"Mpigie simu MWIGULU" Duuh! MWITA WAITARA amlalamikia WAZIRI MWIGULU kwa MAKONDA sakata la simenti

  Рет қаралды 165,897

Habari Digital

Habari Digital

8 ай бұрын

Пікірлер: 171
@edwardmagige3187
@edwardmagige3187 8 ай бұрын
Makonda mm nakukubali sana
@deodartngaiza6664
@deodartngaiza6664 8 ай бұрын
Mh Makonda nakupongeza sana kwa kazi nzuri. Kweli umeifanya.
@user-cg9yd9dw5n
@user-cg9yd9dw5n 6 ай бұрын
Hongera Sana makonda
@erasmusshauritanga8485
@erasmusshauritanga8485 8 ай бұрын
Napenda sana kumsikiliza Makonda is a real leader anakusikiliza anatoa utatuzi immediately na always yupo sahihi kwenye maamuzi na hiyo ni ishara ya akili kubwa.
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 8 ай бұрын
Ni kweli ndg lakini ujue huyo amepewa nafasi hiyo kwa lengo la kuisafisha ccm na kumsafisha Samia! ili uchaguzi ccm ipate kura za kanda ya ziwa na sehemu zingine za Nchi ambazo ccm imechafuka! ila baada ya uchaguzi wananchi watajuta! Mbona Makonda haongelei mkataba wa milele wa kinyonyaji wa kifisadi wa Bandari IGA ambao ccm na serikali yake wamepitisha kuuza rasilimali za Watanganyika milele! Mbona Makonda haongelei katiba mpya na tume huru ya uchaguzi inatapatkana lini! Mbona Makonda haongelei ripoti ya CAG ambayo inawataja mafisadi majambazi majizi yanavyoiba pesa za walipa kodi huko serikalini na hawashughulikiwi wala kuwajibishwa!??? Tunatakiwa kujitambua wananchi tusidanganyike tena! Hapo ni kura zinatafutwa! Ngoja uchaguzi Upite uone majuto kwa wananchi kuichagua ccm! Angalia bungeni mabunge yanapitisha kila kitu ni ndyoooo tu bado wananchi hawajaamka tu!
@nickodemsimchimba594
@nickodemsimchimba594 8 ай бұрын
Kiukweli makonda ana kibali sana mbele za umma wa watanzania 💥💥💕💕💯💯💯💯nyota yake itang'aa sikuzote
@raymondkafyulilo6636
@raymondkafyulilo6636 6 ай бұрын
Lakini mikono yake inanuka damu twendeleee kusubiri muda utasema
@robertigohe7477
@robertigohe7477 8 ай бұрын
Makonda deal na viongozi ndani ya Chama chako kama Mwenyezi itikadi...pia deal na viongozi wa serikali inayoongozwa na Chama chakoccm. Chadema siyo tishio kwa namna yoyotektknchi hii,chadema ni Wazuri wanakuonyesha wapi kuna ubovu
@barakaodongo3126
@barakaodongo3126 8 ай бұрын
Hongera Mr waitara
@danielmushi5755
@danielmushi5755 8 ай бұрын
Waliokamata pikipiki ni chama gani na serikali ipi?Tuache kujitekenya na kucheka wenyewe.Tuache hadaa,Watz tumeelimika.
@faumahona5769
@faumahona5769 8 ай бұрын
Kwaiyo unasemaje ziendelee kukamatwa au?
