MTOTO WA DOCTOR: part 02 By Ankojay

  Рет қаралды 52,575

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

Күн бұрын

Пікірлер: 330
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Mtoto Wa Doctor Part 03 Bonyeza hapa kzbin.info/www/bejne/d3a6qXePq9Z0fJI
@alisalim2145
@alisalim2145 Жыл бұрын
Us jal ank Jay wet🥰🥰
@mishelygodlisten1171
@mishelygodlisten1171 Жыл бұрын
Ucjal dear Mungu akufanyie wepes
@binthassan9191
@binthassan9191 Жыл бұрын
Sawa Anko ,,we are together with you in every situations 😊
@fatumamuhoma5902
@fatumamuhoma5902 Жыл бұрын
Nimecheka hicho kichina😂😂😂😂😂😂😂
@khadijangoro9932
@khadijangoro9932 Жыл бұрын
Ucjali anko jay tupo pamoja
@HappyMasero
@HappyMasero Жыл бұрын
Jamani walimwengu wabaya Sana pia hii simulizi inafundisha Sana coz ndo maisha tunayo yapitia duuuuuuuuh Kaka Mungu akujalie maisha marefu ili uzidi kutufundisha
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 10 ай бұрын
Daaaah,ni ngumu kumeza
@hdhjdh775
@hdhjdh775 10 ай бұрын
Simulizi zuri Asante sana inamafuzo pia inaumiza 😢😢😢
@MwanashaAliswalehe-v6d
@MwanashaAliswalehe-v6d 10 ай бұрын
Simulizi nzuri Sana mpaka nimelia pole Sana Dada Milagros 😭😭😭
@SecyBaby
@SecyBaby 11 ай бұрын
Habari team ank jay
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 10 ай бұрын
Pooooa
@BiubwaMo
@BiubwaMo Жыл бұрын
Mungu anipe umri mrefu niweze kulea wanangu amiin umri wenye afya yarrabi inahuzunisha sana
@fatmahmkuzi
@fatmahmkuzi Жыл бұрын
Kaka simuuzi zako zaniacha jia panda. Aki nalia na kucheka aki tu 😢😢😢😢😢.
@Rummy4871
@Rummy4871 Жыл бұрын
There is God with us still waiting but always life is a blessing and for that I say thank you my God and we continue to learn to say thank you ❤❤❤
@JawahirMadar
@JawahirMadar Жыл бұрын
Laa pole sana mila mungu atakuwa nawe ndio mana unauwoga na kutokujielewa pole ❤
@emilyadhiambo4540
@emilyadhiambo4540 Жыл бұрын
Anko Jay Asante sana kwa mwendelezo tunasonga mbele from Kenya 🇰🇪
@Rasul-d6m
@Rasul-d6m Жыл бұрын
Pamoja kaka anko nakubali sana upo vizur ndugu yangu
@WitnessPeter-o3g
@WitnessPeter-o3g 11 ай бұрын
Anko jay kwa kujisifia jmniii
@Fazel-t3c
@Fazel-t3c Ай бұрын
Yaani anazingua Sana maana dudu lake Tamu maana anajuwa kuvaa maana anajuwa kunyonya k yaani asije kuwa kama Danny huyu
@zarinarahab
@zarinarahab Жыл бұрын
Wee pole dadangu wehayo Yana msibu ama yanamkuta aliye hai pole sana pasijia mungu hutoa jia
@rizkimw1301
@rizkimw1301 Жыл бұрын
Mungu ambariki mma Asiya In Sha Allh
@ShukuraniMapunda-lz3un
@ShukuraniMapunda-lz3un Жыл бұрын
Milagroce umevumilia mengi❤❤❤🎉
@ashaabdalla924
@ashaabdalla924 Жыл бұрын
Anko J na weye utapata mwenza kwenye simulizi😂😂😂😂 shukra❤ ❤
@Josefinakuoba
@Josefinakuoba Жыл бұрын
Kaka mzmz nimefulai kupata chanei
@aminapili2978
@aminapili2978 Жыл бұрын
Jaman jaman anko hio saut pekee watuuwa sisi wakenya huku nawapenda mno ww pamoja na lisa jaman mungu awape umri mrefu inshallah
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Much Love From Kenya ❤️
@mishelygodlisten1171
@mishelygodlisten1171 Жыл бұрын
Aiseeee anko Asante San Mungu akubariki mnooo kaka angu
@SophiatembaTemba
@SophiatembaTemba Жыл бұрын
Nafarijika sana Na story za ankoj Mungu akupe Maisha marefu❤❤❤❤
@dorocasndunge1829
@dorocasndunge1829 Жыл бұрын
Tunashukuru sana anko jay mungu akubariki kwa jidihada zako
@nashaldy1804
@nashaldy1804 Жыл бұрын
Anko j thnx alot.maskini nlikuwa nshakata tamaa.pia ww twakushkuru coz kutupostia ni upendo.jazakallah Allah kheir
@josephineuwizeye8250
@josephineuwizeye8250 Жыл бұрын
Mira pole sana !
