SURA YA MAREHEMU

  Рет қаралды 15,739

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

9 күн бұрын

macho ya kijana Swedi yapigwe na mwanga mkali, kitu kilichomfanya ayafumbe kabla ya kuyafumbua taratibu ili yazoee hali ile. Ilikuwa ndiyo siku yake ya kuachiwa huru kutoka kwenye kifungo kirefu.

Пікірлер: 153
@aishawhite1107
@aishawhite1107 6 күн бұрын
Tulio malizia msela baada ya kufumaniwa kwenye gari na Kuja hapa weka like za kutosha hapa kwa Anko mavoice 💥💥💥💥🌹🌹🌹
@Shadia544
@Shadia544 7 күн бұрын
Haya jamaniii SURA YA MAREHEMU KAFANYANINI TENA TUNASIKILIZA HILI TUJUWE LIKE 10 KAMA NA WEWE UMEWAHI KASIKANI KWETU✌️✌️✌️
@SusanNeema-re3hr
@SusanNeema-re3hr 7 күн бұрын
Ww yani sijuwi niseme nn😂😂
@Shadia544
@Shadia544 7 күн бұрын
@@SusanNeema-re3hr nipe tunzo kipenzi changu ♥️♥️♥️♥️🤣🤣🤣
@SusanNeema-re3hr
@SusanNeema-re3hr 7 күн бұрын
​@@Shadia544 sijakusahau mbona🤣🤣 lakini ww wapenda kuomba omba na ww hutaki kupea wezio😉
@Shadia544
@Shadia544 6 күн бұрын
​@@SusanNeema-re3hrkwa anzia leo nitakupa LIKE kipenzi changu ❤❤❤❤
@StellaSanga-wq4po
@StellaSanga-wq4po 5 күн бұрын
Dada nakubabali Sana Jambo sikujui
@mumbikibathi7036
@mumbikibathi7036 7 күн бұрын
Mumbi Wa Naivasha Ndani wapi likes
@user-yk6dg4kl3s
@user-yk6dg4kl3s 6 күн бұрын
Kama unaskiliza sura ya mareem gonga like 41:15 b
@EddaFredy
@EddaFredy 7 күн бұрын
Nimewahi jamani naombeni like na mimi
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i 7 күн бұрын
❤❤ally mbetu na ankojy asanteni sana asubuh yaleo imenoga, njoon wadau wa ankojy famili huku kumekucha n sura ya marehemu daa!👁️😭🏃
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i 7 күн бұрын
Jamani mapto ya swedy yananipa machungu kweli😭😭 pole Sana swedy
@agnesagnes5288
@agnesagnes5288 7 күн бұрын
@@user-rc3om5hs9i 💔💔💔💔 wa2 upitia aisee
@SusanNeema-re3hr
@SusanNeema-re3hr 5 күн бұрын
@@user-rc3om5hs9i tena sana mana anapitia kipindi kingumu sana kwakweli
@mercymathias
@mercymathias 7 күн бұрын
Pendaaa sana aankoy jay nipen like zangu
@HappyBeltod
@HappyBeltod 7 күн бұрын
Anko wetu hapo sawa vitu vinakuja Kwa haraka Kama hivi 🎉, ngoja tuone hiyo sura ya marehem sijui imefaje tena
@yalalakashindi4594
@yalalakashindi4594 6 күн бұрын
Jamani kila mtu ni wakwanza sawa nimekubali mimi wa mwisho 😢 naomba like wanaokubali SURA YA MAREHEMU😂😂🎉
@JulianaYusto
@JulianaYusto 7 күн бұрын
Wakwanza leo nipen maua yangu🎉🎉🎉
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i 7 күн бұрын
🌹🌹👏
@FatumaRamadan.Mwalim
@FatumaRamadan.Mwalim 6 күн бұрын
Mpe mauwa yake hayo 🎉🎉🎉
@maseleenaesleen8149
@maseleenaesleen8149 7 күн бұрын
Mmmmh sura ya marehemu 😢acha tuone ina nn hiyo sura ya marehemu❤❤
@MoshiMoshi-qy8dq
@MoshiMoshi-qy8dq 7 күн бұрын
Wow wakwanza leo ankojay thanks kwa kitu kipya ❤❤❤
@DamariJohn
@DamariJohn 6 күн бұрын
Haya sasa sura ya marehenu yaliyomo yamo haya wadau wa anko J naombeni like zenu hata kumi😊
@sephrinewarenga2745
@sephrinewarenga2745 7 күн бұрын
Kazi nzuri kaka,listening from Kenya much love.
