahiyo nyinyi mawahabi kibali cha kuulizia mlikipata wapi
@abdulrashidabdiaden66985 жыл бұрын
Arafa n moja tu sheikh..lazima tuelewe...arafa n siku ile waliokuwa hajj wako kwenye kisimamo cha arafa ambao n tarehe tisa dhul hijja...haya maswala yako wazi...Shukran
@omarymohammed34335 жыл бұрын
Asante cn maaana mm nilikula j mos arafa nikagunga j 2 kumbe niko sw mm nikijua nimefunga jiwe kumbe nipo sahihi 🤗
@ahmedyassin77025 жыл бұрын
Alhamdulilah, MAA SHAA ALLAH. Masheke zetu tunawashkuru
@faizabaishe51725 жыл бұрын
MaashAllah Alhamdulilah shukran sana InshAllah heri
Kwani mungu akizungu mzia miandamo lazima uwe mmoja wakilanchi? We wacha zako, mwaka unamiezi 12
@alikirobo1415 жыл бұрын
Jazakkalwah khairan sheikh
@allisekondo49515 жыл бұрын
Maashallah,watu wa BID'A Ni walewote wanaofunga kuangalia mwezi Wa makka,kwani haikutokea ktk zama za mtume wala zama za maswahaba.
@salamakhamis72455 жыл бұрын
Baaraka LLAHU fiiqu
@abdulhalimkibela43965 жыл бұрын
Allah akulipe kher
@khamisijuma31673 жыл бұрын
Sheikh maneno yako nisahihi kabisaa
@abufarhat15 жыл бұрын
Mbona Mwafwata Masheikh Wakubwa Wa Ahlul Sunnaah Upande Huu Na Kwengine Hamuwafwati? Dini Haina Kurudhika Na Kufwata Moyo Dini Ni Kufwata Qur'an Na Sunnaah Na Tuwache Hawaa Za Nafsi Zetu.
@abujamalaalghammawiy74705 жыл бұрын
Abaa Turaab, dini ni kufuata Haki
@abubakarsalim15055 жыл бұрын
Angalia nani amerithi dini kutoka kwa rassull mbora wa viumbe na ni nani amerithi dini kutoka kwa maswahaba wabora wa umma huu jibu alafu ujiulize mbona tunafwata kauli zao
@abujamalaalghammawiy74705 жыл бұрын
@@abubakarsalim1505 umejibu vyema. Haya tuambie vipi walifunga saumu ya Arafa Maswahaba na watu wema waliowafuatia katika Qarne tatu bora za Umma huu, walifungaje Arafa?
@paladelnizer44965 жыл бұрын
Nyinyi ndo vibaraka vya suudia mwajulikna
@abufarhat15 жыл бұрын
@@paladelnizer4496 Arafat Iko Wapi? Si Ni Saudia Na Kama Iko Saudia Tufwate Wapi Kama Sio Saudia? Si Mas'ala Ya Kuwa Kibaraka Hapa.