@tatukigua5456
@tatukigua5456 Жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️🙏 ubarikiwe ankojay
@rizkimw1301
@rizkimw1301 Жыл бұрын
Pole maumivu unayo pitia
@جيهانسالم-ج3خ
@جيهانسالم-ج3خ Жыл бұрын
nimechelewa jamani ❤❤❤❤❤ nihatari ngombe wamasiki hazayi
@kurusumunassoro1657
@kurusumunassoro1657 Жыл бұрын
Halam waallah inauma aisee pole sana
@MwanamkuuOmar-n5r
@MwanamkuuOmar-n5r 11 ай бұрын
Pole sn dada kwa uliyo yapitia ina niuma sn moyo wangu
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 10 ай бұрын
Ni simuliz lkn utadhani ni maisha halisi,hingera kwa mtunzi na msimuliaji
@DorcasMuomba-gd3sw
@DorcasMuomba-gd3sw 6 ай бұрын
Haijalishi nisimulizi ila kuna watu wanateseka niukweli sikusema ni hadithi
@DorcasMuomba-gd3sw
@DorcasMuomba-gd3sw 6 ай бұрын
Haijalishi nisimulizi ila kuna watu wanateseka niukweli sikusema ni hadithi
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Жыл бұрын
Nimejikuta nalia hii simulizi inajua kunifanya nizidi kuwa mkakamavu kwenye maisha yangu,acha nikomae na oman nimtengenezee mwanangu maisha
@SophiatembaTemba
@SophiatembaTemba Жыл бұрын
Thank so much for this story god bless you 💓💓🙏❤❤❤❤
@sadakimwaki9791
@sadakimwaki9791 Жыл бұрын
Hii dunia jmn! Kuna watu ata uwafanyie mazuri vp atakulipa ubaya tu lkn mungu hulipa kila jambo ❤Ankojay na lissa mwala
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 10 ай бұрын
Ni kweli
@cimpayeriziki6680
@cimpayeriziki6680 Жыл бұрын
Kaka ankojei nakupenda sana kwa simulizi zenue mafunguzo mema.
@shadyasalum192
@shadyasalum192 Жыл бұрын
Tupo pamoja ankojay na wewe pole kwa usumbufu pia 🥰
@MaryamMasudi-n3v
@MaryamMasudi-n3v Жыл бұрын
Ankojay wallah me nafurah Sana unavosemaga Sauti nzur kama ya ankojay au huyo mkaka hansome Kam ankojay alafu kama kwel vile😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Rummy4871
@Rummy4871 Жыл бұрын
​@@ankojay_❤❤❤
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 10 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@ChristinesifaRuwa-ix9iy
@ChristinesifaRuwa-ix9iy Жыл бұрын
Asante sana bro anko kwa kazi nzuri unayo tufanyia
@mwanamgenimohammed7904
@mwanamgenimohammed7904 Жыл бұрын
Nimekua wakwanza leo jmn nipeni likes zenu kmn anko jey umeniacha hoi Etiy utapatawap mchumba hapahpa kwasimulzi😂😂😂😂😂😂
@mishymorgani5828
@mishymorgani5828 Жыл бұрын
Asante, Ankojay kwakuniskia kilio changu hatimae umeituma😂😂😂😂💋💋💋❤️
@شانيلشانيل-ع9ت
@شانيلشانيل-ع9ت Жыл бұрын
Uwiiii nirikuwa naisubiri kwahamu Asante sana Ankojay kwakuposti 🥰🥰
@LucyMagere-qc8si
@LucyMagere-qc8si Жыл бұрын
Ansante sana mungu aukubaliki sana
@ashamenza2212
@ashamenza2212 Жыл бұрын
Jamani wewe anko jay wewee Yani huu ni moto asanteni
@violetmulya
@violetmulya Жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu anko asante sana kwa simulizi hii❤❤❤❤
@norahwilliam8116
@norahwilliam8116 Жыл бұрын
Jman Anko J Mungu akubariki sna pamoja n mwandishi wako Mungu awape maisha marefu❤❤
@fatumamuhoma5902
@fatumamuhoma5902 Жыл бұрын
Tunakuombea kwa mungu akuweke miaka 1000 daima ❤❤❤❤❤❤❤
@alinaswemuziya876
@alinaswemuziya876 Жыл бұрын
Thank you ankojay kwa kutupatia parttwo mungu alibariki
@fatumajumanne5961
@fatumajumanne5961 Жыл бұрын
Waooooh waooooh waooooh 😂😂😂😂Ahxante mtt mzur japo nmeungua Moyon 🙈
@LucyMagere-qc8si
@LucyMagere-qc8si Жыл бұрын
Mungu abaliki kazi ya mikono yako
@EdinaAosa
@EdinaAosa Жыл бұрын
Pole sana Kila kitu itaenda sawa tunashukuru sana anko j hii smulizi 😢😢😢
@MaryamOthman-i5y
@MaryamOthman-i5y 11 ай бұрын
😂😂😂😂 ankojay mm namtaka ankojay 😂😂
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 10 ай бұрын
Oyoooooooo
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 10 ай бұрын
Anakufaa,yeye amekubali???.