@aumuelly2909
@aumuelly2909 7 күн бұрын
Ahsante bwana anko Jay simulizi ❤❤❤😂😂
@user-ui6rf8yx7s
@user-ui6rf8yx7s 4 күн бұрын
Haya Sasa sura ya mare hem ngojea unisikilize naomben like
@user-wq2ok7xl8d
@user-wq2ok7xl8d 7 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ROSEROBERTROBART
@ROSEROBERTROBART 6 күн бұрын
Afadhali mm napenda simulizi kama hizi lakini msela,mmh hainibambi kwa hayo mambo ya kitandani,yananitia kichefuchefu no matter what 😢
@MamahetuChikuti-mp5lj
@MamahetuChikuti-mp5lj 7 күн бұрын
Tumefika uku kwa sura ya marehemu Asante Ankojay asubui njema insha Allah ❤❤❤❤❤
@victoriangasa
@victoriangasa 7 күн бұрын
Mapema sana na kigongo kipya😂😂waooooh ❤❤🎉🎉nawapenda
@jamilarimo5546
@jamilarimo5546 7 күн бұрын
Wewe kumekucha
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 7 күн бұрын
Achanikae mkao wakula nijue kilichojiri asante anko kwakibao kipyaa na chenye kichwa chakusisimuaa❤❤❤❤❤yakurudishwa
@user-pj5zp1zr4o
@user-pj5zp1zr4o 7 күн бұрын
Huyaaa 🎉🎉🎉🎉🎉suprice mapema
@luluhashim6644
@luluhashim6644 7 күн бұрын
We anko jay utaniua huku sijamaliza binti candy, nawaza msela nawasha data nakutana na sura ya marehemu anko jayy jamani 😢😅
@mumbikibathi7036
@mumbikibathi7036 4 күн бұрын
Mimi mwisho, Mumbi Wa Naivasha ako Ndani wapi likes
@user-sm4ho6pc5o
@user-sm4ho6pc5o 7 күн бұрын
❤❤ anko unajua kutufulahisha mashabiki zako ni laha tupu unaitaji kupewa mauwa yako
@user-vl1ts1eh8s
@user-vl1ts1eh8s 6 күн бұрын
Ank jay duuuh hii ni noma na nusu
@haleemahhamisi2534
@haleemahhamisi2534 5 күн бұрын
Ali mbetu🎉🎉🎉 msimuliaji ubarikiwe🎉🎉❤
@Yaslahallyabdulla
@Yaslahallyabdulla 7 күн бұрын
Umetisha app anko
@mariamjumbe8627
@mariamjumbe8627 7 күн бұрын
Jamani naskiliza lakini naogopa
@dianandabirorere6365
@dianandabirorere6365 7 күн бұрын
Asante sana Anko j mapesa🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 7 күн бұрын
🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
@DorcasMuomba-gd3sw
@DorcasMuomba-gd3sw 7 күн бұрын
Asante nashukuru ok jamanii sura ya marehemu kafanyanini tena aye twende basii ila usisahau binti Lisa
@user-zv6cg3zw3v
@user-zv6cg3zw3v 7 күн бұрын
Asante ankojay ubarikiwe,
@saumunyadzua
@saumunyadzua 6 күн бұрын
Daaah sura ya marehemu tena haya wacha nisikize tena kwa makini
@user-ut6yp7ot9o
@user-ut6yp7ot9o 5 күн бұрын
Kaka anko unajua kutufurahisha ❤❤❤
@JosephinaDidas-cs6wo
@JosephinaDidas-cs6wo 6 күн бұрын
Waooo leo nimewahi
@hdhjdh775
@hdhjdh775 6 күн бұрын
❤❤❤wacha tusikilize ❤❤❤❤
@fatmasalum8334
@fatmasalum8334 7 күн бұрын
Aly mbetu na anko jay mungu awabariki kwa buludani❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i 7 күн бұрын
❤❤
@user-ku3ud4qb7c
