Just wish one day you come to preach in one of the camp meetings here in migori county near Sori Bay because these teachings are very powerful and i may not be able to express them to other people in this manner you are doing it, so they can here by themselves, witness by themselves and make themselves the right decision concerning thier faith with God. I have come from far since i started following these preaching, and may God uplift you more higher for the gift He as given you to deliver to His children
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
Blessings to you Kevin. By grace i will be there!
@user-co5vo5kc4b3 ай бұрын
Mchungaji mmbaga, nakuombea sana Mwenyezi Mungu aendelee kukutunza sana,maana umenisaidia sana ktk changamoto nilizozipitia, umenikuza sana kiimani, na kuniongezea ujasiri kwa changamoto tulizonazo,hapa duniani,mungu akubariki sana.
@joyestherbagarura9543 жыл бұрын
I don't know.....but when ever I listen to his sermons....he speaks to my soul abt that very challenge am facing at that particular time!!! Karibu sana Nyakato SDA Mwanza my pastor!!!!
@jameskenzedex3 жыл бұрын
From 254....Being blessed from home pastor God bless you .
@janenyagwencha77373 жыл бұрын
May God change my heart through all this challenges iam facing. Pr. Your sermon is so touching may God bless you
@beckysimiyu35893 жыл бұрын
Through following this preachings, am gonna be a preacher in Jesus name.
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
Amen
@sarahwawuda51643 жыл бұрын
AMEN
@jeanmjimmy3 жыл бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu. Mahubiri haya yanafika sehemu mbalimbali duniani. Na sikia hapa Australia. Endelea na Mungu akubariki.
@calvinmusa85053 жыл бұрын
1. "Imani ni mikono ya kupokelea wema wa Mungu" Ni mkono wa kuchotea wema wa Mungu. Wema wa Mungu unazunguka kila mahali. Mwenye imani kubwa atachota sana na mwenye imami ndogo huchota kidogo. 2. Ishi sawa na Mungu anavyotaka 3. Kaa Hodari na uwe na moyo ushujaa 4. Usiogope, utamalaki kwa Imani.
@princessannittah2649 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu👏👏👏👏
@asnathtv84853 жыл бұрын
Maombolezo : 3: 22.Ni huruma za bwana ya kwamba hatuangamii kwa sababu rehema zake hazikomi.
@dottogatuntu Жыл бұрын
Pastor mungu akupe maisha malefu,,umekua daraja kwangu kabx
@SifaelNoah3 ай бұрын
Barikiwa mtu wa Mungu.
@sendwekabwe22463 жыл бұрын
Siri za Wana damu ni kwa wezao. Bwana mungu habarikiwe kua sifa kubwa 👍❤️🙏😔
@mariammwita82163 жыл бұрын
May the Grace of the Lord fill up us we sinners
@jamesmboga73253 жыл бұрын
Amen.We lead God instead of God leading us wakati wa changamoto maishani. Our faith is shaken when we don not have strong foundation in God.
@deogratiasmazangi-mk4fp Жыл бұрын
Amen pastor be blessed much 🙏👆
@huldakirururu89503 жыл бұрын
Asante kwa somo nzuri
@user-xg4mr4gs6j3 жыл бұрын
Amen be blessed alot Mtumishi wa Mungu
@dysonkameta43402 жыл бұрын
Mimi. Daison Mungu akubariki
@williamuphilipo74473 жыл бұрын
Mungu azidi kutuwezesha kuyafanya mapenzi yake, amen.
@bahatimasuruli50753 жыл бұрын
Thanks pastor we are blessed
@neemaalphonce74102 жыл бұрын
Asee barikiwa sana pastor 🙏 Mungu akuongoze zadi na zaidi na kuelewa sana
@mwitamrange22753 жыл бұрын
Masomo yako yanatufundisha mambo mengi sana pastor mbaga
@tarcisiobeneditomambii8332 Жыл бұрын
Amen Mungu atusamee
@jessikaakinyi84453 жыл бұрын
Ameeeeen Mungu tupe Imani kama hiyo
@rubias29782 жыл бұрын
Asante sana pst umefanya kupiga hatua
@letisiambilinyi31153 жыл бұрын
Mungu akubariki mchungaji akupe maisha marefu uendelee kuwalisha wana wa mungu neno lake
@glorykamenya25433 жыл бұрын
Amen pastor umekuelewa asante sana
@devothasimbi10553 жыл бұрын
Mchungaji nimecheka sana kwani ilikwishanitokea hapo zamani n.nilipelekwa kwa mganga wa kwanza alijizungusha sana kunitibu nikajijibu mwenyewe ameshindwa.mara ya pili nilishikwa shingoni na mganga akidai nimeenda na fisi Kwake niondoke haraka Alikaba haswa akidai niombe msamaha niligoma na nilimjibu anadanganya watu
@jessikaakinyi84453 жыл бұрын
Ni kweli pastor tunaenda kinyume na mapenzi ya Mungu
@jepngetichnancy79153 жыл бұрын
May God bless you abundantly, pray for me pastor to be prayers agent of God always
@ruthaminga71603 жыл бұрын
Amen neema ya Mungu iweze kukaa ndani yetu
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
Amen
@peterkamau36382 жыл бұрын
@@MahubiriPrMmbaga amen
@leahsimba71593 жыл бұрын
Nabarikiwa sana
@annaphilipo48103 жыл бұрын
Nimebarikiwa na somo hili Mungu akubariki mchungaji.
