Ànko jamani umebarikiwa na sauti ngapi 😅😅😅 juu naishia kuhesabu kila nikiskiliza story but sipati jibu ,😅😅nakupenda buree
@ankojay_ Жыл бұрын
😀😀😀 sauti yangu kwan huijui ?
@isabellachizi4346 Жыл бұрын
I don't know because you have more voices am really confused but you are amazing Anko, when I come back to Kenya 🇰🇪 I will make sure I will travel to tz because of simulizi mix ,I want to do something. Inshallah
@nancygitonga3282 Жыл бұрын
Inaitwa Talent , he is amazing
@donaldchacha Жыл бұрын
@@nancygitonga3282 wahi anakusubiri kwa hamu
@RahelIbrahim-id2li4 ай бұрын
Kusema ukweli kajaaliwa,hata mie simuliz ikiaanza tu naanza kuhesabu sauti za watu zinavyobadilishwa
@polinlizzlizz Жыл бұрын
😅😅haya sawa baba
@ivymuna5535 ай бұрын
Inafundisha saana
@maryworkman635 Жыл бұрын
Anko Jay yani mimi si lala kwa simulizi zako zimekuwa kama dawa kwangu Lo😂 yani nasikiya raha mbaka rohoni sauti yako yanimaliza NAKUPENDA ❤ sana Anko Jay
@ankojay_ Жыл бұрын
😊😊😊 Enjoy
@damamzerera9180 Жыл бұрын
Kwakusema kweli simulizi zote nilizozisoma nimeona wasichana wanajiachia sana na wako rahisi rahisi sana
@SwaumuJafary-rr7mdАй бұрын
We biti ni mjinga sana yani 😔
@Syviahalex11 ай бұрын
Hili simulizi limeniliza sana, before doing samething to anyone think twice, farida ulimfanyia vibaya sana mtoto wa mtu, yanakufuata sasa, hicho ndicho ulikua unatafuta.... Umenikwaza sana
@user-zn4ue4vz7p Жыл бұрын
Ank j napenda sana simulizi zako
@user-ip6hb1nq2u9 ай бұрын
Kama kwaida yangu simulizi yamafuzo ndiyo hii xx🇰🇪🇰🇪hyo wanawake funguweni masikio
@mercymusundi8779 Жыл бұрын
🇸🇦😂🎧 wacha nisikize wenye anarudia Ex matapiko hawalambi
@lonakirao5275 Жыл бұрын
Hakujua kwamba kilicho kuuma jana leo hakikutambai
@bibizainab-fk4bt9 ай бұрын
Mapenxi ya zamani
@user-dm7vu8cp7l27 күн бұрын
Hahaha si ya kucheka kwa nyimbo Anko jay
@patiencembekelu240 Жыл бұрын
Farida mpenzi pole kwa yote,but heshima siutumwa.what goes around cms around again i say pole
@dashuushu6883 Жыл бұрын
Nice
@rizkimw1301 Жыл бұрын
Pole Nyakungu kwa yaliyo kupata
@ftimaramadan4748 Жыл бұрын
Nishike polepole mm bibi wa wenyewe 😊😊😊
@victorwesamba25206 ай бұрын
Ukisikia malipo ni apa duniani ni hii sasa ndoo malipo ukifanya kitu lazima ujue mathara na faida tena kurudiana na ex ni kosa bora kua single kuliko ex💯
@lonakirao5275 Жыл бұрын
Jamani napata wapi mwanamume mzuri kama Rahim yani nimempenda bure huyu Rahim ❤❤
@speciozamikole21949 ай бұрын
Sasa utampata wapi wakati Farida alishamuua
@lonakirao52759 ай бұрын
😂😂😂😂😂 hata husaidii 😢
@RahelIbrahim-id2li4 ай бұрын
Hawapo ktk dunia hii,labda ulimwengu mwingine
@user-pb1zg8ks3c Жыл бұрын
❤❤❤
@dionisiadionis9903 Жыл бұрын
Mmmh Duuuuuh nimejifunza kitu
@oledokoratilombashi Жыл бұрын
Bro hapo umenikosha sana lakini sauti yake iko chini sana angalia kama unaweza kupandisha sauti ya biti kidogo yaani kaka huwezi nimesikia tu sauti ya biti machozi yakatiririka nimeipenda sana
@bellabelle1593 Жыл бұрын
Nzuli sana na yenye mafuzo🇴🇲🇴🇲
@Winniequinepretty-wm7rr11 ай бұрын
what goes around cames arond
@AbduhKareem-hi7sg Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣et anasema amuahidi atamwona tu na hato fanya chochote ah weeeeee labda sio Mimi! 😁😁
@mercymusundi8779 Жыл бұрын
Siri yako imegeuka kuwa mkuki kwa maisha ulimuua asie na hatia hayawani mkubwa matapiko hailambwi
@moajaki8566 Жыл бұрын
Kwa mpigo
@RahelIbrahim-id2li4 ай бұрын
Huyu mwanamke alifanya ubaya sana ,angetendewa yeye asingependa
@user-sb4fj9iq6f6 ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@user-zn4ue4vz7p Жыл бұрын
Pat one penzi la ex wang
@shanikiwele3111 Жыл бұрын
Hellow
@lonakirao5275 Жыл бұрын
Masikini Rahim 😭😭😭
@stellasanga989 Жыл бұрын
Anko kwenye kuimba hapana umechanganya nyimbo ngapi hapo
@RahelIbrahim-id2li4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@MwanaJohn-bi1wt8 ай бұрын
Jaman hii story kama anko j nilimuadizia story yngu ya maisha ila nyie achen nilikuwa ivyovyo nimebaki na majuto tu hpa
@RahelIbrahim-id2li4 ай бұрын
Ulitenda kama Farida??????
@salmamwangi43435 ай бұрын
Mm ex siwezi rudiana nae washindwe kabisa
@aishaabubakar3567 Жыл бұрын
❤🇦🇪🇦🇪🇦🇪👌
@user-kw4wn7rj1h10 ай бұрын
Dunia hadaa ulimwengu shujaaa na malipo ni hapa hapa Dunian
@mishymorgani5828 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Ila Anko Jay mbona umenichanganyia maneno
@speciozamikole21949 ай бұрын
Malipo ni hapa hapa duniani Farida ngoja uipate joto ya jiwe na bado