@minaminaa16695 жыл бұрын
MashaAllah nikweli sheik ulozungumza
@allyndambwe43545 жыл бұрын
maashallah
@abdallasultani44262 жыл бұрын
Twapinduana
@mohamedadam59875 жыл бұрын
Pole ustadh lakini kaeni chini wana ilmu nyote mutulete pamoja sababu nyote mwatupoteza wenye kutwambia al hajju arafa na nyie mwatuambie haziambatani ibada zetu na ibada ya hajj tuelewe vipi sheikh
@ashaally75935 жыл бұрын
Soma na ww dini uelewe usimpe pole shekhe
@mohamedadam59875 жыл бұрын
@@ashaally7593 pole we pia dadangu ungelewa nlio yandika kesho ma shekhe wote wenye kutuongoza wataulizwa mbele Allah walituongoza vipi? Hilo ndio swali langu soma uwelewe. Kwani hata we una ilmu gani yakuniambia hivo
@swalehseifmuhammed82892 жыл бұрын
Al hajju arafa manayake ni wle walioko hija Kama hawja simama arafa hawana hija kwa sababu ninguzo ya hijja
@abdulhalimkibela43965 жыл бұрын
Mashaallah
@OmarAli-lx8ux5 жыл бұрын
Migogoro ya nini kila mtu afuate anonapo ni sawa
@ahmadazubeir51125 жыл бұрын
Tatizo lipo kwa wale wasiolewa kua mwezi unamiandamo. Mwezi ni mmoja tu jamani wala hili halinashaka lakini mwezi huo huo mmoja unamiandamo yake. Na hili linathibitishwa na Quran na wala si maneno ya midomoni mwetu bali ni kutoka kwa Arrahmaan. Kwa mwezi unamiandamo mingi, miandamo hii itapatikana kulingana na kutofautiana kwa nchi zetu. Hii ndio kanuni,suala la TV,Redio,Simu/midia ni upambavu na upotoshaji mtupu juu ya masala ya dini. Binafsi nimemuona Sheikh mmoja anafundisha Darsa Msikitini,baada ya Darsa anaulizwa swali moja dogo,basi Wallahi,Billaahi,Tallahi,kwanza alifungua simu bila ya kujibu baadae tena akafungua tena simu ndio akajibu swali
@MoodyG95 жыл бұрын
SWADAQTA, NI KWELI KABISA. SHUKRAN, JAZAAKA ALLAAHU KHEIR.
@ibrahimnoordin34205 жыл бұрын
Ahsant.. Wala hakukutumwa barua na makhalifa kua kumeonekanwa mwezi sehemu flani. Kwa hvo siku ya sawa ni flani. Hakuna jambo hili.
@salmabintuthman32435 жыл бұрын
Ndio sawa
@alkhalilmussa56335 жыл бұрын
nakubali
@abubakarsalim15055 жыл бұрын
Sheikh please yahitaji makini sio hamasa tafadhali huwezi kuwa sawa na maimamu waliotangulia wala mabingwa
@medswamedswa57475 жыл бұрын
In shaa Allah kwa uwezo wa Allah ..mungu amjaalie awe anatuelimisha daima...hana hamasa ameongea ukweli mtupu.
@mohamedadam59875 жыл бұрын
@@medswamedswa5747 samahani mwenzangu kama kwako ni kweli kwa wengine wanaona tofauti kwahio elmu yako kidogo sana yakutoa fatwa kama hi nakusema ibadat ya saum hailingani na hajj na ambapo sie twafunga ile kuwashindikiza walioko arafa vipi leo mutatuambia haimbatani na ibadat ya hajj
@jamalbahdela5243 жыл бұрын
@@mohamedadam5987Swaumu ya Arafa ilianza kufungwa kabla ya kufaradhishwa ibada ya hijja kwa miaka mitano,je hapo walikuwa wakiwaunga mkono nani?
@fatumasuleiman39085 жыл бұрын
VIJANA SOMENI DINI WALA MSIISOME KWENYE INTANET UNLESS UWE UNAMUONGOZO LAZIVYO UTACHEZEWA AKILI MPAKA BAAS😭😭😭😭😭
@ruqaiyyawaziri42875 жыл бұрын
Fatuma Suleiman hatari
@kondesaidi20405 жыл бұрын
Ukweli ndo huo,. Kabla ya teknolijia watu walifanyaje?? Walifuata nini ??
@arqamibnarqam.71855 жыл бұрын
Fátima suleyman Allah akulipe kher umewaambia wanaadam Jambo la msingi Sana.
@albassamjjamali92055 жыл бұрын
@@kondesaidi2040 kwan tecnolgia inakipi kipya inatoa tarifa gan ambayo haipo ktk qur an manaa mtume s.a.w alifunga ktk halitatu tu yakwa1 kupewa tarifa yapili kuona ya tatukuonekana nawatuwake sasa swali tecnogia imeleta tarifa ipi mpya apo 😦niambie nami nijue
@kondesaidi20405 жыл бұрын
Albassam@ sasa wakati wa mtume ninani alileta taarifa ya mwezi kutoka maka!!?,,, Unayo yasema nikweli lakini ni kutoka ktk nchi au sehemu husikatu... Ambacho tunakipinga hapa nikwamba Utulazimishe kwa mwezi wa maka wakati kwetu mwezi bado ??😂,,, Wakati vitabu vyote vinalipoti kuwa ni 9 na huku kwetu 9 bado!? Na zamani kanlaya cm watu tulifuata mwezi!, Wapi mtume kasema tufuate MAKA,, badala ya QRAN???? acha izo bhana.
