Mashaa allahu jazakallahu allahu kheira inshaa allah
@mwawekomiuda977910 ай бұрын
MashaAllah sheikh wetu unatupa mawaidha mazuri. ALLAH akupe kheri nyingi inshaAllah.
@user-dg8qj5zx8v7 ай бұрын
Jazaka Allahu khairan sheikh
@aminsaleh380310 ай бұрын
Allah akubarik fi dunnia wa fil akhera
@husseinbougers82759 ай бұрын
Jtv kaziyenu nzuri sana huyu mtu sisi twampenda mno amefanya kazi iliotukuka mnooooooooo afuwan walimuweka jela kwa dhulma ila wamemtoa tukonae tunaendelea kustsfidi kutokana na elimu alionayo hii tafairi hurltaisikia kwa shekhe mwingine yeyote unae mjua Sasa na hata walokwisha kupita hapa unatumika ufundi wa balagha mantwiqi na kila ukijuacho kwenye kuzitafsiri Aya za kitabu hiki kitukufu mno hii ni suurati infitwari sehemu ya tatu kwamtiririko ule ule Asante ni J TV
@gyeong59727 ай бұрын
Tena sana siku haipiti Kama cjamskiliza ❤❤❤
@user-wv2ht3nt1b11 ай бұрын
Allah amuongeze shek umri wakheri
@AllyLusonzo-sj2zt8 ай бұрын
Alhamdulillah
@hemedijuma63937 ай бұрын
MaShallah mungu akusimamie Shekhe mselem alii
@hasbunakhamis4877 ай бұрын
Mashallah
@sadammjili9101 Жыл бұрын
Asalam A'alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh KUNA CLIPS ZA SURATUL AALA HAZIPO
@jtvznz4507 Жыл бұрын
Waalaikmsalam warahmatullah ni kweli hazipo ila zipo hatujazituma kutokana na matatizo ya kiufundi ila jumanne tukiwa hai zitaonekanwa inshaallah shukran
@Akaa777779 ай бұрын
MAshallah..Asalam Aleikum funzo nzuri lakini sioni kwa channel video ya Sura Twaariq 1-9