@user-ku3ud4qb7c 7 күн бұрын
Mwambaa Ally mbetu❤ napenda sana story zake Jembee letu Anko jay❤ usimuliaj wako mm binafsi hunifanya siwez sikzaa hata saut zengne😢❤
@FatumaRamadan.Mwalim
@FatumaRamadan.Mwalim 6 күн бұрын
Mmmh 😊😊😊
@FatumaRamadan.Mwalim
@FatumaRamadan.Mwalim 6 күн бұрын
Sasa siku nzima utaskiliza simuliz Moja tu haya sawa
@user-ku3ud4qb7c
@user-ku3ud4qb7c 6 күн бұрын
@@FatumaRamadan.Mwalim ujaelewa
@christinemwendejuma4401
@christinemwendejuma4401 7 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@binthassan9191
@binthassan9191 7 күн бұрын
Woyooooo, kitu kipya hewani,,Ahsante Anko jay kwa kigongo kipya tunaenjoy sie mashabiki zako,,wacha nisikilize uhondo wa SURA YA MAREHEMU inaonekanaje 😂😂
@aumuelly2909
@aumuelly2909 7 күн бұрын
Leo mimi wakumina5
@usterbae
@usterbae 7 күн бұрын
Congolesheni ankojay mapesa kwa kazi nzuri❤ nakupenda hadi naumwa❤❤
@FatumaRamadan.Mwalim
@FatumaRamadan.Mwalim 6 күн бұрын
Mapenzi shikamoo na wapendanao pia shikamoo yenu😊😊😊
@chantalmavandu4950
@chantalmavandu4950 7 күн бұрын
Wow i can't sleep today
@agnesagnes5288
@agnesagnes5288 7 күн бұрын
ANKOJAY alf jioni binti Lisa 😂❤❤
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i 7 күн бұрын
🙏🙏
@samychance
@samychance 7 күн бұрын
Anavyojua kutukosha sasa😂
@agnesagnes5288
@agnesagnes5288 7 күн бұрын
@@samychance 🤣🤣🤣🤣walai binti Lisa nitamu xn
@nzeyimanaazama
@nzeyimanaazama 6 күн бұрын
Simulizi nzuri kabisa ya mafunzo ila Anko tukumbuke Vip umetuweke njia panda aca tuvute subra basi atuna lakufanya.
@rizikibakari3598
@rizikibakari3598 7 күн бұрын
Thanks Ankojay wetu ❤️
@user-wp4sk2hn1f
@user-wp4sk2hn1f 6 күн бұрын
Duu nizuli❤
@lilianmwanthi9648
@lilianmwanthi9648 7 күн бұрын
Thank you Anko Jay ❤❤
@user-cw4mv3kw7y
@user-cw4mv3kw7y 7 күн бұрын
Asante sana ankojay Allah akulipe kheri Inshaallah ❤❤❤❤
@alicesidi9574
@alicesidi9574 7 күн бұрын
Wooow thanx anko jay ❣️❣️❣️❣️🇴🇲tunakupenda
@user-vr5bu5pn5x
@user-vr5bu5pn5x 3 күн бұрын
Jamn nyie hamjaborka Mimi mambo hayaend bila simuliz anko ana nn jamn
@alicesidi9574
@alicesidi9574 3 күн бұрын
@@user-vr5bu5pn5x wasema ww
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 6 күн бұрын
Khaaa! ila ninyi matajiri wenye kiburi na majivuno,Mungu anawaona
@PaulinaLwena
@PaulinaLwena 7 күн бұрын
Anko jay simulizi pamoja sana❤❤❤❤
@RehemaMundu
@RehemaMundu 2 күн бұрын
Anko kam Anko❤❤🎉🎉🎉🎉
@user-fs7eu1be6o
@user-fs7eu1be6o 6 күн бұрын
Ni rah sana ikitajwa sehemu unajua yote unakuwa una enjoy
@medinahsamita3981
@medinahsamita3981 7 күн бұрын
Wow ❤❤❤❤
@racheluwda6552
@racheluwda6552 6 күн бұрын
Sura ya marehemu dhaaa wacha tuona vaya tutamalizea simulizi tamu 😢😢😢
@MarimGodifrey
