SIMU YA MAKONDA YAMTOA BUNGENI WAZIRI MASAUNI, ABAKI KUCHEKA - ''MWAKA HUU''....

  Рет қаралды 81,273

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 113
@hajiissa9200
@hajiissa9200 11 ай бұрын
Ahsante mh wazir masauni . Tupo vizuri
@abdularuffin9308
@abdularuffin9308 11 ай бұрын
Mungu akutunze akupe maarifa mengi zaidi wewe ni mwema chapa kazi makonda tumehemewa
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 11 ай бұрын
Safi Sana kiongozi Mungu akutangulie katika kazi ❤❤❤❤❤ Kama wote wangekuwa wanasikiliza shida za watu badala ya kukaa maofisini hakika tungefika mbali sanaa!!Big up Makonda 🙏🙏🙏🙏
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 11 ай бұрын
Kusikiliza na KUTENDA ni vitu viwili tofauti
@edwardmwakapuja5847
@edwardmwakapuja5847 11 ай бұрын
😅
@judicalosika7642
@judicalosika7642 11 ай бұрын
Hii ni SIASA chama hakitendi serikali ndiye muwajibikaji
@husseinbakary1969
@husseinbakary1969 11 ай бұрын
Asante ma samia kwa kutuletea hili jembe
@ramadhanhussein3867
@ramadhanhussein3867 11 ай бұрын
Mungu akusimamie🤲🙏.
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips 11 ай бұрын
Masauni ana hekma sana sana Makonda big up
@JamesLekeni
@JamesLekeni 11 ай бұрын
Nenda kwa wamasai wafugaji. Wanateseka sana. Wana Kero nyingi. Wasikilizwe na chama( Tunakusihi Mheshimiwa Makonda)
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 11 ай бұрын
Makonda ni kiongozi shupavu sana. Mungu akubariki sana.
@felixBenos
@felixBenos 11 ай бұрын
Chapa kazi mkuu nakuelewa sana makonda
@charlz0410billy
@charlz0410billy 11 ай бұрын
pga kazi bro
@edwardpallangyo6770
@edwardpallangyo6770 10 ай бұрын
Bro nakukubali naomba uje na uku mkoa wa arusha uonevu mwingi sana
@reginamashauri3884
@reginamashauri3884 11 ай бұрын
Yaani ccm wanaakili sana wameona wamekosa mvuto wamemurudisha njembe
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 11 ай бұрын
Huyu jamaa mungu amuweke sana
@abrahmanamour8223
@abrahmanamour8223 11 ай бұрын
Mm sina chama chochote lakini Makonda namkubali sana tena sana
@MasseLyale
@MasseLyale 11 ай бұрын
mungu akubariki zaidi makonda, sasa tutarudi kuangalia taarifa za habari kwenye tv, tukuone makonda, ila punguza kumtaja mtu fulani , kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe na kila mtu atatoa habari zake mwenyewe
@leahmcharo7306
@leahmcharo7306 11 ай бұрын
Mama Samia alichelewa wap kumchagua makonda kaz nzuri kijana
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips 11 ай бұрын
Safi sana makonda
@sharaful-anaam138
@sharaful-anaam138 11 ай бұрын
Hatimae magufuli amereje❤🎉
@allykhalifa4407
@allykhalifa4407 11 ай бұрын
Mama Samia Fanya mpango umpe makonda uwaziri mkuu atakusaidia sana
@babungogo8603
@babungogo8603 11 ай бұрын
Kazi nzuri
@sengeremaxleo9295
@sengeremaxleo9295 11 ай бұрын
Hahahaha hiliiiii jamaaaaa limepewaaaa full control mamaeeeee ,,,,
@PauloSaul-r5s
@PauloSaul-r5s 11 ай бұрын
Fikia MALENGO. yako mh paul christian makonda
@mwitoremwita3567
@mwitoremwita3567 11 ай бұрын
Sanaa tu hizi
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 11 ай бұрын
Makonda safi sana sana
@daudidaniel544
@daudidaniel544 11 ай бұрын
Big up mtoto wa baba
@johnshayo9635
@johnshayo9635 11 ай бұрын
Nchi ya sanaa na mipango mbalimbali
@adilhabib8988
@adilhabib8988 11 ай бұрын
Hiii ni mipango ya kichama tu mbona tangu hapo awali hajayafanya kwa sababu mwaka umeisha uchaguz waja
@wilsonjaphet5547
@wilsonjaphet5547 11 ай бұрын
NIDA ni sehemu zote
@mussaisaac
@mussaisaac 11 ай бұрын
Makonda nakukubali
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc 11 ай бұрын
Makonda unafanya vizuri,Hataulipokuwa mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,Hatatokea kiongozi kama wewe,
@kombasalimu353
@kombasalimu353 11 ай бұрын
Nishida Sana
@vicentjanuary3493
@vicentjanuary3493 11 ай бұрын
Movie
@josephmchila6467
@josephmchila6467 11 ай бұрын
Jamaa anachapa kazi saana, asaidie sekta zenye kero, hasa ardhi na mikataba.