@nawawisaalim71735 жыл бұрын
umeeleweka vyema mno sheikh wangu masheikh wote wenye elmu wamesema km ulivyo sema wewe
@dawaseif36995 жыл бұрын
Nawawi Saalim kweli kabisa hao wengine wanatuzonga tuu
@waziri195 жыл бұрын
Hawa ndyo mashehe
@rashidmkoga30535 жыл бұрын
Sheikh umeongea kwa ufasaha mno lakini kuna watu walisha amua kufuata tu hao hawana hata habari ya kujifunza zaidi ni ubishi tu.
@makamemufadhil6275 жыл бұрын
Mimi naona musisubuwane
@selemanmaulidi30125 жыл бұрын
Mimi nauliza niipi yaumu nnahari? Nifafanulie
@fatumajuma13415 жыл бұрын
Semeni maneno ambayo nisahihi wasema utongo
@fatumajuma13415 жыл бұрын
Wasema urongo
@NMJAsaid5 жыл бұрын
In short, huu ni mjadala Wa wanaopiga na wanaopinga twari
@muhidinali81805 жыл бұрын
سٸل رسول الله صلی الله عليه وسلم عن صوم يوم عرفة قا يکفر سنة الماضية والباقية Aliulizwa mtume s a w kuhusu funga ya siku ya arafa akasema hufuta madhambi ya mwaka uliopita na ujao imam muslim mtume kasema funga ya siku ya arafa sio funga ya tisia
@muhammadkhatwab5 жыл бұрын
Basi Mtume angesema يوم عرفات. Sababu kiwanja ni عرفات ...ama siku ni عرفة
@muhammadkhatwab5 жыл бұрын
HAYA NI MAPYA..KUWA ARAFA YAWEZA KUWA TAREHE 7 AU 8 !!???
@ramamau79805 жыл бұрын
Mmh sheh sijakuelewa hata kidogo kikubwa nimesikia tu maoni yakwako sio dalili za aya wa hadith
@muhammadkhatwab5 жыл бұрын
Una hakika umesikiliza mpaka mwisho na hukusikia aya?
@omarmbarak15795 жыл бұрын
Rama Mau shida ya mashekhe wa bidaah lazma waende na ahwaah za nafsi zao alafu hutafuta ayaa kwenye Quran ili ayingize
@duniaileile55225 жыл бұрын
Mkipewa dalili mwajitia punguni, mkipatiwa masheikh kufafanua dalili na kuwaweka wazi mwataka dalili!!!! Miwahabi ni fitna ya ulimwengu huuuu lkn aibu zao na kutokwa na haya kwao kushajulikana, Watu hawa wanajiona kama washaingia peponi ingali wahai, ndomana kwao kila aliekinyume nao ni kafiri heeeeeeee😂😂😂 kaaaaaaaazzzzzz kweli kweli
@abuushakiraddausiy86664 ай бұрын
Hiyo yakusema Kabla Kabla ya vyombo vya habar ,,,,,,sio hoja hoja ni hiiii !!!!!! Wewe Kabla hujajua swla ulikua waswali vipi!???? Kabla hujajua kusoma Qur'an ulikua wasoma vipi!??tushaajua Sasa kua arafa nisiku Gani!!? Hatuna budii kufuata baada ya kujua!!!! Sasa watetea wahmu yako!!!! Wapotoa watuu kua na inswaafu..
@rashidrajab62485 жыл бұрын
Kila mtu ajua zaidi .......walakin Allahu aalam
@deepcworkshop74425 жыл бұрын
Kwa hiyo we unaotoa mawaidha inamana kiama kitakuwa sikutifauti kila Inchi??