@yasiniselemani8672
@yasiniselemani8672 8 ай бұрын
​@@faumahona5769😅😅😅jamaa anazingua
@ProducerStevemixing
@ProducerStevemixing 8 ай бұрын
Haya mambo magumu sana. Polis sio chama ila polis wako chini ya chama lakin wanajisimamia ila chama tawala kinawez kuamua jambo ambalo halikai sawa
@danielmushi5755
@danielmushi5755 8 ай бұрын
@@ProducerStevemixing mbona oolisi wanakisaidia chama kuiba kura?oolisi watekeleza Sheria ya serikali ya chama .this is double standards.Una create tatizo na kujidai kulitatua ili upate sifa!!😳😳
@aronlwabukoba2306
@aronlwabukoba2306 8 ай бұрын
Naomba selikali iwe na huruma na watanzania siment kenya 15000 siment Tanzania 25,000 , selikali yetu haion haibu kweli, tatizo la selikali yetu inaweka kodi kubwa sana kwenye bizaa.
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 8 ай бұрын
Lipo Tatizo
@samwelimarwa5267
@samwelimarwa5267 8 ай бұрын
Makonda ww ni zao la magufuli,endeleza na kusimamia haki za wanyonge,nawe utabarikiwa sana,ujumbe,kuna bibi anaitwa mjane anaitwa Matinde nyandege katika kitongoji cha Nyakalima-Ganyange shamba lake lilivamiwa na Lagilo jirani yake,bibi kaenda mahakamani kashinda kesi,lkn Lagilo kangangania hataki kutoka,sasa viongozi kama ww jasiri ndie unatakiwa kumkabidhi huyu bibi eneo lake kisheria.Ahsante.
@FranceaAyo-st7lt
@FranceaAyo-st7lt 8 ай бұрын
Karibu arusha
@Oscarmarwa-fitnesstrainer
@Oscarmarwa-fitnesstrainer 8 ай бұрын
Mbuge bure kabisa hamna kitu hapo
@stellamuyenjwamboyi7559
@stellamuyenjwamboyi7559 8 ай бұрын
Nenda Bukima murangi chumwi ,mabui hawana maji safi na salama
@ericnganunga5329
@ericnganunga5329 8 ай бұрын
Makonda nakuombea kwa mung naiman mungu atzkusimania chaka kaz kaka.
@user-et2ci1rl1y
@user-et2ci1rl1y 8 ай бұрын
Kweli awamu nyingine makonda anafaa hata kuchaguliwa kua waziri mkuu mana anamaamuzi hapokwa hapo anafaa sana
@kingungemaster4811
@kingungemaster4811 8 ай бұрын
Kizur wanajuwa wanaongoza wananchi wapuuzi so wanaigizia baadae wanapga kura wanaachwa na Shida zao..!!
@user-go6rh9ov7h
@user-go6rh9ov7h 8 ай бұрын
Kweli makonda yupo vzr
@ostenmwakasita6960
@ostenmwakasita6960 8 ай бұрын
Tunawaomba turudishe vijana wa Jpm ndio hii Inchi itanyoka
@mwalimudavidkizazihuru
@mwalimudavidkizazihuru 8 ай бұрын
❤❤❤
@isaroryobakaryoki4592
@isaroryobakaryoki4592 8 ай бұрын
Tunashukru Sana kwa kauli zako ❤
@ericnganunga5329
@ericnganunga5329 8 ай бұрын
Mh: makonda, kilio cha mbalali kakaaa. Mbalali bila mpunga inawezekana.
@Oscarmarwa-fitnesstrainer
@Oscarmarwa-fitnesstrainer 8 ай бұрын
Hatatukutaki waitara
@user-ht7hp9jm4v
@user-ht7hp9jm4v 8 ай бұрын
Wabongo Mungu aturehem nimemaliza
@user-ow3km3xy8k
@user-ow3km3xy8k 8 ай бұрын
hapo mnaongea sasa
@revickiuskalumuna7292
@revickiuskalumuna7292 8 ай бұрын
Rudisha vitambulisho vya mjasiliamali maana gharama zake ni nafuu na vinapanua wigo mpana wa makusanyo!
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 8 ай бұрын
BADHITEEEEEEEE OYEEEE❤
@asingizibwejacobkalokola7351
@asingizibwejacobkalokola7351 8 ай бұрын
Sasa Makonda ashughulikie Wajumbe Mashina wapate posho maana Sasa Chama kina Miradi mikubwa na ruzuku toka Serikari I.