@kulwastima3993
@kulwastima3993 11 ай бұрын
yaan unazzuka na propaganda hizi
@muhammadalibhaz1390
@muhammadalibhaz1390 11 ай бұрын
cinema nzuri chakula ilipikwa isipokuwa ilipakuliwa muda muafaka
@nehemiamwasile8696
@nehemiamwasile8696 11 ай бұрын
Makonda lengo ni kupga mawaziri ambao wanapewa pesa na mhe, mama Samia suluhu wanatumia KWa masilah Yao binafsi safi Sana Makonda KWa Kaz nzuri maana mawaziri ndo wanaficha maendeleo ya wananchi , Tanzania oyeee, Tanzania safii
@hamisiizadini3938
@hamisiizadini3938 11 ай бұрын
Mmmh hii nchi inamambo ya ajabu sana
@Mis_asenga
@Mis_asenga 11 ай бұрын
Sanaaa Mimi kitambulisho changu wilaya ya ubungo hawajanipa toka 2020 october na nilienda tu print kilipotea nikalipia kika kitu wilaya ya Ubungo ni jipuuuu watupe vitambukisho jmn
@mohamedpesambili9460
@mohamedpesambili9460 11 ай бұрын
Hata Mim cjapata aisee tangu 2019 Yan ubungo aisee dah
@lusatomichael7973
@lusatomichael7973 11 ай бұрын
Makonda makonda makonda ww ni zaid ya wote mpigie waziri wa nishati zungumza nae kuhusu UMEME
@migerajacob581
@migerajacob581 11 ай бұрын
Siasa za Tz ni viini macho,,
@leokamil6284
@leokamil6284 11 ай бұрын
Uchuguzi karibuni snema zote tutaziona msijisahau ndugu zangu
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 11 ай бұрын
Ni shida
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 11 ай бұрын
😂😂
@azizamohd4203
@azizamohd4203 11 ай бұрын
Chefuu
@talltall5674
@talltall5674 11 ай бұрын
Sasa vitambulisho vina bei namna hii billion 42 kitambulisho kimoja zaidi ya billion moja duhhh
@AmosSniper
@AmosSniper 11 ай бұрын
Siasa bana! Kweli shida ya NIDA Samia kaimaliza lini?
@stellamuyenjwamboyi7559
@stellamuyenjwamboyi7559 11 ай бұрын
Mkoa wa Mara huko kanda ya ziwa
@neemanziku5403
@neemanziku5403 11 ай бұрын
Yan mama samia huyu makonda mpe uwazir wa afya humu mahospitalin kuna tabia mbaya sana
@davidmwandenuka1712
@davidmwandenuka1712 11 ай бұрын
Wacha sifa dogo....na mawaziri wacheni uoga mnapelekeshwa Kama .ma ndezi
@zubedadahalgould8809
@zubedadahalgould8809 11 ай бұрын
Mheshimiwa ninaomba ututembelee huko Kidimu Kibaha kuna watu wanatusumbuwa wanatunyanganya arfhi nalo hilo ni changamoto hapo Kidimu ninakuomba utusaidie
@STAY_FOCUS10
@STAY_FOCUS10 11 ай бұрын
Bilioni 42.5 walikuwa na uwezo wa kununua machine ya kutengenezea kadi na kufanya mchakato kutuma Vijaya ata 5 kwenda kufanya hayo mafunzo na wakaja tz kuwafundisha wengine pia, bado shida iko pale plae
@dinakipingo1905
@dinakipingo1905 11 ай бұрын
Mpaka number inachanika nimetoka tz card bado aisee changamoto sana😢
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 11 ай бұрын
Dodoma watu tuna miaka miwili vitambulisho hakuna ccm mnazingua
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 11 ай бұрын
C wengeine tunadili na namba tu inatosha dili zetu zinakwenda
@migerajacob581
@migerajacob581 11 ай бұрын
Vitambulisho vya taifa vina expire date, viini macho TU,
@pelegrinmwamba1594
@pelegrinmwamba1594 11 ай бұрын
Nchi ya maigizo 😅
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 11 ай бұрын
Wapo sorias utadhani kweli
@Forester__
@Forester__ 11 ай бұрын
Mh.Makonda, mpigie nape simu aeleze kuhusu starlink ya elon musk alioitakaa
@kulwastima3993
@kulwastima3993 11 ай бұрын
Samia atajuta kumpa nafac msukuma mtaka sifa
@FaxrilBekir
@FaxrilBekir 11 ай бұрын
Kadi mpaka nje ya nchi sisi bado sana mtihani mkubwa
@shadrackdeogratius6760
@shadrackdeogratius6760 11 ай бұрын
Na bajet yake sasa, bi 42,sasa si wanunue machine wazichape hapahapa tu
