ROMA AFICHUA: NILIMKATAZA STAMINA ASIACHIE WIMBO WA NDOA, "NIKIFA USIJE KWENYE KABURI"

  Рет қаралды 201,668

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 99
@rashidimuhibu6832
@rashidimuhibu6832 4 жыл бұрын
Tunae mkubali roma jinsi anavyojibu gonga like
@nganducelestin9557
@nganducelestin9557 4 жыл бұрын
Aliye sikia kama director wa ngoma ya ROMA anaitwa AB NABIL na ana asili ya Burundi,naomba like kama wewe umekubali kazi hii aliyotengeneza na mtu wetu wa Burundi
@LblTanzania
@LblTanzania Жыл бұрын
KAMA UNAMKUBALI BROTHER YETU ROMA MKATOLIKI GONGA LIKE 10 TUMSOPORT BROTHER
@BADTOTBOY
@BADTOTBOY 4 жыл бұрын
Hongera sana Stamina ukweli utabaki kuwa ukweli,na siku zote ukweli unahumiza
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 4 жыл бұрын
U.S.A. mwana kumekukubali sana safi sana jembe langu
@bosslilyg4390
@bosslilyg4390 4 жыл бұрын
We Roma mi nakupenda jamani mwee 💕💕💕
@rafeageefilan5544
@rafeageefilan5544 4 жыл бұрын
Mwambieni yule dogo aliechezea club ya simba. Kutembea na demu wangu asijione ameshinda. Mi samaki mapenzi yana shombo
@mouradradmou7696
@mouradradmou7696 4 жыл бұрын
*Hiiii mstari noma Sana*
@princessshannia4215
@princessshannia4215 4 жыл бұрын
Duuuh nkajua umeibiwa kweliii🙄
@SimuliziZaOscar
@SimuliziZaOscar 4 жыл бұрын
Mnaona hizo ndinga lakini hakuna Toyota
@chusecurrents4324
@chusecurrents4324 4 жыл бұрын
Daah naona tu wazungu wanakatisha mitaaa hadi rahaa
@theearth5581
@theearth5581 4 жыл бұрын
Mwimbo wa stamina ni kali sana na alichokisema ni kweli tupu. Big up stamina Iyi ndo sababu wazungu sio washabaki wa ndoa ila child support ndo wanapenda sana
@fatmasayid8895
@fatmasayid8895 4 жыл бұрын
Millard napenda interview zako ubarikiwe Roma unajuwa nakuelewa mkombozi wa wanyonge
@godwinegacharo9001
@godwinegacharo9001 4 жыл бұрын
This is Genius man
@jeanbosconibigira4637
@jeanbosconibigira4637 4 жыл бұрын
Nakubali san Rom yani weninoma
@SirasiFaraja
@SirasiFaraja 8 ай бұрын
Namkubali San roma mast
@faithchacha2120
@faithchacha2120 Жыл бұрын
Jamani Roma♥️
@philomenasjohn9083
@philomenasjohn9083 4 жыл бұрын
Roma your matured enough
@linnamlay3643
@linnamlay3643 4 жыл бұрын
Roma msanii namba moja unaejitambua,dumu ktk ndoa mdogo wangu si kama baadhi ya wenzio kila kiatu kipya mwanamke mpya
@HassanMohamed-ym3cn
@HassanMohamed-ym3cn 4 жыл бұрын
Mwana arsenal mwenzangu
@yusuphusaimoni4182
@yusuphusaimoni4182 Жыл бұрын
Me ni mchungaji ila ukweli kabisaa Huwa napenda Sanaa sanaa kusikiliza nyimbo zako hakika we ni msanii wa nyimbo za dunian unanibariki kaka
@mrbuhwihwi4160
@mrbuhwihwi4160 4 жыл бұрын
Nakukubali sana Roma na millard Ayo nawapenda wa tz natamani inchi yang ya Burundi iwekamatanzania iwe namastas kama roma na platnumz simba ambao wanasikika dunia nzima
@seifmohamedseif9467
@seifmohamedseif9467 4 жыл бұрын
Nyie ndio mnachochea ngono maswala ya kukaa mna juana mnatiana mimba ndio muoane kujuana mtajuana kwenye ndoa kushindana inatokea hata mmjuane miaka 10 ndio mfunge ndoa
@samfelex7901
@samfelex7901 4 жыл бұрын
Rostam kubali sana watu wngu wanguvu
@Titanbrowncam
@Titanbrowncam Жыл бұрын
Ndoa ni noma
@florabaruti8032
@florabaruti8032 4 жыл бұрын
Melad baba lao nakupenda sana
@hamzamadai6438
@hamzamadai6438 4 жыл бұрын
Kama kuna mtu amekiona kitambi cha Roma gonga like
@hafidhsleyum9861
@hafidhsleyum9861 4 жыл бұрын
Kaka upo vizuri unaongea point
@husseinabdallah3358
@husseinabdallah3358 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Aaaah eti labda ni laana ya kwenye mwajuma kaolewa.. #Stamina kamsema sana Mwajuma 😂😂😂nmecheka sana hapo 😁😂😂😂
@oscaroscar2555
@oscaroscar2555 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 laana iyo
@nabaodesigner9449
@nabaodesigner9449 4 жыл бұрын
Oya yule jama asichukue mke wa mwenzie kama mpira wa corner. Kuna siku yata mkuta yeye pia.