@MarimGodifrey 5 күн бұрын
Leo 2po na sura ya marehem like kwenu vipenzi wa anko jey
@user-yk8em1bh8g
@user-yk8em1bh8g 6 күн бұрын
❤❤❤
@judikadzo8712
@judikadzo8712 6 күн бұрын
Thanks ankojay mapesa 🥰🥰
@user-sf5gk8cn1j
@user-sf5gk8cn1j 7 күн бұрын
Leo mapem jaman asanteee anko j
@samychance
@samychance 7 күн бұрын
Anko marehemu tena😢, basi ni asubuhi ningelala kwenye comments 🎉😂. Enewei naombeni like basi mi chauoga😊
@vailethmwakipesile6698
@vailethmwakipesile6698 7 күн бұрын
Wacha weeeee hii nikali san
@queenqueen-en1ds
@queenqueen-en1ds 4 күн бұрын
Anko wetu jamani tumalizie binti lisa
@Beathasimon
@Beathasimon 7 күн бұрын
Mimi
@user-pt4zw9ct3x
@user-pt4zw9ct3x 4 күн бұрын
Jaman tuletee msela Bhana anko j
@Kellyperry947
@Kellyperry947 7 күн бұрын
ᴴᵃʸᵃ ⁱᵏᵃᶠᵃⁿʸᵃ ᵃʲᵉ ᵗᵉⁿᵃ 🤔🤔🤔
@user-bo3qz1yk2x
@user-bo3qz1yk2x 7 күн бұрын
Ankojay mwambie Ali mbetu atumalizie jini mahaba😂😂
@user-vr5bu5pn5x
@user-vr5bu5pn5x 4 күн бұрын
Anko wetu ana nn sio kwa kuboeka huku
@safiyabenda9535
@safiyabenda9535 7 күн бұрын
🫶🫶
@nancynancy4362
@nancynancy4362 7 күн бұрын
Wa 19
@user-gn5xl6kk6n
@user-gn5xl6kk6n 6 күн бұрын
🎉🎉
@hildegardemaurice1509
@hildegardemaurice1509 7 күн бұрын
Reo nimewahi
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 күн бұрын
Huyuu dada nayee kayapitia mimba kutoka na kizazi pia kutolewaa mamamkwe ndoalikuwa akimpa sumu akitia kwa juice kuna watu wanarohoo mbayaa aiseeee😢😢
@user-cb7tb8rj5w
@user-cb7tb8rj5w 7 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@user-qm9rr8fr1j
@user-qm9rr8fr1j 7 күн бұрын
Sura ya marehemu , hili balaa
@AishaAljadidi
@AishaAljadidi 6 күн бұрын
❤❤❤❤
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 7 күн бұрын
Haya kumekucha 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 7 күн бұрын
Uwii nimeogopa🙄🙄🙄
@Kuwait-tf2mj
@Kuwait-tf2mj 4 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@haleemahhamisi2534
@haleemahhamisi2534 6 күн бұрын
Swedy😢😢
@zawiyanaser3076
@zawiyanaser3076 7 күн бұрын
Haya sasa ngoja tuenjoy na sura ya marehem😂
@FatumaRamadan.Mwalim
@FatumaRamadan.Mwalim 5 күн бұрын
Viumbe wazito
@shazimna
@shazimna 7 күн бұрын
ankojey tuletee musela
@mundhirsalum21
@mundhirsalum21 4 күн бұрын
Mm nimechoka na story za mapenzi 😢
@KuvunaGonda
@KuvunaGonda 7 күн бұрын
@user-lm9wz2ix8g
@user-lm9wz2ix8g 4 күн бұрын
Wapi part 2
@ZalhaMohammed-f1d
@ZalhaMohammed-f1d 4 күн бұрын
Anko j tunaomba utumalizie msela jaman😫
@jasminmohagthari3730
@jasminmohagthari3730 4 күн бұрын
Koh ankol umetususa jaman sio lisa wala msela😢😢
@user-vr5bu5pn5x
@user-vr5bu5pn5x 3 күн бұрын
Kumbe hata wew hata mim nimeboeka sn
@jasminmohagthari3730
@jasminmohagthari3730 3 күн бұрын