@FaxrilBekir
@FaxrilBekir 11 ай бұрын
@@shadrackdeogratius6760 Hawawezi maana huo ni mradi wao 😄 🤣 😂
@kassimomar4920
@kassimomar4920 11 ай бұрын
Tunakuomba mkuu utembelee Mkoa wa Tanga kuna changamoto kwa watu wa ardhi katika utoaji wa hati.Watu wanakwama kujenga kwa kuadhibiwa katika upatikanaji wa hati.Hasa huku katika mtaa wa Mwangombe na Magaoni.Tunakuomba mkuu uje haraka wananchi wako tunateseka.Hata hao wenyeviti wa mitaa ni tatizo kwa hili.
@MaktubuShaban
@MaktubuShaban 11 ай бұрын
Nina imani utakuja kua mbuge wetu kigamboni tuna kupeda sana kk
@hassanbahebe8216
@hassanbahebe8216 11 ай бұрын
Shina mpaka taifa tunakuamini.
@dottomsuya6597
@dottomsuya6597 11 ай бұрын
Komredi makonda
@victoriakiwanuka5428
@victoriakiwanuka5428 11 ай бұрын
Mimi ni miaka karibu mitano nina namba card sina naambiwa machine mbovu kilanikieenda kuuliza 😂
@uzimameditv8148
@uzimameditv8148 11 ай бұрын
na hakuna kufa tenaaaaaaa Ameeeeeee
@barakamusapolekidoti957
@barakamusapolekidoti957 11 ай бұрын
Ova ova ova 😂😂😂😂
@mt.georgeuvambe7515
@mt.georgeuvambe7515 11 ай бұрын
Mhhhh
@johnjulius6986
@johnjulius6986 11 ай бұрын
Watu watapenda kuzitazama hotuba zako kuliko za mama, sasa unakosea unapomsifia mama..., wewe unatosha ndugu.
@mohddelo
@mohddelo 11 ай бұрын
Sasa mama kakukosea nn au chuki tu za kichawi
@scorasticaclement6308
@scorasticaclement6308 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂 Sahihi Kabsaaa Yaani Huyu Jamaaa Duuh
@samkindyymasoud9459
@samkindyymasoud9459 11 ай бұрын
Sasa ulitaka amsifie mama yko ww
@jeremiahmakoye6340
@jeremiahmakoye6340 11 ай бұрын
Saaaaanaaaa
@johnjulius6986
@johnjulius6986 11 ай бұрын
@@mohddelo mama, amewakalia kimya majizi...
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 11 ай бұрын
MAKONDA kasogezwa ili iwe chachu ya Samia kupigiwa kura
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 11 ай бұрын
Anafanya kampeni za uchaguzi mkuu unakaribia
@gregorykalinga
@gregorykalinga 11 ай бұрын
Eheeee
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 11 ай бұрын
Makinda anapigiwa promo hatariii
@GodfredAlfredNgarama
@GodfredAlfredNgarama 11 ай бұрын
Tumeshachoshwa na mbwembwe
@dottomsuya6597
@dottomsuya6597 11 ай бұрын
Magufuli namuona huyu hapa
@msafiriomary893
@msafiriomary893 11 ай бұрын
Tunatamani JPM aamke ajenge tanzania kero kra mahari
@kamradiology
@kamradiology 11 ай бұрын
Tangulini katibu mwenezi wa chama, ANAIAMURU serikali,, ? Kiongoz kama waziri mteule wa wananchi na raisi..? Wewe ni mteule tu hujapigiwa kura hata na wananchi. BASHITE NAKUPA UNABII. safari yako ya siasa ni fupi sana, utapotea na utaanguka kwa aibu. Aliyependejeza upewe hiyo nafasi alikutega upoteze iman na watu na mtego umeuvaa.. 😢😢😢
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 11 ай бұрын
Mazingaombwe yameanza
@leylasaid9641
@leylasaid9641 11 ай бұрын
LAITI VIONGOZI WOTE MNGEKUA MNASIKILIZA KERO ZA WANANCHI ANGALAO TUNGEKUA MBALI
@NeemaSitta-i2b
@NeemaSitta-i2b 11 ай бұрын
Jamani nakutolea unabii wewe ni raisi mtar 4:40 s
@masoud675
@masoud675 11 ай бұрын
PUMBAVU KABISA YANI KATIBA HAIFATWI HIVI KATIBU WA NEC ANAWEZAJE KUTOWA MAAMRISHO KWA WAZIRI? THATS SHAME
@niazonbukoke1964
@niazonbukoke1964 11 ай бұрын
You have to learn from Obama's presidency ,he did a lot with his democratic party when he took ofice but the next general election was the most colorful election season more than most, ultimately republican party was won out. We've to do the same also
@DONALDMTOWE-u9g
@DONALDMTOWE-u9g 11 ай бұрын
The comedy.