@salmasulleykrl71
@salmasulleykrl71 Жыл бұрын
Asantee sana ankojay kwa simulizi nzur tunakupenda Sanaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@nismaali2982
@nismaali2982 Жыл бұрын
Konda mungu akubariki🤲
@reachelchemtai2604
@reachelchemtai2604 Жыл бұрын
Asante Sana ANKO JAY nashukuru sana kwa simulizi tamu. Mungu hawaji mtu wake badah ya mateso yote ni Farah wadada walikuhumesa Lakini mungu si mwanadamu
@nadrasalum6039
@nadrasalum6039 Жыл бұрын
Roho inapenda 🤗🤗🤗
@BijouxKikwindi
@BijouxKikwindi Жыл бұрын
nikua nagojakwahamu asatesana anko❤❤❤
@rizikinyamz3383
@rizikinyamz3383 Жыл бұрын
Pole pia anko 🥰🥰 pia asante
@saraasatenisanasimlizimixc9232
@saraasatenisanasimlizimixc9232 Жыл бұрын
Asate sana ako j kwa mwendelezo
@rizkimw1301
@rizkimw1301 Жыл бұрын
Pole sana Miracal ata mm nasikitika sana 2 😭😭😭😭😭
@binthassan9191
@binthassan9191 Жыл бұрын
Ety mnuka chupi nyie nyie😂😂😂😂 Hongera msimuliaji wetu Anko jay,,Allah akulinde na akusimamie kwenye kazi zako 🙏
@Zizzah2707
@Zizzah2707 Жыл бұрын
😂😂😂😂kwenye kichina sasa😂😂😂😂😂😂😂
@Zizzah2707
@Zizzah2707 Жыл бұрын
Kifaransa pia😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@shadyasalum192
@shadyasalum192 Жыл бұрын
Jamani nimechelewa miee leo tena ankojay nilikuwa naisubili kwa hamu 🥰🥰🥰
@binthassan9191
@binthassan9191 Жыл бұрын
Kuna watu waroho mbaya 😢😢 hata kama mtu humpendi maishani mwako hupaswi kumfanyia vituko hadi ajiihisi km mungu amemchukia 😢😢watu wengine kuweni na roho ya huruma basi,,ukiwa tajiri balaa ukiwa maskini shida 🤔🤔
@florencekanze
@florencekanze Жыл бұрын
Simulizi yakusisimua yanistamani iishe mubarikiwe mtunzi namusimulizi ❤❤
@AnnSituma-s8u
@AnnSituma-s8u Жыл бұрын
Ankoj hii simulizi imenifanya nilie sana
@nadzuwagofwa8933
@nadzuwagofwa8933 Жыл бұрын
HakaAnkojay na lissa mwalla bawapenda sana❤❤❤
@ClemenceKibona
@ClemenceKibona Жыл бұрын
Anko j hivi kwani simulizi zako unauzaje na unauzia wap maan navutiwa xana na ni mpenzi wa simulizi zako yan natamani niwe nazipata sanah
@zubedasaid1724
@zubedasaid1724 Жыл бұрын
Mwenzenu hayo ndio nilio kulia,ila sikumjua mwanaume .na sikushuhudia mauaji.