@mouradradmou7696
@mouradradmou7696 4 жыл бұрын
*noma Sana hiii mstari*
@marryyohana89
@marryyohana89 4 жыл бұрын
Nampenda huyu jama naomba ndoa yake idumu daima
@halifabarnaba5584
@halifabarnaba5584 4 жыл бұрын
Namkubali sana Roma yuko makini sana
@Harunery
@Harunery 4 жыл бұрын
hayo magari yanayopita hapo nyuma.....!!
@georgemwakyoma9034
@georgemwakyoma9034 4 жыл бұрын
Roma yupo vizuri
@superherotv1750
@superherotv1750 4 жыл бұрын
Na mlivyoambiwa wasimamiz wa ndoa msimamie ukuchaa mlijisikiaje😂😂
@prosper_assey
@prosper_assey 4 жыл бұрын
😹😹 itabidi usapoti maana ishatoka
@chezarygeorge2666
@chezarygeorge2666 4 жыл бұрын
gonga like kama ww ni arsenal kama mimi na roma
@kamanda007
@kamanda007 4 жыл бұрын
First... gonga like hapa nisikie raha
@bakarimngazija6672
@bakarimngazija6672 4 жыл бұрын
Kaka naomba uelewe kazi ya uandishi ni kudadisi na ndio maana waandishi wengi Tanzania wanawaogopa viongozi hata kama ukweli o wazi. Rukiweza kuwabana kwa masuali tutafika vinginevyo ni mtihani.
@moseykeys_tz
@moseykeys_tz Жыл бұрын
Yes🔥🔥🔥
@amedeusshio7836
@amedeusshio7836 4 жыл бұрын
mna achia lini ngoma rosta
@kpetres2872
@kpetres2872 4 жыл бұрын
Mnakula upepo USA wahuni, dah😥😥
@raylugonda6728
@raylugonda6728 4 жыл бұрын
Busala nyingi sana kwako brother
@braveliontv935
@braveliontv935 4 жыл бұрын
The first one to watch this !!
@naamohamed9964
@naamohamed9964 4 жыл бұрын
Dahhh ndoa
@joshithomu
@joshithomu 4 жыл бұрын
Roma satuli kwako
@metaboy4386
@metaboy4386 Жыл бұрын
we roma njoo hom hip hop bila ww mbongo amna it
@michaelmwaisenye5016
@michaelmwaisenye5016 4 жыл бұрын
Saluut kwa Romaa
@bigdaddy_faustinjumong4427
@bigdaddy_faustinjumong4427 Жыл бұрын
Umemuonhelea #BABAZ wababaz #RIP😭😭
@raphaelgadau2783
@raphaelgadau2783 4 жыл бұрын
Naile suti nilivaa ya nini
@egbertleonce5577
@egbertleonce5577 4 жыл бұрын
Ahaaaaa we jamaaaa noumaaaaa
@jackisongirani245
@jackisongirani245 3 жыл бұрын
Kaka Roma xhow xhow
@asumaathuman6094
@asumaathuman6094 Жыл бұрын
Inaoneka alimpenda sana mkewee
@wazirikhamisi4828
@wazirikhamisi4828 4 жыл бұрын
ROMA WW NAAMINI NIMSOMI NANIMTU UNAE JITAMBUA VP KTK DINI YENU AU MAANDIKO YA BIBLIA YANA KURUHUSU KUISHI NA MWANAMKE AU MWANAUME BILA NDOA??