@aminaomary5567
@aminaomary5567 8 ай бұрын
Mungu akulinde mtani wangu makonda kwa maamuzi sahihi👍👍❤❤
@user-ts6fh4si3m
@user-ts6fh4si3m 8 ай бұрын
Campeni hizo tusubiri baada ya uchaguzi mkuu,kuna machozi makubwa😢😢😢
@helpinghandstanzania
@helpinghandstanzania 8 ай бұрын
Tunakuamini sana mkuu
@user-md3xx7rd9z
@user-md3xx7rd9z 8 ай бұрын
Vimekutana vyuma vyenyewe😅😅 Nchi ipo kanda ya ziwa kama ikimpendeza mungu atende miujiza marais wote wawe wanatoka kanda ya ziwa kasoro uhayani😅😅
@shaibuyasssi8662
@shaibuyasssi8662 7 ай бұрын
😅😅😅
@anangisyejoseph925
@anangisyejoseph925 8 ай бұрын
Jumba bovu kaangushiwa mh makonda
@simbabbq4427
@simbabbq4427 8 ай бұрын
Sania na mmewake makonda msiwasikilize wizi tu hao pambaneni wa tz2023 na 2024
@msafiriomary893
@msafiriomary893 8 ай бұрын
Inchi hii natamani hata kuhama imekuwa ya hovyo hata kwenye vitu vya msingi wanaingiza siasa
@FastonNsangila-mr4bq
@FastonNsangila-mr4bq 8 ай бұрын
Upcoming president
@richardnott4403
@richardnott4403 8 ай бұрын
Natamani ungekuwa raisi mh makonda mungu tufanyie miujiza pls
@GeorgeUsele-kr6qk
@GeorgeUsele-kr6qk 8 ай бұрын
Akiwa rais hii nchi itanyooka......SEMA watamuua kAma jpm😂
@shizoshop2469
@shizoshop2469 8 ай бұрын
Leo waitara anampigia magoti makonda 😂😂😂😂
@kalfanabasi4703
@kalfanabasi4703 8 ай бұрын
Hakika hili ni zao la magufuli nakukubali sana broo pia nakuombea ufike mbali
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku Ай бұрын
Kwanza lazima tujue kwann watu wanakamatwa..wakinunua saruji Kenya..? Je nani anawaruhusu kwann awaruhusu police wakamate watu Sheria nani aliitunga nani aliamuru Sheria itungwe pia kwann alifanya hivo..je! Tunafanyaje
@donaldbenedict5761
@donaldbenedict5761 8 ай бұрын
Sikutegemea kama wana CCM baadhi nivihiyo kiasi cha mwita waitara mambo ayoyaongea ilikuwa yeye ayaseme akiwa bungeni nakazi ya kuwalipa wananchi ni kazi ya katibu mwenezi wa CCM au mawaziri hakuna jipya hapo hizi ni kampeni zimeanza angalieni mkiwachagua tu haya hamtayaona tena mtaburuzwa kama mbwa
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 8 ай бұрын
Ndio ukweli utabaki kuwa ukweli
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 8 ай бұрын
Umeongea ukweli ndg.nami nawashauri wananchi watambue hii mbinu ya ccm kumtumia Makonda kuisafisha ccm na kumsafisha Samia kwa mambo yote wanayowafanyia wananchi! Hiyo migogoro yote wameitengeneza ccm na serikali yake! Miaka yote hiyo ccm uchaguzi ukikaribia wanakuja na porojo nzuri kwamba wanatatua migogoro na kusikiliza shida za wananchi,hivyo wananchi tuamke tumkatae shetani ccm na wafuasi wake wote uchaguzi ujao! Wananchi wasidanganyike na hadaa za Makonda huyo amepewa nafasi hiyo kwa