SIMULIZI NZITO ya ROMA MKATOLIKI KUHUSU PROFESSOR JAY - "NIMEONGEA NAYE, NIMEFURAHIA TABASAMU LAKE"

  Рет қаралды 19,487

Global TV  Online

Global TV Online

Жыл бұрын

SIMULIZI NZITO ya ROMA MKATOLIKI KUHUSU PROFESSOR JAY - "NIMEONGEA NAYE, NIMEFURAHIA TABASAMU LAKE"
Inafahamika kwamba, Rapa mkali wa nchini Tanzania, Roma Mkatoliki yupo nchini Marekani kwa miaka kadhaa sasa, lakini akiwa huko huwa hakosi kuwashirikisha Watanzania mambo yake kwa kuwa Dunia imekuwa kama kijiji kidogo.
Raundi hii, Roma Mkatoliki ameamua kushea simulizi ya namna alivyofahamiana na rapa mwenzake na mkongwe Professor Jay hata kabla yeye mwenyewe hajaanza kujihusisha na muziki.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 15
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@kasomishedrack5027
@kasomishedrack5027 Жыл бұрын
Siyo Roma tu anayemkubali Prof J bali hata Mimi ambaye siyo hata msanii namkubsli Sana kati ya msanii bora na wakwanza Tz na Africa Mungu amshindie Mie Mr kasomi toka sengerema Dc.
@IbrahimsalimMae-vo8ly
@IbrahimsalimMae-vo8ly Жыл бұрын
Roma salut Sana Kwa kukubali mziki mzito wa prof j
@user-yc5mg7ee9n
@user-yc5mg7ee9n Жыл бұрын
Iko njema xana
@wingstarmsanii9862
@wingstarmsanii9862 7 ай бұрын
Walai the dream comes true
@wilson-tx7te
@wilson-tx7te 4 ай бұрын
inatakaiwa apige ngoma nae bana roma fanya ngoma na professor j
@shabanmaine6686
@shabanmaine6686 Жыл бұрын
🔥🔥
@chimbokiswaga8662
@chimbokiswaga8662 Жыл бұрын
Safi
@muhsinirasuli2473
@muhsinirasuli2473 Жыл бұрын
Safi sana kaka msifie mtu akiwa hai
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Pro J anaendelea kupata ahueni... waungwana tuzidi kumwombea kwa Mwenyezi
@itambilushinge4694
@itambilushinge4694 Жыл бұрын
Mwamba huoo mugu alinde ktk maisha uishi maisha maref
@eliamatinya2791
@eliamatinya2791 Жыл бұрын
Nawezaje muona p Jay, niambieni alipo niende kumuona tuuuu
@eliamatinya2791
@eliamatinya2791 Жыл бұрын
Nawezaje muona p Jay niambieni alipo niende kumuona tuuuu
@rozeemanuel9080
@rozeemanuel9080 Жыл бұрын
KUNA MTU ATASEMA MIMI SIO WA KWNZA KUKOMENT LEO🙄🙄
@faridi4760
@faridi4760 Жыл бұрын
Tz bhn sasa kama wa kwanza tufanyeje😄😄😄
Maulid Kitenge uso kwa uso na Roma Mkatoliki Marekani
11:15
shabby tv
Рет қаралды 13 М.
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 6 МЛН
PROFESSOR JAY : WEMA SEPETU,  HALI MBAYA, NYWELE ZINAWASHA
26:58
Wasafi Media
Рет қаралды 183 М.
Salama Na Profesa ep 55 | MAPINDUZI HALISI Part 1
41:30
YahStoneTown
Рет қаралды 115 М.
And who would you choose?👇
0:20
Kitty Power
Рет қаралды 14 МЛН
GiGaMoN! 5 🗿 #gigachad #sigma
0:53
The Logan Chitwood
Рет қаралды 5 МЛН
KARMA AT SCHOOL 🏫 Stop time
0:32
dednahype
Рет қаралды 5 МЛН
Как мама ухаживает за мной VS гостями
0:50
Время горячей озвучки
Рет қаралды 3,1 МЛН