@Tawfiqomarhussein5 жыл бұрын
deepc workshop Watu wanakuuliza khabari ya Saa (ya Kiyama). Sema: Ujuzi wake uko kwa Mwenyezi Mungu. Na nini kitakujuvya? Pengine hiyo Saa iko karibu (ahzab:63)
@jumakapilima56744 жыл бұрын
Dini imetoka uarabuni, arafa iko uarabuni, kibla kiko uarabuni,,,,,,,,Leo mnataka kuwa na arafa zenu za Morogoro, Tanga, Mombasa,,,hii hatari sana, maana ipo siku mtataka kuwa na kibla chenu!!!
@mustwaphaakhamisy12082 жыл бұрын
Dini imetoka kw allah
@ayubushopping97345 жыл бұрын
JEE kuna nchi ambayo imepichana na 24 hrs
@AdilTwahir5 жыл бұрын
Ziko
@lugomemtamayaye95085 жыл бұрын
Unapotosha kasome tena . "WANAKUULIZA KUHUSU MIEZI MWANDAMO" Maana yake kuanzi 1 to 12 ndiyo miezi iliyo kusudiwa sio tofauti ya miandamo ya miezi .
@baisheally46363 жыл бұрын
wewe nenda hujui kitu
@abujuhaifah74615 жыл бұрын
Shehe muonekano wako na uongeaji wko tofaut bado usiisemee dini kakae kitako
@matumbistanmikau28955 жыл бұрын
Basi ili twende sawa usituambie kuwa yaumu Arafa kwa Tanzania ni siku fulani, sababu Tanganyika na Zanzibar ni zao la wakoloni haikuwako enzi ya Mtume. Scramble for Africa 1882 kama sikosei ndo iligawa bara hili vipande vipande. Je nyinyi kusema Tanzania ina mwandamo wake mmeitoa wapi? Labda turudi enzi za Mtume kila Mji na mwandamo wake. Kama mwandamo wa dunia ni uzushi, basi wa nchi tuiteje ?
@najmajomar42955 жыл бұрын
Umoja na watu wa bidaa mashia hatuko tayari
@abiabi93532 жыл бұрын
Kwani ni nani anaetaka kufanya umoja mawahabi watu wajinga
@mihswanyusuph47965 жыл бұрын
swadakta
@matumbistanmikau28955 жыл бұрын
Kwhiyo uislamu ni dini isiyoendana na maendeleo? Ysni kwakuwa watu walikuwa hawawezi jua lini yaumu Arafa enzi hizo basi hata sasa dunia imekuwa kijiji wataka tujifanye kama hatuonii watu wamesimama viwanja vta Arafa, uhafidhina huu.
@adammakoye41985 жыл бұрын
kabla ya midea tulikuwa tunafanya mambo kibubusa ndg zangu ndiyo maana jambo la dini hufaham jambo huukumiwi kwa jambo huna kosa. NA ndiyo maana hupati dhambi kabla ya ujumbe. eti kuzungumzia miaka ya nyuma tulikuwaje ? lalalaa !!! MTAZAME wallah laadwiim.
@Manimajura5 жыл бұрын
Unaamanisha Dini haikua imekamilika huko nyuma?? Kwamba sasa kuna science na teknologia ndio imekamilika?
@adammakoye41985 жыл бұрын
msikize huyo ustadhi anakwambia tarehe tisa ndiyo Arafa kule Saudia kwa tarehe yao. hiyo ndiyo hitlafu ilipo tarehe tisa ya kule haina tofauti na tisa ya huku kwetu hta nukta moja saa kumi kule kwetu saa kumi siku hiyo je? kuna tofauti kati yetu na wao ya siku moja jibu hapana iweje leo wao tarehe tisa ya saa ile ile maslan ijumaa sisi kwetu iwe nane ya saa ile ile siku hiyo hiyo ya ijumaa. ni msimamo lkn ni batwili. jambo la hitlafu sio wote wanaopatia kuna mmoja lazima akosee hatukatai ziko kauli za ulamaa wa kisuna ama kiwahabi kma mnavyodai zinazo sema kila TAIFA na mwezi wke lkn pia zipo kauli za ulamaa wakubwa za mwezi ni mmoja na hii kauli ndo tunaizangatia zaidi hususani ktk nchi zetu Afrika mashariki zenye mnasaba kbsaa na tym za Saudia. hta uswali na janaba miaka mia moja kisha baadae ukaja juwa namna ya kuoga janaba hutoingia kwamba miaka yote ulikuwa hupati kitu ila baada yke ukijuwa kisha useme mbna miaka yote nilikuwa naswali hivyo hivyo tu.