@ireneassey3685
@ireneassey3685 4 жыл бұрын
Kwani Roma ajaoaa we upo wapi kaoa zamani sana
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 4 жыл бұрын
Marekani hapo kanenepa
@denisimaliyaweni9183
@denisimaliyaweni9183 4 жыл бұрын
International interview
@asantesangawe1366
@asantesangawe1366 4 жыл бұрын
Roma mjanja sana
@mikapmwalimu4555
@mikapmwalimu4555 4 жыл бұрын
Kuna Roma na mwana f a .ukiwasikiliza ni darasa tosha
@etropiahjoram7462
@etropiahjoram7462 3 жыл бұрын
Kitambi ndugu
@allydilunga9621
@allydilunga9621 4 жыл бұрын
Pete nimerudisha sonara nimeshapata nusu asala
@offcialtengeza206
@offcialtengeza206 4 жыл бұрын
Kwani mchezaji wa simba gani uyo alitajwa humo
@a.856
@a.856 4 жыл бұрын
🙏🏻
@ujuzitechnology5234
@ujuzitechnology5234 4 жыл бұрын
✌👊👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
@jackisongirani245
@jackisongirani245 4 жыл бұрын
Kaka Roma me mxhabk wako no 1 pambana Kaka ra kaka
@officialifruit_x7549
@officialifruit_x7549 4 жыл бұрын
Wacha Aondoe Sumu Moyoni Bali Ya Ndani Yanatakiwa Yabaki Ndani Ila Sawa Ameshatoa Ya Moyoni Wacha Ibaki Ivo?
@godfreytide824
@godfreytide824 4 жыл бұрын
Sjaona vitz na I ST ikipita
@christophertarimo3044
@christophertarimo3044 Жыл бұрын
Rudi home
@moodykitete9476
@moodykitete9476 4 жыл бұрын
Roma nakuelewa sn
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 4 жыл бұрын
Roma_unaongea_sana_ila_una_shawishi_vijana_Wazini_hakuna_kusomana_mbaya_watu_waache_Zinaa
@gidionmuhemezi929
@gidionmuhemezi929 Жыл бұрын
Duh umemuelewa lkn au
@modestusndunguru7183
@modestusndunguru7183 Жыл бұрын
Hujamuelewa...ndugu..halafu zinaa...Ili mzaliane..ngono..haepukiki... Mzee..we mwenyewe ulizaliwa Kwa sababu ya ngono
@ericknkonya5682
@ericknkonya5682 Жыл бұрын
imebidi nirudi kuitafuta nyimbo ya mwajuma kaolewa hahaha
@rajmkonje7149
@rajmkonje7149 4 жыл бұрын
Roma ki muonekano haufananii na mwanamuziki unafanana mcheza mpira au basket ball 🏀
@rambomchoraji1918
@rambomchoraji1918 4 жыл бұрын
Ali kiba
@danielymwakibolwa1323
@danielymwakibolwa1323 4 жыл бұрын
Daa milady izo dinga znazopita apa moyo wang fyatu❤❤❤❤
@mgojalehao698
@mgojalehao698 4 жыл бұрын
Yanga same fulia
@paskalkimarokimaro4992
@paskalkimarokimaro4992 Жыл бұрын
Roma ni mtuu mwingin anaetumia akilia xn namkubali xn
@nahidhussein360
@nahidhussein360 4 жыл бұрын
Mkimbizi huyu usa
@chaksechaku2881
@chaksechaku2881 4 жыл бұрын
Kulia na ndoa yake Lol
@nahidhussein360
@nahidhussein360 4 жыл бұрын
Rudi TZZ
@mpingeally923
@mpingeally923 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@enockchaula6292
@enockchaula6292 4 жыл бұрын
Roma usizuge sema ukweli tuu uchaguzi mwaka huu? Sio wa jakaya ukiimba utumbo tuu ndani
@elizabethkapinga4377
@elizabethkapinga4377 4 жыл бұрын
Mo appriciated R0stam
@NeemaKmussa
@NeemaKmussa 4 жыл бұрын
Hahaha et laana
@mgojalehao698
@mgojalehao698 4 жыл бұрын
Nambiee
@ahmedsultan2620
@ahmedsultan2620 4 жыл бұрын
Roma usiwapotoshe watu mungu kasema ukimpenda mtu umuoe sio uzini nae km wewe mzinifu mkubwa umezini na mwanamke miaka 5 ata haya huna nipe andiko ktk msahafu au biblia isemayo kabla yakuoa uanze kuzini
@mariamiddy9790
@mariamiddy9790 Жыл бұрын
🎸🎸🎸🎸🎸🎵🎵🎵
@AbasErnert-oc9oi
@AbasErnert-oc9oi Жыл бұрын
Bsjejee
@AbasErnert-oc9oi
@AbasErnert-oc9oi Жыл бұрын
Jsjsnze
@buildtekconsultants9687
@buildtekconsultants9687 4 жыл бұрын
Stamina msenge tu kwanza ana kibamia
@dickmalove5544
@dickmalove5544 4 жыл бұрын
Ulimpa?
@remigimtenga7608
@remigimtenga7608 4 жыл бұрын
Jiheshimu! We unapipa?
@marryyohana89
@marryyohana89 4 жыл бұрын
Nampenda huyu jama naomba ndoa yake idumu daima
@kaivumba7338
@kaivumba7338 4 жыл бұрын
mambo
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН