Mungu akibariki mtumishi wa Mungu ,wimbo huu umenivusha mahali miaka kumi iliyopita.nilikuwa nausikiliza kabla ya kwenda mahakamani na kweli Mungu alisimama mwenyewe.wimbo wa maana sana kwangu huu.
@user-gw3ld4wr8t9 ай бұрын
P
@ElizabethMgumbamunguakuheshimi5 ай бұрын
Mungu abariki mtumishi wa mungu ukanivushe juu ya ndoa yangu ukanisimamie juu ya kesi yangu emungu uniokoe amina
Mungu akubariki mtumishi wake Mungu pingana na adui zangu
@YonaSifuna2 ай бұрын
1
@user-um5hm5rc7h Жыл бұрын
Hapa nilipofika Akili Imechoka simama mwenyewe Baba nipiganie🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@jasminmoshi6851Ай бұрын
Mungu akuvushe katika jaribu lako dear
@user-hg7ce6gh7h3 ай бұрын
bwana simama n Mimi oooh Jehovah nko n madeni mingi bwana simama nami Jehovah
@alicekaita11 ай бұрын
Ee,mungu naomba usimame NAMI katika maisha yangu😭😭😭😭😭😭😭 ninayoyapitia na watoto wangu bwana nitetee.
@dadaz465310 ай бұрын
MUNGU inaandikwa kwaherufi kubwa
@QUEENJoseph-kh6cbАй бұрын
Mungu ndiye mtetezi wetu tutavuka yesu alikwisha ya maliza msalabani
@johnsakala.94427 ай бұрын
Hakika huu wimbo wenye nguvu za ajabu mno hauwezi amini. Ni wimbo wenye maajabu ya kirohosana. Wimbo una taa za ajabu unamulika zaidi kuliko tunavyo udhania. Amina.
@FARAJANGOGOАй бұрын
Simama mwenyewe bwana ktk familia yetu.
@jescakazungu5027 Жыл бұрын
Sijaona mwenye haki akiachwa,Mungu akubariki Mtumishi wa MUNGU 🙏🇰🇪🇰🇪
@msabenda Жыл бұрын
Aminaa sana mchungaji... kupitia hii nyimbo inaleta ushindi katika maisha yetu. #Simama mwenyewe BWANA YESU.🙏🏽
@NeemaDaud-fl3xe2 ай бұрын
Simama mwenyewe bwana yesu kwenye maisha yangu nipp kwenye wakati mgumu bila wewe siwezi
@user-lo1mx1wv2b5 ай бұрын
Naupenda wimbo huu, unanipa nguvu Kila niusikilizapo, unanipa nguvu ya kuendelea mbele na safari ya wokovu, barikiwa Sana mtumishi wa Mungu
@MarthaSamwel-st3lb2 ай бұрын
Ubarikiwe kwa nyimbo nzuri mtumishi
@user-cl8dj3ub6p6 ай бұрын
Naamin kupitia huu wimbo kwa imani mwaka huu hauwez bila kuona mafanikio yangu😢😢
@petergiesiКүн бұрын
Mtumshi WA MUNGU , ABIUD MUNGU AZIDI KUKUTUNZA ZAIDI NA ZAIDI WIMBO HUU UNATUBARIKI SANA🙏
@user-ug1ju7ui7j10 ай бұрын
Baba Mungu nakuomba usimama mwenyewe kwa maisha yangu, watoto wangu, familia yangu,kazi yangu,huduma yangu,baba usiniache pekee yangu.
@BarakaMakoye-rv8fd3 күн бұрын
Mungu simama upande wangu unitete kupitia wimbo huu
@sanyuushaban83649 ай бұрын
Nataka mambosi wangu waniletee karatas au pesa za faini katatolewe IDCard ya kuishi hapa abbudhabi 2years leo na mungu atanipigania
@WitinessJoseph26 күн бұрын
Mungu wangu I naomba usimame kuanzia mwanzo wa biashara yangu mpaka mwsho
@QUEENJoseph-kh6cbАй бұрын
Simama mwenyewe baba vita sipigani mimi eeh bwana mwenye enzi sima unipigani baba yangu vyote vinapita ila kwako ndio mwisho wa vyote baba yetu 2024 July
@saddiemunyanga19046 ай бұрын
Simama mwenyewe bwana , uliniambia ujamuona mwenye haki umemuacha wala watoto wake kuomba omba mkate Amen thanks for your promises your promise are yes and Amen 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@user-jw7be1lc7lАй бұрын
Hapa nilipo sielewi nielekee wap,,,simama mwenyewe Yehova sina ndugu bali mm nategemewa na familia bila nguvu na hekima zako Baba mm si kitu,,,🥰🥰 mch,Abiud barkiwa sana 🥰🥰
@QUEENJoseph-kh6cbАй бұрын
Mungu ndie kimbiliyo mpe maisha yako damu ya agano jipya itasafisha kila nira amini
Amina Aminaaa mtumishi bila Mungu kusimama na sisi hatuwezi
@PachaPangaАй бұрын
Mwenyez mungu naomba nisimamie niponye kupitia huu wimbo cku moja. Nitoe ushuhuda
@user-wb7fh8bf4x6 ай бұрын
Simama mwenyew mung kweny magum yet kweny ndoa zet simama kwa watoto wang simama mwenyew kwa akil Zang siwez nakutegemea wewe
@victoriasezi24699 ай бұрын
Wimbo huu unatubariki sana..... Mungu akubariki Sana mtumishi❤❤❤❤❤
@user-ps2rv2bj2d9 ай бұрын
Amina na Amina simama mwenyew bwana shahidi wa maisha yangu unajua bwana ninayoyapitia😢
@ashuralihinda90657 ай бұрын
Endelea kumpunzika Kwa amani 😭😭 Mamaangu ulikuwa ukipenda kuimba huu wimbo hakika simama mwenyewe bwana.