mpango maalum kupiga kampeni na kutafuta kura za uchaguzi ujao kwa kuwahadaa wananchi kwamba anatatua migogoro na kero za wananchi ila uchaguzi mkijidanganya kuwapigia kura ccm baada ya uchaguzi kuisha wananchi watajutia! Maana kero zao zitarudi pale pale! ghalama za maisha zitapanda,tozo zitapanda,kodi zitapanda kama kawaida! Mnakumbuka kipindi tuliambiwa asiyekubali tozo ahamie Burundi? Leo tunaambiwa Makonda anasikiliza shida na kutatua kero za wananchi hizo ni mbinu za ccm kutafuta kura uchaguzi umekaribia! wananchi amkeni ikatae ccm uchaguzi ujao 2024/2025 msidanganye! Mbona hawaongelei mkataba wa Kijambazi wa Bandari ambao ccm na serikali yake wamepitisha kuuza rasilimali za Nchi yetu na urithi wa watoto wetu! Ripoti ya CAG hawataki kuiongelea kuhusu wizi ambao serikali ya ccm inaufanya na viongozi wake,leo wanadanganya wananchi kwamba wanatatua kero zao! Hizo ni hadaa tu kwa ajili ya uchaguzi kampeni zimeanza! Leo Makonda anatoa hela kwenye mikutano yake! Ulishamuona wapi Rais Samia anatoa hela kumsaidia mwananchi au hata kusikiliza kero za wananchi kwenye mikutano yake! Makonda mwenyewe amekaa benchi tangu kifo cha JPM Leo ndiyo wamemkumbuka kumrudisha ili aisafishe ccm na serikali yake na Rais kwa kutumia jina la Magufuli! Hizo ni danganya toto! Uchaguzi ukipita wananchi watajuta! Asante,Mwenye akili timamu ataelewa.
@mosesmaembe1528
@mosesmaembe1528 8 ай бұрын
Makonda is on fire kwakweli
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 8 ай бұрын
Asee inaumiza
@conasmalale1073
@conasmalale1073 8 ай бұрын
2025 utatupisha tu waitara heche anatufaa zaidi
@officialentertainment1995
@officialentertainment1995 8 ай бұрын
Heche halambi kitu hapo ndo utajua hujui😅
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 8 ай бұрын
Piga Kazi Mh Makonda.
@martiniphilipo5229
@martiniphilipo5229 8 ай бұрын
Duuuh,
@aminaosman3315
@aminaosman3315 8 ай бұрын
,wameshinda kesi kiajabu lakini hakimu was haki mungu
@evansmtalo9406
@evansmtalo9406 8 ай бұрын
Hiki cheo alichotunukiwa makonda Mimi sikijui vizuri.kina nguvu kiasi gani?
@rachelmkumbwa8710
@rachelmkumbwa8710 8 ай бұрын
Kikubwa wote kuanzia mawaziri wapo chin yake
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku Ай бұрын
Eti MASIKINI Hawa wajenge nyumba zao Dah kwakweli sisi tunatukanwa masikin wakati nchi yetu tajiri
@Silaswankyo
@Silaswankyo 8 ай бұрын
Hakika tumeamini kuwa CCM ina viongozi wanaojua ..kazi
@user-iy8mq9ii8t
@user-iy8mq9ii8t 8 ай бұрын
Maswala ya bandari yameishia wapi?
@DanielTumaini
@DanielTumaini 8 ай бұрын
Waitara naona damu ya akwilina akwiline Bado inakutafuna Sasa cjui unataka kutoa ya nani Tena uchaguzi ujao ili ikimalize kabisa!