@angelmahemba59472 жыл бұрын
Asante kwamafundisho mazur
@dorcasrhobi8211 Жыл бұрын
Amen, hiyo ni kweli kabisa
@ezealfred91013 жыл бұрын
Amen
@nippermshana92603 жыл бұрын
Amina tumwangalie Bwana Ili tumkuze
@daveondiek99263 жыл бұрын
THANK YOU JESUS 🙏
@glorykamenya25433 жыл бұрын
Imani tu
@josephineabedi81003 жыл бұрын
Ubarikiwe Mchungaji
@joycenahimana60793 жыл бұрын
Barikiwa pr
@aliceodongo79463 жыл бұрын
Asante pastor mungu azidi kukupa hekima namaarifa ufungue wazol letu
@josephgadau89133 жыл бұрын
Tafadhal unapo andika Jina la Muumbaji wako liandike kwa Helfi kubwa.Yaani MUNGU au Mungu, Kwani Neno mungu la helufi ndogo huwakilisha miungu mbalimbali.
@ruthaminga71603 жыл бұрын
@@josephgadau8913 thanks for correction
@estherwambuies17823 жыл бұрын
Mungu atusaidie sana
@vallerymkawandu86642 жыл бұрын
Amina
@moonmonth33452 жыл бұрын
Nabarikiwa sana lkn naomba msaada wako
@equilinendikubwayo56453 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana pasteur hayoyote nimeyapitia vile waliniambia nibaki fasi moja mungu atasikia wakasema situmike kitu chochote nilipambamba nao vile mungu arinitoa ndo nikarundisha hakili nawao waliona hivo wakanitumia bitu vya kuniwasha kichani na vizunguzungu lakini kwasasa na mushukuru mungu ni mwema wakati wote Bwana anaokowa asante Sana mtumishi wa mungu pst kwa maombi 🙏
@mbbars27403 жыл бұрын
Thanks 🙏 God 🙏💒
@virginiav4595 Жыл бұрын
1
@francisocholi69363 жыл бұрын
Napenda sana
@asnathtv84853 жыл бұрын
Amen.
@bruceminyacosprlrdc50843 жыл бұрын
👍🙏👍
@estherwambuies17823 жыл бұрын
Imani kichaa
@jessikaakinyi84453 жыл бұрын
Mungu anisaidie nirithi ya pastor Mmbaga
@wilfredmakori69592 жыл бұрын
Pstr Mmbaga David kwa hakika mahubiri yako yamenitoa mbali mno......
@nicholausmwakalobo4843 жыл бұрын
nakufuatilia sana ila katika siku umeniacha ni leo kwa habari ya jina la Yesu, umesema Jina la Yesu ni kawaida tu? nachojua tunatoa pepo kwa Jina la Yesu, tafadhari ufafanuzi zaidi
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
Hujaelewa. Jina Yesu lilikuwepo hata kabla hajazaliwa. Yehshuah /Yahshuah/ Yoshua/ ni Kiebrania kwa kiyunani ni Iyesus,kingereza Jesus. Kwahiyo Yoshua na Yesu ni neno moja kwa lugha mbili tofauti. Nchi za Amerika ya kusini ni kawaida kukuta mtu akiitwa Jesus! Hiyo haina maana anaweza kutumika kutoa pepo kwa jina lake!! Hapana!! Pepo wanatoka kwa mamlaka ya Jina la Yesu Kristo.
@mtashophilipo62133 жыл бұрын
@@MahubiriPrMmbaga Exactly ....by the name of Christ Jesus...