Kumbe Kuna siku kama hiyo ? Mombasa ndio inaongoza kuliko kote watu wanavuta ovyo hawachagui mahali .
@POLYCARPSANDETV5 ай бұрын
Mombasa wanakula madawa aina yote, si wachague kilevi moja basi?
@yusufmwangichannel66925 ай бұрын
Nani alie kuambia sigara iko kwenye kundi moja la madawa ya kulevya? Kampuni zote za sigara ni za kutoka western countries na ziko nomoskar na license ya kutengeneza sigara na wanalipa ushuru nchi zote
@antonymwangi49865 ай бұрын
Have Mombasa people seen any drugs they don't completely love?
@AliNgao-r3j5 ай бұрын
Waongee kuhusu mugokaaa
@johngeorge48345 ай бұрын
Hawa waswahili wanapenda starehe zote za Dunia,kukuwa gavana huko pwani lazima pia wewe ukue mlaguzi wa madawa kama Nassir😂heri bangi kuliko tobacco
@stanastana31995 ай бұрын
Wacha hizo man
@RiazJuma-v9k5 ай бұрын
Pia dawa ya ulevia..tunataka marufuku
@jacksonlungu83405 ай бұрын
Waraibu au waarabu😂
@odero10035 ай бұрын
Wacheni kuyunbua mathara ya muguka na miraa kwingine muguka ni dawa ya kulevia Ondo. Wameru walime mi ea ingine.