@user-ej8kd4og1c
@user-ej8kd4og1c 8 ай бұрын
Hzo ni salaam kwa wapinzani kumbuka makonda anakwenda na mlengo wa magufuri watu wanajua ndokambi.shida walidanganywa kila wakiamka nikumsema marehemu jpm vibaya wakati watz wanyonge walimpenda sasa ccm walivyo wajanja wamerudi kinyumenyume.tzama umati.kama wangenafika hata kama inauma wakakaa upande wa Magufuri wangechukua Nchi
@jumayahaya8609
@jumayahaya8609 8 ай бұрын
Mbona mh heche alishalisemaga hilo siku nyingi
@stevesungura6789
@stevesungura6789 8 ай бұрын
Kana watanzania wataingia kwenye huu mtego, basi kweli ujinga bado umetamalaki.
@estakapufi7582
@estakapufi7582 8 ай бұрын
Ila kusema za ukweli kilaujitamsimini kila ikiwa karibu na uchaguzi kunakuwa na maneno matamu sana na kutulisha asali, hayamambo kama yangekuwa yanafanyila kila mwaka kusingekuwa migogoro sugu,minaona mnatupaka mafuta na mgongo wa chupa.
@evaemil856
@evaemil856 8 ай бұрын
Wajinga ndio waliwao. Km wachungaji feki wanavyowatafuna wananchi kwa kupakwa uchafu, kutemewa maji eti ya baraka, kudhalilishwa nk ndivyo siasa pia tutawatafuna kwa maneno matamu. Makonde oyeeee piga muziki. Na sasa waambie miundo mbinu safi mtakuja nayo hizi shida za umeme, maji na mafuriko tutaondoka nazo. Kuna zote kwenu 99.9% CCM itashinda.
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 8 ай бұрын
Umeona eee
@braingadau
@braingadau 8 ай бұрын
Chief kama chief!!
@ericnganunga5329
@ericnganunga5329 8 ай бұрын
Kauli mbiu ya hapa kazi tu isisahaulike
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 8 ай бұрын
MUNGU Mwema mnajitahidi Viongozi tunawaombea Sana
@user-cw2nj4io3v
@user-cw2nj4io3v 8 ай бұрын
Kazi ya Makonda ni kueneza sera za chama chake kwa wananchi, wala si kuwashughulikia viongozi wa vyama vya upinzani, hivi huyu mbunge anaelewa anachokisema kina tafsiri gani?,anawezaje kuwashughulikia, je anawachapa viboko au?,hivyo kateuliwa kuwashughulikia wapinzani siyo?,umh Mungu atusaidie ktk hili janga maana taifa inaelekea kubaya.
@eppiemodest
@eppiemodest 8 ай бұрын
Makonda juuu. God Bless you Makonda. Ni likizo tu ulienda umerudi na nguvu mpyaaaa.
@frankjohn8706
@frankjohn8706 8 ай бұрын
KWANI ni serikali ipi inayosababisha hayo na Leo kushtakia kwenye serikali ipi
@user-bm1gq2ww6h
@user-bm1gq2ww6h 8 ай бұрын
Hamna lolote wase... mnawaza uchaguzi ujao tu wala hamna utetezi😢😢😢
@edwinipaschal-oq9cj
@edwinipaschal-oq9cj 6 ай бұрын
kazi ya lais anafanya makonda halafu elumbili na2025 lais anagombea ulaisi halafu anasema amesikiliza kelo za wananchi
@MoN_KaDO
@MoN_KaDO 8 ай бұрын
JPM SPIRITUAL LIVE INSIDE MAKONDA
@mussangailo4840
@mussangailo4840 8 ай бұрын
Ccm nyie lenu moja mnawahadaa wananchi kwasababu elimu yao ya uelewa ni ndogo mamlaka mnayo wenyewe sheria mnatunga wenyewe mkishika mic mnajifanya kumtupia mtu lawama
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 8 ай бұрын