@adammakoye41985 жыл бұрын
kiufupi jambo hili LINAHITLAF hatukatai ila moja imezidiwa lazima watu wasarendeee. ni sawa na mtu aseme mm siswali dhuhuri bwna naswali saa saba hahaaahaaa.
@adammakoye41985 жыл бұрын
Na hta kma ikatokea kwamba mwezi tumeuona Tzania na Saudia hawajauona wawo wakawa na dhrhija 1 sisi tukawa 2 mpk yafika 9 kwetu wawo wananane na taarifa zikawafikia kisheria bali wakakataaa bado Arafa itakuwa ni ile ile siku hujaji wanasimama ktk viwanja vya Arafa tazama watu walivyoegamia
@Manimajura5 жыл бұрын
@@adammakoye4198 Umeongea masuala mengi ila nataka nikwambie baadhi ya vitu, hoja ya kutumia saa ni dhaifu sana sababu kwanza ujue saa ni makubaliano tu kupiti mistari ya kubuni ya dunia na ndio mana hua hatufati saa bali hua tunafuata nyakati, na ndio mana ndani ya East Africa hii hii kuna miko inatofautiana kinyakati karibu lisaa limoja lakini kwavile tumekubaliana kwamba est africa wote tutatumia saa moja ndio mana saa saba Tanzania, kenya au uganda ni iyo iyo lakini sio kote kua dhuhuri itaangia wakati mmoja. Kwenye suala la tarehe ipo ikhtilafu, lakini tunapojadili ikhtilafu tunatakiwa tutumie rejea (reference) kwa kuangalia kauli yenye nguvu ama kusema kauli ya wanazuoni wengi na kauli ya wanazuoni wengi wamesema kua kila eneo wafate muandamo wao. Ndio ikaja hoja kwenye Quran kua mwezi na jua ni alama za nyakati kuwa watu wapate kujua tarehe na muda, sasa leo ndio linakuja swali zamani watu wakipate habari juu ya muandamo wa nchi iliyokua mbali ili wawe na tarehe moja. Je East Africa walijuaje kua saudia mwezi umeandama ndani ya usiku huo huo ili waweze kua na tarehe moja hali kwa wakati huo kutoka Makka kwenda Madina ilikua ni zaidi ya masiku je kutoka Saudia mpaka Kenya au Tanzania tunajuaje?
@abubakarsalim15055 жыл бұрын
Sheikh arafa ni dunia yote hakuna arafa mbili toa hadith ama ushahidi kuwa utheimeen ama bin baz Allah awahifadhi wametoa kauli hizo please yataka kuwa na ukali pia juu ya mimbar sio kusimile lazima unapoonya uwe mkali
@alisudiramadhan31515 жыл бұрын
HHaha sasa ww ndio uwende ukasome
@abubakarsalim15055 жыл бұрын
Kwenye kuonya hakuna uchekeshaji onya ukiwa thabit
@abdulgadiradnan50285 жыл бұрын
Kwanini iwe lazma ya ushahidi wa ibn utheimn au bin mbazi ????. JEE HAO WAWILI WANAMILIKI UISLAM !!??. DUH
@paladelnizer44965 жыл бұрын
@@abubakarsalim1505 fuateni hyo Eid ya wasuudi hkna kulaumiana. Cha muhimu kuwe na adabu ya ikhtilaaf
@alisudiramadhan31515 жыл бұрын
Kama hujui kitu nyamaz na usipende kusikiza soma nibora zaidi
@fadhilijuma57035 жыл бұрын
Hana ushahid halaf hatoi hoja za kielim ni maneno tu
@paladelnizer44965 жыл бұрын
Waonaje ukismama ww utupe hoja za kielimu?
