Asante sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi yenye kujenja katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu
@patrickmkambilwa99324 жыл бұрын
Nyimbo nzuri Sana tena yenye mafunzo bora katika maisha yetu ongereni sana watumishi wa Bwana
@zuenajohn83253 жыл бұрын
Hongereni wakwe zng wanyaturu, mmeniosha roho na wimbo huu
@wendetwinomujuni90704 жыл бұрын
Simu ya mkononi ni kweli imeleta changamoto hata ktk uaminifu..Mungu atusaidie
@patrickmukambilwa5846 жыл бұрын
Iyonikweli uongo umetutawala kupitia simu yamkononi asante sana kwa mafunzo mazuri yenye kujenga katika maisha yetu yote Mungu awabariki na kuwa Linda na kuwajalia nguvu zaroho mtakatifu ili mpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu amina
@josephatlyaheja30876 жыл бұрын
Hongereni Sana mmeutendea haki. Well done to organist
@catherinenyanchoka90445 жыл бұрын
Wimbo mzuri na ujumbe mzuri na waimbaji wazuri, mungu wabariki mashaidi wa uganda
@patrickmkambilwa99324 жыл бұрын
Utume mwema katika Bwana wetu yesu christu
@Kingdon87653 жыл бұрын
Amen
@Kingdon87653 жыл бұрын
Ongereni sana watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume
@patrickmkambilwa99324 жыл бұрын
Asante sana watumishi wa Bwana kwa maneno ayo yenye umuhimu sana katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
@alexsuleiman99126 жыл бұрын
Hongereni sana kwa nyimbo nzuri na tamu natamani kuisikiliza kila siku
@المهلهلالحراصي5 жыл бұрын
Huu wimbo umeimbwa ukweli mtupu huu ujumbe wake umefika kabisa mwenye masikio na asikie ujumbe huo kweli uongo umetawala kwa hizi sim za mkononi ndoa nyingi zinavujika kisa sim
@patrickmkambilwa99324 жыл бұрын
Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote nakuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
@pelayobobeche66966 жыл бұрын
Me congratulo con lo religioso que somos muchos paises africanos el la fe. Muvhas gracias por los videos.
@mtekelechapemba55019 жыл бұрын
Wimbo umebeba ujumbe mahimu, na Umeimbwa vizuri sana, nimeupenda sana. Hongereni sana. Mungu awabariki kwa kazi yenu nzuri.
@josephkawonga58114 жыл бұрын
Kwelii kabisaaa
@sayuninyahenge70756 жыл бұрын
Na barikiwa sana na hii nyimbo nzuri sana
@johnapamo47075 жыл бұрын
Wimbo una ujumbe muhimu kwa wanaozitumia simu za mkononi. Hongera kwenu waimbaji, Mungu awabariki
@teclalimo81725 жыл бұрын
simu ya mkononi inasema ukweli kabisa shetani ameingilia watu wa mungu kupitia kwa simu,be blessed,T.koitaba
@jasonkogei27657 жыл бұрын
My brothers in East Africa and all over the world ,lets praise our living GOD ,Birds of the air can praise him,all animals,wild and domestics can as well praise him,even the ocean and the rivers praise him,come all, lets praise our lord GOD .with the best songs,as it has never been before praised.
@teclalimo81725 жыл бұрын
wooo WO WO is very touching. T.koitaba
@randajames9975 жыл бұрын
St Augustine said, he who sing pray twice. What a wonderful message, even though I don't know the language but I really feel blessed. God be the glory. Am proud to be a Roman Catholic from South Sudan
@richardnshimirimana81682 жыл бұрын
a
@jacquelineshabani70357 жыл бұрын
mungu awabariki waimbaji kwa nyimbo nzuri Sana'a mungu nimwema kila wakati
@victorodhiambo29258 жыл бұрын
I love the way the Organist does his thing, proud and feeling blessed.