Asante kwa kuelewa mbinu na uongo huo wa ccm! Ndugu jitahidi kuelimisha na wengine ili kwa pamoja tumkatae shetani ccm na wafuasi wake uchaguzi ujao 2024/2025! Huyu Makonda wamemrudisha wakiamini kwamba huyu ni mtu wa kanda ya ziwa na alikuwa timu Magufuli hivyo kwa sababu hiyo akitumia jina la Magufuli kisafisha ccm na Rais Samia wananchi watamuelewa haraka hasa wale wa vijijini wasiyokuwa na uelewa mkubwa wa kupata habari muhimu! na ccm itapata kura nyingi uchaguzi ujao! Hiyo ni mbinu ya kuhadaa wananchi baada ya uchaguzi kupita yatakuwa majuto kwa wananchi! Wanawatukana vyama vya upinzani kwamba ni watoa taarifa je taarifa wanazotoa ni za uongo? ccm hakuna jipya! Kwa mfano wapinzani wanapigia kelele mkataba wa Kijambazi wa Bandari ambao ccm na serikali yake wamepitisha kuuza rasilimali za Watanganyika,! Wapinzani wanaongelea Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, pia wanaongelea uporaji wa ardhi unaofanywa na serikali ya ccm kuwapora ardhi wananchi kwa nguvu na kuwapa wageni! Kuwahamisha wananchi kwa nguvu mfano ni Ngorongoro na Loliondo! Wizi unaofanyika serikalini kwa mfano ripoti ya CAG imeeleza wanavyoiba huko pesa nyingi ambazo zingesaidia wananchi maskini wa Taifa letu! Hayo ni baadhi tu ya mambo muhimu na kuna mengine mengi! tozo,kodi kubwa kwa wafanyabiashara,kufukuza wafanyabiashara wadogo maeneo waliyokuwa wanatafutia riziki wengine wana mikopo wakapoteza mitaji na kufilisika! Mbona Makonda haongelei hayo!????? sasa hao anaoita watoa taarifa wanaongea vitu vya msingi serikali inakwepa kuviongolea! ccm wanakuja na porojo za kutafuta kura kwa kuwabembeleza wananchi kwamba wanasikiliza kero za wananchi na kuzitolea majibu! Hiyo ni kampeni! wakichaguliwa wakirudi ndiyo wale wabunge unaona yanapitisha kila kitu bungeni, kazi kuitikia ndiyooooo kwa kila jambo! watarudi kumalizia kuuza kila kitu! Tuwakatae kwa nguvu ya umma na Mungu atusaidie,Asante mwenye akili timamu ataelewa!
@jeremiahngoka4980
@jeremiahngoka4980 8 ай бұрын
Taahira anaongea
@ostenmwakasita6960
@ostenmwakasita6960 8 ай бұрын
Kwa mama usitutanie
@wilsonsegesa9594
@wilsonsegesa9594 8 ай бұрын
Kwaneema na uzma tele, miaka ya mbele ijayo Kat ya makonda na majaliwa mmoja wao atakuw mkuu wa nchi, by Renatus
@pharmaceuticaladviser1760
@pharmaceuticaladviser1760 8 ай бұрын
Nakuunga mkono
@stellamuyenjwamboyi7559
@stellamuyenjwamboyi7559 8 ай бұрын
Ardhi na maji vijiji mabui Murangi chumwi tabu Sana hakuna maji safi na salama maji yako mbali
@erastomwambeje9920
@erastomwambeje9920 8 ай бұрын
Sasa hiyo ndio serikali ya CCM
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc 8 ай бұрын
Turudi kwenye mfumo wa Chama Kimoja,Maana inawezekana mfumo wa vyama vingi Kwa Tanzania sio
@hassanimainde9971
@hassanimainde9971 8 ай бұрын
Wewe ndiyo hujielewi kweliiiii, kwani hilo bunge la chama kimoja limefanya nini? Umeona kilichotokea bungeni? Jitambue Mtanzania wewe. Hivi Leo shida kila kona, milipuko ya kupanda kila pembe ya nchi, hivi Makonda peke yake atafanya nchi hii? Kweli ni maneno mazuri yenye matumaini lakini ataweza?