@jaffarmguwa55665 жыл бұрын
Sheikh acha kupotosha kwa hiyo kila watu wana arafa yao....?/ mtume kasema kufunga siku ya arafa hakusema kufunga tarehe Tisa..... Na arafa in moja.... Mnababaisha tu
@yussufismail28225 жыл бұрын
Shukran kwa msimamo wako. Mungu akuzidishie na wewe usilazimishe. Unasema kabla ya media hatukuwa tunaona walioko makka. Sasa tubaki huko mbona Leo unapanda ndege huenda kwa jahazi kama ilivyokua zamani.
@jumakapilima56745 жыл бұрын
Halafu ukitoka hapo unadai uislam dini ya ulimwengu mzima, mwezi ukiandama sehemu ya dunia, unakataa!!!
@abdulhalimkibela43965 жыл бұрын
Tuwe kitu kimoja
@timbulosaid635 жыл бұрын
Dini sasaiv imefka babaya
@saadallah62875 жыл бұрын
Kasome funga ni arafa pia Arafa ni moja si mbili
@yassinmmbwera92735 жыл бұрын
Mi nafikiri Mashekhe wakiwa wanatupa elimu ni vizuri wakiambatanisha na Hadithi na Fatwa za Maimam.
@allyally51563 жыл бұрын
Hii ya kulazimisha kutokana na akili yakawaida
@أبوفيصل-د3ش5 жыл бұрын
Nyie watu wa Bidaa Na Hawaa nafsi Mna tabu sana.wakati Dunia yaenda Mbele.Wew unataka Turudi kweny Zama za mawe za Kati.Wakati huo Mawasiliano hakuna je,wew huoni hapo tyr Dharura hiyo??Mbona huulizi Norway Walifunga Ramadhani vipi ilihali kwao Jua Halizami??? Mim nachokiona Watanzania Wanafuata Arafa Inayotangazwa na Mufti wa Serikali.
@kondesaidi20405 жыл бұрын
Norowey wanafuata muezi Kama Qran inavyo elekeza,,,, sasa wewe unataka tufuate Saudi??
@omarsaid81663 жыл бұрын
Basi watu wa makka wakiswali maghrib naww swali sababu tumeendelea
@أبوفيصل-د3ش3 жыл бұрын
@@omarsaid8166 Hii inamaanisha akili yako ndogo. Vipi waweza Swali swala ya Magharib kwa kisikia Msikiti wa jirani??ikiwa Misikit miwili ipo jirani jiran
@omarsaid81663 жыл бұрын
@@أبوفيصل-د3ش naww pia akili yako ndogo kwa kusema tufwate walio simama arafa
@أبوفيصل-د3ش3 жыл бұрын
@@omarsaid8166 Hayo maneno sijasema mim ila nimeyanukuu kea mtume aliposema Funga ya Siku ya Arafa.
@saidyusuf46913 жыл бұрын
Miongoni mwaalama zawatu wa bidah waongea bila ya dalili kwani wewe ndiwe wajuwa zaidi au niyule alosema mwenye kufunga siku ya arafah hata mtoto mdogo ukimuliza arafah iko wapi atakuambia iko Makkah tumcheni mungu tuateni kupotedha Ummah tujuwe nijukumu tutakwenda kulizwa siku yahisabu
@mdoekibai39912 жыл бұрын
we nikiruc kwenye wiislam wetu naww ndo ulozoka kwa maana bidar lkn hujui chalenji ndogo2 uniambie kati ya mwezi na internet kipi kilicho zuka? au kilichoanza ukijbu nakuuliza lanyongeza
@harunhassan52375 жыл бұрын
Na mbona wewe ukienda hajj suudia na mwadamo wako hauko sawa na tarehe ya suudia,je hajj yako iko sawa
@Badooyusuf5 жыл бұрын
Acha ujinga wewe ukienda suudia unafuata suudia sasa mwandamo wako kitu gani zuzu mkubwa wewe
Nasema saudia ni tarehe moja dhulhija hapo Kenya hawajaona mwezi ,sasa wewe watoka Kenya waenda suudia kufanya hajji baada ushaingilwa na mwezi wa Kenya .Hajji yako iko sawa?