@lidiamelick25185 жыл бұрын
mubarikiwe wapendwa kwa ujumb wenu mzuri akika tumesikia
@kiliantereba65022 жыл бұрын
Hongera Onesmo na kwaya yenu
@deorathaponsian68005 жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana na una ujumbe mzuri Sana wameimba kwa kuchamgamka Sana mungu awabariki Sana amina
@promotechno72666 жыл бұрын
when ever i listen to this music it bust me up in prayer and hope for God
@susanldohlchodo45896 жыл бұрын
makina ebsy Amen!
@edelwasiro41027 жыл бұрын
One who sings well pray twice. Singing is a gift from God that we are invited to embrace.
@peterwalimbwa51383 жыл бұрын
Ni ukweli
@peterwalimbwa51383 жыл бұрын
Kabisa
@sarahnyakyoma28077 жыл бұрын
Mbarikiwe sn watu wa mungu kwa ujumbe mzr
@francisrinyai20755 жыл бұрын
Mungu awazidishie neema ya kumtumikia milele hongereni mno
@georgeasalla69674 жыл бұрын
Mbarikiwe,kweli simu ya mkononi ndiyo chanzo cha ongezeko kubwa la magonjwa,
@hasinatilafaeli6165 жыл бұрын
Onesimo nakukubali Sana kwakupiga kinanda mungu aendeleekukubaliki
@josephkawonga58114 жыл бұрын
Ninupenda huuuu mpaka Naliaaaa nikiuimbaaaa hiii Maana ni ukweli mtupuu
@philibertraphael40558 жыл бұрын
Mungu ni mwema kila mara na kila wakati. Mbarikiwe nimependezwa na kufarijiwa na huu wimbo
@amnazopeter78795 жыл бұрын
Mungu bariki kanisa langu katolika
@ytgaryandgarypet66010 жыл бұрын
Congratulations we are all with you in Uganda ... Love the song.
@mollenvelta65785 жыл бұрын
Am blessed thru the holy songs
@mwezanephta11077 жыл бұрын
kwa jina la yesu shetan hana mamlaka, mmbarikiwe mno
@wycliffeangatia30838 жыл бұрын
Am so much blessed with these songs full of blessings. May God lift the singers.
@sophiajames8755 жыл бұрын
Hongeren sana kwa ujumbe mzur
@sophiatungaraza76866 жыл бұрын
Mungu awabariki kwa ujumbe mzuri
@dotolikonga14358 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana,ninapoisikiliza inanibariki sana,Mungu awabariki wote waimbaji wa nyimbo hiyo.
@lilianjuma42927 жыл бұрын
nyimbo zuli mungu awainue
@thomaskehogo5 жыл бұрын
Tumsifu yesu Kristu. Mwenyezi Mungu awabariki na kuwalinda. mmenikonga moyo
@kimzo3p10 жыл бұрын
wow very inspiring and blessing song..keep up .
@edthamtani85336 жыл бұрын
Kristo mungu kawajalia maono wimbo unafundisha
@nanimkenya10156 жыл бұрын
thanks my brother and sister forwarding nice massage from Kenya.
@deochavala74475 жыл бұрын
Wimbo nimzuri hongera mtunzi pamoja na waimbaji mungu awabariki
@eusebanneeusebanne90944 жыл бұрын
Nimeupenda wimbo wenu una ujumbe mzuri
@bagazajeanclaude75994 жыл бұрын
mufururizo wa nyimbo za kikristu ninjia ya kutupereka kwa Mungu
@evarlinenjau63512 жыл бұрын
Songs is more than prayers
@johnmosses37406 жыл бұрын
Imenigusa sana m,barikiwe popot mlipo waimbaj
@vincenthenri33287 жыл бұрын
Hongereni sna kwa wimbo mzuri na Mungu awabariki sna.