@edwardmagige3187
@edwardmagige3187 8 ай бұрын
Sikupendi hata bure utalia sasa hivi
@yassinrajabu6511
@yassinrajabu6511 8 ай бұрын
kweli awa ccm wanatuzalau sana yani leo Makonda ndio anae lalamikiwa matatizo ya watanzania na sio raisi wala mawazili wake kweli viongozi wetu wamesha jua wananchi atujitambu na kwa siasa hizi wata tubuluza sana
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 8 ай бұрын
Chagua chadema
@mohamedyjuma8137
@mohamedyjuma8137 8 ай бұрын
Mawaziri wamekaa ofisini hawajui matatizo ya wananchi wao n waoga
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi 8 ай бұрын
Sauti ya Makonda ni sauti ya Mama Samia kamtuma kwahiyo hakuna shida.
@user-ev5xw1ev6f
@user-ev5xw1ev6f 8 ай бұрын
Wee chama kikubwa
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 8 ай бұрын
Hakika
@simonsadala2386
@simonsadala2386 8 ай бұрын
Nchi hii inamatatizo kila kona tangu tulivyo ondokewa na Jpm mcheki sasa mbunge analalamika, wananchi wanalalamika uchaguzi wa 2025 vyama vya upinzani wangekuwa wamejipanga vzr nchi ingekwenda upinzani lkn kwa kuwa nao wanalalamika basi tuendelee kulalamika
@davidawet3214
@davidawet3214 8 ай бұрын
Amken wa Tz Hawa ccm wanatuigizia walikuwa wapi tangu mwanzo.
@user-er8go4ec7z
@user-er8go4ec7z 8 ай бұрын
Hiyo ndo sifa za mwana CCM madhubuti makonda mm nakupongeza sana Sina shaka na ww kiongozi wangu
@Oscarmarwa-fitnesstrainer
@Oscarmarwa-fitnesstrainer 8 ай бұрын
Kwenda huko, maji safi hamna kunamgodi lakini maji watu wanakunywa maji ya madimbwi
@ibrahimjuma6459
@ibrahimjuma6459 8 ай бұрын
Mkuu wa mkoa huyu Mr mtanda jembe sana alifanya vyema Arusha akiwa mkuu wa wilaya aletwe Dar huyu mwamba
@yohanamayala472
@yohanamayala472 8 ай бұрын
Hiii Nchi ya Tz ina watu wasenge wengi kumamayeke
@DavidMutiba-hr3vo
@DavidMutiba-hr3vo 8 ай бұрын
Nchi haiongozwi kwa maigizo. Makonda ni nani? Majukwaa ya kisiasa na taratibu za kisheria za utendaji wa serekali wapi na wapi? Wananchi wanachezewa akili majukwaani na kupewa matumaini feki.
@wemastephan
@wemastephan 8 ай бұрын
Mh Makonda anairudisha ccm katika dira
@user-mi8bw4gv4c
@user-mi8bw4gv4c 8 ай бұрын
Siasa za maji taka uchaguzi inakuja mbaanza kujikomba
@humphreymkony8915
@humphreymkony8915 8 ай бұрын
Bangi na gongo zilipiwe kodi?
@stanleylwiva6068
@stanleylwiva6068 8 ай бұрын
Eti mnaroga na kuponya wenyewe halafu mjisifie kuwa mnatatua matatizo ya wananchi,ujinga huu kwa watz mpaka lini?