@rizkimw1301
@rizkimw1301 Жыл бұрын
Hahaha wee Anko J una vituko uachishe mtu kuongea umuluze ety ww unaye simulia nawe utapata mwenza wako apo apo kwa smlz🤣🤣🤣
@magrethjacob1191
@magrethjacob1191 Жыл бұрын
😂😂
@MariamWilliam-qx9ge
@MariamWilliam-qx9ge Жыл бұрын
Ankoj pati 3 tunasubili
@wertqwe8326
@wertqwe8326 Жыл бұрын
Asante sana anko Jay kwa kuachilia pat 2
@aminaomarimaidi
@aminaomarimaidi Жыл бұрын
Asante Anko ila pole nawewe Kwa jukumu la kupambana na kuhakikisha mambo yanaenda sw💪🎉
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Ahsante sana
@rizkimw1301
@rizkimw1301 Жыл бұрын
Kwa nn usitoroke dda ukawachia Mungu awalipe
@girukwishakaclaudine5374
@girukwishakaclaudine5374 Жыл бұрын
Hi Lissa Mwalla?ahsante AnkoJay Acha ni 🪑🎧🙌🙏Yan simulizi hii inan😢😢namachungu kimbao😓😥😢
@shantellekwamboka7444
@shantellekwamboka7444 Жыл бұрын
Mapenzi hayachagui kweli,upone tuwe wote tunakuombe Anko
@Nuru8700
@Nuru8700 Жыл бұрын
😂😂😂 ila anko jay unaogopa kutongozwa na wasikilizaji wko
@monicashame2433
@monicashame2433 Жыл бұрын
Wow the story is very good
@nasrarajabu4260
@nasrarajabu4260 Жыл бұрын
Nilikuw naisubili sana wallah
@christinahaule-p8i
@christinahaule-p8i Ай бұрын
yani uyo dada wa hiali ni kiboko mwenziyo anaolewa alafu anataka mkaishi wote kwa mume yn niaibu sana ❤❤❤ kingerezaaa cha anko j 😂😂😂
@Imma-o3d
@Imma-o3d Жыл бұрын
Àsante anko jay mungu akubariki
@everlinekenga437
@everlinekenga437 Жыл бұрын
Tuendelea kujibamba Na simulizi tamu za ako Jay
@madreedsulaiman401
@madreedsulaiman401 Жыл бұрын
Kasi zuri sana
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 10 ай бұрын
Saaama
@josephineuwizeye8250
@josephineuwizeye8250 Жыл бұрын
Merci pour la suite❤❤❤
@LifeofSalmah
@LifeofSalmah Жыл бұрын
Simulizi nzuri🎉❤
@zenahasan7603
@zenahasan7603 4 ай бұрын
Duuu. Kiboko histor. Mwee😊😊😊 akojei. Wewe. Kiboko. Kwa stor❤
@rizkimw1301
@rizkimw1301 Жыл бұрын
Kwa kwel wamemchezea mchezo mbaya roho zao mbaya Mungu atawalipa ao wadada🤔😭😭
@loisebasilica7506
@loisebasilica7506 Жыл бұрын
Asante atakama nimechelewa kwa simulizi tamu
@fatumamuhoma5902
@fatumamuhoma5902 Жыл бұрын
💖💖💖💖💖💖😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋asante anko
@rizkimw1301
@rizkimw1301 Жыл бұрын
Thanks for part 2 Anko J
@moreenidaya1357
@moreenidaya1357 Жыл бұрын
Nn . N . .n nn. .n. .n😅 .n 😊 n.n. . N.n😊nnn.n.. nnn.. Njn Nhjnnjjnñjnj. M.mmjmjmjmjmjmmmmmmnm.j .mmmjmmmmmjmmjm. Mm M.jmmjmmmm Mu Nmn N Nnmmmnmnn Mmn Mnu Nnmum😊 N U....un.n.ummun.j.uj.nj.mm Nnun.unmuuun.nu ...n .n Muuu N n.u.unnu.umnnuNmnmn 😊.nU.un?Unuumn.umnunMmnJmJmun.unn. .. Ujun😊un.😊😊
@JanipherCharles
@JanipherCharles 17 күн бұрын
Mama sia hapana kwakweli sio poa 🙌🏽🙌🏽
@angelantinda1009
@angelantinda1009 Жыл бұрын
Jamniii nilitak kufa bira kuisikia hii tamu
@anastaziasanga
@anastaziasanga Жыл бұрын
Mimi nilikuwa nasubili nimalize kwanza ila jamani kufiwa kunauma sana pore Mila looo waulimwengu wabaya
@EditaJoseph-zo9dv
@EditaJoseph-zo9dv Жыл бұрын
Kwa hapo Ankojay wewe muoe lisa mwalla kwa sababu unampata mwenza kulingana sehemu unapofanyia kazi🤪
@EditaJoseph-zo9dv
@EditaJoseph-zo9dv Жыл бұрын
Mkipumzika usiku mnatutungia simulizi kali😂
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 10 ай бұрын
Ingefaa kweli wangeendana sana
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 10 ай бұрын
​@@EditaJoseph-zo9dv umeona eee,ingekuwa poa sana