@ShabanOumar5 ай бұрын
😢 pole
@user-kw4yn3vq2v4 ай бұрын
sorry my dear
@Bhoke-cd7mb20 күн бұрын
Pole Mungu ampumzishe kwa Amani
@user-cx4jl6wk6m7 ай бұрын
Simama mbele yangu Jehovah Nissi unitetee .....Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
@MonicaAlex-ph5lb14 күн бұрын
Naiman mungu utasimam na mm nipate mwenz simama mwenyew baba😢😢
@felesionRobert5 күн бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu unatubariki sana Kwa jumbe zako ni injiri na ibada tosha
@user-bp6iw7vo7t2 ай бұрын
Stand lord without you i can't make,and do something in my life in this year2024 bless me God.
@user-gz6eq6yb3q5 ай бұрын
Hakika simama mwenyewe Yehova peke yangu siwezi 🙌
@elizabeth1988m20 күн бұрын
Unanibariki nikiwa kabete amen nyimbo zako unjjaza roho mtskatifu
@user-of7ms8is3s4 ай бұрын
Abiud am from Kenya,i love your songs.May who pays his people you....❤
@andricusndweyi0762 ай бұрын
Simama mwenyewe Mungu katika maisha yangu kwa kuwa hakuna mwingine kama wewe,,,, amen umesimama na mimi kwa kila jambo. may God continue blessing you mtumishi..
@mch.abiudmisholi2 ай бұрын
Ameen, Neema ya Mungu izidi sana katika maisha yako
Pumnzika Kwa amani Mama Yangu,ulipenda Sana kuimba huu wimbo hasa ulipokuwa ukiomba ulipenda Sana Kumwambia simama mwenyewe Bwana.
@frankkaduganyatindo78411 ай бұрын
Pole sana dada angu njia yetu moja
@user-kw4yn3vq2v4 ай бұрын
he sorry don't worry
@user-kw4yn3vq2v2 ай бұрын
Pole mummy
@gloiremuhimuzi45479 ай бұрын
Simama kwegne magojwa yangu bwana ni na imani bwana
@user-sz4wn7og3o7 ай бұрын
Mungu nakuitaji simama na mm wakati huu siwezi bila ww
@user-hl6cg2qo9w17 күн бұрын
Mungu nitete natafuta haki y pesa zangu ambazo zimeliwa n ishmael sumba na ananiambia nimpeleke kule naona mungu nimemleta kwa wewe ambye una hukumu wa haki amba hau mapendelea mungu simama uni tetea baba yangu mm ni yatima Sina mtetezi ila nimekuja kwako uni tetea baba yangu
@sarahmoraa33117 ай бұрын
Emotional and close to God prepares for prayer very powerful
@EdwinWekesa-yl1iw26 күн бұрын
Umenifarichi na Wimbo huu God bless you pastor
@user-ok5um8jt2b15 күн бұрын
Aminaaaa mungu atupiganiyeee asimame yeye atupiganiyeeee
wimbo woo umeweza ndani yangu mungi kami OOO hallelujah 🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️....,,
@deviselisaria54886 ай бұрын
Hakika huu wimbo una nguvu ya mungu mungu azidi kukupa nguvu za kumtumikia usaidie kondoo wake
@ShirimaSigifrid-lk6ko7 ай бұрын
Nikweli mtumishi mungu tuu asimama mwenyewe simama mungu kweli nuru
@PendoPaul-jq9kb9 ай бұрын
Simama yesu mtetee Dunia, masanja,juma na simioni katika promotion yao Amina wafanikiwe kwa kishindo
@celestinemaero69614 ай бұрын
Simama mwenyewe kwa maisha ya Wana wako ,wanakuitaji Bwana
@GodihadiMsuya-zn7scАй бұрын
Asante mtumishi wa Mungu kwa neema zako nyimbo nzuri sanaa ❤❤
@lucypaulo9238 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu Kwa kazi nzr
@ShirimaSigifrid-lk6ko6 ай бұрын
Simama mwenyewe mungu haki kweli nuru moto ulao
@christinamabula416 Жыл бұрын
BARIKIWA sana Mtumishi wa Mungu
@mch.abiudmisholi Жыл бұрын
Ameen
@robatmwazembe6 ай бұрын
@@mch.abiudmisholi تو
@eliasobeid39996 ай бұрын
👏🙏nabarikiwa sana na huu wimbo, 💋💋💋
@TausilaWissa-wd8mcАй бұрын
Ubarikiwe sana maana wimbo huu huwa unanibariki sana
@maikovineventscompany11806 ай бұрын
Miaka 9 nyuma ilikuwa ngumu zaidi nyimbo pekee ilionitia nguvu ni hii Mungu alisimama mwenyewe.