@@user-vr5bu5pn5x kashapost lisa ndo naelekea mwsho ntamalizia kipolo asubuh
@ccbajayem4744
@ccbajayem4744 4 күн бұрын
Kwani sikuhizi Tatum what's wrong with anko jay au hatutaki Sisi wa viporo
@user-lx3bs3iq8t
@user-lx3bs3iq8t 7 күн бұрын
Mal papu nimetulia nikakuta kun aimuli mpya
@LetisiaWilliam
@LetisiaWilliam 7 күн бұрын
Sura ya marehemu tena jamani
@user-oh7un2hr4z
@user-oh7un2hr4z 2 күн бұрын
Huyu Msanja au baba yake Pamela Masanja 🤔
@user-zj7hd6sg3y
@user-zj7hd6sg3y 5 күн бұрын
Mwenzenu ndio naingia Jana mwarabu alizima Wi-Fi
@adellaakupenguvumtumishika9217
@adellaakupenguvumtumishika9217 6 күн бұрын
Sura ya marehemu?!!!
@JeromeBaraka
@JeromeBaraka 6 күн бұрын
Muserayure yukokamamubwatuu
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 күн бұрын
Nahisi huyu mxee wakuvhukua Mali zawatu amefanya hata mama Swed kichaa msafii iliamuingizie pesa mana haiingi akilini kichaa akasafirii huyuu baba anahusika lkn chake kimotoni sikuzote Mali zazuluma hazidumuu
@susansamira8137
@susansamira8137 7 күн бұрын
Jamani sura ya marehemu iko na nn Tena?
@elizabethkatoko8867
@elizabethkatoko8867 4 күн бұрын
Mm nilikua n shughli z masndamono aki ndio narudi mtandaoni🤔🤔
SURA YA MAREHEMU - PART 02 [ MWISHO ]
2:22:26
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 8 М.
MFU NINAEISHI: SIMULIZI LA KUTISHA FUPI
50:27
Simulizi Mix
Рет қаралды 9 М.
small vs big hoop #tiktok
00:12
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 28 МЛН
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 22 МЛН
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
JE KUNA MUNGU WATATU?
48:05
Testimony Tv
Рет қаралды 2,1 М.
NILIVYOSAFIRI NA JINI KUTOA DAR MPAKA MOSHI
1:50:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 170 М.
His big brother made her pregnant. SHOCKING REVELATION!!
26:56
Thee Pluto Show
Рет қаралды 9 М.
#LIVE: KWA ISHARA HIZI, MTAFUTE MUNGU KWA BIDII  // Monday 24,2024
1:18:53
SIMULIZI MPYA - SURA YA MTU, ROHO YA SHETANI - SIMULIZI YA KUSISIMUA
3:00:56
HD NDOA NA MAREHEMU SEASON ONE FULL MUVIE
1:13:17
DOKO
Рет қаралды 24 М.
UCHAMBUZI SAKATA LA FEISAL SALUM, JE, ANAKWENDA SIMBA AU HAENDI?
14:01
SIMULIZI MPYA: DEREVA TAXI
2:05:08
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 34 М.
Сначала скажи, а потом не мамкай 🗿 #shorts
0:16
Вика Андриенко
Рет қаралды 2 МЛН
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
0:31
PANDA BOI
Рет қаралды 19 МЛН
Sion princess funny Haribo Donuts 🍊🚆😅🤣
0:35
SION /紫音
Рет қаралды 7 МЛН
Сначала скажи, а потом не мамкай 🗿 #shorts
0:16
Вика Андриенко
Рет қаралды 2 МЛН
ЕМУ БОЛЬШЕ НЕ ПРИДЕТСЯ НИЧЕГО ВЫБИРАТЬ😂😂😂
0:39
СЕМЬЯ СТАРОВОЙТОВЫХ 💖 Starovoitov.family
Рет қаралды 1,4 МЛН