@waziri195 жыл бұрын
Kama huelew kaa kmya mskilize sheh vzr usilete mihemko
@fadhilijuma57035 жыл бұрын
Sheikh kama unajua kuna khilaf katka masala mbona unakuwa wa kwanza kuvuruga akili za wasio na maarifa katka dini . Kuwa makin kumbuka hii ni dini .ulichokuwa unakanusha mwanzo wa maneno yako ni kipi au ulikuwa umesahau kuwa mambo haya wametofautiana ulamaa wa kubwa? mche allah sheikh!
@abubakarsalim15055 жыл бұрын
Hana dalili aongea yake tu atoe hadith
@muhammadkhatwab5 жыл бұрын
Abubakar Salim Dalili ya aya hukuisikia?
@abubakarsalim15055 жыл бұрын
@@muhammadkhatwab iko wapi sijasikia
@muhammadkhatwab5 жыл бұрын
Basi hujui DALILI ni nini.. Nenda kasome
@omarmbarak15795 жыл бұрын
Fadhili Juma huyo Muhammad khwatab pia chama kimoja cha kupotosha watu watafata Vipi wenye kupinga maulidi hawawezi Hilo lazma wafate mashekhe wao hana dalili hapo ni aya katafuta kuiyeka hapo ili asukumize maneno yake
@maheralmuayqily19005 жыл бұрын
bila shaka mzungumzaji ana upungufu wa Dini na Akili..hata azungumzapo waona kbc anajua ukweli ila aamua kupotosha
@paladelnizer44965 жыл бұрын
Ww uliekamilika kidini na kiakili kwa nn hausimami na kuongea utupe ftwa zako. Nyinyi n wale wale vibaraka vya suudia
@alikirobo1415 жыл бұрын
Wewe na yeye nani asie na elimu?
@jumaakhalfan4855 жыл бұрын
Una mtindio wa Ubongo
@maheralmuayqily19005 жыл бұрын
Ali Kirobo tatizo sio Elimu tatizo ni kupatia ukweli...alichokiongea naomba mnipe Dalili maana hakuna ayah wala hadithi isemayo tufunge siku ya Tisa natoa angalizo.WALLAHI likipatikana andiko lisemalo kufunga siku ya Tisa wallahi ntakupeni zawadi ya LAKI 1
@maheralmuayqily19005 жыл бұрын
Pala Delnizer ingia ktk website yetu ya Markaz Uthmani bin Affan uzione hzo Fatwaa
@badbessth5 жыл бұрын
kulikua na mawingu Mombasa Tarekhe moja lakini siku ya pili tuliona mwezi mkubwa ulio kawia kwa masaa sheikhe
@AbuuRuudaynaa5 жыл бұрын
thbadbess hoja sio kwamba mkubwa hoja yeye nguvu uliuona kabla ya siku haujawa mkubwa
@muhammadkhatwab5 жыл бұрын
Madamu mwezi haukuonekana basi tarehe haianzi, hata kama mwezi ulikuwepo umefichika na kiwingu
@omarimwigula32485 жыл бұрын
Kwa hiyo tarehe 09 ya sehemu nyingine tofauti na saudia watu wanapo funga wanaita funga ya nini jamani Dunia haipishani siku inapishana masaa tu
@abuanmarabubakar5 жыл бұрын
we ndio mpumbavu zaid kuliko wote
@jumahussein75795 жыл бұрын
Mbna unaporoja huna dalili
@muhammadkhatwab5 жыл бұрын
Wajua maana ya dalili?
@muhammadkhatwab5 жыл бұрын
Kama wajua... Ungekuwa umeisikia hapo
@waziri195 жыл бұрын
Wataka dalili ipi na aya ameitoa na kuifafanua Una khiyar kufata au kuacha acha kejeli wew
@jumahussein75795 жыл бұрын
@@waziri19 hajatoa dalili msilize shekh
@SaidSaid-cs7mm5 жыл бұрын
Mnajua kupoteza watu mwezi nimmoja tuu hakuna mwezi wakila nchi 😄😄
@baisheally46363 жыл бұрын
ilimu yako ndogo ,,waachie watu wenye ilimu wewe fuata unapoona pana Hali ,Allah aalam,Mimi nawewe hatelewi chochote
@jamalbahdela5243 жыл бұрын
Sasa subiri mwezi upatwe Marekani halafu wewe simama uswali swala ya kupatwa kwa mwezi saa saba mchana ndio utajua km uko timu au laa, maana mwezi mmoja.
