Yaan mie bora aliishia pale kwenye barua cjui ningekuwa ktk hl gani tungefikia hatua ya dada Flora😭😭
@maryritte9693 жыл бұрын
Inauma mno tena sana pole sana Flora, yalitukuta kwa mdogo wetu aliachwa ukumbini hadi Leo hatujui alipo huyo mwanaume
@zakayokalinga62733 жыл бұрын
Mmmh daaa yani uyo jamaaa bora likufe tu huko liliko huko yani daa flora 😭😭😭 pole sana
@mariambakari9963 жыл бұрын
Pole sana huyo alilogwa jamani ndoa uliitangaza mapema sana na kikulacho kinguoni mwako
@erickmanda67193 жыл бұрын
Dar jamaa alikuwa mtu mubaya sana Mungu atamupa azabu kwakumtendea ukatili kama huu.flora Muombe Mungu haya yote niyakupita tu.
@frankyjohnmwikombe3 жыл бұрын
Pole dada, mungu yupo na anakuandalia kitu kizuri, kuwa mvumilivu
@gbwile12573 жыл бұрын
Kuombwa hela tu tayar ilikua ishara tosha kwamba huyo mwanaume hakumpenda Pole sana flora kila ktu hutokea kwa sababu huenda mungu amekuepusha na majanga
@mosebabu55783 жыл бұрын
Pole flora ukiona mko kwenye uhusiano hamjaoana mwanaume akaanza kukuomba ela ogopa huyo ni tapeli.jua ela uliyokuwa unatoa ilikuwa anapewa aliye naye
@lesusi78723 жыл бұрын
@@mosebabu5578 kabisa yalishawahi kunikuta
@reginacharles15023 жыл бұрын
Aisee hii simulizii inaumizaa sanaaaaaaaa
@hadijarajabu73063 жыл бұрын
Dah pole sana my dear ila shukulu mungu kwakila jambo
@mwasubilasaimoni85063 жыл бұрын
Pole yako flora mungu nimwema atakupa wako
@merryabiaza7113 жыл бұрын
Yan nimetumia Sana duuh Hadi najutia kuisikiliza hii story Yan Kama mm vile moyo bandama had utumbo nahis unajichemsha wenyewe sijuw hata nufanyaje
@veronicamtangi69043 жыл бұрын
Huyo hakuwa wakwako Amino Mungu kila Mwanamke anamwenzi wake Mungu atakupa aliye mzuri na mwema Mara mia kaa ukiwa na Yesu atafanya
@nasrauwimana25593 жыл бұрын
Asante sana Kwa maini ya simulizi
@joventine.n.jovenary4163 жыл бұрын
Najaribu kuvaa uhalisia wa flora mh...! Mtihani sana
@mohamedmuhajiri46903 жыл бұрын
Hatari san...ila kwakwel huu niukatili
@khorima2 жыл бұрын
Nahisi yule mama wa kizungu alikuwa nyuma ya jambo hili
@sarahpeter35923 жыл бұрын
Jaman inauma kupita kiasi ,😭😭😭
@rosekileo93892 жыл бұрын
Pole san dada dah mengin tuyasikie tu tucombe kukutana nay nizaidi ya mcba pol
@marrymartin80133 жыл бұрын
Inaumaa Sana maumivu yake ni mazito mno
@vumi8371 Жыл бұрын
Jamani pole sana 😢 😢
@tyffahkingunge49963 жыл бұрын
Natetemeka utadhan ndio me yamenikuta😭daah amna mtu anaweza kuvaa hvo viatu
@jasminjamali95183 жыл бұрын
Yaaan utataman ukimbilie hata msiituni ukaish peke ako jaman na mm ivyo ivyo sikuweza kukubali kirahisi
@precious41733 жыл бұрын
Viatu havinitoshi daah jamani pole yake
@faudhiasalum72793 жыл бұрын
Wanaume jamani 😪😪siwa amini ata kidogo 😫. Kwanza awapo. Romantic.,,,.,. Yani ata cjui ipo vipe.. Bora ata mzungu 😜😜😜
@frankmtei30173 жыл бұрын
Mzungu sio mwanaume?
@frankmtei30173 жыл бұрын
Hatuko romantic kvip
@merryabiaza7113 жыл бұрын
@@frankmtei3017 mmmmh 🤣🤣🤣 utaanza kupanicki Sasa ww huyo alosema hampo romantic hajieelew tuu baada ya kusema baadhi ya wanaume na sio wote
@khorima2 жыл бұрын
Hahahahaaa duh Nacheka kama mazuri, jamani Kuna watu wehu sana Sasa unamwachaje mwenzako ukumbini?
@MmMm-lq1wh3 жыл бұрын
Dhuuu hadi niletetemeka 😳😳😳😳
@sophiahakusa64002 жыл бұрын
Jamani wajina wangu poke
@estarkapinga61263 жыл бұрын
Dada Veronica ! Hii zi simulizi zakako ni nzuli Zina mafunzo Ila channel ya inaingiliwa Sanaa simulizi zipo katika account kalibia tatu Ina tuchanganya