@felisterlothmajengo8838 жыл бұрын
I feel blessed mungu wabariki kwa uinjilishaji huu hakika tubadilike ss wakristo
@stevenjonas67715 жыл бұрын
nitawakumbuka sana mashaidi ,,,nawasalimu wote
@christopherwambua47036 жыл бұрын
best song from uganda asante sana b blessed
@hubertmuhumuza29968 жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa uinjilishaji wenu kwa wana wa Mungu
@magdanthenya66506 жыл бұрын
Kweli kabisa simu ya mikono inatumika kuaribu,Mungu awazidishie neema ya kuhubiri watu wajie jinsi ya kuitimia ipasavyo
@Kingdon87653 жыл бұрын
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu Kristu
@leonidaskwigize18538 жыл бұрын
congts all those who are engaging in preaching through online, May da bless of Lord be with u
@raurenciamarko33996 жыл бұрын
WiFi WiFi karibu kwetu
@dennisanthony10779 жыл бұрын
sijui nitoe neno gani kwa ujumbe huu hakika mwenyez mungu utuepushe na dhambi hii ya uongo
@mamatuishi-mamatuondoke88229 жыл бұрын
si uongo tunadanganywa kweli
@mamatuishi-mamatuondoke88228 жыл бұрын
Anasema yupo kanisani-kumbe yupo kwenye tunguli"shindwe pepo
@joyadhiambo27329 жыл бұрын
very nice song may the lord strengthen you even as you spread the word of God
@murimingari170911 жыл бұрын
Beautiful song right there. God bless you all
@akilimalimashukane68094 жыл бұрын
Nashukuru sana kwa huu wimbo .mimi nipo DRC/Goma
@bejaminndolo74216 жыл бұрын
Nyibo nzuri barikiweni
@sirgomahojoa9699 жыл бұрын
Mungu awabariki Mashahidi Uganda singida mpo juu
@johntsaxarra22628 жыл бұрын
Very nice Song..mbarikiwe sana
@sarahmaina22857 жыл бұрын
John Tsaxarra mmlhhjo
@sarahmaina22857 жыл бұрын
John Tsaxarram
@davidmuthiora99528 жыл бұрын
Very nice and moving song.May God bless the composer and the entire choir
@simonipaulo72218 жыл бұрын
nice song well done
@josiesarah68338 жыл бұрын
simu za mkononi jamani imenibamba sana hongera waimbaji
@richardhaule29325 жыл бұрын
nimeupenda sana huu wimbi wa simu ya mkononi imewabamba wengi sana mzidi kubarikiwa sana enezeni injiliya bwana kama baba alivyo watuma amina
@frankurasatv81115 жыл бұрын
kama umeona rasta gonga like apa
@officialpaulmabula83465 жыл бұрын
Mungu awabalikisana ujumbemzur
@ulirckalfei10876 жыл бұрын
Mbarikiwe sana wapendwa
@benedictmutuku25695 жыл бұрын
The composer you have nailed the truth of what is happening now , families are clashing every now and then sababu ya simu, kazi nzuri nyote. Can I get the solfas of the music please?
@nicodemusnyamasyo66269 жыл бұрын
it's always good to sing for the lord.keep the move and gain more courage,be blessed.
@grace07nyongesah785 жыл бұрын
NICODEMUS NYAMASYO
@costanciapamphurey78819 жыл бұрын
Mungu awabariki endeleeni kueneza injili
@magrethphillipo26265 жыл бұрын
Wooooooh,,, nice & real massage God blessed them
@kennedyochieng9438 жыл бұрын
Hongera wapendwa,nyimbo nzuri yenye ujumbe wa maana
@samweliyohana11868 жыл бұрын
kennedy ochieng
@georgesilvany90377 жыл бұрын
d
@godfreykoba49977 жыл бұрын
Mungu awabark sana waimbaj wote
@robertokemwa33655 жыл бұрын
Jamaa anachuna keyboard kwelikweli hongera be blessed
@anthonykalori47667 жыл бұрын
So touching keep it up
@kennedychege94726 жыл бұрын
Mr. Organist you are just the best. Please teach me how to play like that. Amazing.