@daudimligo-b8e
@daudimligo-b8e 11 ай бұрын
Enjoy
@SaidGombo
@SaidGombo 11 ай бұрын
Tumesha mpata mtetez tayar ñjoo na kilindi tanga Kuna Mambo ya ajabu sana
@evancykashaga6576
@evancykashaga6576 11 ай бұрын
Mh
@SaidHassan-wz1px
@SaidHassan-wz1px 11 ай бұрын
MAKONDA NI KIUONGOZI MMUNG AKULINDE KAKA NIKO PEMBA MM KAKA NITAFUTE NIKUPE KHABARI
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 11 ай бұрын
Kumbe nchi imegeuka ya mazwazwa na wahuni! Huu uongozi gani kama siyo utapeli wa kawaida. Huyu Makonda asipowekwa ndani ataimaliza CCM. Natamani aendelee hivi ili wananchi wawajibishe tokana na upumbavu huu
@simonmichael894
@simonmichael894 11 ай бұрын
Naona huijui siasa vizuri😂we ushaambiwa siasa ni mchezo mchafu halafu bado unalalamika😂na utambue utaongozwa na Mwanasiasa hapa duaniani maisha yako yote😂
@peterdeus6093
@peterdeus6093 11 ай бұрын
Mmmmh, kama upo serious vunja ule mkataba wa bandari, mradi wa bwawa la mwalimu nyerere umeishia wapi, zuia umeme usikate, mnatuona sis watanzania ni wajinga sijui
@rehemakimungu6494
@rehemakimungu6494 11 ай бұрын
Piga kazi dogo usiku na mchana kutetea wanyonge
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 11 ай бұрын
Wanyonge hawana nafasi mbinguni no dhambi kuitwa mnyonge kama huwa unaisoma biblia kama Mimi sikubali kuitwa hivyo we we nafamilua yako itweni wanyonge tu
@hamisiizadini3938
@hamisiizadini3938 11 ай бұрын
Mmmmmh mmmmmh mmmmmmmh hapa kuna kazi ngumu..kuna kazi ngumu nchi hiii
@fatmaalhabs6939
@fatmaalhabs6939 11 ай бұрын
Makonda sisi sio watanzania tumezaliwa huko ila tunakupenda kaka wewe mgombozi wa wayogo
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 11 ай бұрын
Unajua watanzania si wajinga?
@talltall5674
@talltall5674 11 ай бұрын
Sasa vitambulisho vina bei namna hii billion 42 kitambulisho kimoja zaidi ya billion moja duhhh
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 11 ай бұрын
Wapo sorias utadhani kweli
@migerajacob581
@migerajacob581 11 ай бұрын
Vitambulisho vya taifa vina expire date, viini macho TU,
@aggreyenock1221
@aggreyenock1221 11 ай бұрын
Having expire date
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 27 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 20 МЛН
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 19 МЛН
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,5 МЛН
Maneno ya busara ya RC Makonda kwa Waziri Biteko
0:55
Azam TV
Рет қаралды 1 М.
Grand entretien avec Dominique de Villepin
1:03:33
Journal l'Humanité
Рет қаралды 955 М.
RC MAKONDA - "Kama unamjua Shoga yoyote nipigie simu"
2:55
Global TV Online
Рет қаралды 7 М.
BAKWATA: Mwiba mzito kwa Waislam Tanzania
43:19
Kalamutz
Рет қаралды 24 М.
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 27 МЛН