@AminaAwadhi-ym6nl
@AminaAwadhi-ym6nl 10 ай бұрын
Hujakosea dada
@khadijahamisi6558
@khadijahamisi6558 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂anko j utaniuwa na kucheka jamanii kaah mbavu zinauma wallah😂🤣😂😂😂😂😂😂😂
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Jambo limezua jambo 😮😮😮😮😮😮😮😮😮
@zenahasan7603
@zenahasan7603 4 ай бұрын
Wataigia. Mbiguni. Kama. Ako. Jei. Tunakupenda. Sana. Ako. Wetu🎉❤
@joyfayla12
@joyfayla12 Жыл бұрын
kuna watu wana roo baya sana kweli 😢
@mariamumohamed5511
@mariamumohamed5511 Жыл бұрын
Anko jy nakupend
@Pretty22750
@Pretty22750 Жыл бұрын
I would like all the rich people to listen to this story they might have to learn something and about how to treat their children coz all this situations that our lovely sister suffering from its bcoz of her parents,, japo kweli wameiaga Dunia ila kama hakuweza kumdekeza maybe angekuwa hata na uwezo hata wakujaribu kutafuta ajira yeyote na kama sio hivyo then maana matajiri pesa kwenu sio big issue wtt wao wanaweza kuwafungulia hata account zao incase of anything maana hata yakitokea yakutokea angalau hata wanao wanapata Elimu na hiyo Elimu inakuwa fidia ktk maisha yao ya baadae ili kuepukana na migogoro ya wanafamilia
@rizkimw1301
@rizkimw1301 Жыл бұрын
Hahaha ❤❤Anko J jaman ety kuna wengine walikusimanga ksa unauza smlz
@mishymorgani5828
@mishymorgani5828 Жыл бұрын
🤣🤣🤣Ankojay naona unatufundisha na mapishi humo humo Asante ankojay, itabidi nianze na mimi kuuza vikwapa vya nguruwe huku naishi Thailand Ankojay
@bokejuma2003
@bokejuma2003 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@leahmajaliwa6575
@leahmajaliwa6575 Жыл бұрын
Asante vipenzi vyetu lissa na jay
@zenahasan7603
@zenahasan7603 4 ай бұрын
Hii. Hadithi. Inaskitisha. Sana. Hatakuiskiliza. Inatia. Uchungu. 😊😊😊mmmm
@joyfayla12
@joyfayla12 Жыл бұрын
ila mungu atupi mja wake
@FatmaHassankhamisi
@FatmaHassankhamisi 11 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭 jamani mm nalia eti duuh kuwana watu wanapitia maisha mangumu sana 😂😂😂😂
MTOTO WA DOCTOR: part 03 ( MWISHO )
3:05:19
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 62 М.
SIMULIZI MPYA - MUUZA KUKU
3:30:14
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 98 М.
-5+3은 뭔가요? 📚 #shorts
0:19
5 분 Tricks
Рет қаралды 13 МЛН
Почему Катар богатый? #shorts
0:45
Послезавтра
Рет қаралды 2 МЛН
$1 vs $500,000 Plane Ticket!
12:20
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН
BOSS WANGU !
4:14:45
D Oen Simulizi Fupi
Рет қаралды 68 М.
DADA ROSE | SIMULIZI FUPI
1:57:05
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 31 М.
SIMULIZI YA ATUGONZA -SEHEMU YA 1
8:37
STORY NA MIKASA
Рет қаралды 2,3 М.
SIMULIZI FUPI: MTOTO WA DOCTOR, By Ankojay
3:15:33
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 84 М.
BIKIRA YA MGONJWA: SIMULIZI FUPI YA SAUTI
1:18:02
Simulizi Mix
Рет қаралды 29 М.
SIMULIZI FUPI: DAWA YA MAPENZI, By Ankojay
3:25:23
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 68 М.
SIMULIZI MPYA: KARMA, By Ankojay
3:10:44
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 69 М.
WHY ME: SIMULIZI FUPI YA SAUTI.
2:38:51
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 9 М.
ARTIST part 1: part 2 inapatikana ndani ya simulizi mix .... https://youtu.be/-22LqGYC5Os
5:45:10
-5+3은 뭔가요? 📚 #shorts
0:19
5 분 Tricks
Рет қаралды 13 МЛН