@agnesngailo98538 жыл бұрын
very touching song God bless you all
@annanishimwe201110 жыл бұрын
Mubalikiwe sana! Mungu baba wa mbinguni Naomba atusaidiye wongo uwebali nasi. Wongo ni Zambi simu simu, wongo umetawala. May God help us.
@carlosbasto62189 жыл бұрын
Is just niceee....
@annanishimwe20119 жыл бұрын
Great
@agripinamartine84346 жыл бұрын
Only Jesus is the Way, Truth, and Lif
@agripinamartine84346 жыл бұрын
Only Jesus is the Way, Truth, and Life Ahaaaa ahsant kwa kuuona mchango wa hawa watu kwakwel mi mwenyew nawakubali saaaaaana
@liberatusntilema83048 жыл бұрын
Hongereni sana wahubiri kwa njia ya kuimba
@priscahwanza87539 жыл бұрын
very nice song may dha lord bless u all
@godfreymagome97506 жыл бұрын
nawapenda sana
@magepeter55277 жыл бұрын
Mungu awabariki saa
@jacquelineshabani70357 жыл бұрын
mungu awabariki waimbaji kwa nyimbo nzuri Sana'a
@godfreymedadi61637 жыл бұрын
Kila mwenye pumzi amsifu bwana
@yasintahsylvester11577 жыл бұрын
Itz a fantastic song
@gataytv53995 жыл бұрын
mungu nimwema nyakati zote by Leonard jama
@calvinkivishe79165 жыл бұрын
Saf.sana.mungu.awabarik
@benardkhayega25464 жыл бұрын
Smart dog Dorcas kakam ega
@benardkhayega25464 жыл бұрын
Thanks
@williamombade10959 жыл бұрын
mungu awalinde sana ili muendelee kumtukuza mungu
@edestillya84068 жыл бұрын
Kazi imenibariki sana
@veronicamairo75854 жыл бұрын
Mungu ni mwema.
@batholomeodonatus77128 жыл бұрын
nabarikiwa sana na hizi nyimbo z Kiroho
@uwingberealphonsine19558 жыл бұрын
batholomeo donatus hftd
@constancejuma16015 жыл бұрын
batholomeo donatus nyimbo zinanibariki sana god bless u
@josemnganya64755 жыл бұрын
I feel so blessed,very nice song
@francisnjughuda19069 жыл бұрын
Mungu uwabariki wale wanao kuimbia
@christophermchopa45136 жыл бұрын
Naukubali sana huu wimbo hasa huyo lasta
@annasanga7336 жыл бұрын
mh ni kweli tupu, Ee Mungu utunusuru na majanga ya simu za mikononi
@auntphinahindish20365 жыл бұрын
nimeupenda huo wimbo
@gracerosi61795 жыл бұрын
Nice song 👍 👍
@luabich90797 жыл бұрын
It's good to listen to choir at times to relieve you from stress.
@vitusikatumbo40087 жыл бұрын
hongela hakika nyimbo hii ninzuri
@adelinakalinga83466 жыл бұрын
very nice i like it
@stephanominja6657 жыл бұрын
mungu, hatamuacha mhubiri wa neno lake, atakua naye milele yote, haitakufa roho yake mhubiri huyu milele hata milele!!! tuweni waaminifu ktk kulitangaza neno!!
@chisanyocharles715210 жыл бұрын
Ninabarikiwa kwa kusikiliza ujumbe hui!
@joromebeda72686 жыл бұрын
Chisanyo Charles videomoy
@jacquelineshabani5975 жыл бұрын
Congratulations 👏❣️😍❤️❤️
@suziehellen68718 жыл бұрын
Wow...much blessings
@belsterzacharih53898 жыл бұрын
wimbo poa ya kutufukisa mwaka mpya mungu Ni mwema sa