Mageuzi makubwa eneo la abiria bandari ya Dar es Salaam, Mkurugenzi ataja kila kitu

  Рет қаралды 2,762

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Wakati abiria wanaotumia bandari ya Dar es Salaam kwenda Zanzibar na kurudi Dar wakilalamikia foleni katika eneo la ukaguzi hatua inayosababisha wachelewa katika maeneo wanayokwenda hasa baada ya kufika Dar es Salaam wakitokea Unguja, Uongozi wa Bandari ya Dar es Salaam, umesema upo mbioni kulifumua na kuliboresha eneo linalotumiwa na abiria (Baggage room).
Wakizugumza na Mwananchi Digital abiria hao wamesema mbali na kupoteza muda wakiwa bandarini pia wamekuwa wakikosa mabasi yaendayo mikoani.
Mkurugenzi wa bandari ya Dar es Salaam, Mrisho Mrisho katika mahojiano maalumu na Mwananchi Digital amesema wamekusudia kufanya ukarabati mkubwa katika gati hiyo ili kuondoa changamoto kwa abiriakuhusu mikakati mbalimbali ya taasisi yake ikiwemo changamoto zinazoikumba ‘Baggage room’.

Пікірлер: 8
@ameedamilja7992
@ameedamilja7992 Жыл бұрын
Finally imeoneka kwani ni kitu kilikuwa hakinipi Raha kwani jengo na wapiga debe wamezidi mpaka inakuwa Kero Kwa wasafiri na haswa Watalii. Pia hao wapiga debe wa nje wengi wanakuwa hawajaoga na wamevaa nguo chafu na hilo linakera sana Abiria kwani wanang’ang’ania watu sana na hawasikii hata uwaambie huhitaji ticket Au bidaboda Au bajaji badi wanaendelea kusumbua.
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Жыл бұрын
kama ni ivo mtafanya jambo Jema sana
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Wamempa mkandarasi local hawezi kujenga kitu cha kuvutia
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Жыл бұрын
@@kabwelasutiviraka4765 duh ndio.washapiga mapesa wamempa mkandarasi.wa ovyo
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
@@yahyahamad1802 mkuu ndio tatizo hawa wenye madaraka wako wabinafsi sana na hawana uzalendo , kama hela ipo ilitakiwa kumpa mkandarasi atakayejenga kitu cha kuvutia kama nchi zilizoendelea au Ulaya
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Жыл бұрын
@@kabwelasutiviraka4765 ah ndio.ivo tena wakubwa huamua wanavotaka
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Ami and vai ni mkandarasi local sidhani kama atajenga kitu cha maana na kilichokuwa cha kuvutia, mngewapa makampuni ya nje yenye historia ya kujenga vitu vya maana, hata makampuni ya nchi za Scandinavia ni wazuri kwenye ujuzi wa majengo ya abiria kama hayo , au huyo mkandarasi local ni ndugu yenu au mambo ya asilimia 10?
@tangazadigital966
@tangazadigital966 Жыл бұрын
Acha kulopoka tumia Akili
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 20 МЛН
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 62 МЛН
Anayedaiwa kuchukuliwa na Polisi kwa mahojiano akutwa ameuawa Zanzibar
6:55
ABIRIA WAFURAHIA UJIO WA MABEHEWA MAPYA YA TRENI YA DELUXE
6:29
TRC RELI TV
Рет қаралды 26 М.