BOB WANGWE AKIWASHA NYAMONGO" SIJAJA KUTUMIA JINA LA BABA YANGU CHACHA ZAKAYO HAPANA ............

  Рет қаралды 14,983

MARA DIGITAL

MARA DIGITAL

Күн бұрын

Пікірлер: 36
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 3 ай бұрын
Mama.abduli.hii.emendaaaaaa
@josephkmarwa7425
@josephkmarwa7425 3 ай бұрын
Ccm..nii..wanyonyaji..wanakula .roho..zetu..tuamke..matajir..wako..ccm..masikini..tushikamane .tutashinda..mungu..uko..nasi..tutashinda🙏🙏🙏🙏
@ignasmwamwenda3154
@ignasmwamwenda3154 3 ай бұрын
Nampenda sana mwamba huyu, kuanzia uaminifu, utendaji wake. Wakurya chukueni hili jembe.
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 3 ай бұрын
Huyu Mshkaji namkubali sana tangu yupo Chuo
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 3 ай бұрын
Bob chacha ni mwana harakati namkubali
@MustaphaSeleman-z7c
@MustaphaSeleman-z7c 6 күн бұрын
Uyu jamaa nakubar sana chacha wangwe
@MustaphaSeleman-z7c
@MustaphaSeleman-z7c 6 күн бұрын
Jamaa kichwa sana uyu
@MuhojaMalicho
@MuhojaMalicho 3 ай бұрын
Umeshinda kamanda wetu
@EmmanuelSimion-d3e
@EmmanuelSimion-d3e 3 ай бұрын
Bob yuko poa Sana! APEWE JIMBO!
@dignakanje4508
@dignakanje4508 3 ай бұрын
Baba kaacha nembo yke,mpe kura jmn hyo mtoto.Yko vzr
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 3 ай бұрын
Sacos ni kundi la fisiyemu lililotunyonya miaka 64, chadema ni baba lao chama cha ukombozi tumeamuka usingizin
@Thevineyard9889
@Thevineyard9889 3 ай бұрын
Huko Mara CCM ijipange aisee. Kwa katiba hiihii mbovu na tume ya uchaguzi hii hii ya CCM, basi hawa wahuni wa CCM wanaweza wasipate hata jimbo moja mkoa wote wa Mara!
@abdallahmesso2373
@abdallahmesso2373 3 ай бұрын
Hakuna malaika kati yao aliyeshuka toka mbinguni kuja kuwakomboa wana wa kitanzani tusidanganyiko na hizo poropo ganda za wanasiasa. wanasumbuliwa njaa uchu wa madaraka.
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 3 ай бұрын
Saccos ni Ccm inayoogopa uchaguzi huru na tume huru
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 2 ай бұрын
Uko vizuri kichwani yaani serikali ya CCM na viongozi wao kupata uongozi ni kuwa tajiri hadi na vizazi vyao sisi ndio mtaji wao hadi wanajimiliksha viwanja vya mpira wa miguu wakati vinatakiwa vimilikiwe na wananchi waliochangishwa fedha kuvijenga
@barakanyanchama4297
@barakanyanchama4297 3 ай бұрын
HUYU BUB HUYU AMEISHA PITA TAYARI TARIME MJINI KEMBAKI ATAFUTE TU PAKUFIYA HAPA AMEGONGA MWAMBA KWA BOBU
@ntegrity277
@ntegrity277 3 ай бұрын
Heche ana uoga huyo ndo mbunge
@kigoman8043
@kigoman8043 3 ай бұрын
Hahahaa yaan heche ndo anataka bob awe mbunge si wananchi kumbe
@mc_turuka
@mc_turuka 3 ай бұрын
Wananchi hawawezi kutaka,Wananchi wanaamua.. Suala la Kutaka linaanzia kwa mtu mwenyewe na wale wanaoyaelewa maono au matamanio yake. Usijibu au kuandika sawa sawa na ufahamu wako mdogo!!
@ColinMhema-ne3lz
@ColinMhema-ne3lz 3 ай бұрын
Haya kuwa wewe basi tukùchague
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 3 ай бұрын
Ufaham wako tu ni mdogo ndo maana umeropoka
@thomaswamburasautvipaummeo7556
@thomaswamburasautvipaummeo7556 3 ай бұрын
uko vizuli dogo
@MusaaMarwa
@MusaaMarwa 2 ай бұрын
Hakika heche wewe ni jembe hizo pikipiki walizo nunua kimatabaka kunyanyasa watu wengne watajua muda ukifika karibu sana gibaso mla oheche waitara atakoma
@AmanaHassan-cy4fi
@AmanaHassan-cy4fi 3 ай бұрын
Mwanangu kuwa makini... Kilichompata Marehemu Baba yako ndani ya hiyo Sacos.
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 3 ай бұрын
Sakosi ipi?
@AmanaHassan-cy4fi
@AmanaHassan-cy4fi 3 ай бұрын
@@zebedayokatamaduni9676 Ya akina Mbowe na Genge lakee...
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 3 ай бұрын
@@AmanaHassan-cy4fi Kwa hiyo chadema ni sacos, wewe nawe.
@AmanaHassan-cy4fi
@AmanaHassan-cy4fi 3 ай бұрын
@@zebedayokatamaduni9676 Ndio.
@willsonFarasa
@willsonFarasa 3 ай бұрын
Wajingabado mpowengi Sana hujitambui
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 46 МЛН
MUIMBI HOSIAH CHIPANGA MUDARE RAMAMBO MUTASA VS LEON MATESVA  KARANGANDA TV KUTORWA KWEMUNDA
18:01
IFAHAMU HISTORIA YA NYAMONGO KIJIJI CHA DHAHABU TANZANIA
4:51
BALOZI ONLINE TV
Рет қаралды 3,3 М.
SATIVA AMSHIKA UCHUKU KAMANDA MULIRO
31:58
SK Media Online TV
Рет қаралды 21 М.
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20