@noelamilambo959511 ай бұрын
Hakika simama mwenyewe Bwana😭😭
@user-mh2cn3fb6j9 ай бұрын
Nikweli mtumishi wa Mungu Mungu akisimama mwenyewe tunashinda yote ktk yeye atutiae nguvu❤❤
@GeofreyKalo-ot3we8 ай бұрын
Na tutashinda Kwa kishindo
@emanuelisafieli275911 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki mtumishi
@onikajulius9335Ай бұрын
Simama mwenyewe bwana peke yangu siwezi 🙏🙏
@gracekunambi7438 Жыл бұрын
Katika vita yangu simamama mwenyewe BWANA, katika majaribu magumu simama mwenyewe BWANA. Barikiwa sana mt wa Mungu
@Lorene-m9d13 күн бұрын
Amen Mungu simama na huduma wetu
@davidostephen11186 ай бұрын
Ubarikiwe Big UP mtumishi wa Mungu
@sarafinaoliver34667 ай бұрын
Simama mwenyewe Baba katika Maisha yangu siku zote.!!
@RahelMkilanya2 ай бұрын
Ameen! kubwa sn iend kwko mchngji wngu
@sarahnyambura43349 ай бұрын
Hakika ninaimani utasimama na mimi Leo kwenye mtihani🎉❤
@GracePeter-pz5yu7 ай бұрын
Ubarikiw mtumish wa Mungu
@RahelMkilanya2 ай бұрын
Nabarkiw sn n huu wimbo jmn!
@GABRIELNGERECHA-jn2fiАй бұрын
Mungu wa mbinguni akubariki sana mpendwa
@MonicaAloyce-nk9wqАй бұрын
Amina unanikumbusha mbali sana huu wimbo
@user-su4od6fw4c5 ай бұрын
Ubarikiwe.mtumishi.wa.mungu.
@saimonjohnsumley9198 Жыл бұрын
Simama Baba !!!!
@ElibarikFrank5 ай бұрын
Mungu akuinuwe kwa wimbo huu
@saulikeyamwamseya57219 ай бұрын
Mungu ni mwema😭
@CeciliaTim-yi1yr4 ай бұрын
Napita mengi Mungu akika simama mwenyewe kwangu Baba
@asinachacha572524 күн бұрын
Amina unanibariki sana mtumishi😊
@dorcusnsajigwa74993 ай бұрын
Bab simama ju ya mama angu Catherine mwambipile tazama wakati anao pitia katika biashala yake mtaji unayumba yumba lakn baba simama mwenyew baba mungu 🙏
@sephaniaayubu18773 ай бұрын
Mungu mwema fungu lakumi nimuhimu piah
@dorcusnsajigwa74992 ай бұрын
Amina
@user-yj1gu8de9g6 ай бұрын
Simama mwenyewe bwana katika maisha yangu
@ankoharunacomputers97095 ай бұрын
Mungu Mkuu❤🎉
@mathewkimuge39124 ай бұрын
Simama na mimi,wewe mwenyewe Bwana..
@user-yo1ul4mt7dАй бұрын
Ubalikiwe mtumishi wa mungu
@user-ks6cd6ok6p2 ай бұрын
Nakupenda sana huu wimbo,pastor mungu akubariki🎉🎉🎉🎉
@mch.abiudmisholi2 ай бұрын
Ameen, Mungu akubariki sana.
@frankthadeo-qs2ze7 ай бұрын
MUNGU BABA NAOMBA USIMAME NA MIMI BWANA
@user-up9gz8ij1s2 ай бұрын
Najivunia kuwa na kaka abiudi japo niko inchi za watu lakini sichoki kusikiliza nyimbo zake mungu azidi kukubariki my brother
@mch.abiudmisholi2 ай бұрын
Ameen, Mungu azidi kukutunza huko
@user-up9gz8ij1sАй бұрын
@@mch.abiudmisholi Amina kaka👏👏👏
@DansiraMujawamariyaАй бұрын
Amen amen Amen amen hallelujah hallelujah 🙏🙏🙏🙏
@marthabenard37232 ай бұрын
Nakuelewa sana pastor ubarikiwe
@MuzaliwaRosa Жыл бұрын
3:29 this song makes me to connect with God, you are blessed man of God Amen
@mch.abiudmisholi Жыл бұрын
Ameen, Praise to God
@user-lm2vh4mr1y6 ай бұрын
Nina madeni sina amani simama bwana ali nipa mimba akakataa mtoto na akabeba pesa zangu sasa na baki na madeni na sina tena kazi simama bb uniokowe