Mkataba utawekwa ktk jezi za matangozo kulee usukuleni
@kastomwaipopo17632 жыл бұрын
Safi🦁💪
@barakastive24472 жыл бұрын
nzuli sana
@salminmabrouk54332 жыл бұрын
KUNA UBABAISHAJI SAANA KWENYE HII SIMBA
@saidiuchebe52032 жыл бұрын
Yaani wabongo bhana eti wengine wanaoji kwann hawaoni wakisaini mi nadhan ata wakiona wanasaini kwa akili za wabongo zilivyo watataka na kingine
@rockygappi10182 жыл бұрын
😂😂😂😂...Saidiiiiii watauliza mbona hatujaona pesa live
@rockygappi10182 жыл бұрын
😂😂😂😂...Saidiiiiii watauliza mbona hatujaona pesa live
@joshuamchiwa8612 жыл бұрын
SIMBA, VIONGOZI VERY SMART.
@shadrackjuliuskaboya52392 жыл бұрын
*duh Mimi nilizani hizo biii nikwa Mwkaa mmoja tuu*
@salminmabrouk54332 жыл бұрын
MIAKA MITANO SIMBA WAMEUMIA KWA VIJIPESA
@salminmabrouk54332 жыл бұрын
MANENO MENGI VITENDO HAKUNA
@luqmanomary35582 жыл бұрын
Big deal with major profit this is mutual
@Libostv2 жыл бұрын
Hawa jamaa wanajua kucheza na wanasimba. Ndio maana walikacha kutaja kiwango ili waone wenzao watakuja na nini.
@rockygappi10182 жыл бұрын
@UVCCM... Aaaaah wapi fikra za kishabiki zaidi hizo, uongozi haufanyi kazi kishabiki.. Sports pesa walijua mkataba wa m-bet ni mrefu kimaslahi na wao wakajitutumua upande wa pili jambo ambalo limeleta faida kwa timu zote mbili
@salminmabrouk54332 жыл бұрын
MIAKA MITANO
@jameslyambilo3722 жыл бұрын
Hizo hadithi za hundi ya bilioni 20 ni hundi za benki ipi?
@amgroupofcompanies30422 жыл бұрын
Token given the period
@hafidhhabib71162 жыл бұрын
Hongera simba sports club
@saidziddy88232 жыл бұрын
mkataba mali kauli 😂😂😂
@dugaman98722 жыл бұрын
waze waku ogeza sifuli hao
@mateustomefobrafobra23152 жыл бұрын
Mbona mkataba hauonekani?
@nurdinmfamau34932 жыл бұрын
Hivi Watakuwa Washasainishana Au Mbona Hatuoni Wati Saini. Mmmhhhh. Labda. Muda Utajieleza.
@triplea34632 жыл бұрын
Taarifa rasmi ilitolewa na club kwamba mkataba ushasainiwa tangu July mosi ndo mana hata kwenye jezi wemekwa haiwekani watangazwe kabla ya Mkataba haujasaniwa