@mybabyarchive21042 жыл бұрын
Wameshindwa kutuweka misikitini pamoja wanataka umoja wa dunia nzima wametukuta misikitini tukiomba dua ya pamoja wakasema la kila mtu aombe kivyake leo wanataka Umoja wa Idi dunia nzima msikitini wametutenganisha ktk dua baada ya swala madai yao si kweli
@mdoekibai39912 жыл бұрын
umeonae? namm naongeza kdg kwamba hawa jamaa niviruc kwenye dini yetu
@habibrwegoshora66245 жыл бұрын
VURUGU YA MIAKA YA 2000 TANGU HUKO NYUMA AYAKUWEPO
@NMJAsaid5 жыл бұрын
Tumeelewa kuwa ni msimamo wako
@أبوفيصل-د3ش5 жыл бұрын
Na Hizi Pete Mbona Nyingi Vidoleni.Vp Ndio Sunna hiyooo?? Nikupe Faida Tu Kwa sababu Akili yako umesema Turudi Nyuma Umepiga Mfano Miaka 100. Tanzania Ilipatikana Mwaka 1964 .Je kabla Ya kupatikana Tanzania Waislam Walifungaje?? Saudia Pia wakat wa mtume Haikuepo Nayo je,Watu wa Madina Wafunge Tofauti Kwan wao nao wawe na Tarehe 9 yao ya Arafa.
@NMJAsaid5 жыл бұрын
Mashetani
@abdullahabdul79685 жыл бұрын
Daama yuribuka ila malaa turiiibuka
@shafa38105 жыл бұрын
Fuata lilo xawa.... Wacha maswali ya kipumbavu
@abdullahabdul79685 жыл бұрын
Okay
@matumbistanmikau28955 жыл бұрын
Nimekuelewa sheikh. Hakukuwa na internet wala simu, twabaan. Je hii mipaka ya Tanzania, Kenya nk ilikuwepp? Ikiwa hadithi inasema kila MJI na si nchi na mwandamo wake. Je kwanini watu Dar es salaam wafunge kwa mwezi wa Mombasa? Haki ikidhihiri batili ujitenga.
@najmajomar42955 жыл бұрын
Umenena
@mudychizo45024 жыл бұрын
Huo nimsimamo wako juu arafa someni somanvo araf ni moja tu hakuna arafa nyingi Tanzania haina arafa kenya sijui uganda wekeni araf kila nchi xx mxiwavuruge wasio xoma mkawapeleka mnavyotaka zungumza haki tu shekh acheni majungu bana nyie vip?
@abiabi93532 жыл бұрын
Kwani Arafat maanake ni nini kulingana na uwahabi
@nasibuabdul10555 жыл бұрын
Nn maana sasa ya technology bax msipeleke watoto wenu shule maana
@muhammadkhatwab5 жыл бұрын
Hukmu hazibadiliki kulingana na technology
@nasibuabdul10555 жыл бұрын
@@muhammadkhatwab apo hukumu itakua aijabadlika maana zaman upatikanaji wa taarifa ilkua ngumu now znapatkana
@muhammadkhatwab5 жыл бұрын
Ibada zimefungamanishwa na mwezi muandamo
@nasibuabdul10555 жыл бұрын
@@muhammadkhatwab sasa mbna ukianda maeneo mengne bakwata awakubali???
@aminayusuph98395 жыл бұрын
Kwahyo Shekhe kumbe tuna miezi mingi daah nyie al ihsaan nyie duuuh sasa Kama mtu unamuona anapotea usimkemee tuacheni kupenda pesa na kuuficha ukweli
@paladelnizer44965 жыл бұрын
Ww huna haja ya kubishana. Shekh ashakwmbia fuata pale unapotaka, kikubwa adabu ya ikhtilaaf ndio inayotakikana
@muhammadkhatwab5 жыл бұрын
Mwezi ni mmoja lakini miandamo inatofautiana. Kama ambavyo juwa ni moja lakini nyakati tunatofautiana