@EMMANUELNyamohanga
@EMMANUELNyamohanga 8 ай бұрын
Sio siri unafaa kuwa kiogonzi wa mfano hila kuna siku mungu atakuona
@AlexMarkazamwapigehao
@AlexMarkazamwapigehao 8 ай бұрын
Mama ujakosea kumchagua
@yassinrajabu6511
@yassinrajabu6511 8 ай бұрын
yani ukishindwa kuongoza taifa hili basi hautaweza kuongoza nchi yoyote duniani kwasababu ccm matatizo wana yatengeneza wenyewe alafu wana yafanyia kampeni kwa watanzania 😂😂
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 8 ай бұрын
Umeona eee
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 8 ай бұрын
Asante ndg kwa uelewa wako,elimisha na wengine wajue mbinu za ccm kuhadaa wananchi kwa ajili ya uchaguzi ili wapate kura,uchaguzi ukipita wananchi watajuta! Mbona Makonda haongelei mkataba wa bandari IGA ambao ccm na serikali yake wamepitisha kuuza rasilimali za Watanganyika! Wafute mkataba huo kwanza! Tunataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi!
@user-vl3mw6od9c
@user-vl3mw6od9c 8 ай бұрын
Guys makonda duhh! Nijembe LA taifa
@mdemualphonce1559
@mdemualphonce1559 8 ай бұрын
Malizeni migogolo
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 8 ай бұрын
BASHITEEEEEE
@makejamaduhu7618
@makejamaduhu7618 8 ай бұрын
Kwani tarime mnaupinzani
@peterpallangyo5744
@peterpallangyo5744 8 ай бұрын
hizo ni siasa amna lolote, watu wanatafuta ulaji, ngoja tuangalie kama 2026 utasikia moto huu
@maulidhaji5711
@maulidhaji5711 8 ай бұрын
Huyu jamaa jembe kweli
@user-gv7op2ws9d
@user-gv7op2ws9d 8 ай бұрын
Mako Nda fanya kaz fanya mpango ufke tanga wy lushto
@yakubuhassan729
@yakubuhassan729 7 ай бұрын
Waitara nskupongeza kwanza wewe ku sema ukweli shida kumbe sio CCM Ni viongozi wasio waadilifu tunaiomba nahuku kwetu ktk wilaya ya Kiteto na Chemba wananchi Wana nyanya Sika ktkt maeneo Yao ya mashamba tuna nyanya dikaaaa
@OmaryBabere
@OmaryBabere 3 ай бұрын
Asant waitara
@bonabonala5559
@bonabonala5559 8 ай бұрын
waitara na bashite wauza bandari tuu wafe mapema kama jpm amina
@ShinjeMackenzie
@ShinjeMackenzie 8 ай бұрын
Hii mitanzania sijuwi ujinga utawaisha lini maana du maskini ni majinga kupitiliza
@cholocholo4264
@cholocholo4264 8 ай бұрын
HUYU MAKONDA ALLAH AMPE AFYA NA NGUVU MAHIRI KATKA MAJUKUMU YAKE .HAWA NDIO VIONGIZI TAWAIWATAKA WANAODILI SANA NA WATU WA HALI YA CHINI.KILA LA KHEIR MAKONDO
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 8 ай бұрын
Icho chama kimeongea lini kuhusu maelekezo ayo ya chama
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 8 ай бұрын
Kwa Tanzania vifaa vya Ujenzi vipo juu sana
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 41 МЛН
لقد سرقت حلوى القطن بشكل خفي لأصنع مصاصة🤫😎
00:33
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 25 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 54 МЛН
UVUMILIVU UMEMSHINDA CASIAN KAMFATA RAISI SAMIA KIBOKO YAWACHAWI MWAMPOSA  EV PASCHAL
1:01:02
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 37 М.
HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA TARIME - 07/09/2018
1:23:49
RMO Tanga awekwa kikaangoni na Makonda
7:21
Mwananchi Digital
Рет қаралды 6 М.
❗️XOTINI HAMMASINI URMOQCHI 😱😱😱
0:14
HUSAN_SHORTS1
Рет қаралды 2,7 МЛН
这是王子儿子吗
0:27
落魄的王子
Рет қаралды 18 МЛН
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
0:16
Mini Katana
Рет қаралды 28 МЛН
Арбузорезка 🍉
0:42
Сан Тан
Рет қаралды 4 МЛН
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
0:16
Mini Katana
Рет қаралды 28 МЛН