Asanteni sana wachezaji wa Simba kazeni Uzi undeni ukuta ngumu wa Yeriko asipite mtu
@CasianLawa20 күн бұрын
Semaji la CAF vp kuhusu Elie mpanzu kuja Simba?
@levelcitymusic235120 күн бұрын
#JebisonpaulTv nimepita✅
@AbuuBiganzi20 күн бұрын
Fagien tutwae makombe mengiiiiii🎉
@kawelesiakisanga667012 күн бұрын
Jamani mbona Tena KMC wanamtaka Awesu eti viongozi hawajafanya mazungumzo yoyote na uongozi wa Simba
@AugustineMakoba19 күн бұрын
duuu Kwa hiki kikosi,na umri wao nimeanza kunenepa
@kassimntara690120 күн бұрын
Kama uwezekano wa kumpata Fei au mpanzu basi waache nafasi wazi Ili kujà kuziba mashimo dirisha dogo badala ya kuvunja mikataba mingi kwa wataoshindwa ku paform
@FabianLujuo20 күн бұрын
vp kuhusu huo usajili ulobakia ni wachezaji gan hao wanaokujaa?¿